Hizi ndugu zangu kweli marehemu ataandikishwaje na atapigaje kura ccm tumuogope Mungu ccm wakumbuke kuwa ndio wana Raisi na mawazili mpaka leo wafanya aibu hii ya kuwandikidha haya ndio wasimamizi walienda kufundishwa semina kweli watendaj fanyen haki Mungu atawalaani Kwa hilo na mheshimu majina ya waliokufa.
Hongereni sana Wana ngorongoro Kwa mwamko wenu ✌️✌️✌️
Safi sana
Noma sana hadi wamasai wameshtuka
Mungu akupiganie kamanda
Xafi sana tuko pamoja mimi niko monduli