MBOSSO afunguka kitakachotokea DIAMOND akimchukua ASLAY WCB na lini kitakachomuondoa WASAFI - Part 3
HTML-код
- Опубликовано: 30 янв 2024
- Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
play.google.com/store/apps/de... - Развлечения
Mboso khan Mr Selemani.
Like zishuke wadau
Mbosso unakumbuka fadhila. Unaheshimu watu na kazi na ulipofikishwa. Lugha zako zina Utuu. Malezi mazuri God bless you.❤🙏🏾
Mbosso kaongea ki utu uzima, ila yy ni Giant kwa sasa na anaweza kuwasaidia wenzake.He is a Giant in the industry, na nadhani anaweza kuwarudisha wenzke kwenye chati.Ingawa sio jukumu lake, ila its a business opportunity kupitia yy
Point❤
Giant ni aslay
Ola mwamba giant n Aslay
@@nassirswaleh1740nadhan hamjamuelewa uyu jamaa kwa sasa mbosso yupo juu kuliko Aslay
@@bhm675angesemq ivyoooo sasa
mama na baba wamelea mungu akungoze kaka usibadilike utafika mbali mno kwa nguvu zake
Nimependa Sana kumsikia Mbosso mwenyewe kama watafanya heart Song pamoja na Ashle najuwa watauwa Sana
AKA BACHUCHU Mombasa 001
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
MBOSO UMEKUWA BRO❤❤
Mboso he is very humble anaongea kwa hekima sanaa hadi raha kikubwa upendo fanyeni mpango jamoto band mrudi tena aisee mashabiki zenu tutafurahi sanaaa🥰
Mbossso khan unazungumuza vizuri sana Kuliko wasani wote tz
SELEMANI we n Noma 🔥🔥
Kwale tunakupenda xna SELEMANI 🔥🎤
Let diamind bring together the 4 yamoto band together in his WCB n he will see how blossom they will be...Mboso, aslay, bela n enock
@janjaz: you may be right but the rest of the group have people pulling them ears deceiving theme the can do it on their own while many years has passed since they separate and their names is almost be forgotten
@@svt3 l feel they have matured enough n gone thro situations, now they shld make their own decisions for their benefit and l feel being together under good n established leadership like WCB can help them bring back their mantle. They deserve the reunion coz it made them big.
@@janjaz you are right
What a sweet interview, mbosso is so humble and respectful big up sana kwake mob love from Mombasa
Safi Sana mbosso, ❤usitoki wcf ukawa kama wangine
wcf
Respect Mbosso usikwe kama yule fara anjita jeshi nahajui kupiga lisase....
yeah umeongea point kabisa
He's so mature and i love his interviews
Apo sawa Bwana mboso mafans uko kenye tunaeza furahia sana yamoto wakirusha tofali ata kila mwaka mara moja
Yaani mkirudi pamoja team yamoto band mm naacha kufatilia wasanii wote nafatilia nyinyi tu,,,,nawapenda snaa mkiwa pamoja
khan anajua sana kujibu maswali,very humble guy
KHAN Himself🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌
Mungu Abariki yamoto Band irudi 🔥🙏
Kilungi kweli wewe mtu mzima maana unaongea kibinadam sana mwanetu chukuwa maua yako ishi miaka mingi na ufanikiwe zaidi🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺
Naqbal mbosso for life!!! Unajua sanah kaka natumaini siku moja tutakutana
Kitu kizuri sana. Mbosso ana roho nzuri sana.
Mbosso Ana Hekma na Iman MashaAllah
Brother sky ingekua bora zaidi kwenye vipengele hivi muweke pert 1 2 3 ili iwe harisi kwa mtazamaji ku fuatilia story kwa mtiririko
Aisee interview safi sana zaidi ina upendo. SNS mko juu maswali safi, majibu safi🇹🇿🙏
Pure humble man
Mbosso unajua kuongea upande wa mziki umeshauri waimbaji, na sisi wafanya kazi piya umetupa ushauri ❤❤ yaaani nikuchapa kazi mpaka boss anasema bro umezeeka inatakiwa ujitegemeyee hapo nimefurahii kabisa❤❤
Rudianeni nyimbo zenu zime pendwa sana mpaka wazee vikongwe wadada wamama wababa mpaka watoto yamoto band loo ilikua mbali Sana sijui ni shetani gani alingia Kati hebu kaeni ki utu na undugu mfanye kazi yamoto band tuna wapenda Sana Sana rudianeni tena wi misss you brother's
I love this guy
Mm pia nachukia sana kuona mko tofaut nilikua nawapenda mkiimba pamoja kwakupokezana
Mbosso is a good STORY-TELLER
💯
Safi sana mbosso napenda sana nyimbo zako
Mkirudi kuwa pamoja wale watoto wa fella mtakuwa mmewauwa kabisaaa maana wao wenyewe wanaiga mpaka sauti🤣🤣🤣
Kenya tunapenda mbosso sana.
Mbosso fanya umludishi mwanetu ulingon twamumc sana aslay fnya ivo kaka
Bundala anamuangalia mbosso kwa jicho la upendo sana,kama mdogo wake ampendaye sana na alimmis sana,big up sana.much love
Kama si harmonize bongo musicians bado wangeendeleya kulia na diamond kua anawabaniya wasani wa kitambo....mumshukuru sana harmonize kwa kutoka wcb kinguvu na kutobowa vituko vya huko...amefunguliya njiya wengi na kumbadilisha utu diamond
Wow!! Nice story yaani mbosso kakomaa sio wale wamajigambo wakiitiwa interview #BIG UP BROO❤❤❤❤
Mbosso ni mtu poa sana, anawaza mbali atakua namafanikio sana, anajua 🔥
Selemani ndo mtu pekee alie umia sana yamoto kuisha😊
Saaana asee kweny Kila interviews he must speak about yamoto band
Salute sana brother sky en especially mbosso nice interview na unjua kipi unaongea na wakati gani! Hata ukaondoka bado fadhila itakuepo sisi ni wanadamu #shout out mbosso#mushedede
Kenya yes
Mbosso sikupingi
Dah kwaiyo mbosso wasafi huondoki hadi 😊 wakuchoke
Umetumwa.....
😢😢😢😢
M from Kenya and I really love yamoto itakuwa sawa if mngekuwa na ngoma mbili ama tatu kwa mwaka ya YAMOTO band
Hio ya kwale ilikua noma kweli kweli...hsdi mm nilikua apoooo....selemani❤❤❤❤
Sawa mbosso 👏👏👏❤️❤️❤️❤️
Love u mbosso ❤❤❤❤
Good Attitude and Character Mbosso . #respect #hekima
mbosso good sana DG
Napenda hi team sana keep up
Mboso tunamkubali sn too much love from Bungoma🥰🥰
jamaa linamaakili sana, afu busara sasa🙌🙌🙌
Mbosso namupenda sanaaa akuje kutuvite Rwanda ndiye muimbaji napenda sana in afric
King khan be blessed more 🙏 🙌 ✨️ much love❤
Mungu akubariki Mr khani
Sky Huwa ana entertain saana kufanya interview na mbosso niliona ya mwanzo na ya mwaka huu
Itakuwa vizuri sana
Bless
Good interview
Alafu .Unakitaja sana kifo..ipo siku watu Watatumia hii Vedio ..Kulinganisha Na Kifo Chako😢.Ukiwa Haupo Tena duniany
Kwani wewe huwezi kufa?
Dogo ana jua kujieleza❤❤
Alo Mbosso wewe unamoyo sana na waogo zako kinyama na ndiomaana ya UDUGU
Kweli tunawapenda sanaaaaa
Hey,,,,Yamoto band irudi uwanjani,na iyo song inakuja kati ya mbosso na Aslay tunaitegea sana kama mafans,,,erickoo kutoka Kenya Nairobi
👏👏👏👏👏👏👏 safi sana balikiwa mbosso
🎉🎉 Heshima Yako Mboso
Nakuelewa sana
Humble
Moto 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wakenya enyewe tunamtambua mbosso.🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
We khan gala sana et ulisainiwa kama kusaidiwa hahahaha
Yah kaongea ukweli wake
From Nairobi zuri sana
Man like mbosso 🙌🙌🔥🔥
Yes buz
Wakiludisha muunganiko wa mboso na aslay ktk wasaf hapo watatisha kinoma saaaana
KILIFI IS AMONG THE 47 COUNTIES IN KENYA BRO SKY..UKITOKA MOMBASA KUELEKEA MALINDI NDO UNAPITIA KILIFI ALAFU MALINDI IFUATE LAMU
Mboso❤
One love mbosso
akilinyingi
Mbosso mshedede
Karibu Tena kilifi 🎉🎉🎉🎉🎉
Kugombana haimanishi ndo mwisho wa upendo,,, mbosso ana upendo WA dhati
Kweli sasa anafikilia sana
Nawatambua wadongo wangu
Mbosoo khan❤❤❤
Mbiso is good artist
Point👏👏👏👏👏
Missed your music
Good
Kama utakuwa unaongea kutoka moyoni , mungu hakuongoze zaidi
Safi sana
Ndio kwetu kilifi,na show nlikua apo
Kuna wasanii wana Akili kama uyu mbosso .
Leoo ndo nimekuona naskiaa tu sauti yako ukisimuliaa nakuchambuaa
Mbosso we nimkali kabisa
Amusheni group la motor bands ❤❤❤
Bro mtu mzima sana
..busara unayo kaka
Waiting for Yamoto band...
Mboso ana storii😂😂 havimbii anavibe