CHEGE KAWEKA WAZI CHANZO CHA KUPISHANA NA DIAMOND KWA ISHU YA MBOSO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 ноя 2024

Комментарии • 50

  • @omaryhamisi9770
    @omaryhamisi9770 3 года назад +11

    Aminia Brother Wasafi 4life👊

  • @abednego3876
    @abednego3876 3 года назад +9

    Mboso alisema kwa diamond kuwa umemwambia anaenda kuuwa kipaji na kupotea akijiunga wcb. Ulimtaka mboso ww acha unaaafk.

    • @dronemiguel2230
      @dronemiguel2230 3 года назад +1

      Kwel kabxa hata mm mbosso ndo nliona amexema hvy

  • @florencekashaija7539
    @florencekashaija7539 3 года назад +11

    Muziki una midundo mingi , dunda na wako acheni vikao na spika za wireless.

  • @fahadmudi472
    @fahadmudi472 3 года назад +6

    Wa tz wana coment bila kusikiliza

  • @icontiggermallyan9152
    @icontiggermallyan9152 3 года назад +6

    Skiliza ngoma zangu kwenye hii acount kama ni mbaya njoo unitukane

  • @vasifpasayev
    @vasifpasayev 3 года назад

    Nice👍👍👍❤🌷💚💚💛💛

  • @RickChazy
    @RickChazy 3 года назад +2

    Naogopa ni wimbo uliobeba ujumbe wa kweli kwa yanayotokea katika maisha ya mahusiano ,kuna kuumizwa ,kudanganywa wakati mwingine upelekea mtu kuogopa kutokuwepo katika mahusiano sababu tu yakutoaminika katika mapenzi #tusikilize🎧ruclips.net/video/hbMcPqq2blA/видео.html

  • @paulyusco6364
    @paulyusco6364 3 года назад +1

    Appreciate

  • @dommysicandary5205
    @dommysicandary5205 3 года назад +1

    Chegge nimekuelewa sana kaka

  • @nyimbizikamtima5146
    @nyimbizikamtima5146 3 года назад +5

    Jamaa kakosea wapi hapo sasa mnavimba kasema vby ama mnakoment kqbla ya kusikiliza

  • @chobaray
    @chobaray 3 года назад +2

    When you getting paid,you gotta pay attention - Hicho Ndio Chege anachofanya hapa

  • @safariadrien5348
    @safariadrien5348 3 года назад

    Yamoto ilikua imevunjika tayari pindi mbosso anaenda wasafi,aslay alikua ameshatoa mingoma kibao tu

  • @kamtundakono1739
    @kamtundakono1739 3 года назад

    Chege pic and love

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha2048 3 года назад

    WCB 💪🏼💪🏼

  • @shahafikili144
    @shahafikili144 3 года назад +2

    wcb akuna kituuu achaizo fanya kazi

  • @SY-dw9hc
    @SY-dw9hc 3 года назад +3

    Chege ni bora tu ungesema ulikosea kama binadamu au hukusema kwa ubaya kuliko kujaribu kugeuza maneno. Sio kweli kabisa unavyosema kua mbosso alitoka Yamoto Band akaenda kujiunga WCB mpaka ikabidi umuulize kama katoroka au la. You know that's not true. Ukweli ni kua mbosso alikua benchi miezi mingi sana hafanyi muziki baada ya kuvunjika Yamoto Band na wenzake kina Aslay na Baker wakasaidiwa na kuanza kutoa project zao nyingi. Mbosso hakua na pakushika na alirudi nyumbani ikawa hajishughulishi kabisa na Muziki. Wakati huo Yamoto Band ilikua imeshakufa. Ni baadae sana ndipo WCB walipomfuata Mbosso na kuzungumza nae arudi kwenye mziki kupitia label yao. Kama mtu uliteleza ndio ubinadamu na ni ubinadamu zaidi kukiri tu kua uliteleza. Sote tunakosea na maisha yanaendelea.

  • @simonnembomadola7512
    @simonnembomadola7512 3 года назад +6

    Chege fanya muziki wako acha mambo ya kufatilia WCB,
    Kila mtu awachukia WCB acheni hizo.

    • @khadijahrule889
      @khadijahrule889 3 года назад

      Sio wote bhna

    • @wasafimedia5399
      @wasafimedia5399 3 года назад +1

      Ujamuelewa jegee

    • @alickomsyani3900
      @alickomsyani3900 3 года назад +1

      Acha ubwege kwa nn watu wa wcb mnapenda mabifu

    • @simonnembomadola7512
      @simonnembomadola7512 3 года назад

      @@alickomsyani3900 Tunaleta bifu hadi Mond mwenyewe anamkataa baba yake mzazi iwe bifu na watu wengine mbona hiyo ndogo tu😀😀😀

    • @joseboyjj8768
      @joseboyjj8768 3 года назад

      Kwan wcb ndo nn jaman

  • @safariadrien5348
    @safariadrien5348 3 года назад

    Ivi yule dogo alikua nae busy miaka miwili imepita yuko wapi? Walikua namuita makaveli sijuwi

  • @peterlupenza873
    @peterlupenza873 3 года назад +2

    Mzee umekula jumba la usalama wa taifa..

  • @agnessjames6533
    @agnessjames6533 3 года назад

    Mh

  • @ayoayoo1222
    @ayoayoo1222 3 года назад

    Mbosso alienda WCB baada ya yamoto kuvunjika

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 3 года назад +7

    Diamond anajifanya mzur kwa jamii but ndani roho mbaya.

    • @web2.095
      @web2.095 3 года назад +1

      Yamoto walikua wameshatawanyika

    • @amanimanase5794
      @amanimanase5794 3 года назад +1

      Tegua kauli

    • @rademm8924
      @rademm8924 3 года назад +2

      Roho mbaya ipi mbona kasema ye peace and love.
      We endelea na kina my wako

    • @yumnasuleiman
      @yumnasuleiman 3 года назад +3

      Wew mwenyeo unaroh mbaya na kinyongooo juuu 😏

    • @mohamedmatogoro4067
      @mohamedmatogoro4067 3 года назад +3

      Ww alikufanyia iyo roho mbaya

  • @artemisneoy9596
    @artemisneoy9596 3 года назад +5

    Huyu Diamond anajifanya tu mwema. Ila ni roho chafu

    • @samsonbabalao4158
      @samsonbabalao4158 3 года назад +2

      Kwani wew una roho nzr kila binadam hana roho mbaya

    • @yumnasuleiman
      @yumnasuleiman 3 года назад

      Samson bablaoo kabisaaa

    • @bonifacemeela5247
      @bonifacemeela5247 3 года назад +3

      Kasaidia vijana wengi ndo maana kizuri kinapendwa na wengi

    • @ashamohamed1461
      @ashamohamed1461 3 года назад +1

      @@samsonbabalao4158 usikute ndiyo mbaya zaidi Bora ata yamondi anasaidia binanaadamu wenzie

    • @davidjoseph9776
      @davidjoseph9776 3 года назад

      @@ashamohamed1461 🤣🤣🤣🤣

  • @eggysulle7988
    @eggysulle7988 3 года назад

    Nmkbl chege mno smpng

  • @benbranco3688
    @benbranco3688 3 года назад

    sasa ww ulihitaji kama nani sasa kaka angu,,mana pale yupo fela ulitegemea mbosso angetoka bila mboso kujua ha ha ha

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 3 года назад

    Munawai ku comments ili muwe wa kwanza ndo mana muna comments upuuzi sikilizeni kisha ndo mu comments wapuuzi nyie 🙄

  • @rashidisalum3163
    @rashidisalum3163 3 года назад +2

    Chege ww mnafsi kiazi ww fanya kazi acha shobo,kwakuwa umepwa show una leta shobo

  • @jumakiatu.628
    @jumakiatu.628 3 года назад

    cHeGe.uNa.miAkA.aLuBaiNi.nGaPi.

  • @vincentcharles4385
    @vincentcharles4385 3 года назад

    Non sense