Party ya kumkaribisha Rich Mavoko WCB
HTML-код
- Опубликовано: 10 фев 2025
- WCB walifanya party nyumani kwa Diamond Platnumz kea jail ya kumkaribisha msanii msanii mpya kwenye lebel hiyo ambae ni Rich Mavoko na pia kumkaribisha mke wa kaka yao Ricardo Momo
Nani anawatch saa hii after mavoko ku-resign gonga like
Richard mavoko anaweza
wasafi mpo juu sanaaaaaa!!! Diamond unawakilisha vzr tz,safii
I'm here because of rich...much love bro
watta great time u make! welcome to the world bro mavoko
ver nice bro kwa newz za hapa na pale...salute
that respect only for rich mavoko .....WCB ni team ya ajabu sana hongereni mnoo rikadomomo have cute wify
upitwi mama.wa nyumba kumi kweli
Lizzie mutunga nipitwe nichekelewe na makunguru kkkkkkkkkk
😂😂😂watoto watundu sana hawa wallah
Am here 2023 to remember the love between Diamond,Rich Mavoko, Harmonize, Rayvany whom everyone owns his label now
perfect combinations it is.. big up wcb
Balaaaa full shangwee hivi richmavoko hii surport kwako ni somo zuri tu hapo yani ni full maupendo karibu sana wcb
I love to see TANZANIAN MUSICIANS THEY'RE TOGETHER.
Gud sana platnums wcb ni njema i seee
I also have to work harder to rich were this guy are big up bro
nampenda sana queendarlin hanaga tabia ya kujishow show kwamba yy ni dada wa msanii mkubwa tz!! sasa ngoma ipo kwa ndugu Ethimaziii yaan ad sisimiz zinajua
kumbe na wewe umeliona hilo
n dadake nani
mpaka rahaa yaan daah mdumu daimaa upendo furaha mafanikiio viwe nanyiee nawapendajeeeee
Hongera sana mkaka Dunia hiyo sasa.
Richi mavoko ujakosea karibu sana chama la wasafi chama lamwendo kasi
Ray Unanimaaliza nataka leo leo#Jokate
All the best WCB i pray for you.
mavoko welcm hom,
big Up 👊 wcb
Mond wachungulia Mali yawenyewe haha😂😂😂😂😂😂
MAVOKO ANAIMBA KUMBE MPAKA DAI ANAJUA MASHAIRI,,ISHU NI USIMAMIZI
Mizang dua tu mung awazdshie
Duuuuh diamond sio pow kbsa mbona mbeaa jmn kuchungulia keki za watu midomon
may Allah guide to u in de right path DAT only I can say
Ameen Ya Rabb
hilo big g kweli lilitafunwa
hawakiwezi kichwa cha kiba ni noma sana
soooo NYc team wcb blood
Nani anawatch 30/9/2019
diamond kakunja uso vile alisikia wema heheh 5:11
wcb ni goliat,na ally kiba ni daud,mtaisoma tu!
diamond give us a remix na rich mavoko
Atari sana Na Kissinger juu
Siiiiimbaaaa baba laaaoooo
I'm so happy
daimond mbea wachungulia tabia nzuri
WCB manyapara wa hii bongofleva
....
nataka nibadili yangu ratiba/kwangu isije leta msiba/nitoke Wasafi niende kwa KIbaa/...diamond eti yaaaaaaaaaaaaaaah
Welcome mavoko
WCB kiboko kabic daahh yaani nyie hakunaga Mk nyie nimeipenda cn ongera Richard mavocco
ivi ni nyimbo gani on 4:17 diamond alipolishwa keki?
drαkє ft wíz kíd σnє dαncє
big up WCB
wasafi noma
Nice
peace and love wcb so mwaaaaaaa
hongera mavoko
What song
diamond wa chungulia nn 😂😂😂😂
ray vanny jipu😂😂😂😂😂😂😂😂😂
karibu mavoko
You see how diamond platinums was piping
i like this bash
Kumeingiliwa ktk party hhh
jamani WCB siwatu wa sport sport
sure full maupendo
noma sana
Wasafiiiiii
nice
4 now tunasema zilipendwa***
wcb for life
amazing party
they are so adorable...
very nice family.
mmeona kigoma cha ukaeee
Huo wimbo unaocheza kuanzia 5.20 ni upi?
natafuta kiki wa Raymond
asante Lizzie mutunga
+laluvamadola welcome any time
good
Ali kiba jeshi LA MTU moko mtaisoma tu
Boooohhh
boooooooooohh
we utakua umejinyea tu na si vinginevyo ,kachambe kwanza
umeonaeeee noma sana ally k
PAMOJA SANA ,KULENI BATA WANAA , ACHENI MISTARI KWA WEMA BHANAA
Mlipendeza sana by Amidu boy classic
waiting for actions
WASAFIIIIIIIIII
.hatari
Kula raha kufa kwaja
SAFIIIIIII
kikoc cha musinga
WCB kiboko
Duuuh
😋
K drama
ver nice bro kwa newz za hapa na pale...salute
ray vanny jipu😂😂😂😂😂😂😂😂😂
nice
WCB kiboko