ahsanteni sana kwa nyimbo hii nzuri. Mungu aendelee kuwabariki wote kila mmoja kwa nafasi yake na haja ya moyo wake ijibiwe na Mugnu Baba Mwenyezi. ila ombi au pendekezo langu ni hili kwamba: mmnapoimba mmeshikilia vitabu namna hiyuo, ni vyema sekunde chache mnaangalia kwenye maandishi na sekunde zingine mnaangalia mpiga camera au kwaya mastger. ahsante na niwatakieni utume mwema maishani mwenu
Classical! Hongereni saana! Kwa mwezi huu, wa September mmetikisa saana kwenye Media na TV, Mungu awasimamie msilewe sifa, ili muendelee kufanya vzr zaidi ya Hiki😍😍😍😍
ahsanteni sana kwa nyimbo hii nzuri. Mungu aendelee kuwabariki wote kila mmoja kwa nafasi yake na haja ya moyo wake ijibiwe na Mugnu Baba Mwenyezi. ila ombi au pendekezo langu ni hili kwamba: mmnapoimba mmeshikilia vitabu namna hiyuo, ni vyema sekunde chache mnaangalia kwenye maandishi na sekunde zingine mnaangalia mpiga camera au kwaya mastger. ahsante na niwatakieni utume mwema maishani mwenu
Can't get enough ...hongereni sana kwa uijilishaji
Be blessed
Hongera sana Kwaya ya Mt. Gregory Mkuu kutoka St. John's.... Uimbaji wenu umetukuka machoni pa Mungu na watu.
Hongereni sana 😋😋😋😋😋😋😋
Asanteni sana my family ,,,Hakika mmetisha sana ,,Napata matumaini makubwa sana kuwa Gregory Mkuu bado I hai na Iko Moto sana. May God bless u all
Karibu
Mwenyekiti wetu mstaafu👏👏👏
Hii nguo yenu pia ni nzuri inaendana na wimbo na utulivu wenu. Huwezi kuchoka kuangalia nyimbo zenu. Mbarikiwe sana.
Aminaa
Classical! Hongereni saana! Kwa mwezi huu, wa September mmetikisa saana kwenye Media na TV, Mungu awasimamie msilewe sifa, ili muendelee kufanya vzr zaidi ya Hiki😍😍😍😍
Bila shaka taarifa zimewafikia 👏👏
Ameen.....asante saana Mungu azidi kutukirimia🙏
🤗🤗🤗 kumuimbia Mungu ni raha..good work
Hakika Mungu ni wa kusifiwa milele.Congrats Gregorians St.John's University
Amen.
Kazi nzuri sana hii. Sauti ziko very clear. Heko kwenu na #tp
Mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri hakika;umenivutia
You nailed it comrades! I'm humbled
Hongera SGTGC kwa kazi nzuri. Hakika Mungu anazidi kutukuzwa.
Asante Sana
Hongeren sana kwa kazi nzuri sana.🙏🙏🙏
Asante madam Despina
Kazi Nzuri Sanaaa Hiiiiiiii
🔥🔥🔥🔥 hakika inapendeza na haichoshi kuitazama.
Congratulations. ❤🙏
Kwaya yangu pendwa kabisa! Classic🥰🥰
Endelea kushare na kulike......yajayo yanafurahishaaa🙏🙏🥰
Safi sana, nawapenda kwa uimbaji mziri
Asante
Hallelujah. Amina.
Amina
Hongereni sana
Well done Gregory✊
Hongereni kwa utume wapendwa
on fireee.. ilovethis ....the great choir
❤️❤️❤️God bless you all and your families, in more than goodly measure ❤️❤️❤️❤️
Congratulations!!
Nimeipenda sanaaa
hongeren sana kwa kazi nzuri....ila waimbaji mnatatizo la "tyaa" badala ya "ta"
Tutajitahidi kurekebisha, Asante kwa ushauri👊
St Gregory is indeed the Great
🔥🔥🔥🙏am blessed
mungu awabariki 🙏🙏🙏
Amina mtumishi
amazing song😍😍😍😍😍
What a great song is this ... Be blessed gregorian's
Thanks Latifa
Waooooooh
Mmetisha sana😍 Mmeimba vizuri Mnoo..Hongereni sana
Proud of you St John's
Sauti ya pili mtaniua Mimi jamaniiii...uwiiiiii Yani Hadi mwili unasisimuka. 💓💓
This song is a blessing to my soul. May the Almighty God bless you always.
Ameen....Godbless you too🙏🙏
@@st.gregorythegreatchoir843cette chanson là vraiment que dieu vous bénisse
Very nice work
Mmetisha sanaaaaaa
Bravo! Bravo! Bravo!
Nzur mnoo🔥🔥
Asante
Kazi nzuri..
From this side of the world, we will come. Ann, hi!
Swaf jamen mungu awabarki
Hongereni kwa uinjilishaji Mungu awabariki
Amen
buurudani n kaliii...Asifiwe Munguu
Safi sana. Kweli kuimba ni kusali mara mbili
Barikiwa Sana mtumishi
😍😍 Nice song
You've showed me with blessings this Sunday I love it ❣️ it's perfectly done
Mungu awabariki sans
Awesome song👏🏽👏🏽
St Gregory the great..my choir..keep it up
It's nice.congrats...🎉🎉
Waaoh! What a powerful voice...the song really touches, God bless you all
Amen
Gorgeous!! 🙌
Namuona rafik angu Diana ❤❤
Can't get enough of this music
Very great
😍😍
Beautiful nice song 👌
Ewaaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Tumsifu yesu kristu
Nice work
Asanteeee
It blesses me so much. Am very much proud to a catholic.
🔥
Sur ban wayuda
🥰🥰🥰🥰
Hongereni kwa utumee
Great
Great !
Where can I get more of this someone tell me please please
🎉🎉
👏👏👏👏
How can i get it's music sheet..
GOOD SONG....hongereni sanaaa
Asante saana enjoy
Ooh..blood
@@samwelmdetele4634 naaam kaka
@@samwelmdetele4634 naaam kaka
❤😘
Ich ca
Not follow along .. you're too fast an' xmooth .. and joycfilled, perhaps!
-->TAG
Namuona rafik angu Diana ❤❤
🥰🥰🥰