mm nashangaa idd amiii alikuwa kama traoree fatiliyaa histiriii uwoonee nyerere wala hakupigana vitaa alien da kuibaa tuu iddiamini hakutaka kuuwa watu wake aliondoka kaondokaa kaenda saudiyaa
Shida niwe ambao hujuwi M23 inapigania tatizo Gani kama wewe nimu Tanzania unaweza kuvumiria serekari uyache kabla Yako nyuma kama wewe ni munyecusa kabla mu ndali Tanzania ikisema wewe siyo mu Tanzania hatuwezi kukupa kazi undoka unaweza gusikia vip kwanza mutafute chanzo Cha vita hio
Wazungu wametulia tulii wanaangalia na ujinga wetu wenyewe kwa wenyewe tunagombana na icho ndio siku zote wanatamani kitokee ili wapate Nafasi ya kufanya yao daa tuna shida gani sisi lkn kwenye vita hawa viongozi na familia zao huwezi kuwaona kamwe wanakimbiza familia zao ugaibuni sisi uku tunapata tabu na familia zetu mungu bariki bara lako la africa 🌍🌍🌍❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏
Huyu mshenzi komesha yake ni kamanda kikwete.jeshi likiongozwa na General mwamyange mbona alishaadabu yake.kaa nchi ukubwa wake ni sawa na kigoma kukazingira ni maramoja tu.kamanda kikwete toa maoni yako kwa mama jeshi liende likasafishe uchafu wa watusi vibaraka wa wazungu
Na huyu ndie atakae tuletea vita kila kona ya Afrika Kagame asipokua makini Atajikuta hiyo nchi yote inasambalatishwa. Na hivi ni ndogo kama mkoa mmoja wa Tanzania 😢
Tuache ushabiki tuwaombee Hawa viongozi wa hizi nchi zenye machafuko waweze kufikia maelewano Kwani viongozi kushindwa kwao kuelewana kutapelekea raia wasio kuwa na hatia kuteketea Mungu wajalie maelewano Hawa viongozi na waepushe na machafuko yanayotaka kutokea
SADC iko wapi sasa? SADC(south Africa,Tanzania and Malawi)in GOMA wako wapi,Nani aliwafukuza? Kichwa empty ndio kinaguruma kama coins😂 Nani arifukuza wazungu(mercenaries)in congo?Kagame SADC inataka kugawana na muzungu half yake na half ya muzungu upumbavu 😢Kagame ataki kulea nyoka wagawane kesho yake imuume 🫡inataka Mari ya wafrica iwe yawafrica binafsi Kama alivyo vifanya in centrafrica republic Nyie wafrica tushirikiane kwa amani tujenge Africa yetu Kama Mwalimu alivyo tufunza 🙏🏽
@@makelemohuya2723 siyo mabebelu kama mna shindw kutetea aki yenu wenyew nani aje akutehe ifike wakati wa congo mtoke kishasa mkapigane uko goma kuweni na umoja acheni polojo mingi
Rwanda does not have the economic power and the weapons are 100% not capable of fighting South Africa, South Africa has great economic power and possesses dangerous weapons of destruction, the time has come for South Africa to taste it, even if it is a few drones, it is good that Kagame should not think or think that Rwanda It is a strong army in Africa.
Kagame vita na South Africa haiwezi hata afanyaje yaani labda aombe msaada tena wa nchi kubwa kama Nigeria hivi kinyume na hapo atasimulia hivi unadhani vita ni mchezo wa ngumi eeh...
Huyu mshua mwizi na yoeli wake, wanaiibia sana congo, kama vp kinuke tu. Haiwezekani watu waanze kuwa wakimbizi kwenye inchi yao sio sawa hata mungu hapendi kitu hiki. Kama nn kinuke tu.
Kagame nimkorofi kanchi kadogo kama mkoa kwanini mpaka leo hamjakasambaratisha kanavuna madini Congo kushilikiana na m23 kwanguvu za marekani East Africa what are you doing up to now bila kumsambaratisha bwege anasumbua watu kila uchao
Wote hao wanao ongea ukweli wanaujua hakuna anaye weza kujaribu kumpigia,sio kama sisi tunao comment by emotional,inchi kuwa strong kijeshi sio ukubwa wa eneo la mlaba,exp of Israel inapiga mataifa mangapi ya kiarabu ,ukubwa Rwanda inaizidi so stop make comments to praise yourself.
Kibaraka mkubwa wewe kagame sasa naona Randwa inakwenda kusambaratishwa kabisa hatutaki kukuona kabisa afrika mashariki wewe ni shetani mkubwa unawatesa sana ndugu zetu wa congo dawa yako ipo tayari mpumbavu mkubwa wewe😊
Kagame anadhani kuwa Rwanda ndo nchi yenye uwezo mkubwa wa kijeshi Africa, asithubutu kuichezea Africa kusini, Africa kusini ni moja kati ya mataifa yenye uwezo mkubwa wa kijeshi duniani na pia ina uwezo mkubwa wa kiuchumi, na akumbuke kuwa S.A wanamiliki siraha hatari za nuclear, unapoongelea South Africa hapo unaigusa Uingereza na Marekani, Africa kusini ndo nchi yenye drones nyingi za kijeshi kwa ukanda wa Africa.
Kagame ameingia kwenye 18 za mabeberu wanampindua kisailensa ila ajashtuka. iko ivi kagame kakaa kwa muda mlefu madalakani wanamuingiza vitani then wanamuacha apigwe ili waweke kibaraka mtiifu watakaemuendesha wazungu wajanja sana. Kagame ajashtuka hilo. Mm raia wakawaidatu nimeliona hilo.
Kagame amepandikiza wanajeshi karibia inchi nyingi Africa ndyo maana kagame anajeuri pia amenunua vifaaa vya kutosha sana pia nyuma ya kagame kunawatu wengi sisi tuendelee na siasa
Hakuna kitu kama hicho vifaa alivyonavyo yeye hakuna nchi ambayo hawana Rwanda amepamdikiza vibaraka uganda pekee na hata mke wa Museveni ni mrwanda kwa hiyo anategemea uganda ndio amsaidie 😂ila mda si mwingi utaona huyo mzee akipinduliwa maana hata kwenye nchi yake kuna watu wanamchukia ndia maana kuna muda alifukuza majenerali kibao wa jeshi kwa kuogopa kupinduliwa
Afirca kusini kwenye link za africa kijeshi ipo nafasi ya pili. Rwanda ipo nafasi yangapi??? Hii inaonesha jinsi rwanda itapoteza kisiwa chake mala Moja.
Jiurize na wewe Africa kusini uko fasi ya 2 ki jeshi mbona wamekaa almost 1 Year pamoja nawa Tanzania, Burundi...... Wamefanya Nini M23 imewapia vibaya mno mpaka sasa M23 inamatekwa wa jeshi la Africa kusini...... Upo?
KAGAME AKOSOWE WASIYE JUA JESHI LA RWANDA KALI MNOO PIA VILEVILE WA ACHE KUSINGIZIA RWANDA ETI IKO KONGO WALE M23 NI WA KONGO MAN WANAPAMBANIA HAKI YAO KAMA UNAAMINI WEKA LIKE
Uchumi wa Rwanda unategemea wizi wa Dhahabu na Mali ghafi nyingine kutoka DRC.Kagame hawezi kuacha Fursa hiyo hata kama Wanajeshi wake wote watauawa,pia ni Kinga'ng'anizi wa Madaraka/Dicteta
Kagame msenge wewe Africa ya kusini huta iweza wata kuchakaza vibaya mno ndani ya siku saba tuu mpumbavu mkubwa ww umezoea vita unaitia dosali sana muungano wa Afrika mashariki unatakiwa kutengwa kuanzia sasa
Nyie Watz ambao hamjawahi fika Rwanda mnaona Rwanda ni ndogo ndio, ila wamejenga Jeshi imara sana, hata kwa JWTZ wanaopena kazi kwa kujuana kwa RDF hawawezi fua dafu, lile Jeshi limetengenezwa na vijana wenye uwezo na kazi unapata kutokana na juhudi zako jifanganyeni sasa
Kagame wewe ni mwamba upewe mauwayako🎉🎉🎉🎉 hutaki ujinga ❤❤❤❤❤
Huyu mbwa tuu
Mauwa Gani anauwa watu uyo
Mvimbisheni kichwa tu,akiangushwa msimkimbie
Huyu KAGAME hana tofauti na IDDI AMINI DADA ana roho mbaya sana anajiona yye ni kila kitu
Tatizo ni kongo kuendekeza chuki za ukabila wale m23 kongoman wenyeasili rwanda tuna waganda kisongo wanaongea kinyarwanda,
kwani Iddi Amini kafanya kipi kibaya?
mm nashangaa idd amiii alikuwa kama traoree fatiliyaa histiriii uwoonee nyerere wala hakupigana vitaa alien da kuibaa tuu iddiamini hakutaka kuuwa watu wake aliondoka kaondokaa kaenda saudiyaa
Shida niwe ambao hujuwi M23 inapigania tatizo Gani kama wewe nimu Tanzania unaweza kuvumiria serekari uyache kabla Yako nyuma kama wewe ni munyecusa kabla mu ndali Tanzania ikisema wewe siyo mu Tanzania hatuwezi kukupa kazi undoka unaweza gusikia vip kwanza mutafute chanzo Cha vita hio
@@fadhilamour836 ahsante Kwa swali Zur bila y shaka atatupa majibu y kina
Nilikua najuatuu kunakampangoapo tangia ilesiku uingereza walisema watawapeleka wahamiaji Rwanda kumbe nivijeshi vyao wanaolao jambo
Wazungu wametulia tulii wanaangalia na ujinga wetu wenyewe kwa wenyewe tunagombana na icho ndio siku zote wanatamani kitokee ili wapate Nafasi ya kufanya yao daa tuna shida gani sisi lkn kwenye vita hawa viongozi na familia zao huwezi kuwaona kamwe wanakimbiza familia zao ugaibuni sisi uku tunapata tabu na familia zetu mungu bariki bara lako la africa 🌍🌍🌍❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏
M23 wapigwe waishe
Namchukia sana mbwaaa kagame
Wali sio congo umezoweya utapigwa vibaya sana jaribu kwanza😂😂😂 mudomo tu
Sawa ngoja ukomeshwe tuone kiburi chako kiko wapi
Inabidi Congolese army liingie ndani ya Rwanda alafu aone kama ukimbizi ni kitu kizuri.. Africa ni ndugu,,,,kagame anazingua sana
Huyu mshenzi komesha yake ni kamanda kikwete.jeshi likiongozwa na General mwamyange mbona alishaadabu yake.kaa nchi ukubwa wake ni sawa na kigoma kukazingira ni maramoja tu.kamanda kikwete toa maoni yako kwa mama jeshi liende likasafishe uchafu wa watusi vibaraka wa wazungu
Anamtegemea marekani na uingereza
Na huyu ndie atakae tuletea vita kila kona ya Afrika
Kagame asipokua makini
Atajikuta hiyo nchi yote inasambalatishwa. Na hivi ni ndogo kama mkoa mmoja wa Tanzania 😢
@@sarafinadotto8546Marekani hayuko naye .Jw inamchapa ajaribu aone.kipindi cha JK alisoma number. Samia akikohoa tu wamekwisha
Kwa Tanzania ni mgambo wa jiji
@sarafinadotto8546. Nende kanjywe maji yenye vugu vugu kisha lala vizuri, utapona baadae. Sabu una shida kichwani mwako
Tuache ushabiki tuwaombee Hawa viongozi wa hizi nchi zenye machafuko waweze kufikia maelewano Kwani viongozi kushindwa kwao kuelewana kutapelekea raia wasio kuwa na hatia kuteketea Mungu wajalie maelewano Hawa viongozi na waepushe na machafuko yanayotaka kutokea
Kwahiyo wakubari kuwa goma iwe Rwanda cyo
Huyu ni dictator kama Iddi Amini alichokoza na alipigwa kipigo Cha umbwa na kufukuzwa Uganda na kagame anahitaji kipigo kama hicho
Tunajua inch ya rwanda hatuna utajili wala mining ,but we have God
Achen ungese nyie,,achen wizi
😂😂😂😂😂haya kama ni kweli wanajeshi wenu waliokwenda Congo wako wapi?!!!
Wameisha wengine wametekwa na wazungu wamekimbia
SADC iko wapi sasa?
SADC(south Africa,Tanzania and Malawi)in GOMA wako wapi,Nani aliwafukuza? Kichwa empty ndio kinaguruma kama coins😂 Nani arifukuza wazungu(mercenaries)in congo?Kagame
SADC inataka kugawana na muzungu half yake na half ya muzungu upumbavu 😢Kagame ataki kulea nyoka wagawane kesho yake imuume 🫡inataka Mari ya wafrica iwe yawafrica binafsi Kama alivyo vifanya in centrafrica republic
Nyie wafrica tushirikiane kwa amani tujenge Africa yetu Kama Mwalimu alivyo tufunza 🙏🏽
S Sudan aripiga wazumgu centrafrica na Mozambique pamoja na congo😂😂😂
Kanatakiwa kapigwe sana haka
Apigwe na nani?mbona munaongeatu vipi ?tenda halafu ungee,sio unalupuka bila matenda,kkkkkkk......kagame
atawachezesha mpila, mtakoma
Kila nikitafakari kulikua na maana gani wakuu wa Afrika kukutana
Wakati sisi kwa sisi tunawapa nafas watu weupe kutufanya tupigane vita
Amedanganywa kua ana jeshi imara hana lolote mpuuzi huyo
Mwenye roho ni roho mbaya. Kwa nini kusababisha mateso nchi ya jirani?
Uyu mzee Noma anawapoteza sana viongozi wezie Yani kiongozi wowote wa África akijifanya anamsimamo uyu mzee anadili nae watu maghalibi ndo wanamtumia ;
😂😂😂 kagame umejua kunichekesha ,,,ukapigane south africa wewe khaaaa ,,,,hicho kisiwa chako kitasambaswa hutoamini,,,,za mwizi arobaini hutoamini 😂😂😂😂😂
May be u don't know who is kagame bro
Duuuh mbona una roho mbaya wewe !kinaco kufanya unatukana ivyo juu yanini?kwanza inaoneka hufwatiriii
Ivi huyu kuma anaijua South Africa huyo???
Anataka kufa kibudu
Anyukwe tu huyu
@Isaacmaurice-rf3sn yes we know what Rwanda is, the west proxy, puppet but all this is on Congo fault for not fighting
Ah, hichi kiru Wanda kitajibu nini mbele ya afrika kusini!! Aw, wazungu wa nataka kutengeneza iz raili nyengine ndani ya afrika? Eti eee?
Ila bahati yao nzuri wkt wa kurudishwa kwenu tz,vyombo vya habari havitaruhusiwa kama ulivyo tokea kwa wale wazungu
Kagame ana anajipiga kifua sana kembamba.haka.kanajiona.sana simukamalize
Kakatili hako acha tu
Wanatakiwa kupotezwa
Mna roho mbaya nyinyi duu
@shyakadenis5309 nawewe umo
@shyakadenis5309 hakuna kabila mukobgo wanyamulenge.kabila.zakongo.45. wanyemulenge walitokawapi mimi .nimuzaliwa lemera mupaka hivi.kakuna.munyarwanda mulenge mutala.aniwa na.mungu
Hapaaa mzee wangu raisi wangu aliongea kwa hasira sana,
Tunawasubiri waje waone moto 🔥🔥🔥🔥
Mm nataka mpgane tuone😂
A.S....unaijuwa kweli ama unalinganisha n Congo??..... okay wenye mtaumia n Wana inchi la Rwanda
@niyongabomadjaliwa1 wameshindwa na m23 😂😂😂😂
Kama nauona mwisho wa Kagame !!
😂😂😂😂 Wewe uwezi kupambana na sauth Africa utachakazwa
Rwanda itasambazwa
Huyu kagame anabipu vita anadhani nivita ya ukabila ajiulize kwanza
Uyo kagame amezeeka atawezana vita nawatu anataka kweli
Tuko tayari tuko taya Again ❤
Africa Africa Africa nakuita mara tatu tunakoelekea ni vita ya africa tupigane wenyewe kwa wenyewe wazungu wanatumaliza kiaina
Hakuna wazungu kwenye ujinga huu ni kumuambia wazi rwanda ndio adui wa africa
Mjinga kweli wewe , wewe bado akili yako imelala yani kila kitu mzungu
Kila kitu kina mwisho
Hayo ni maneno ya mfa maji kagame huwezi kupambana na Africa kusini hata nusu
Hata Congo walikua wakisema kama unavyosema
Tanzania,Africa kusini,Namibia nyine wote mmeaibika sema tu ni wagumu wa kukubari
Haya twambie vikosi vya Tanzania kuri drc sasa hivi viko wapi na zile siraha zao
East africa jesh atali ni rwanda na tanzania tu wengine mn shindwa kuhuwa ata mende asa congo wanacho weza kukata viuno tu
Wewe ni mpuuzi kabisa Rwanda ulinganishe na South Africa, inchi masikini na ndogo kama kijiji, sema mabeberu wako nyuma ya huyu nyamlenge
@@makelemohuya2723 siyo mabebelu kama mna shindw kutetea aki yenu wenyew nani aje akutehe ifike wakati wa congo mtoke kishasa mkapigane uko goma kuweni na umoja acheni polojo mingi
Kwan ana nini kwanini asichapwe
Rwanda will never win this war
Chetani anakdanganya sku atakugewuka utajuta mabaya tunayaripia hapahapa duniani
Nendeni Rwanda muone maendeleo yake yanayotokana na madini ya Kongo awa hawawez kukubali Kongo iwe na Aman hata sku moja
Tutawapiga sahivi watake watatoka wasitake watatoka
@Charleschacha7819. mtawapiga wewe na nani? We pambana na kupata riziki yako leo . Usiyajua kaa kimya kabisa. We bure kabisa😊
Rwanda and South Afrika hizi bangi mbingu na Anga wapi na wapi watapigania wapi?😂😂😂😂😂😂😂
Unajeshi Gani mbwawewe wanakuchekea ww Tanzania atuna viongozi wenye mamuzi magumutu ilikua nafasi ya kusafisha nyotaiii😂😂😂😂😂
Yaani namtamani acha
Jeshi rake rikoo kichwa it's means hakiri bro
Mzee vita haina udogo husijidanganye ata kidogo
marekani na ulaya wana saidia ruanda kijeshi na kumrinda kimataifa, kama israel mariki ya kati ndo maana abakuwa kibri.
Africa twafa na tunajiuwa wenyewe yan watu wanatuchechea sie twa checheleka kwann africa
Hivi hawa wanyaruwanda kwanini wasichapwe luwanda inatamba afrika hata hapa kwetu Alisha tupiga mkwala viongozi wetu wawe Malini na huyu mbwa
Rwanda does not have the economic power and the weapons are 100% not capable of fighting South Africa, South Africa has great economic power and possesses dangerous weapons of destruction, the time has come for South Africa to taste it, even if it is a few drones, it is good that Kagame should not think or think that Rwanda It is a strong army in Africa.
@jozamsolon4002. Stop showing your emptyness haed. Listen well what Julius Malema says about your..... shenzi kabisa
Karame juu and juu zaidi
Kagame hamumuwezi lafiangu,hata SA haiwezi kuotea nimanenotu .Jeshi la Rwanda liko fiti sio kama wengine wanaongeatu bila mazao.
vita co Ubondia Rwanda hana nchi ya kupigana vita ikiingia ndani ya wiki ndege na mizinga ikipiga rwanda yote inabomoka tofaut na wenzake
Kagame vita na South Africa haiwezi hata afanyaje yaani labda aombe msaada tena wa nchi kubwa kama Nigeria hivi kinyume na hapo atasimulia hivi unadhani vita ni mchezo wa ngumi eeh...
Aka ka baba kachokozi mimi nita katafuna masiyo sababu hakasiki kalisha vamiya burundi,Congo,kanaenda sauth africa
Burundi hakawezi kabisa kanafika kanayakanyaga
Pima we umbawe siba tanzania simuko pare nasake nao tumewapiga usiceze na simba we
Huyu kagame mdomo utamponza
Huyu mshua mwizi na yoeli wake, wanaiibia sana congo, kama vp kinuke tu. Haiwezekani watu waanze kuwa wakimbizi kwenye inchi yao sio sawa hata mungu hapendi kitu hiki. Kama nn kinuke tu.
Kbs kaka❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮👍
Wazungu wameshikilia remote control
Kagame nimkorofi kanchi kadogo kama mkoa kwanini mpaka leo hamjakasambaratisha kanavuna madini Congo kushilikiana na m23 kwanguvu za marekani East Africa what are you doing up to now bila kumsambaratisha bwege anasumbua watu kila uchao
Kweli kabs lazima Rwanda isambalatiswe 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🙏
Wanatumia akili zaidi so udogo si sababu mzee
@@Mpakauseme Siyo akiki zake hizo hapo lazima kuna wamarekani tu ndiyo wanampa kiburi
Rwanda huna uwezo wa kupambana na Africa kusini
Wote hao wanao ongea ukweli wanaujua hakuna anaye weza kujaribu kumpigia,sio kama sisi tunao comment by emotional,inchi kuwa strong kijeshi sio ukubwa wa eneo la mlaba,exp of Israel inapiga mataifa mangapi ya kiarabu ,ukubwa Rwanda inaizidi so stop make comments to praise yourself.
Iziraeri bira marekani na inchi za maghari kwani wananini??@@AlphonceTPeter
Wanyarwanda wari wapiga wa France iyo Africa kusini ninani iyekeze itawona hapa Africa mashariki Tanzania na Rwanda nihatari Kwa vita
@@MwanahAlly-c3m ko we unajua nyuma ya Rwanda kuna nani
You are sure? South African siyo binadamu?
We hawiyuwe kitu.
Mbona M23 imekomesha Warundi ba TZ na Malawi na FDLR na FARDC mercenary?
Mbona kakagame kanajali sana na wa congo aka kajamaa ibala
New Israel in Africa
Ramaphosa ni mujinga kama wazuruwengine mushenzi huyo
Kagame hawezi pigana na South Africa,,,atapotea Bure ,,pesa Hana atafanya warwanda kukimbilia Tanzania
Huu ndio uchizi wa viongozi wa kiafrika yaani vita yao vipo ktk migogoro ya wao kwa wao, mambo ya msingi aaaah nothing
nashaangaa sana yan africa wamvamie to
Kabla ya kupiga na south apigane na Tanzania akiwashinda basi ndo ajipime na south afrika
Daa
Mama yetu Samia anaweza kutumia wiki moja tu kukachapa ka Rwanda na kukachukua kuwa mkoa wetu wa Tanzania
Ngoja nicheke 🎉
Usiangalie ukubwa nchi, inaweza kuwa ndogo lkn ikawa na nguvu kubwa sana kuwashinda nyie!!! Vita ni mbinu!!!
Akili zakiwendawazimu, unafikiri vita inaudogo
Samia rwanda anaijua ni mwemye akili ule mama 😂😂❤❤ hawezi kuingilia kagame
Kibaraka mkubwa wewe kagame sasa naona Randwa inakwenda kusambaratishwa kabisa hatutaki kukuona kabisa afrika mashariki wewe ni shetani mkubwa unawatesa sana ndugu zetu wa congo dawa yako ipo tayari mpumbavu mkubwa wewe😊
Nikweli kagame ni giza ya kweli shetani wa kweli
Aya maisha aya yani hapo akuna chochote zaidi ya pesa tu maslai yao
Wazuri wa afrka kusini Huwezi kupigana nao
Wewe pambana na congo kuwaibia ,madini ,
Kagame anadhani kuwa Rwanda ndo nchi yenye uwezo mkubwa wa kijeshi Africa, asithubutu kuichezea Africa kusini, Africa kusini ni moja kati ya mataifa yenye uwezo mkubwa wa kijeshi duniani na pia ina uwezo mkubwa wa kiuchumi, na akumbuke kuwa S.A wanamiliki siraha hatari za nuclear, unapoongelea South Africa hapo unaigusa Uingereza na Marekani, Africa kusini ndo nchi yenye drones nyingi za kijeshi kwa ukanda wa Africa.
Kataifa kadogo hivi kanauwezo wa kupigàna na taifa kubwa hivi
Yupo tayari kuulisha wenziwe mana yeye hendi kwa nini jeshi msimuanze yeye kumpinduwa
Yani kagame ni mpumbavu Mmoja hivi, atakuja kupigwa na huo mkoa wake, maana sio nchi ni mkoa
Acha uongo kagane unaogopa??
Kagame hero of Africa ❤❤❤.
Hapo itaingia vitan brikc na ulaya niko palaee
Wakati umefika sasa apigwe hatuwezi kwendelea kuona watoto wadogo wanakufa kwa sababu ujinga wa mtu mmoja
Kwanini anateteya m23 na hawajuwani nam23 kagame nimuongo sana
😂😂😂chomwa wivu
Watu wembamba wana matatizo sana kujiamini kwingi walishaxoea kumwaga damu hawa
Wewe ni kibonge tipwatipwa
Kanafiki sana haka east afrika kanaikosesha amani😂
Sasa Rwanda sini kijiji Kwa African mbona anajidanganya huyu kagame.
Kagame out😄
Kwanini hayo maendeleo haonekani mwa DRC????
We shangaa kagame anauza nje dhahabu anatoa wapi 😂😂😂😂😂
We love rwanda and our president
Munawaza kupìgana ili wauza silaha mununuwe kutoka kwo halafu munataka marekane awatibu Raiya wenu mbona hamna Afya ya akili😊
Rwanda is smallest country to fight versus South Africa,,kagame will be defeated completely. South is more advanced in military,, Niko hapa
Huyu mwizi naona mwishowake utakuwa mbaya sana
Wamasai ni WA Tanzania au wakenya?
Aceni kutetea bila kuelewa kinacho endelea
Watu wanalingana hata wawe ni wadogo au wengi
Congo wajitahidi wakawakodi hammasi waje wapambane hao woote ni porojo tu
😅😅😅😅😂
Huyo bwana ni muhasirika na ukimwi wake unamuendesha vibaya.
😂😂😂😂
Kagame vraiment hein. Mais il souffre aussi déjà regarde la façon dont il parle sa prouve quelques choses.
Kagame anaota ndoto anaweza kupigwa na afrika kusini kwa dakika 3 tu
Kagame ameingia kwenye 18 za mabeberu wanampindua kisailensa ila ajashtuka. iko ivi kagame kakaa kwa muda mlefu madalakani wanamuingiza vitani then wanamuacha apigwe ili waweke kibaraka mtiifu watakaemuendesha wazungu wajanja sana. Kagame ajashtuka hilo. Mm raia wakawaidatu nimeliona hilo.
Kagame amepandikiza wanajeshi karibia inchi nyingi Africa ndyo maana kagame anajeuri pia amenunua vifaaa vya kutosha sana pia nyuma ya kagame kunawatu wengi sisi tuendelee na siasa
Hakuna kitu kama hicho vifaa alivyonavyo yeye hakuna nchi ambayo hawana Rwanda amepamdikiza vibaraka uganda pekee na hata mke wa Museveni ni mrwanda kwa hiyo anategemea uganda ndio amsaidie 😂ila mda si mwingi utaona huyo mzee akipinduliwa maana hata kwenye nchi yake kuna watu wanamchukia ndia maana kuna muda alifukuza majenerali kibao wa jeshi kwa kuogopa kupinduliwa
Haka kajamaa ka hovyo sana watoto wanakufa kwa njaa na wengine wanauwawa mimba zinatoka kifupi anawanyima watu haki ya kuishi lazima apigwe sahiv
Afirca kusini kwenye link za africa kijeshi ipo nafasi ya pili.
Rwanda ipo nafasi yangapi???
Hii inaonesha jinsi rwanda itapoteza kisiwa chake mala Moja.
Jiurize na wewe Africa kusini uko fasi ya 2 ki jeshi mbona wamekaa almost 1 Year pamoja nawa Tanzania, Burundi...... Wamefanya Nini M23 imewapia vibaya mno mpaka sasa M23 inamatekwa wa jeshi la Africa kusini...... Upo?
Mbona hio Africa kusini pamoja na Romania wamekamatwa matekwa
@Muremyi waongo tu hao
KAGAME AKOSOWE WASIYE JUA JESHI LA RWANDA KALI MNOO PIA VILEVILE WA ACHE KUSINGIZIA RWANDA ETI IKO KONGO WALE M23 NI WA KONGO MAN WANAPAMBANIA HAKI YAO KAMA UNAAMINI WEKA LIKE
Rwanda nayo inajinadi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂!!!!
Uchumi wa Rwanda unategemea wizi wa Dhahabu na Mali ghafi nyingine kutoka DRC.Kagame hawezi kuacha Fursa hiyo hata kama Wanajeshi wake wote watauawa,pia ni Kinga'ng'anizi wa Madaraka/Dicteta
Kagame msenge wewe Africa ya kusini huta iweza wata kuchakaza vibaya mno ndani ya siku saba tuu mpumbavu mkubwa ww umezoea vita unaitia dosali sana muungano wa Afrika mashariki unatakiwa kutengwa kuanzia sasa
Akitoka kagame maisha yatakua poa
Nyie Watz ambao hamjawahi fika Rwanda mnaona Rwanda ni ndogo ndio, ila wamejenga Jeshi imara sana, hata kwa JWTZ wanaopena kazi kwa kujuana kwa RDF hawawezi fua dafu, lile Jeshi limetengenezwa na vijana wenye uwezo na kazi unapata kutokana na juhudi zako jifanganyeni sasa
Sisi ndo tuliwafundisha Rwanda hadi hapo ilipofikia. Kwahiyo usilete habari za kitoto hapa!!!
@MichaelMathew-j3f jidanganye Tz jeshi ni zamani sa hivi ni undugu
@smallscaleminingsupplies9670 hujui aise, mimi niko huku, tuna vitu vya hatari!
@MichaelMathew-j3f acha kuwapa moyo mkuu mi nimetembea sana Rwanda na Drc aisee Rwanda imeendelea sana Tz haifui dafu
Ingawa mi ni Mtz halisi
Yan English yako kama ya mwanangu wa form 1😅😅😅
Niaibu Kama Afrika wote watamuogopa kageme
Kataaa kagame kataaa rwanda adui wa africa
Mtu akizeeka hurudi utotoni hiv nikweli
Kagame huna uwezo juu ya hilo hao wanaokutuma watakuacha ukilia badae