Rich Mavoko rasmi WCB, kasainishwa rasmi leo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025
  • Mwimbaji wa bongofleva Rich Mavoko amesaini rasmi kuwa chini ya lebo ya WCB ambayo inasimamiwa na Diamond Platnumz akiungana kuwa chini ya lebo na wakali wengine ambao ni Raymond na Harmonize.

Комментарии •

  • @assadmajaliwa2524
    @assadmajaliwa2524 8 лет назад +3

    naipenda cruu hii atar
    uku babu tale kule babu fela, Hapa salama, duuu nishida san
    diamond, rich mavoko, raimondi, harmonize, duuuu shiiiida san apo

  • @majiddaud6099
    @majiddaud6099 8 лет назад +1

    Karibu sana kwa watu wa kazi #WCB
    I hop 2mor namm nitakua hapo

  • @shabikinambamojawabexycath2898
    @shabikinambamojawabexycath2898 8 лет назад +1

    hongera sana kwa mavoko na platnum kuwa pamoja kazin mungu ni mmoja

  • @hassankayla4076
    @hassankayla4076 8 лет назад

    Hongera sana team nzima ya WCB nimefurahi sana

  • @hasanikimela8836
    @hasanikimela8836 8 лет назад +1

    hongera simbaaa kwa kuikuza bongo fleva

  • @halimambwego8287
    @halimambwego8287 8 лет назад +1

    Haya tumeelewa mchukueni na miror... Hongera zenu pigeni kazi

    • @estherwangare1322
      @estherwangare1322 8 лет назад

      wamchukue Hawa sasa Yule binti ana sauti na mashahiri. ....plz wasifi

  • @deniswitman2959
    @deniswitman2959 8 лет назад +1

    hongera rich mavoko na diaomond kwa hilo ni jambo la heri sana bongo flaver itafika mbali kwa umoja wenu wasanii.

  • @saidsuleiman1644
    @saidsuleiman1644 8 лет назад +1

    Hongera kwa muungano wenu

  • @ashagrills1319
    @ashagrills1319 8 лет назад

    karibu chama lawasafi ililinaitwa mwendo kasi hatamajilani maisha yakiwashinda karibuni wasafi chama lamwendo kasi

  • @makangangereza3517
    @makangangereza3517 8 лет назад

    thanks diamond for this WCB

  • @muhanjiabisai5890
    @muhanjiabisai5890 8 лет назад

    Safi saaana naona Maaafisa mbalimbali wa WCB wakifanya yao katika kuhakikisha wanalifikisha bali Gemu

  • @othanielchola3360
    @othanielchola3360 8 лет назад

    Tambariza mziki mavoko nakuaminia

  • @alikalimbo2855
    @alikalimbo2855 8 лет назад

    kazi njema maa braazaa mwahitaji pongezi

  • @calvinmwita6257
    @calvinmwita6257 8 лет назад

    Nawakubali wote Aiseeeeeeeeee hapa WCB tu

  • @babucaptainmtabilwa3324
    @babucaptainmtabilwa3324 8 лет назад

    Gud one simbaaa

  • @saidsuleiman1644
    @saidsuleiman1644 8 лет назад +1

    Hongera

  • @ondari
    @ondari 8 лет назад +1

    hongeraa

  • @braisonmadoya7134
    @braisonmadoya7134 8 лет назад

    wow! datz ma lebo

  • @othmanabdallah1817
    @othmanabdallah1817 8 лет назад

    shukrani brother millard

  • @saulimwakyusa3859
    @saulimwakyusa3859 8 лет назад

    mavoko pamoja na kusain hapo ngoma yake yakawaida mno kwanza cjaikubali

  • @catherinendewa7863
    @catherinendewa7863 8 лет назад

    great!

  • @saimmabula3442
    @saimmabula3442 8 лет назад +1

    Then Work

  • @jeniphergerald7987
    @jeniphergerald7987 8 лет назад

    it doesn't matter what you do in life! sometimes it matters where you end up in life.
    Keep do what you believe is best.

  • @marckafwimbi8309
    @marckafwimbi8309 8 лет назад +2

    Hapo sasa ndo nimeamia rasmi kuwa mshabiki wa WCB

  • @barakachawe6241
    @barakachawe6241 8 лет назад +1

    Mafundi wanazidi ongezeka... ndan ya WCB

  • @marthamusoma1082
    @marthamusoma1082 8 лет назад

    big up

  • @paulmwarabu6685
    @paulmwarabu6685 8 лет назад

    WCB mko poa sana, mtaikuza sana sanaa ya Tanzania, ila inabidi muww na mtu wa itifaki (protocol officer) ambaye atawashauri nani atafanya nn na nini kifanyike wakati gani wakati wa press conference. kwamfano hapo microphone hazikutakiwa kuondolewa, ila mazingira yalitakiwa kuandaliwa vizuri kwa kusain mkataba na wasanii kuzungumza, nipeni kazi hiyo, mimi ni mtaalamu wa hayo mambo

  • @ericksunday2920
    @ericksunday2920 8 лет назад

    Safi

  • @kimutattoo4067
    @kimutattoo4067 8 лет назад

    Naam WaSaNii Na Lab£l imesimama Cha muhimu KAZI Na R£sp£ct viwe Ndo Msingi Wa Kilakitu...Big Up Wcb.

  • @felisterdavid7165
    @felisterdavid7165 8 лет назад

    penda sana WCB kazi njema

  • @khadijawendomwachirenje3513
    @khadijawendomwachirenje3513 8 лет назад

    SIMBAAAA NA WANAWE

  • @damianchikawe3016
    @damianchikawe3016 8 лет назад

    gud

  • @muhanjiabisai5890
    @muhanjiabisai5890 8 лет назад

    Diamod Platinum amejitahidi sana kuufanya mziki kuwa kitu Rasmi na chenye heshma yake, yaani hapo kama vile mchezaji anasajiliwa kuingia kwenye Club kuubwa sana ya soka

  • @ndurunyungu9711
    @ndurunyungu9711 8 лет назад

    ni zaid ya saf !

  • @rehemasharriff7494
    @rehemasharriff7494 8 лет назад

    nakupa kongole rich mavoko kk wa nguvu.diamond meno ziliharbk na ugoro akavaa zakubadika mudomo kama bebe huo

  • @zulfakasrani2450
    @zulfakasrani2450 8 лет назад

    mbona Qboy ama simsanii wa WCB

  • @isackhomwa4522
    @isackhomwa4522 8 лет назад

    hapo chachaa

  • @happyqueen5417
    @happyqueen5417 8 лет назад

    WCB (WEMA CHIBU ------------------------------😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @zainabuwanja
      @zainabuwanja 8 лет назад

      😂😂😂 you win baby

    • @happyqueen5417
      @happyqueen5417 8 лет назад

      +Zainab Wanja 😂😂😂😂😂😂😂😂help me to find the meaning 4 WCB????

  • @judithnawire9050
    @judithnawire9050 8 лет назад

    sasa wewe nawe Wema ametokea wapi

  • @RoseMary-hp5bz
    @RoseMary-hp5bz 8 лет назад

    d huyo nyuma yakk nani maan iyo nguooo aibuu

  • @jedan0920
    @jedan0920 8 лет назад

    @millard Ayo. my dear sometimes you have to translate in english as well, cause you have alot of english speaking followers. Ok sweetie. Thanks alot.

  • @shaacirmilionea9408
    @shaacirmilionea9408 8 лет назад

    This is a bitch ideal but Mavoko smart move Nigga make some money I hope Ali Kiba doesn't end up in their that will be a bad reputation for him 💯.

    • @estherwangare1322
      @estherwangare1322 8 лет назад

      shindwe saitan in the name of God ...Ali ni kipenzi cha watu nahatakuja kujiunga nao riswe

    • @halimambwego8287
      @halimambwego8287 8 лет назад

      +Esther Wangare kuusemea moyo ni mzigo

    • @faykian5682
      @faykian5682 8 лет назад

      +Esther Wangare haaaaa

    • @faykian5682
      @faykian5682 8 лет назад

      shair don't u know wat All signed a deal of milions which will help his career 5yrs from now

    • @auntmariam8966
      @auntmariam8966 8 лет назад

      kiba ajiamini na twamkubali xnaaa.