EXCLUSIVE: RAFIKI WA BABA LEVO MWANAJESHI ASIMULIA ALIVYOKOSWA KUFA VITANI/KUTUPWA NJE YA NDEGE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 268

  • @AlphonceItagara-cu4tb
    @AlphonceItagara-cu4tb Месяц назад +21

    Ukiwa nje ya nyumbani ni sehemu ya hatari. Big point bro.

  • @JustinMwakalukila
    @JustinMwakalukila Месяц назад +14

    Baba LEVO ni NEXT LEVO umeenda marekan sio kufanya upumbavu km MWIJAKU,nmependa umetsha sna interview zote nzur kwa ufupi SILENT OCEAN hawakukosea kukuchagua kuw mwakilishi wao.mwijaku makelele tyu hamna cha maana chohte alichofanya kakuzidi Elimu ya darasani lkn umemzidi maarifa ya utendaji kazi!, umetsha sna

  • @ashuramhandoashuramhando6798
    @ashuramhandoashuramhando6798 Месяц назад +5

    Yule Mwijaku Pumba tu hakufikii hata kidogo kaenda kuwafagilia wazungu eti Umepoa Umepoa lakini Baba Levo ni Noma umetuletea Mtu wa Mana Kabisa tumempenda siku Moja aje TZ hakika Raha Sana❤️❤️🌷🌷🙏🙏

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 Месяц назад +8

    Daah jamaa yuko smart sana mashaAllah, hana hata makuu 🇶🇦

  • @yusuphmalenda4981
    @yusuphmalenda4981 Месяц назад +31

    Baba levo unajitahd kuuliza maswali vzr na mazuri tatizo lako inatakiwa kujifunza kuacha ulie muuliza swali aweze kujibu amalize.tatizo linakuja umemuuliza swali akianza kuelezea unamkatisha katika story yake unaweza swali lingine mara unachekacheka kuwa mtulivu akiwa mtu uliemuuliza swali akiwa anajibu maana wakati mwingine unacheka hata kisichochekesha

  • @lucykristensen7145
    @lucykristensen7145 Месяц назад +20

    Baba Levo unaiwashirisha Tanzania vizuri. Kiakiri na hesima. 🫡 salute kwako Mtani wangu. Huku ndiyo kujitambua. Unaelimisha siyo mambo ya kishamba na kipuuzi puuzi. Akiri ni hazina. 👏👏👏👌❤

    • @SofiaS-i5r
      @SofiaS-i5r Месяц назад +1

      Babalevo wewe mtupoa sana napia huyo mjeshi ameinjoi sana hunamajivuno kazi nzuri

    • @gamezone111-c7y
      @gamezone111-c7y Месяц назад

      kwahyo herufi "L" we kama ulivosema hutumii kabsa

  • @OmariTemba
    @OmariTemba Месяц назад +1

    Good blother mungu anaweza

  • @lukewandera5720
    @lukewandera5720 Месяц назад +3

    Nice content @Baba Levo.
    I like the positivity around your content.This is very much informative and entertaining.
    Continue doing the content of celebrating and uplifting other people rather than unconstructive criticism.
    Sending love from Nairobi.

  • @Chau_rembo_tz
    @Chau_rembo_tz Месяц назад

    Daah yaani huyu mwanajeshi hata Mimi kanivutia sana anajitambua sana mungu amrinde zaidii

  • @HalimaMayunga
    @HalimaMayunga Месяц назад

    Hongera sana Mjeshi Mungu akutunze na babaleve kazi nzr🎉🎉🎉

  • @ankoharunacomputers9709
    @ankoharunacomputers9709 Месяц назад +2

    Hyo mwamba ni mshkaji sana... Lakin ujitahd usivue shati kama yule ndugu yako, Utatuaibisha.😂😂😂. But Hongera sana CEO wa 7Media.

  • @AsungaSteven
    @AsungaSteven Месяц назад +1

    Brother, you are doing well and you have a lot of love for your fellow Tanzanians, if all Tanzanians were like you, we would have come a long way.

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 Месяц назад +4

    Next level baba levo

  • @mauasylla5024
    @mauasylla5024 Месяц назад +1

    Kipanki yupo North ( Kaskazini). Marekani ni rafiki na South Korea na kuna military base huko south. Nimependa sana kufahamu kaka yetu Mlay kutuwakilisha WaTz kwa nafasi Chanya ( positive). Big up Baba Levo!

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 Месяц назад

    babalevo akitulia tutapata madini mengi kutoka kwa huyu mwamba, anajua vitu vingi na yuko humble sana anapenda kuelimisha

  • @ebenezershuma9228
    @ebenezershuma9228 Месяц назад +4

    umetisha sana mkuu
    hongera kwa utali

  • @Nyarutv24h
    @Nyarutv24h Месяц назад +10

    Uyo mwanajeshi ana pesa sio kitoto mwanangu
    Uanajeshi USA ni mshahara mkubwa Sana

    • @frankndanu8934
      @frankndanu8934 Месяц назад

      uanejeshi us ni dili sana

    • @NtamamiloGibson
      @NtamamiloGibson Месяц назад

      Uko sahihi ndio wanailipwa fedha za kutosha

    • @Eliabennet
      @Eliabennet Месяц назад

      DO YOUR RESERCH WELL ANKO

    • @fredducaunt
      @fredducaunt Месяц назад

      ​@@Eliabennet😂😂 unataka kusema nn

    • @fredducaunt
      @fredducaunt Месяц назад

      ​@@Eliabennet Huyu jamaa kama ni staff sergeant anaingiza si chini ya TSH 7M kwa mwezi
      Wewe ndo ufanye research 😂😂

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m Месяц назад +2

    Uyo jeshi yuko very humble

  • @joshuakinabo6861
    @joshuakinabo6861 Месяц назад

    Baba level anamkatishaa jamaaa mwache asimuliee bhanaaa😢

  • @Jeff_Tz
    @Jeff_Tz Месяц назад +1

    Kipanki yupo North, Nyie mlienda South😅😅

  • @novaelias5010
    @novaelias5010 Месяц назад +4

    Baba levo hakika ww ni noma

  • @shabanimaulidi153
    @shabanimaulidi153 Месяц назад

    safi sana baba levo pambana Tena usije fikilia Tena udiwani wanakuzeesha akili ungekua Diwan ungefika huko wewe wanyeeee kunyaaa baba by Shaban kabendela Sido kigoma

  • @methodiuskikoti5870
    @methodiuskikoti5870 Месяц назад +1

    Baba Levo kazi yako ni njema. Ila jitahidi uwe unasema that's true na sio that true. Nnakusikia ukisema hivo karibia miaka mitatu sasa. But yote Kwa yote uko vizuri kaka.

  • @rodgersgasper7006
    @rodgersgasper7006 Месяц назад +5

    MLAY: mimi natengeneza vifaru vya jeshi.
    BLEVO: jaman uyu ni mtaalam anatengeneza mavifaru, mamizinga yooote ya jeshi😅

    • @BarakaKusalula
      @BarakaKusalula Месяц назад

      B levo anajisahau anaingia kwenye Uchawa.

  • @mwamrajunior7631
    @mwamrajunior7631 Месяц назад +6

    Watching from kenya
    Likes za 254 zikuje

    • @DavidJohn-i2d
      @DavidJohn-i2d Месяц назад

      Sio zikuje. Sema zije. Kwa nini Wakenya hamtaki kujifunza Kiswahili?

    • @kayalaonlinetv
      @kayalaonlinetv Месяц назад

      Viazi awa

  • @umu-ul-kurthumhamad9500
    @umu-ul-kurthumhamad9500 Месяц назад +1

    Baba levo Acha kujichekesha chekesha ovyo kua serious😊

  • @nassirabas
    @nassirabas Месяц назад +59

    Jaman sijawah pata like zenu hapa

  • @UmmyDunia
    @UmmyDunia Месяц назад +4

    Safari yako babalevo yamaana sana

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 Месяц назад

    🇹🇿👍God bless Bro Mlay

  • @methodluoga8483
    @methodluoga8483 Месяц назад +3

    Nashukuru ombi langu la interview umelipokea, ila ununue camera mwehu ww

  • @gervasedimond3563
    @gervasedimond3563 Месяц назад +1

    Baba levo una dakia sana unaboa sana ukimaliza kuuliza acha mtu amalize mxiew

  • @ashuramhandoashuramhando6798
    @ashuramhandoashuramhando6798 Месяц назад +2

    Huyu Mjeda ana Upendo mpk Raha Mungu azidi kumpa Maisha Marefu yenye Mafanikio Duniani na Akhera InshaAllah ❤️❤🙏🙏

  • @abdallahnassor2945
    @abdallahnassor2945 Месяц назад +2

    Panki yupo north Mlayi Nyie Mlienda South

    • @hassanabdallah3202
      @hassanabdallah3202 Месяц назад

      Hata mm nilishangaa hapa wametupiga 😂😂😂😂😂

    • @abdallahnassor2945
      @abdallahnassor2945 Месяц назад

      @@hassanabdallah3202 Ahhh Wamejichanganya Hao Walikuwa Teyar Washawaka

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk Месяц назад +2

    Kim Jon yupo North Korea sio South Korea baba levo 😂😂

  • @SIKUJUAMANINGI
    @SIKUJUAMANINGI Месяц назад

    Baba level me nurse nipe support basi nipate kazi marekanii nina experience nzurii sana et

  • @MartinMadimilo-z6w
    @MartinMadimilo-z6w Месяц назад +1

    Uko vizuri kwenye maswali baba level lakini humpi mtu muda wa explain

  • @kamalbashir5127
    @kamalbashir5127 Месяц назад +9

    Kinpaki yuko north korea sio south korea, nawakosoa

  • @Edopacmusic
    @Edopacmusic Месяц назад

    Baba levo umempoteza mwana ila sio mbaya ni wenge la #firsttimeinAMERICAAAAAH

  • @emmanuelotin7556
    @emmanuelotin7556 Месяц назад +4

    Pennsylvania city gani

    • @ruthmukami7573
      @ruthmukami7573 Месяц назад

      PA is one of 50 states in the USA 😅

  • @ramajuma5620
    @ramajuma5620 Месяц назад +1

    Baba levo shika kidgo hyo glas unaikandamiz hivo vip😂😂😂

  • @fredymwakikono1575
    @fredymwakikono1575 Месяц назад

    Hapa mmechanganya madesa, kipanki yupo North Korea, nyie mlienda South Korea, South Korea ndio rafiki wa USA, jamaa ni very humble natamani baba level angeweza kuuliza maswali mazuri

    • @vallencymacdonalds
      @vallencymacdonalds Месяц назад +1

      Yah ni kweli

    • @lawmaina78
      @lawmaina78 Месяц назад

      Alikua DMZ ambayo ni ndani ya Korea Kusini/Kaskazini, huwa ni issue very complicated kuielewa

  • @timothtitus6136
    @timothtitus6136 Месяц назад +1

    Babalevo umemuingiza chaka mwamba. Kipank yuko North Korea na sio South Korea

  • @johnnicholaus3941
    @johnnicholaus3941 Месяц назад

    huyu soldier Yuko peace saana aisee

  • @paulsingano674
    @paulsingano674 Месяц назад

    yan Baba Levo umempoteza mwenzio, eti kipanki yuko South😂😂

  • @omarymnuru8746
    @omarymnuru8746 Месяц назад +1

    Namuona Jimmy Shomary AKA Jimmy Kindoki

  • @AlgernonDevries
    @AlgernonDevries Месяц назад +1

    Klaiton dola laki 3 sio milion 900 ok nakubali sana nime enjoy sana

    • @AlgernonDevries
      @AlgernonDevries Месяц назад

      All the way from capetown😂

    • @Joetaee
      @Joetaee Месяц назад

      Kwa rate ya leo ni 1b na upuuzi

  • @AlfredAloyce-wh5nq
    @AlfredAloyce-wh5nq Месяц назад

    Sana nakubali baba love

  • @barikimbacho6731
    @barikimbacho6731 Месяц назад

    11:01 BABA LEVO, mwache unayemhoji amalize kujibu swali ndio umuulize swali jingine. Sio hajamaliza kujibu na wewe unamwingilia mara unachangia kama mlikuwa wote hiyo sehemu. Embu tulia mwache mtu aongee kama unataka kupata maarifa zaidi.

  • @Anord_na_uzazi
    @Anord_na_uzazi Месяц назад +2

    🎉🎉🎉🎉 hot sana

  • @mohamedsulumwa2941
    @mohamedsulumwa2941 Месяц назад +1

    Baba levo inabidi unaki USA Uwe mwana jeshi

  • @rodgerushindi85
    @rodgerushindi85 Месяц назад

    Baba levo akiona Pombe Anachanganyikiwa ... 😂😂

  • @ShabaniMakasha
    @ShabaniMakasha Месяц назад +3

    Fika KOVAL aliyo pigwa risasi 2pak

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 Месяц назад +1

    Babalevo anatakiwa kuacha kuvaa suruali ndogo finyu avae mabwanga yatamtoa vzr tu

  • @AmiriKarimu
    @AmiriKarimu Месяц назад

    Nmemuona jimmy kindoki

  • @Wtzee
    @Wtzee Месяц назад +1

    Yuppp yupp! Baba levo

  • @williumgeofrey9587
    @williumgeofrey9587 Месяц назад +1

    Kwa kipank ni North, US ARMY IPO South Korea

  • @gaspercharles2244
    @gaspercharles2244 Месяц назад

    Baba levo tunakusubiria Huku home ww umetangaza Unapata Faida kwa Mr Manguruwe ukasababisha tukaamini pesa iko Sasa watu wametapeliwa uje utuonyeshe unavyolipwa hadi ukaweza kutangazia watu uwekezaji huo

  • @Niika870
    @Niika870 Месяц назад

    North korea huwezi kuingia ndiko Kwa kiduku huyu wa kwetu alikuwa south korea, Baba Revo duuuu

  • @JacksonMayunga-u5r
    @JacksonMayunga-u5r Месяц назад +1

    Kwanini usije home ukapata ajira yakudumu jeshini, unakitu brother

  • @williammatata2611
    @williammatata2611 Месяц назад

    Aaah baba levo bwana

  • @gabrielgwawu4026
    @gabrielgwawu4026 Месяц назад +1

    Kipanki yupo NORTH

  • @wazirmasokola5951
    @wazirmasokola5951 Месяц назад

    Umetisha baba levo

  • @titomtaula4898
    @titomtaula4898 Месяц назад

    Uyu jeshi mwenyezimungu azidi kumpa nguvu sana na amuhepushie changamoto ktk kaz yake

  • @romansixbert4529
    @romansixbert4529 Месяц назад

    Mlienda South Korea. Kipanki yupo N.Korea

  • @Abdoulkey
    @Abdoulkey Месяц назад

    Mbona ujatia yote baba yake na levo😊

  • @georgenyoni9879
    @georgenyoni9879 Месяц назад

    Dola laki 3 unanunua beach plot huku zanzibar broh'angu una invest hotel

  • @ngasamashauri4937
    @ngasamashauri4937 Месяц назад +2

    North korea ni kwa kipaki na south ndio USA Support

  • @alira6789
    @alira6789 Месяц назад

    Kali sana

  • @libetztanzania-kiswahilina2845
    @libetztanzania-kiswahilina2845 Месяц назад

    Nimecheka KIFARU CHA IDD AMIN KUPIGA MAGIYAAAA😢

  • @BakariMakame-j5f
    @BakariMakame-j5f Месяц назад

    Marekani marekani ,Citaki kujasikia tena ya p d d, ila turudi kwenye mada sasa nimelewa nini unafanya

  • @babanyamataga5349
    @babanyamataga5349 Месяц назад

    Baba levo MSHAMBA 😂😂

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 Месяц назад

    Mwijaku ajifunzeee Kwa baba levo

  • @IsmailMatle-xz2ho
    @IsmailMatle-xz2ho Месяц назад

    Baba levo huyu jamaa ni bwashe wangu nk krt arusha Msalimie mlay

  • @josephsabuni795
    @josephsabuni795 Месяц назад

    Kipanki yuko North Korea, wale wengine wanaosupportiwa na Marekani wako South...

  • @festusabramary-bz4ef
    @festusabramary-bz4ef Месяц назад +4

    acheni uongouongo kipank ni rais wa north sa ety umeenda kwa kipank ukaambiwa utoe nywere mara nyinyi mnaisapoti south uongo uwongo tu north na sauz awachangaman kwakitu chochote kile chui na paka

  • @bakarikimea4711
    @bakarikimea4711 Месяц назад +2

    Huyo sikindok

  • @amaniyona3134
    @amaniyona3134 Месяц назад

    Baba Revo yaani inatakiwa jamaa umuache aongee tatizo unamkatisha babu vipi

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 Месяц назад

    Hamjaenda north Korea nyinyi. Nyinyi mlikuwa south. Kiduki yupo kaskazini.

  • @raymondmango5128
    @raymondmango5128 Месяц назад

    Baba levo grass ya wine ungeweka tu chini mana aina kazi toka umeshika unywi

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 Месяц назад

    Kipanki yuko North...jeshi la marekani walikwenda upande wa South Korea

  • @xxl5239
    @xxl5239 Месяц назад

    Mbona mnachanganyana bwana!
    North Korea ndio Kipanki
    South Korea ndio Kibaraka Mfuasi wa America.
    Babalevo chukuwa hiyo

  • @godgiver100
    @godgiver100 Месяц назад

    Appreciations, ila Kipanki yuko North Korea.

  • @JamalyOmbay
    @JamalyOmbay Месяц назад

    Huyu jamaa angesoma angelica mbal sana siyo kama mpiga debe mwijaku

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 Месяц назад

    Kuhusu south north pale baba levo asuburi maelezo ya mlay yaishe ndiyo aulize tena siyo katikati ya maelezo

  • @BarakaKusalula
    @BarakaKusalula Месяц назад

    Ni hivi North korea ndy kwa Kiduku na hans urafiki na U.S.A South korea ndy marafiki na USA ,Hivyo walikuwa South korea.

  • @bobsalim4285
    @bobsalim4285 Месяц назад +1

    Hajui hata ni north wala south korea.
    Then mwanajeshi unaendaje vitani na public transport?

    • @Djdiho257
      @Djdiho257 Месяц назад

      Ni mfumo usibishe kwani husikii kuna vitengo tofauti?

  • @Mtizii
    @Mtizii Месяц назад

    Punguza kucheka cheka na muache amalize kujibu swali ulilo muuliza, Jamaa najibu vzr anafikia kweny POINT unamkatisha daaaah unayumba😅

  • @tanzalandtv3311
    @tanzalandtv3311 Месяц назад

    Hakuna mwanajeshi hapo msanii tu , hajui kipank kama yuko North Korea , na Levo akamjaza eti South naye mjeda akasema yes , wabongo bwana

  • @MalkiaMurekezi
    @MalkiaMurekezi Месяц назад

    Msalimie Jimmy Kindoki namuona

  • @zagadat1129
    @zagadat1129 Месяц назад

    Baba levo amini kuwa ukikaza na kuzidishq ubunifu utakuwa mkubwa sana

  • @Djdiho257
    @Djdiho257 Месяц назад

    Amekuchangannya bwana kipanki yupo North ⬆️ 😅

  • @bernardoleonard7331
    @bernardoleonard7331 Месяц назад +1

    Kipanki (kim jong un ) n raisi wa North siyo South Korea....point of correction

  • @dullahmomed6550
    @dullahmomed6550 Месяц назад

    Hapa ndio namkumbuka Masoud Masoud akizungumzia IQ Muhimu katika Watangazaji.

  • @josephmwaipungu5478
    @josephmwaipungu5478 Месяц назад

    Baba Levo ukiuliza Maswali Tulia Mtu aongeee Acha kukatisha katisha story

    • @kiatu
      @kiatu Месяц назад

      True, km angefuatilia maisha ya huyu aliposema alikuwa daktari, what happened. Anatakiwa apate short training ya uandishi

  • @charlesjoseph1081
    @charlesjoseph1081 Месяц назад +1

    Kipanki ni North Korea baba leo soma jiografia

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 Месяц назад +1

    Soldier USA ni kama waziri wa feza baadhi za nchi afrika

  • @vallencymacdonalds
    @vallencymacdonalds Месяц назад +1

    Baba levo endelea kubaki u.s.a utupe content kama hizi

  • @newtonemtayoba1550
    @newtonemtayoba1550 Месяц назад +3

    Kipanki Yupo North Korea

  • @joesplatnumz
    @joesplatnumz Месяц назад

    Wamepatana saana 😅😅😅😅jamaa ako humble na social saana

  • @HassaniHamissi-d5i
    @HassaniHamissi-d5i Месяц назад

    Broo rispeket broo sana