USIKU HUU M23 WATANGAZA KUELEKEA KUUTEKA MJI MKUU WA DRC CONGO WA KINSHASA NA KUIANGUSHA SERIKALI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 янв 2025

Комментарии • 30

  • @JoakimMarko
    @JoakimMarko 6 часов назад +10

    Haka kamidia niii kanyoko aka ni tim rwanda aka. rwanda imepigwa mpaka kwao jisenyi sijui huko wanaita. Mnao kubali like basi

    • @faidamuhamed3011
      @faidamuhamed3011 Час назад

      Tunaionbea congo lakin sasa ukweli kwa sasa nadhani twendw e na huo huo kwasbb tiali tumeshaona reporters wakiripor live kutokea airpot kabisa sasa uwanja ukisha kamatwa niambie nini ziad

  • @markodaniel2662
    @markodaniel2662 48 минут назад

    M23 na Kagame huu ndo wakati wakwenda kuanguka vibaya mno.
    Lazima wapigwe na kuumia vibaya.
    Viva Congo viva wazalendo
    Congo inaenda kujitwalia ushindi dhidi ya adui zake wote

  • @makhanguwakhutu2408
    @makhanguwakhutu2408 4 часа назад +1

    Ni kweli congo isipotafuta urusi na Iran Hawa watachukua hii congo

  • @KilimoMichael
    @KilimoMichael 3 часа назад +1

    Wamenogewa m23

  • @BritonNdishi-g6o
    @BritonNdishi-g6o 3 часа назад

    Kweli Kuna dharau kikao ndani ya nchi ya mtu

  • @SundayMbatia-hr8qp
    @SundayMbatia-hr8qp 5 часов назад +1

    Hv nyie wasenge mnajua kutoka goma mpk Kinshasa kuna umbali kiasi gani?? Nyie media za uchochoroni mnajua kama hakuna barabara inayotoka goma mpk Kinshasa zaid ya ndege??. Au mkivuta tu bang zenu mnaandka chochote kile

    • @Montana12-v2c
      @Montana12-v2c 2 часа назад

      Sasa wanashindwa nini na uwanja wa ndege wameuteka wao

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 5 часов назад +2

    Ivi kweli tupo naserekali au akuna serekali ? 😭😭😭😭 niatari

    • @Mashami-w5
      @Mashami-w5 38 минут назад +1

      Gouvernment tribale

  • @JosephBilombelejosbimtungwa
    @JosephBilombelejosbimtungwa 3 часа назад

    M23 kutoka goma hadi kinshasa😂😂😂
    Hizi media zingine mmepewa pesa kufanya propaganda isiyofikirika
    Jinga nyie

    • @faidamuhamed3011
      @faidamuhamed3011 57 минут назад

      Vita si ukubwa wala wingi vita ni mbinu, na utayari mmm ninaimani kbx hata ndani ya jesh la congo wapo watu kabx wanafanya kz kwa ukaribu na m23 hii ndio maana mageneral wanakufa siajabu hadi kinshasa wako watu wanasubili tu maelekezo wa wenzao tu ili wafanye yao

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 3 часа назад

    Hivi majeshi ya Umoja wa Mataifa wanafanya nini

  • @kwizeracedrick-p6u
    @kwizeracedrick-p6u 4 часа назад

    Kukamatakinshasa.nisimutu.wengine.wakondaniyakinshasatayari.mupo😅😅😅m23❤

  • @GeremihJuma
    @GeremihJuma 5 часов назад

    Ufaransa zero 😡😠😡😠😡😠☝️😭☝️

  • @MkayulaDavid
    @MkayulaDavid 4 часа назад

    Haitwi kolonangai anaitwa korner nanga

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 4 часа назад

    Acheni uongo huo wa ibilsi,hawawezi lolote hao,Kinshasa mbali Tz mara mbili toka Goma

  • @Nojabz
    @Nojabz 5 часов назад

    Ivi iyi media kweli ? Mbano unatowa taarifa tafauti nawengine ?

  • @sumbulan
    @sumbulan 3 часа назад

    Yumkin

  • @Matalatala267.
    @Matalatala267. 3 часа назад

    Acheni usenge nyie ns habari za uongo pumbavu zenu

  • @MuhindoAkim
    @MuhindoAkim 3 часа назад

    🤲🙏🙏🙏💔

  • @mutabazijustin-x2v
    @mutabazijustin-x2v 5 часов назад

    Kundi ra Waasi kitoka wapi ? Hhhhhhh

  • @SundayMbatia-hr8qp
    @SundayMbatia-hr8qp 5 часов назад

    Kinshasa ni mji ambao auna barabara inayoingiza wala kutoa kwa maana ukitaka kwenda Kinshasa ni ndege au utumie mto congo tena upitie congo Brazzaville 😂😂😂. Yan hz tv za RUclips bhn😂😂😂

    • @Montana12-v2c
      @Montana12-v2c 2 часа назад

      Uwanja wa ndege wameuteka wao wanashindwa nini ??

    • @RaymondNjengo-bq1zc
      @RaymondNjengo-bq1zc Час назад

      Sasa si itakuwa vita vya anga je wanazo ndege vita au unafikiri watapanda ndege za abiria na kushushwa Kinshasa na kuanza vita​?tuwe realistic@@Montana12-v2c

  • @kwizeracedrick-p6u
    @kwizeracedrick-p6u 4 часа назад

    Wewendiemusenge bro kwani.mubutu.hawajamufatahadi.kishasa.upo.kabirababa.hajapinduriwakishasasa.upo.ama.ulala😂😂