Ifike mahala tuwape heshima wanayostahili wachezaji wetu jitu kama mbwana samatta cv yake ilivyo alafu bongo tunamchukulia poa ameifunga city ya pep liva ya klope limecheza n ozil grealishy daaaaah ilo ndo poppa captain diego na mwanae msuva
Hizo zingine ni porojo, muhimu mmewarudisha Samata na msuva kwenye kikosi. Mngeendelea kujifanya wajuaji, sasa hivi hata nafasi ya kuhojiwa msingekuwa nayo.
Gooooooo taifa stars

Kwa ethiopia mulipuaya mashabiki ndio waliwafunguwa macho