CHADEMA KINONDONI WAIJIBU VIKALI CCM NA TAMISEMI/ TAKUKURU WAGONGA HODI, WAGOMEWA, WATOA MSIMAMO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 32

  • @RichardbituroMakole
    @RichardbituroMakole 2 дня назад +9

    Jambo tv mnajitaidi sana hongereni

  • @MenAbdy-ct1iz
    @MenAbdy-ct1iz 12 часов назад

    Safi sana liwalo naliwe

  • @JonasNzemya
    @JonasNzemya 2 дня назад +4

    Hii ndio Tanzania ya leo

  • @festoclassic4386
    @festoclassic4386 2 дня назад +1

    CCM hawana nia nzuri ktk nchi yetu wanachokifanya wanapeswa kuona haibu kwan huu ndio ishara tosha kua awawez kutuongoza tz.

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 2 дня назад +1

    Huu sasa ndio wakati wa kuchukuwa maamuzi magumu hakuna kukimbia inchi wamemwaga mboga sisi tutamwaga mboga

  • @makobamasawemangu4122
    @makobamasawemangu4122 2 дня назад +6

    Kwamala ya kwanza naona misimamo ya Chadema ninayoifahamu

  • @kilemilyimo
    @kilemilyimo 2 дня назад +3

    Tuko pamoja.
    Tutapambana hadi mwisho.
    MUNGU YUPO NASI.

    • @hajikatanje5961
      @hajikatanje5961 2 дня назад

      Hawa wote ni walafi kama ccm nyie kila mwaka mnaonewa ila chaajabu kwenye uchaguzi mnaeende kwanini hiyo inchi msiwaachie ccm wapinzani mkajiondoa sisi wenye akili timamu tumesha wachoka hatutaki kusikia vilio wana inchi

  • @SelemaniKadiwa
    @SelemaniKadiwa 2 дня назад +2

    Hili swala la kuengua wagombea eti wanakosa kujaza fomu nashauri tume ya uchaguzi iandae fomu ya mfano ambayo inakidhi na ni sahihi ili kusitisha KABISA kadhia hii inayojitokeza kila mara

    • @denisnjaila2182
      @denisnjaila2182 2 дня назад

      Baba Mungu wa mbinguni waangalie wanaodhulumiwa haki zako na uwatahayarishe na kuwaondoa wote wanaonea wenzao na walaaniwe na vizazi vyao Amina

  • @festoclassic4386
    @festoclassic4386 2 дня назад +1

    Niwahakikishie ccm na serikali kua wananchi tumechoka na uhuni wenu

  • @MenAbdy-ct1iz
    @MenAbdy-ct1iz 12 часов назад

    Na wenye watoto chini ya miaka 18 usisubutu kuja kupiga kula sho rako

  • @festoclassic4386
    @festoclassic4386 2 дня назад

    Ukweli kua CCM wanaogopa sana uchaguzi kwakua wanajali wananchi matumbo yao

  • @festoclassic4386
    @festoclassic4386 2 дня назад +1

    Ccm watuache wananchi tuchague shida ikowap

  • @MenAbdy-ct1iz
    @MenAbdy-ct1iz 12 часов назад

    Kwani tanzania nijambo to tv zingne ni ccm

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 2 дня назад

    Siwanasema ccm wametekeleza Kwa asilimia kubwa sasa Wana wasi wasi Gani waache masanduku ya kura yaongee

  • @ZiggysebahZiggysebah
    @ZiggysebahZiggysebah 2 дня назад

    Kulikuwa na malalamiko kwingi, lkn hata waziri mhusika kimya!! Ni shida

  • @MenAbdy-ct1iz
    @MenAbdy-ct1iz 12 часов назад

    Mbona watendaji watakimbia ncchi ii mwaka uu

  • @HellenNkwera
    @HellenNkwera 2 дня назад

    Ccm tumeichokaa kwanzaa imezeekaa miaka63 ikale peshenii 😂😂

  • @KandidoLuvanga
    @KandidoLuvanga 2 дня назад

    Washamba wanatuchelewesha maendeleo waondoke nafigiiyao mudawao umekwisha

  • @juliusbrightmziray2564
    @juliusbrightmziray2564 2 дня назад

    😂😂😂😂 Nyinyi mnataka ???! Acheni mchezo na serikali kabisa !!!

    • @HAWAMBARUKU-t5d
      @HAWAMBARUKU-t5d 2 часа назад

      Ww kweli ni kiazi! Kwani serikali ni kitu gani? Mambumbu kama ww ndiyo mnaopelekea hii nchi kuwa gizani

  • @justinemaingu1460
    @justinemaingu1460 2 часа назад

    Ivi Ccm mmekaa madarakani toka enzi za uhuru wa nchi yetu kila kitu ni chenu, sasa mnahofu na kitu gani ktk uchaguzi mpk mnawafanyi fitina vyama vya Upinzani???????

  • @StephenMpallange
    @StephenMpallange 2 дня назад +1

    TAKUKURU inahusika nini na Programs za CHADEMA?Wao si watafute wenyewe taarifa zao.Wachunguze Wagombea wa Upinzani kuenguliwa bila sababu za Msingi,je hakuna harufu ya Rushwa kwa Wasimamizi Wasaidizi?TAKUKURU waende huko wakachunguze.

  • @LameckMbele
    @LameckMbele 11 часов назад

    tumefika pabaya sn Afrika show ukiona yanayoendelea ni aibu kubwa sn na laana

  • @kotei-s3l
    @kotei-s3l 2 дня назад +2

    Safi Sanaa kiongozi makofi kwako ya comment 👏👏👏👏👏👏👏🫱🫲✌️✌️✌️ 21:31

  • @JekobuNgwara
    @JekobuNgwara 2 дня назад

    Wezi nitamisemi alafu wanachangiisha mppaka dalasa 1 na lapili 1000 kila mwezi ccm niwexi

  • @LucianSanga
    @LucianSanga 2 дня назад

    Musipambane Mwacheni MUNGU Mkipambana Mutachapwa Virungu Mpaka Mkome

  • @RichardbituroMakole
    @RichardbituroMakole 2 дня назад +1

    Mjasiriamali ni mwizi?😄😄😄😄😄✈️

    • @TheodoraAnatory
      @TheodoraAnatory 2 дня назад +1

      WANAJITEKENYA NA KUCHEKA WENYEWE. MJASIRIAMARI ANATAMBULIWA NA SERIKALI, ALAFU ANAKANYAGWA NA SERIKALI NA KUONEKANA SI KAZI HALALI, MUNGU TUSAIDIE

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 2 дня назад

      ​PAMBANENI PAMBANENI. BALOZI NCHIMBI KATOA GREENLIGHT KUTOKA KWA MWENYEKITI WAKE