MBOSSO AMJIBU MARIOO "MIMI SIPENDI MTU MNAFKI,YANI UKIKAA KWENYE INTERVIEW UNANIONGELEA VIBAYA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 май 2023
  • www.youtube.com/@Wasafi_Media...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 125

  • @CrazyAnimals-gi6ou
    @CrazyAnimals-gi6ou Год назад +65

    Team mbosso likes zenu hapa✊🏾👍🏿

  • @babap-dn7wq
    @babap-dn7wq Год назад +28

    Mbosso ni mkali hadi kujieleza anaweza kuliko wote wasanii bongo

  • @saidsirya6716
    @saidsirya6716 Год назад +25

    Nilisema na narudia kusema, watangazaji mna UNAFIK sanaaaaaaaa... Mnalazimisha ugomvi. Mbona Marioo kaomba samahani 😮 Watangazaji wacheni UNAFIK

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Год назад +28

    Nakukubali sana Mbosso, umewaheshimisha Mama zangu wa Tanga ❤😅

  • @bayuumohamed9048
    @bayuumohamed9048 Год назад +19

    Mbosso is king 🤴

  • @medystarter
    @medystarter Год назад +18

    Hapo Kuna colabo soon Kuna track ya mbosso na marioo

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no Год назад +18

    MBOSSO alimfunika MARIOO ndio jibu dogo aliogopa kuaibika😂😂😂

  • @jacksonimbira6809
    @jacksonimbira6809 Год назад +4

    Mbosso big up champ ,u really know how to express yourself n respect is at its best keep it up bro ,jah bless from Kenya

  • @bienfaitkubuya5473
    @bienfaitkubuya5473 Год назад +29

    Mbosso is right
    and i do appreciate his work 🙏🙏

  • @Gody360
    @Gody360 Год назад +17

    Mbosso mtu poa sana

  • @boscokalu685
    @boscokalu685 Год назад +5

    Ok mm sio fun wa wasafi bt mbosso nkati ya wasani wakali east africa.....

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no Год назад +28

    Jibu ni kwamba Marioo aliogopa kutoa wimbo sababu aliona MBOSSO kamfunika

  • @YaGa60
    @YaGa60 10 месяцев назад +1

    Mbosso ni mkali sana tena marioo huenda ni nusu ya mbosso

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 Год назад +7

    Mbosso alimpoteza Toto Bad kweny izo collabo😂😂😂😂😂

    • @agnessnkandi5229
      @agnessnkandi5229 Год назад

      Unamjua vzr lakin Toto bad wewe!!? Kuna colabo gani ashawah kupoteana, mbosso ni mkali saaaana lakini kuhusu kumfunika kwenye colabo marioo bado labda Kuna miss understanding zngne tu

  • @DavidMbwilo-qk1bz
    @DavidMbwilo-qk1bz Год назад +4

    Huyu marioo haingii kwa mbosso hata robo na nyimbo zake za watoto mbosso ni mtunzi nyimbo zake ni za kiutu uzima na mtu yoyote anasikilaza ukichukua huyu hapa inameza nyimbo zote za marioo

  • @khadidjaabdi-hd8py
    @khadidjaabdi-hd8py Год назад +6

    Mboss acha makasiliko moyo utaumaaa❤

  • @starford
    @starford Год назад +3

    Mbosso kwa kuigiza namwaminia sana. Video zake hazichoshi, hasa zile anazokuwa peke yake

  • @princessnaji2370
    @princessnaji2370 Год назад +4

    Kweli ep yako kali sana

  • @abdallahmpahi2684
    @abdallahmpahi2684 Год назад +7

    Mamboo yaxhaixha lkn bdo mnaendelea kuyakuzaaa tuu😠😠

  • @AmaniSpaita
    @AmaniSpaita Год назад +1

    . ...Marioo motoo weweeeee.......

  • @nelsontunzo3710
    @nelsontunzo3710 10 месяцев назад +1

    Mariooo kaogopa angethibitisha uwezo wa mbosso

  • @lydi791
    @lydi791 Год назад +2

    Mbosso verry verry interview 🎉

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 Год назад +2

    😂😂nimependa hapo#pasindikizwi mtu kwenye utajiri 👍🇰🇪🇰🇪.....

  • @nassirabdallah3848
    @nassirabdallah3848 Год назад

    Mashallah kwa mawaidha mazuri ya kifo mwanangu sana Khan

  • @ibrahimkihiyo4825
    @ibrahimkihiyo4825 11 месяцев назад

    Nakubal sana Mbosso khan 💪🏿💪🏿💪🏿

  • @meryamreally2768
    @meryamreally2768 Год назад +1

    Nakubali mbosso ❤️❤️❤️❤️❤️❤️👏👏👏👏😂😂😂

  • @aayanmaroba6056
    @aayanmaroba6056 Год назад +8

    INAONEKANA MBOSSO ALIUA IZO NYIMBO

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no Год назад +1

      Umeona eee? Ndo jibu Hilo Kwa haraka haraka

  • @NdayizeyeAmina-pr3jl
    @NdayizeyeAmina-pr3jl Год назад

    Mashaallah Allah akujalie kheri

  • @arjsmedy8467
    @arjsmedy8467 6 месяцев назад

    ❤ Nakukubal sana tuu

  • @muntueric-oy1ty
    @muntueric-oy1ty Год назад +35

    Marioo ni kama Harmonize... Wanafki na roho mbaya...😂😂😂

  • @BuraK-bk9iw
    @BuraK-bk9iw Год назад +1

    *ukweli ni kwamba huo mziki marioo alifunikwa na mboso ndomana hakuutoa* 😂😂😂😂😂

  • @ayubuamsonjr9437
    @ayubuamsonjr9437 Год назад +3

    Marioo msifananishe na uo utoporo wenu😢

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no Год назад +4

      😂😂😂wakati alifunikwa kwenye collaboration akaogopa kuutoa wimbo

  • @Sk-20017
    @Sk-20017 11 месяцев назад +1

    Respect 👏👏👏👏👏

  • @majaliwasiraji-sz6pg
    @majaliwasiraji-sz6pg 10 месяцев назад

    Nakubali king

  • @user-qm4td9it1b
    @user-qm4td9it1b 11 месяцев назад

    Mbosso anajuwa kuimba kiukweli ni Lovix kutoka Congo

  • @Slavaboy254
    @Slavaboy254 Год назад +1

    Baranaba my best friend 👋👋🌟

  • @Maryam-vj1rb
    @Maryam-vj1rb Год назад +2

    Mboso 👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻

  • @raymondmuga7542
    @raymondmuga7542 Год назад +2

    Media za siku hizi uswahili sana ndio contents, Hawa vijana wote ni wakali, mbona mnawachochea maneno?

  • @chadrackkasereka9910
    @chadrackkasereka9910 Год назад

    Mboss verry verry

  • @deodatusfussi3145
    @deodatusfussi3145 Год назад +3

    Nimeona marioo kaomba msamaha siku 2 zilizopita, sasa inapofikia mtu kaomba msamaha c inamaana amekubali kosa ndio maana kakili. Ningekuwa mm nisinge jibu baada ya marioo kuomba msamaha

  • @joyterrohl789
    @joyterrohl789 Год назад +1

    Huyu jama Hana akili 🙄

  • @m___ck799
    @m___ck799 Год назад +10

    Marioo anawivu na Mbosso. It is obvious..anajuwa huyu mtu ana natural talent 😅😂

    • @nahimagingo1289
      @nahimagingo1289 Год назад

      Wivu 😂😂😂😂kwa kipi sasa

    • @m___ck799
      @m___ck799 Год назад +3

      @Nahima Gingo Wee shut it...Mbosso habari nyingine..huyo Mr Amapiano anakingine cha kuadd kwenye mziki wake? Et best lyricist in the industry 🤣

    • @nahimagingo1289
      @nahimagingo1289 Год назад

      @@m___ck799 just wait and please stop crying poor baby okay 😆

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no Год назад +1

      @@nahimagingo1289 wew unakataa nini? Marioo alifunikwa akaona Bora apuuzie tu

  • @cattovan_tz228
    @cattovan_tz228 Год назад +4

    MWAMBIENI MBOSSO ABADILISHE NGUO KILLA SIKU HIZO HIZO

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 Год назад +5

    Maroo usiwajibu hawa wanataka kukupoteza kwenye kiki kaa kimya ushaomba msamaha inatosha kaa kimya

  • @yahomeshopllc5950
    @yahomeshopllc5950 Год назад +1

    Mimi nataka mufanye ngoma na harmonize njoo nda kukubali kama wewe huna bla bla bla na wasani.

  • @abdulazizabdulrahman8573
    @abdulazizabdulrahman8573 Год назад +2

    Mmae uyo aliempoteza htr cyo kwa mavi ayo

  • @nahimagingo1289
    @nahimagingo1289 Год назад +9

    Acheni kupost vitu vya zamani mbwa nyie mnalazimisha ugonvi echeni usenge wenu mnakela 🤬🤬🤬

  • @MichaelNgowi-nc3vn
    @MichaelNgowi-nc3vn Год назад

    Mbosso khani

  • @yassadabrown871
    @yassadabrown871 Год назад +1

    Marioo asaiv yupo juu mboso mtoto mdogo sana marioo kapambana toka dar kugumu mpka leo marioo ni mshindi na mziki anajua sana

  • @adamhamisi6161
    @adamhamisi6161 Год назад +6

    Mmeona marioo kashajibu ndo mnapandisha hii interview hapa mnataka mabishano na marioo

    • @rockygappi1018
      @rockygappi1018 Год назад +2

      @Adam Hamis..Marioo akijibu na hii atakuwa zaidi ya mjinga maana yeye ndo'alianza kulikoroga sasa awe mpole tu..afunike kombe mwanaharamu apite

    • @rahmaidd1246
      @rahmaidd1246 Год назад +1

      Kipind kisharuka kwenye tv

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no Год назад

      Kwani wew unampangia?

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 Год назад

    Sasa si ushaombwa msamaha au, yaishe basi dogo na dogo mwenzio mpatane, au hamuon kama mziki unakifa polepole. 😢

  • @clinton_leen
    @clinton_leen Год назад

    Kilungi yuko makilometer saaana mbali na toto bad

  • @kiddybrown7154
    @kiddybrown7154 Год назад +3

    Marioo ushakuwa star..unafanya vizuri kwenye industry.sasa magombano na mtu kama Mbosso inakushukishia Hadhi mkubwa wangu.heri ngekuwa unabishana na akina Harmonize basi...wasanii wa bongo mbona hammuigi Diamond.Kasemwa mangapi na anafanya kazi zake bila majibizano!!!!?

    • @user-ke2xk8wd6y
      @user-ke2xk8wd6y 8 месяцев назад

      Ww mshamb 2 level za yamoto bend ni tofaut na izo za yamoto kiberit

  • @jumahatibu9240
    @jumahatibu9240 Год назад

    Hawa wana wimbo

  • @user-cz6je2gx7q
    @user-cz6je2gx7q 9 месяцев назад

    Mbosso nikweli watu wanapenda wajione wazuri kuliko wengeni wewe usifatane Nao chapa kazi yako bloh

  • @officialflameboy2548
    @officialflameboy2548 Год назад

    APA baba Kuna mchezo unaofanyika Kua makini

  • @mbunah255
    @mbunah255 Год назад +2

    Wasafi wana ng'ang'aniza bifu ya mbosso na marioo mbona marioo aliomba msamaha mbona hawaja zungumzia hilo kma umegundua hili nipe like.

  • @user-lk2uf2hh7v
    @user-lk2uf2hh7v 11 месяцев назад

    Mario sio WA mchezo mwacheni tu

  • @stevenmeshack467
    @stevenmeshack467 Год назад

    Mapianoo ni uchafuuuuuuu

  • @samwelpaul6944
    @samwelpaul6944 Год назад

    acha kulia lia ww

  • @user-dc5jy4lm2f
    @user-dc5jy4lm2f Год назад

    😂😂

  • @achawanunetv1167
    @achawanunetv1167 Год назад +3

    Naona unajitowa ufahamu eti aumushindikizi mtu kwenye utajiri. mbona uko unamshindikiza Diamond P kwenye huo utajiri ?

  • @CrazyAnimals-gi6ou
    @CrazyAnimals-gi6ou Год назад +9

    Team marioo likes zetu hapa ❤❤

  • @KamanaMangolwa-xe8de
    @KamanaMangolwa-xe8de Год назад

    Marioo yuko juu babu

  • @user-lx4lw8wz9o
    @user-lx4lw8wz9o Год назад

    menina aupendezi umeka kiwiziwizi

  • @user-vr4no9fx5t
    @user-vr4no9fx5t Год назад

    p

  • @calvinshirima2654
    @calvinshirima2654 Год назад +7

    Analazimisha bifu na mariooo

  • @user-jh8fk5dp5g
    @user-jh8fk5dp5g Год назад

    Wewe mboso kitobo tu labor ndio ina kubeba bila yah WCB ungekua kwenu kijichi una vuna nazi mshamba wewe msenge wa fela

  • @ibni_H2TL6r
    @ibni_H2TL6r Год назад +3

    Sijui ni macho yangu ama nimevuta bangi nyngi ila mbosso usoni wamempiga sana make up adi unaona sura yake ina rangi ya njano

  • @sofiaissamkandama2742
    @sofiaissamkandama2742 Год назад +6

    Wasafi mnafosi bifu na marioo , marioo ameshawaacha hao wote mnaomlinganisha naye yeye saivi yupo top 3 acheni kumlinganisha na mboso

    • @user-gy5zi9we7i
      @user-gy5zi9we7i Год назад +3

      Kwa hiyo wewe unasema marioo anamshinda mbosso kimziki??

    • @hajjiomary2383
      @hajjiomary2383 Год назад +2

      Nafikili awezi jibu ilo swali

    • @sofiaissamkandama2742
      @sofiaissamkandama2742 Год назад +3

      @@user-gy5zi9we7i numbers zinaonyesha kuanzia digital platform Hadi mtaani Hadi club , yaani saiv unatamtaja mond , harmonize anafuata marioo na soon atawapindua wote hyo ndo fact

    • @AmmarHaidary-dt6zp
      @AmmarHaidary-dt6zp Год назад +1

      Hatusemi kwamba marioo ni mbovu lkn co wa kumfananish na mbosso dada yangu n kwamb tu marioo amekuw na ngoma nying this time na mbosso alikaa kmya kdg uwez wa mbosso n mkubw na upo kokote marioo hizi amapiano nazo znatuchosha kwakee abadilikee tushamkariri Sasa

    • @paulntalima6998
      @paulntalima6998 Год назад

      ​@@sofiaissamkandama2742 ww mwehu kabisa alikiba unamwacha wapi Hamo Bado mdogo mno ukimtoa mond,kiba,rayvany,mboso,zuchu,marioo ndio hamo anakuja

  • @bukulutheboss5141
    @bukulutheboss5141 Год назад

    Sio kakuongelea vby ww mnafka sana pmj na Team yenu yotee ya wcb

  • @nahimagingo1289
    @nahimagingo1289 Год назад +4

    Kwani amna abali nyingine

  • @ShashuDeBrown-xd7mi
    @ShashuDeBrown-xd7mi Год назад

    Usijifananishe na marioo wenzako wanakudanganya wanakwambia uwena bifu na marioo mwenzako anafanya mziki wa kimataifa

    • @zeddymourice4249
      @zeddymourice4249 Год назад

      🤣🤣🤣🤣🤣tutajie mmoja wakimataifa,huyo mbosso kishakichafua mbele huko,mdogo wetu marioo kakiwasha wapi?

  • @migosmigo8099
    @migosmigo8099 Год назад +3

    Hawa madogo hawako serious....stupid

  • @theeKK101
    @theeKK101 Год назад +1

    I like your courage mbosso.come and participate in our series.naona unapenda acting sana......

  • @Dalas5
    @Dalas5 Год назад

    Kuna sharuh khan..mbosso khan..Amir khan hao wote wanaweza ni moto