Это видео недоступно.
Сожалеем об этом.

Watu Wa Mungu Hawaozi/ Majini Hawajui Ghaibu Ila Elimu Ghaibu Wanayo / Sheikh Walid Alhad Omar

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 июн 2023
  • Watu Wa Mungu Hawaozi/ Majini Hawajui Ghaibu Ila Elimu Ghaibu Wanayo / Sheikh Walid Alhad Omar
    Mashaa Allah Sheikh Walid Alhad akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Watu Wa Mungu Hawaozi/ Majini Hawajui Ghaibu Ila Elimu Ghaibu Wanayo / Sheikh Walid Alhad Omar
    usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
    Support us DARSA TV
    M-PESA +255 765100906
    Paypal 👇👇👇👇
    paypal.me/Dars...
    Get MORE of DARSA TV:
    ► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
    ► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
    ► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
    Subscribe
    Comment
    Like
    And
    Thanks
    Tu follow katika social media zetu
    Facebook @Darsa tv
    Instagram @Darsatv
    RUclips @Darsa tv
    TikTok @Darsa tv

Комментарии • 13

  • @mariamkai2705
    @mariamkai2705 Год назад

    Mashallah mawaidha mazur

  • @rukiahassan3444
    @rukiahassan3444 Год назад

    ALLWAH AKUBARIK SHEIKH UZIDI KUTUZINDUA

  • @hadijasufiani6167
    @hadijasufiani6167 Год назад

    Allah akuhifadhi shekh walid nataka mwanangu aje kusoma quran kwenye madrasa yako naomba nitumie namba yako tuweze kuwasiliana inshaallah

  • @swalehali2757
    @swalehali2757 Год назад

    Barakallahu fiikum ustadh wangu....ukija mombasa kwa mhadhara sitokosa kuja kukuona...qulubi 3aarifina lahaa uyuunin❤

  • @mwassamwassa7264
    @mwassamwassa7264 Год назад

    Ushabiki wa dini mbaya sana,anawadanganya mbumbumbu nao wanafurahia.huu mwili tulionao lazima uoze maana asili yake ni hapa duniani

    • @jamalkishangu
      @jamalkishangu Год назад

      Mwasa: Hunikani ni mwanamke au mwanaume, je wewe ni Muislamu? Kama ingekuwa Muislamu ungejua hiyo ndio haki.

    • @alyanibalbila
      @alyanibalbila Год назад +1

      Unateseka ukiwa wapi

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 Год назад

    Huyu ndo shekh alosoma
    Sio alhadi mussaa kutwa makanisani

  • @mussakimwaga4645
    @mussakimwaga4645 Год назад

    Hiyo heading hawajui ghaibu ila ekimi ya ghaibu wanayo
    Tafauti iwapi hapo maneno yanajigonga

  • @thegreenkhidhir3705
    @thegreenkhidhir3705 Год назад

    Kwa iyo kwa muda huo wa mwaka alikua hali chakula, hakutani na wake au ndugu zake na bado hao ndugu, watoto au wake hawajajisumbua kumchunguza au kumsogelea....inaingia akilini kweli mfalme na nabii mkubwa wa aina ya Suleiman afe kisha watu wake wa karibu wasijue kwa muda wa mwaka mzima!? Wakati Rais Magufuli hajaonekana wiki tu hadharani watu wakaanza kujiuliza maswali kuna nini kinaendelea, sasa Nabii Suleiman ambae ufalme wake haujawahi kutokea eti kafa mwaka mzima umepita watu hawajui ha ha ha...hii ni kuikejeli Aya za Mungu na Mitume wake, we are not serious at all! Uelewa mbovu wa aya mutashabihat😂

    • @budumahmud1008
      @budumahmud1008 Год назад

      Sawaa umeshinda

    • @thegreenkhidhir3705
      @thegreenkhidhir3705 Год назад

      @@budumahmud1008 wala sipo ktk kushindana, dini sio mpira au siasa.

    • @moneyyousuph3230
      @moneyyousuph3230 11 месяцев назад +1

      Watu wa pangoni na mbwa wao??????? ,
      Mambo yote ni ya MUNGU na ndiye mwenye KUWA, AMRI, Na SHANI .
      Big up Sheikh WALID