Hawajui chochote, mimi mtalaamu wa majengo tena Ulaya, hao wameiga tu Nyumba za Ulaya bila kujua sababu hasa. Ulaya wanajenga nyumba za paaa ndefu kwaajili kushusha snow/marafu kwa urahisi lakini pia mvua ikinyesha maji yashuke haraka, Ulaya kipindi cha baridi maji yanaweza kuganda juu paaa ikajenga marafu/snow wengi mnajua maji yalivo mazito hebu fikiria matenki ya maji yenye ujazo wa lita 10, 000 umeweka juu ya paa bila kishikizo, snow au barafu ni maji sema inakuwa imeganda ndo maana inatwa snow lakini ni maji. Ukitaka nyumba yako isiingize joto ndani tumia matirio ya insulation ceiling kwenye paa na insulation wall kwenye kuta zako hapo unazui joto kuingia ndani lakini pia sauti au makelele nje usikii wala sauti za ndani hazitoki nje.
Ndicho ninachowashangaa; nchi haina snow, halafu wanajenga paa la pembe digrii sitini!!! Mimi ninakaa kwenye snow lakini mapaa yetu siyo ya angle kali hivyo, mengi yanaishingi digrii 45 tu; lakini wabongo wanaweka digrii 60 wanasema inapenedeza kumbe ni kukaribisha majanga tu wakati wa upepo hasa zile za vigae!

sawa kabsaa mm mwenyewe bıko huku huku ulaya sasa hiv
sis n wakukıpi tu hatujui 😊😊
Acheni wivu Azam Tiv kaona geita sehemu zingine hazipo
Hapo hakua hoja wala hakuna utalam wowote uongo
Waache usengerema maabat kama mibuyu
Ujenzi huu sio huko geita tu ni Tanzania kote kwa sasa watu wanajenga viduku
Paa la uhakika nl la vigae siyo bati nionavyo mimi
Kumbe ni nyumba mbaya kwa upepo
Nyie wasukuma achen ushamba huo upauwaj sio mwanz tuu inch nzima nani kawadanyan kuwa ni mwanza tuu ndizipo 😀😀😀😀😃😃😃
Mbona hio zanzibar zipo mda sana huko ndio wanazumbua Leo dha
Labda hamjafahamika
Mihogo
Wasukuma 😂