Hallelujah 🙏 Gloory to the Most High...yani this has come at the right time ❤❤❤❤may it be like soo to the person reading this in Jesus Name.........wazidi kushangaa 🎉🎉
Nimebarikiwa sana washira nyimbo zako ninzuri sana usijali kufananishwa sauti mana hata mm muimbaji pia nahuwa watu wanambia sauti yangu yafanana naJenipha mgendi ndio naanda kazi zangu niziweke youtube Barikiwa sana
Watashangaaa pale Mungu atanijibu maombi nayomuomba sahii
Amen bro🙏
Amen He is going to answer my prayers🙏
Wow this is amazing and already wanashagaa
Waitung for an answer from you God
I know one ,day nitatoea ushuda Kama ,Hii,Thank lord kwa kunifikisha mwisho Wa mwaka ,5/12/2024,🙏🏼🙏🏼🙏🏼,my favorite song,Barikiwa Sana mchungaji ❤❤
Ipo siku nitatoa ushuhuda kama huu 🙌🙌🙌
Hata Mimi mungu amejibu maombi yangu wanashanga a
Mbingu zimejibu maombi yangu wanashangaa🙏🙏🙏
Hallelujah 🙏 Gloory to the Most High...yani this has come at the right time ❤❤❤❤may it be like soo to the person reading this in Jesus Name.........wazidi kushangaa 🎉🎉
Amen
Nimebarikiwa sana washira nyimbo zako ninzuri sana usijali kufananishwa sauti mana hata mm muimbaji pia nahuwa watu wanambia sauti yangu yafanana naJenipha mgendi ndio naanda kazi zangu niziweke youtube Barikiwa sana
I'm leaving this comment here,,, I'll get back once my prayers are answered 🙏 manifesting it soooonnnnn🙏
May this song be a testimony in my life 🧬 one day
nikweli maana unaimba vizuri sana kaka yangu
Waah nabarikiwa na huu wimbo Sanaa siku haiwez isha kama cjaskiza😂😂😂😂ahsante mungu 🎉🎉🎉🎉
I love your songs my brother, I wish one day we song together am from Malawi,,kiswahili najua kidogo😊
Mungu amejibu wanashangaa ; Sauti nayo ! Acha tu ! Zidi kutubarikisha
Mbingu zinene kwa jina la yesu
😂😂😂Kwa Yesu kumbe ni kicheko na furaha,, hallelujah maana mbingu zimejibu maombi yangu!! Machozi ya furaha jamani maana Mungu amejibu ❤❤❤
Was waiting for it,God has done it 🙏much love 🙏🙏
Ubarikiwe sana ❤kumbe wewe wakiume?
Wewe wakiume ?? 😮 Mungu wa ajabu sana
song nimeipenda barikiwa sana bro aim higher ❤️🔥
❤❤❤❤❤❤❤ chawucha mwanidu Mulungu ukutesiye chumbo rako rawanirasimia na kunihoresha ngolo
Kweli kabisa ❤❤❤
What a faithful God God has indeed answered, congratulations sir
Congratulations ma brother. Vile unajua kuimba mpaka na feel proud
Hi wachira God bless you more and more sub moja hiyo🎉🎉🎉🎉🎉
Hallelujah Hallelujah Hallelujah 🙌 🙏 Mungu amejibu maombi yangu glory to God
Barikiwa ❤❤
Glory to God my brother 🙏💪
Mbinguni zimejibu maoombi😮 wanashaangaa boss wangu hongera kakaa Kwa kazi nzuri twkufurhia tu
😊🎉❤ Amina hakika Mungu amejibuuu
This song is a hit....🎉🎉🎉 good job Brother
❤❤❤❤❤❤ watashangaa 🎉
Nabarikianga sana na nyimbo zako .barikiwa sana na mungu akuzidishie nehema zaidi🎉🎉
Powerful 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤. Watashangaaa milele.
Keep it up brother 🇰🇪🇰🇪
🎉🎉🎉❤❤nice and powerful one 🙏🙏🙏
Heri nilale njaa ninunue bandles nkuskize coz you blessing my heart man of God,,,God bless you waponya mioyo ya wengi
Wow blessings bro 😊😊😊
Nice work bro💥💥
Amen God to bless you with many way ❤❤❤🎉🎉🎉
Nice song mtumishi
Mbingu zimejibu maombi yangu wanashangaa... Mateso yangu na dhiki yangu Mungu ameniondolea
BLESSINGS BRO,THANK YOU FOR THIS
Tunaisubiri mtumishi wa Mungu
Nabarikiwa sana na nyimbo na huduma yako kwa Mungu. Acha waseme, ila sisi wa Rohoni tunajua ulichobeba, keep moving on bro
Mbingu.zikijibu.lazima.adui.washangae
Mbona sielewi kwani ni dada au ni kaka.
Amen ...na bado watashangaa 😅
❤Amen kaka
Your songs always on top hit 🎉🎉🙌🙏🙏keep arising my brother
Mbingu zimejibu maombi yngu asante sana mtumishi mungu azidi kukuinua zaidi❤❤❤❤❤
Nzurii
Lazima huyu Washira ana udugu na Martha si kwa kufanana sauti huko, halafu anafanana na binti ya Martha
Amen.
Keep the spirit to the end bro.
Nina imani ipo siku mungu atajibu maombi yngi🙏🙏🙏
Wow this is amazing Washira keep up .
Mbingu zimejibu wamebaki wanashangaa❤❤❤❤
Mungu ajibu Dua yetu
Hallelujah,mbingu zimejibu maombi yangu wanashangaa❤❤🧎🏼♀️🧎🏼♀️
Tafuta collabo na Martha itakuwa kali I swear 🔥🔥
🎉🎉🎉🎉wow naomba Mbingu zijibu maombi yangu washangae
Amen,wacha mbingu zijibu maombi yangu pia iwe mshangao.😊
Hubarikiwe sana
Well done wachira
Napenda sana nyimbo za kwako ua zinanibariki sana barikiwa sana kaka unapoendeleza msizi wako
Walidhani tukiomba samaki tutapewa nyoka..Mungu wetu anajibu kwa wakati unaofaa.🎉
Good art kaka,barikiwa🙏
Big tune....on repeat mode 🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Naiwe kweli 😇 Be blessed Kaka Elshamah
Congratulations bro
Waooooooo!!! Nakupenda sana Broo from Tunduma mpakani na Zambia nakusikiliza.
Kazi safi sana 🎉
Mungu ni mwema siku sote.hujibu umwaambacho.❤❤
Na Bado watashangaaa kali sana Washira 🔥
Kweli wanashaangaaa,Viwango vingine kabisa
Nitangojea zamu yangu na mimi ubarikiwe ndugu kwa nyimbo mzuri kama huu
ukweli mbingu zinajibu maombi maadui wabaki kushangaa barikiwa sana bro and go ahead
Wow Amen bro cograt
Hallelujah and Amen 🎉🎉🎉❤❤
But I'm not giving up,namngojea mungu ajibu maombi yangu.nitarudi hapa kushuhudia.
Nice song 👍👍
Wow amen 🙏 tukuza mungu kweli brother mungu yupo ❤❤❤
Na bado watashangaa God is doing more everyday
Baraka tele mdogo'angu
Big tune...congrats from the way Christians utawala
Kazi Safi sana kaka,Baraka tele,wacha Bingu izungumze....huyu Mungu Ni lakini😊
Nice song God bless you
Hallelujah what a nice song may Almighty God protect you and uplift you more 🇰🇪
Bro hongela sana naomba unifanyie bakapu
Utukufu hadi utukufu Washira happy for you 🥳🥳🥳👏👏👏👏
Amen..nyimbo nzuri mungu azidi kukupa hekma kwa uwandikaji wa nyimbo
Kazinzur mtumishi hakika wimbo muzuri sana
Amina wimbo mzuri sana mtumishi❤🎉🎉
Watashangaa mungu. Akibariki🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tell us something about voice. What is behind that soprano 😊😊 the songs the best
Hallelujah na Mungu ajibu maombi yangu pia❤
Watashangaha
Woooooooow keep going son you always bless my heart
mungu azidi kukupa hatua mbelevkwa utumishi wako😊
Pia mm nina imani atajibu kwa wakati...amina❤
Hongera
Congratulations🎉❤
This is great my friend❤❤
This is good music. I love it, more grace on your talent