TAMISEMI USO KWA USO WAJIBU HOJA NZITO, HATUA STAHIKI KUCHUKULIWA | KUANDIKISHWA WATU HEWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024
  • Facebook: / earadio
    Twitter: / earadiofm
    Subscribes: / @eastafricaradio

Комментарии • 35

  • @RhodaKibona-w9j
    @RhodaKibona-w9j 3 дня назад

    Majibu yote,yaliyosahihi,anayo
    Mungu,mwanadamu anayechukuwa nafasi, ya
    Mungu kwa namna yoyote,
    Naamini
    Mungu,atawajibu,maana yeye ni hakimu wa haki,siku zote,hawezi kubadirika kama kinyonga kamwe!!!!

  • @RhodaKibona-w9j
    @RhodaKibona-w9j 3 дня назад

    Bila
    Mungu unaweza kuishi!?labda kamawewe ulijiumba mwenye ,tunamtaja
    Mungu,kwa,sababu ni yote katika yote,pia tunataka Aman katila nchi yetu...

  • @HadijaJuma-u6f
    @HadijaJuma-u6f 4 дня назад

    N I meogopa sana kusikia neno "mungu," najiuliza tu hivi "Mungu" ataanza lini kuazibu pale pale kama kipindi cha Anania na mkewe.

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 4 дня назад +5

    WATANZANIA HATUFURAHISHWI NA HUU UJINGA HATA KIDOGO UJINGA HUU WA UENGUAJI KWA NINI ULENGE WAPINZANI TU?

  • @nabotingailo9547
    @nabotingailo9547 4 дня назад +2

    Anamtaja mungu.kwa.mambo.ya.uongo.kabisa.mungu anachezewa

    • @2514SRK
      @2514SRK 4 дня назад

      Mungu wa Kufundishwa

  • @mpendamema3694
    @mpendamema3694 4 дня назад +2

    Tieni moto nyumba zao moto kama kenya hadi warudishe rushwa walizopewa na samia,nyoosheni jamii zenu acheni kusikiliza manyimbo ya kudkezwa ,

  • @gililwise
    @gililwise 4 дня назад

    Mungu gani we mnafiki mkubwa naomba tu mungu akushughulikie

  • @JacksonMhali-s6o
    @JacksonMhali-s6o 4 дня назад +3

    Tatizo mfumo wetu wa uchaguzi is presidential control of electoral process inabid tuibadilishe

  • @BrightShumbusho-i4y
    @BrightShumbusho-i4y 4 дня назад

    Waziri TAMISEMI...haya yanayofanywa na watendaji wako wala hayafanyiki kwa maslahi yao. Kuna maslahi mapana ya ofisi yako kwani huwezi kuharakisha kuelekeza watu kukata rufaa bila kufatilia kwanini wasaidizi wako wamefanya makosa hadi wagombea wanalalamika?

  • @DerckSevelin
    @DerckSevelin 3 дня назад

    Sheria zinatungwa na wasomi alafu uamuzi wanapewa ambao hawajasomea Sheria pengine niwavivu wa kusoma kanuni za uchaguzi.

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 5 дней назад +2

    Watanzania wengi wanaumia kwani viongozi wao wanakatwa!

  • @ThomasMayombo-h1e
    @ThomasMayombo-h1e 4 дня назад +1

    Ukwel hakuna siasa yaushindan ktk nchi hii

  • @DominickSalumu
    @DominickSalumu 3 дня назад

    Kwann wao hawaengliw

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 4 дня назад +1

    Lkini kwanini wanasumbua wagombea wa chadema tuu

  • @peterantony5890
    @peterantony5890 4 дня назад +1

    Kesi ya tumbili haipelekwi kwa nyani.

  • @donaldbenedict5761
    @donaldbenedict5761 4 дня назад

    Tangu lini ccm mkachkuliana hatua? acheni uhuni angalieni msumbiji mambo yalivyo vurugu tupu nahii ni kwasababu ya hii figisu mnazozifanya

  • @clauschaula2050
    @clauschaula2050 4 дня назад

    Wanajiita makada wa chama tawala.Tendeni haki,acheni mizengwe mtaepeleka nchi pabaya.Epukeni maelekezo.

  • @staffordsilwimba7989
    @staffordsilwimba7989 4 дня назад

    Kufungwa kwa offices it is just a deliberate plan but remember God answer

  • @majidukalokola7253
    @majidukalokola7253 4 дня назад

    Nyinyi waandishi mbona hamjui kuuliza maswali? Inakuwaje mtu anayemkata mtu ndiye anayepelekewa rufaa?

  • @PatrickNgwaulanga-x2u
    @PatrickNgwaulanga-x2u 4 дня назад

    Chadema acheni kulalamika subilini siku ya kupiga kula mshugulike nao hapo mlipo

  • @issadassa6668
    @issadassa6668 4 дня назад

    Hili niagizo kutoka juu

  • @donaldbenedict5761
    @donaldbenedict5761 4 дня назад

    Hivi wagombea wa CCM pekee ndio wanahaki ya kuto kuenguliwa na wametimiza vigezo vyote maana cjasikia wagombea wa CCM kuenguliwa

  • @BakariIssa-nx3yf
    @BakariIssa-nx3yf 4 дня назад

    Apo amna uchaguzi ni ujingatu tanzania atuna tumeyauchaguzi

  • @GodfreyMwamaso
    @GodfreyMwamaso 4 дня назад

    Chadema ni kwanini mlikubali kuingia kwenye uchaguzi wakati kanuni hazijarekebishwa hao tamisemi ni wateule wa Rais na Rais ni mwenyekiti wa CCM na ndiye anayeteua wakurungezi sasa nyinyi mnategemea Rais atakuwa upande wenu?

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 4 дня назад +1

    Yaan anaongea kwa kurelax maana anajua kinachoendelea.Huu ni mpango unaojulikana

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn 4 дня назад

    Anayehojiwa ni nani?

  • @MwesigeMwesige
    @MwesigeMwesige 4 дня назад +1

    Hao wana fata maelekezo

  • @martinkisha6307
    @martinkisha6307 4 дня назад

    Refa ni ccm na ccm wanangombea mnafikiri wafanye nini

  • @wallacemngoma794
    @wallacemngoma794 4 дня назад

    Hivi mjasiriamali ni lazima awe na leseni au ni sababu za kijinga za hao wasimamizi washenzi wa CCM?

  • @JacksonMhali-s6o
    @JacksonMhali-s6o 4 дня назад +1

    Poor leadership

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 4 дня назад

      Maovu maovu maovu tu. Mungu hatawaacha waja wake. Hivi wanajua maana ya haki kweli. They don't even know what is on the ground

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 4 дня назад

    Mavi ya kuku we mwandishi achana na mbogamboga bana

    • @JacksonMhali-s6o
      @JacksonMhali-s6o 4 дня назад

      @@rebekakulwa6159 ujinga miongoni mwetu unafanya tusiendelee tuwe na fikra pana kuhusu taifa usilete uchama Kuna mda inabid tuwe na msimamo wa pamoja juu ya maslay ya wananchi walichofanya wasaidiz sio sahihi