Nilichokigundua Congo ni jeshi la DRC wapiganaji wanalipwa pesa ndogo sana kwa mwezi ambapo hata hawapewi chakula, mavazi mapya, posho hakuna wakati huo serikali hiyo hiyo ya Tshekedi inawalipa wanajeshi mfano wa ufaransa na ulaya $15,000 hadi $20,000 kila mmoja kwa mwezi, wa South Africa wanalipwa $9,000 kwa mwezi, wa Tanzania kiasi kizuri tena ila wazalendo wakwao DRC sio zaidi ya $100 hadi $250 kwa mwezi. Hii ndomaana wanajeshi wa Congo wamesusia kupigana na waasi kutokana na hali hiyo wameachiwa wanajeshi wa umoja wa mataifa, Sadc, EAC nawenginewo ambapo sio rahisi kwao kujua vizuri ngome za maadui. Vita hii inapaswa kukomeshwa mara moja maana wanaoteseka niraia wasio na hatia
Mungu awasaidie sana wakongo mnaporwa mali zenu
Kazi nzuri jeshi la Kongo na washika wenu
Africa nunca fue pobre son las guerras eternas
Mwenye Enzi Mungu anihurumie DRC jamani, eeh Mola Huruma zako zi shule kwenye hii nchi jamani 😢
Amani DRC
😊
Congo needs a better trained and equipped army. Pay them they will be motivated
and they ve finances to buy modern equipments to discipline those nyamulege
Nilichokigundua Congo ni jeshi la DRC wapiganaji wanalipwa pesa ndogo sana kwa mwezi ambapo hata hawapewi chakula, mavazi mapya, posho hakuna wakati huo serikali hiyo hiyo ya Tshekedi inawalipa wanajeshi mfano wa ufaransa na ulaya $15,000 hadi $20,000 kila mmoja kwa mwezi, wa South Africa wanalipwa $9,000 kwa mwezi, wa Tanzania kiasi kizuri tena ila wazalendo wakwao DRC sio zaidi ya $100 hadi $250 kwa mwezi. Hii ndomaana wanajeshi wa Congo wamesusia kupigana na waasi kutokana na hali hiyo wameachiwa wanajeshi wa umoja wa mataifa, Sadc, EAC nawenginewo ambapo sio rahisi kwao kujua vizuri ngome za maadui. Vita hii inapaswa kukomeshwa mara moja maana wanaoteseka niraia wasio na hatia
Rwandais on n'a pas besoin de ces genres de choses
Pamoja sana salaam za upendo kutoka kwa Watanzania
Ibi binamaliza siku nyingi mbera ya goma ihanguke
DRC has failed its people,
bongo yetu mulisha pigwa vibaya sana
😅😅😅 The last one was a game 😅😅😅
Vizur Sana wenzangu❤ machizi wenzangu nakubali❤
Toka muginga
Ahhhh punguza bange
Haduyi hunga😊
M23 iko njiani kukamata sehemu nyingine za Congo. Acheni ubaguzi
Bravo
Kuja goma uone kama cirimwami munasema bure😊
Sijawahi kumpata mpumbafu kama wewe! Kumbe unafikiri kwamba wa congomani ote tuko viwerewere kama wewe? Waca uongo wako tumepigwa vikari sana. Tafadhari Tchisekedi aketi pamoja na m23 wamarize maratizo yore tupate amani.
Mbona ya zamani hii umekosa ya kuposti? tunataka taarifa za sasa mjini goma
Biwere were kbs
Video zazamani mko mnajishudha ma bo gani hao mnaweka utani kwenye mapambqno!!!!???
Jama wako sierie nyie mngali mnafanya utani kaziyenu
Mungu awarinde Sana jeshi letu
Get the hell out of Goma
Your are kidding
Mungu aba tanguliye