Mgogoro wa DRC: M23 yatangaza mipango ya kuandamana kuelekea Kinshasa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • Tufuate kwenye Ukurasa wetu wa Facebook kwa kubonyeza link hii - / simulizinasauti

Комментарии • 171

  • @gracenizigama695
    @gracenizigama695 7 дней назад +19

    Africa to amke coz hawa wazungu wanatufanya tunauwana wenyewe kwa wenyewe 😢

    • @evelynemugeni2369
      @evelynemugeni2369 6 дней назад

      Uzuni

    • @mtei1104
      @mtei1104 6 дней назад

      Tuamke kuelekea wapi sasa

    • @melki_official9948
      @melki_official9948 6 дней назад

      Shida

    • @elijahaywago7274
      @elijahaywago7274 5 дней назад

      Rwanda ni wazungu toka siku gani? Rwanda na Uganda wanataka kuongoza Mashariki ya Congo toka 1990s. Mnalaumu wazungu wakati ni waafrika wenzenu mnajiua.

  • @georgekabaka377
    @georgekabaka377 7 дней назад +19

    Kumbe wako fresh tuu na raia basi mororooo😢😢

  • @IBRAHIMU-z2u
    @IBRAHIMU-z2u 7 дней назад +5

    M23 WANAMTANDAO MKUBWA SANA
    MAJESHI YOTE YAMESHINDWA

  • @SundayMbatia-hr8qp
    @SundayMbatia-hr8qp 7 дней назад +17

    Awawez kwenda Kinshasa sababu kutoka goma kwenda Kinshasa ni mbali mno yan utoke dar kwenda kigoma afu ulud tena dar. Na mbaya zaid jiji la kishansa hakuna barabara inayoingiza wala kutoa so ukitaka kuingia Kinshasa lazma upande pipa au utumie mto congo tena upitie congo Brazzaville

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 7 дней назад +3

      Sawa kama unahisi wanatishia Wacha tuone

    • @actuainternas
      @actuainternas 7 дней назад +4

      Kabila alifikaje huko?

    • @Jurbeg
      @Jurbeg 7 дней назад

      Umeongea upuuzi tokapa 😏

    • @EstaJeanette-nk7fj
      @EstaJeanette-nk7fj 7 дней назад +1

      ​@@actuainternas wacongo walio taka kumpindua mobutu ndo walimpisha aende

    • @mtei1104
      @mtei1104 6 дней назад +1

      Acha maelezo ya watoto hayo mzungu anapanda ndege anapanda Meri anakuja kuwapiga we iweje useme hawawezi kuvuka tu mkoa hvi nyinyi watu weusi nli logwa nanani manina zenu

  • @donaldmgunda4970
    @donaldmgunda4970 7 дней назад +9

    Hiki kikosi Cha m23 nakilinganishaa na Wagner Cha bwanaa putting kisipozibitiwaa,kinaweza Pindua Kinshasa 😢😢😢

  • @sindabahabwoyaanacret660
    @sindabahabwoyaanacret660 6 дней назад +1

    Glory to God haki itaishi milele Mungu awatie nguvu M23

  • @BwalyaLwipa
    @BwalyaLwipa 7 дней назад +7

    Saizi ni congo,urusi na Ukraine vime saulika,

  • @beckhambenson205
    @beckhambenson205 7 дней назад +7

    Hao m23 ndo wanangu sasa pamoja sana

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 7 дней назад +1

    Namuona semaji wa M23 willy ngoma mwamba uyooooo

  • @byoseasolokoci7257
    @byoseasolokoci7257 7 дней назад +3

    Washenzi sana hao

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 7 дней назад +9

    Hawa watu kwa muonekano kabisa ni wema ila wanadai haki zao pia wanaakili. Isipokuwa viongozi wetu ambao wamekuwa machawa wa china,uarabuni na urusi ndio wanajikuta wabinafsi lkn mungu pia hapendi uonevu mjue. Lazima watu wakae wazungumze wapate muafaka hawa ni waasi lkn mnawanyonya wapeni wanachotaka alafu muone kama wataendelea kuwa waasi!!!

    • @fadhilngalanda7520
      @fadhilngalanda7520 7 дней назад

      Nimekutizama kwenye page yako nimegundua upo na mapungufu yaan wale wanyonyaji na wasababishaji vita umewaacha wasiyohusika ndio umewataja kuna vita dunia hii ambayo America haijatia mkono?

    • @salumabdallah2990
      @salumabdallah2990 6 дней назад

      Nahisi wewe ni mmarekani mweusi😂

    • @malkavoice2570
      @malkavoice2570 6 дней назад

      @salumabdallah2990 mimi mbongo lkn mrengo wa magaribi. Ccm wanavyotupora si bora hata tuibiwe na mzungu aisee

    • @fadhilngalanda7520
      @fadhilngalanda7520 6 дней назад

      @malkavoice2570 yeeeeeeeeh yeeeeeeeeh YEEEEEEEEEEEEHHH we jamaa hao nao ni vibaraka tu wa hao wazungu chuma ndio kile kilichokufa yule angewepo ad leo nazan inchi ingenyooka haswaaa shida hakuandaa mbadala wake yaani alijuwa kuwa anawindwa ila mbadala wake ndio hakuuandaa

    • @HadijaRajabu-pr9di
      @HadijaRajabu-pr9di 6 дней назад

      ​@@fadhilngalanda7520Yule mlinzi wake Mabeyo alimuambia achukuwe nchi lakini alikataa .

  • @lusajoholland7072
    @lusajoholland7072 7 дней назад +5

    Ile buti kule nyuma imetulia😅😅

  • @salumkhalid9485
    @salumkhalid9485 6 дней назад +1

    Congo inavoelekea inaenda kuishia kwenye mikono ya waasi hatari kwa kweli

  • @JonathanNelson-l8h
    @JonathanNelson-l8h 6 дней назад +1

    Jeshi la Congo ni dhaifu rais aongeze juhudi haiwezekani mtu achukue sehemu ya nchi 😢nchi ni ndiyo mtu sasa watu wanachukua utu wenu si bora nikafe huko vitani kutetea watu wangu😢

  • @kaburaakbar4838
    @kaburaakbar4838 7 дней назад +4

    waende wap na apo ni kwao ? apo ni kwao kabisa

  • @5G-wr5vz
    @5G-wr5vz 7 дней назад +2

    Safiiii kabisa

  • @Lastbornecadet
    @Lastbornecadet 6 дней назад +1

    Bro ,siku ukijua kinshasa ni capital city ngumu kuifikia kutoka vijijini katika nchi zote za africa basi utajua iyo ya M23 ni ndoto

  • @ShedrackFaustin
    @ShedrackFaustin 6 дней назад

    Safi me na kwa uyu mama

  • @FarajiDetz
    @FarajiDetz 6 дней назад

    Mbona kama wana wako fresh kuliko serikali yenyewe ya kongo

  • @LoneWolf-ng8yg
    @LoneWolf-ng8yg 6 дней назад +1

    Africa haita kuja kujitambua hata siku moja utambuzi upo kwa mmoja mmoja % kubwa njaa ,tamaa,ujinga na maslai binafsi ndo unatusumbua amna kingine vitu tulivyo vikosa kipindi cha ukoloni tuna force tuvimiliki kwa nguvu 😂

  • @hassanmkangwa2062
    @hassanmkangwa2062 6 дней назад

    Mnawauwa ndugu zenu kwa sababu ya pesa

  • @hasani565
    @hasani565 6 дней назад

    It's time Africa to take Congo back Kwa sababu wazungu ndio chanzo wakongo wameshidwa ila wataelewa Tu. Serikali ya Kongo imeuwa vijana wake zaidi ya Mia .serikali yako inabidi Africa yote iungane

  • @williamkirema6254
    @williamkirema6254 6 дней назад

    Huyu dio atakua wa kwanza kumalizwa

  • @HamzaMbasha-xs2ky
    @HamzaMbasha-xs2ky 7 дней назад +12

    Jeshi la Congo ni jeshi Dhaifu sana..

    • @revocatuspaulo6716
      @revocatuspaulo6716 7 дней назад +1

      Sanaa yani

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 7 дней назад +1

      Yaani hadi aibu😢😢

    • @unclepwechnov1381
      @unclepwechnov1381 7 дней назад +1

      Wana jeshi kali la kucheza sebene.

    • @AkiliFadhili
      @AkiliFadhili 7 дней назад +3

      Unajuwa kama jeshi la Tanzania nayo ilikuwepo?
      Ampaka wa mercenaires walikuwepo jeshi la Congo siyo zaifu walipoteza iloshambuliyo Ila awakupoteza vita Ila bado linaanja

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 7 дней назад +1

      Hawana hata inteligency

  • @Masta8448
    @Masta8448 7 дней назад +3

    Hawa jamaa wanataka kuchukua nchi nzima nn

  • @Dunia_Films
    @Dunia_Films 7 дней назад

    ❤❤❤❤❤

  • @Kwarasi
    @Kwarasi 7 дней назад +1

    M23 oyeeee nawkubali sana hawa wazarendo.

    • @Lastbornecadet
      @Lastbornecadet 6 дней назад

      Eti wazarendo , iyo "r" sio ya mkongomani iyo ,bendeni kwenu

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 7 дней назад +3

    Vema waendeleye hadi kileleni uongozi wa tchisekedi siyo nzuri sio wa amani ni vita zaa mara kwa mara sasa huu ndo muda wakujuwa nani mzaifu.kila mara watoto wanakatishwa shule,ajira zenyewe njo basi maendeleo yakuwaje.

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 7 дней назад +1

    Wanajua mayenu tu vita waqaachie Mashujaa wa Tz

  • @BeatriceJesa
    @BeatriceJesa 7 дней назад

    Safi sana mtu kwao bwana

  • @Ryannkae
    @Ryannkae 7 дней назад +1

    Achana na huyo kwasasa nimiaka 30 huwa anahogea hivyo anafikiri Congo ni nyumbani kwao rwanda. 😂😂😂 kwanza ameshindwa east ndo ataweza kinshasa akubuki yule aliye toka marecan kule wanamakucha kama ya vampires watamjacha vipande vipande bila kutumia chochote kile na wanaamu naye atari

  • @ZenabazigaZenabaziga
    @ZenabazigaZenabaziga 7 дней назад +2

    Mambo nimagumu kwakweli ee mungu simama katika ichi yetu ya congo

    • @hamisaally968
      @hamisaally968 7 дней назад +1

      Sasa ndugu hawa ni wazurii au wa bayaa naomba unieleweshi ndugu

    • @evansogutu4167
      @evansogutu4167 7 дней назад

      Mungu with capital M

  • @BritonNdishi-g6o
    @BritonNdishi-g6o 7 дней назад +2

    Ila kweli mna dharau Bora wanakongo wajitoe mhanga naamini Nangaa atakufa bila siku nyingi nakuapia na mungu akulaani na kagame wako shetani mkubwa

    • @ce-08
      @ce-08 6 дней назад

      Yan wakongo wafanye mambo kama Al-shabaab tu nikiingia Rwanda kimagendo kulipua na kusepa

  • @mwendemwende5789
    @mwendemwende5789 7 дней назад +2

    Kama Nia Tutsi wakongo jamani mnataka waende wapi? Kama Rwanda hakuna mashamba yao

    • @Ryannkae
      @Ryannkae 7 дней назад

      Huyo nanga ndo mCongo tu hawa wengine ni wanyarwanda ila huyo na tudu lusu weni ni wamoja

  • @DM_15
    @DM_15 7 дней назад

    Kazi kweli kweli

  • @geraldgogadi7054
    @geraldgogadi7054 7 дней назад

    Someone Powerful yuko nyuma ya huyu mshenzi

  • @salcle9702
    @salcle9702 6 дней назад

    Wanyoosheni tu mpaka vitambi vikwishe

  • @valeriankalisti9702
    @valeriankalisti9702 7 дней назад +1

    M23 awana shida ila media sasa zinapiga prom za uzushi sana

  • @HasaMediaTv
    @HasaMediaTv 7 дней назад

    Aaah mtajijua wenyewe

  • @Gavi_255
    @Gavi_255 7 дней назад +6

    Safi sana, m23 wakombozi wa Congo

  • @ÉditionPatrick
    @ÉditionPatrick 7 дней назад +1

    Badukuyangu nikusema Goma hakunatena soda wa kongo?

  • @princekombi7492
    @princekombi7492 7 дней назад +1

    Ule kafiri ata lipa damu yawa congomani 🇨🇩🇨🇩😭😭😭

  • @mandyfitnesstv6738
    @mandyfitnesstv6738 7 дней назад +1

    Huyu mjinga atapigwa soon! Subiri

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 7 дней назад

      Atapigwa na nani?

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 7 дней назад +1

      Wanajeshi wa Congo wamekata tamaa hawana moyo wa kupigana vita wanakimbia na kutupa silaa

  • @yapukahassan
    @yapukahassan 7 дней назад +1

    M23 si magaidi nimeanza kuwaelewa sasa ni watu wazuri sana

  • @samwelkayanda5204
    @samwelkayanda5204 6 дней назад

    Hawa M23 Rwanda anatumika tu kama bag la kutunzia rawama lakini mataifa mengi yapo nyuma yao hasa hao weupe ndo usiseme

  • @PntTz
    @PntTz 7 дней назад +1

    ao jamaa ni vipi

  • @HappyatHome-bn8wm
    @HappyatHome-bn8wm 6 дней назад

    kama mmeelewa, huyu anatumika, anampango wa kuimega gomq

  • @kingnass6410
    @kingnass6410 7 дней назад

    Mapinduzi mapya yanategemewa ila amani ya kongo cjui😢

  • @5araalharmi474
    @5araalharmi474 7 дней назад

    🤲🤲🙏🏽🇨🇩

  • @NeemaGumbo-k5n
    @NeemaGumbo-k5n 7 дней назад +1

    Kumbe wako poa tu

  • @RashidFarid-y7o
    @RashidFarid-y7o 7 дней назад

    Huyu jamaa alikua jeshini

  • @FrenkMushi-i7f
    @FrenkMushi-i7f 7 дней назад

    Nakubali bado tanzania

    • @hamisaally968
      @hamisaally968 7 дней назад

      Amka kwenye huo usingiziii 😂😂😂

  • @anny19988
    @anny19988 7 дней назад

    Waafrika wanauana kuwafaidisha wazungu. Ndo kilichopo

  • @PatrickBaraka-wx1qj
    @PatrickBaraka-wx1qj 7 дней назад +1

    Hajakua goma amekuwa rwanda

  • @sumbulan
    @sumbulan 7 дней назад

    Mbona wamenawiri hao M23. Kuna sehemu wanapewa nguvu

  • @FabriceKihanga-de7rp
    @FabriceKihanga-de7rp 6 дней назад

    Uyo alikuwa Rais wa cenateur mtu anatoka mu serikali anakuwa REBEL

  • @rugewapili6191
    @rugewapili6191 7 дней назад

    Imenishtua hii habari

  • @BarakaKusalula
    @BarakaKusalula 7 дней назад

    Serikali ya Congo waache unyang'anyi wa ardhi ya watusi ili kuachia raia waishi kwa amani

  • @claudemukulu6387
    @claudemukulu6387 7 дней назад

    At Rwanda serena hotel

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 7 дней назад

    kagame kaona hii so ngoja awatoroshe wazungu wake kwao

  • @filskischannel9737
    @filskischannel9737 7 дней назад

    Tunachoka na Felix tshisekedi...hana na mpango yoyote yakuendelesha inchi kimaendeleo..yeye na watu wake ni wizi nakuirudisha congo nyuma kimaendeleo tu

  • @Muba-Gucci-TV
    @Muba-Gucci-TV 7 дней назад

    Wanaume

  • @Masta8448
    @Masta8448 7 дней назад

    Wa kwanza leo

    • @Nestoemanuel
      @Nestoemanuel 6 дней назад

      Matako ww wenzako wanahuzuni ww Una unaleta nyeusi

    • @Masta8448
      @Masta8448 6 дней назад

      @Nestoemanuel laana na iwe juu yako na kizazi chako chote

  • @alimkumbukwa8363
    @alimkumbukwa8363 7 дней назад

    Mm m23
    Shseked kibalalka wa wazungu
    Iinaskitsha sana jmbo ili s afrka anavwand ving ananufaika kwa madini y kongo
    M23 rafk wa traole pia

  • @Sabatoofcial
    @Sabatoofcial 7 дней назад +6

    Africa ukiwa mgania uhuru utaitwa gaidi😅

  • @mpjozzegalvanize4926
    @mpjozzegalvanize4926 7 дней назад

    DRC kama Syria

  • @Isabellependo6389
    @Isabellependo6389 7 дней назад

    Awo wanaongozwa na kagame

  • @joshuawambura1400
    @joshuawambura1400 7 дней назад

    inchi nyingi za africa saivi zimekuwa na mapinduzi ya kijeshi sijui kwa nini 🤔

    • @nellymans-f1v
      @nellymans-f1v 7 дней назад +1

      inategemeana na mapinduzi yanafanywa na watu gani??

  • @shadrackmohamedi8765
    @shadrackmohamedi8765 7 дней назад +1

    Africa mpaka itulie itachukua miaka zaidi ya 50.
    Magonjwa ya Africa ni
    Ukoloni mamboleo,
    Ukabila
    Uchu wa madaraka
    Ufisadi,
    Udini, Migogoro ya mipaka.
    Yaani mpaka nachoka

  • @ZainabLol-wx7xf
    @ZainabLol-wx7xf 7 дней назад

    Kumekucha

  • @pascalmgaza920
    @pascalmgaza920 7 дней назад +1

    Jeshi limeshindwa kulipua hio hotel

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 6 дней назад

    Mimi siku zote nitawalaumu waafrika wenzangu maana tunauwana wenyewe Kwa wenyewe kwa tamaa za kijinga...hakuna haja ya kuwalaumu wazungu...

    • @jumamnemo8383
      @jumamnemo8383 6 дней назад

      @omondiowino7875ni kweli kuna baadhi ya waafrika wasio na akili wanasabisha vifo vya wenzetu lakini wapangaji wa vifi hivyo ni Ulaya na Marekani kwaajili ya kupata urahisi wa kuendesha viwanda vyao,Mungu awalaani wote wanaoshawishiwa kuwaua ndugu zao

  • @trendz_2548
    @trendz_2548 7 дней назад

    Kumbe nao kama vile hamas na Hezbollah kuwa na wanasiasa

  • @JosephBilombelejosbimtungwa
    @JosephBilombelejosbimtungwa 7 дней назад

    KABLA YA KUTANGAZA HII HABARI MLISOMA GEOGRAPHIA ILIOKO KATI GOMA KUIFIKIA KINSHASA AO NA NYIE PROPAGANDA ZA KIJINGA

    • @actuainternas
      @actuainternas 7 дней назад +1

      Kabila mbona alifika huko akitokea Goma

  • @Uesilamsiodiniyakweli
    @Uesilamsiodiniyakweli 7 дней назад +6

    Dah ndo nchi inamegwa hivyo

  • @hamisramadhan-eb3ie
    @hamisramadhan-eb3ie 7 дней назад

    Watu milionimbili wewekweli nishoga

  • @Atmospherec3
    @Atmospherec3 7 дней назад

    Kwa mawazo yangu congo inatakiwa igawanyike ziwe nchi mbili maana mashariki mwa kongo ni mbal zaid ya kilomita 1.5k kutoka kinshasa tamaduni na lugha ni tofauti, nikimaanisha waachen congo mashariki kuwa nchi huru maana wakaazi wa mashariki hawana ukabila kwamba huyu kabila hili na huyu kabila jingine

    • @Clex-f5s
      @Clex-f5s 7 дней назад +1

      Mkoloni ndo aliharibu kugawa haya maeneo hakuzingatia makabila yao

  • @songamberetv2219
    @songamberetv2219 7 дней назад +5

    Haha kufika Kinshasa itawachukuwa myika kumi 😂😂 kama mkoa mjo umewachukuwa miaka 3 bado imibaki mikoa 25

  • @emanueluroki6160
    @emanueluroki6160 7 дней назад +3

    WATANZANIA GONGA LIKE KWA AMANI YETU

    • @Neema-qm9kk
      @Neema-qm9kk 7 дней назад +1

      Tumuombe Mungu tu maana kesho yetu hatujui

    • @uwimanacitegetse9926
      @uwimanacitegetse9926 7 дней назад +1

      nyiye mutapigana nawaburundi mujuwekwamba ngambozakigoma nisehemu yaburundi ndio mutapambananawo ☝🏾

    • @silivestatesha9262
      @silivestatesha9262 7 дней назад

      Hawaja amua kuja kuwapiga wakiamua wata kuja kuku chukua hapo kwako

    • @anny19988
      @anny19988 7 дней назад

      ​@@uwimanacitegetse9926Waambie warundi wajaribu😂😂😂. Waambie waje kudai Kigoma yao

    • @anny19988
      @anny19988 7 дней назад

      ​@@uwimanacitegetse9926Waambie warundi wajaribu😂😂😂. Waambie waje kudai Kigoma yao

  • @kapatagaston7605
    @kapatagaston7605 7 дней назад +1

    Nanga anabaki nasiku ndogo zakuishi😅
    Apo kuna mtego

  • @EliakimuCharles1
    @EliakimuCharles1 7 дней назад +4

    Kumbe sio waasi sasa! Kwanini wanaitwa waasi wakati wanapigania haki? Kumbe serikali yao inaonekana mbovu ndiyo sababu ya yote wanapigania haki yao je, kwanini wanaitwa waasi? Hapo ndo nashindwa kuelewa!!!...

    • @SaneMwezi
      @SaneMwezi 7 дней назад

      Kwani wakiibeba congo italejea amani hapana hii ni michezo ya wazungu😢😢😢

    • @stanleymanya438
      @stanleymanya438 7 дней назад

      Anaitwa muasi kwasababu ANAENDA kinyume na utawala uliopo

    • @anny19988
      @anny19988 7 дней назад

      We mtutsi punguza bangi

    • @Music-ze1te
      @Music-ze1te 7 дней назад

      @@anny19988lakini everyone is mutusi, oooh God

    • @anny19988
      @anny19988 7 дней назад

      ​@@Music-ze1teNyie wauwaji ndio watusi. Mliuana wenyewe hapo Rwanda sasahivi mmeenda kuua wakongo.

  • @exodusezekielkaitira6238
    @exodusezekielkaitira6238 7 дней назад +1

    Da sisi wabongo kwa ushabiki tu hatujambo chimbuko la ugomvi huu ilianza mauaji ya rwanda 1994 ambapo warwanda wengi hasa watutsi walikimbilia mpakani ambapo mashariki ya kongo so wakazaliana hapo we sasa congo wakawa wanawatenga sana na kutowajali na kuwasukuma warudi rwanda so ili kukabiliana na wao kufukuzwa ikabidi waunde hio m23 sasa ili iwe ina oppose oppression wanayopata sasa magharibi wameona watumie iyo opportunity kwa mgongo wa rwanda ili wachukue eneo la mashariki ya congo ambayo ina madini mengi sana ya kutengemezea risasi, electronic devices etc.. so m23 na rwanda wanatumika na magharibi hasa ufaransa ili wachukue hilo eneo waigawe congo ili wafaidike kule mashariki.magharibi ndo wanachangia vita sana sana duniani na ndo wanawashabiki wengi

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 7 дней назад

      Siyo kweli nyoosha maelezo. M23 ni wacongo ingawa wanaongea kinyarwanda na kwao ni Mashariki ya Congo

    • @SundayMbatia-hr8qp
      @SundayMbatia-hr8qp 7 дней назад +2

      Acha uongo. Watus walikuepo kabla ata mkutano wa Berlin wa kuligawa bara la Africa mwaka 1884. So ule mkutano ulivofanyka kwenye kuigawa ule mpk wa congo na Rwanda watus wakajkuta wametawanywa wengne wakawa congo wengne wakawa Rwanda ishu inakuja watus waliobak congo wananyanyaswa na kufukuzwa kwenye maeneo Yao na kuambiwa Walud kwao Rwanda wakat congo ndio sehemu waliozaliwa yan mfano mmakonde ni kabila la watu wenye asili ya msumbiji baada ya mipaka ya nchi kuundwa Kuna mmakonde akajikuta yupo tz na mwngne yupo msumbiji afu Leo watokee watu waseme wamakonde Walud kwao msumbiji unazan watakubal?? Icho ndo kinachotokea goma

    • @Music-ze1te
      @Music-ze1te 7 дней назад

      Kasome history about Berlin conference, thank you

    • @ShedrackShedrack-c2b
      @ShedrackShedrack-c2b 6 дней назад

      Uko sasa ila kuna wajinga umo wanaskrza upuuzi uko nakuja umo nakuanza kulopoka lopoka​@@SundayMbatia-hr8qp

  • @kelvinsauveur6264
    @kelvinsauveur6264 7 дней назад

    Tanzania muwetayari wakimaliza congo burundi Uganda Tayari wanakuja Tanzania . Empire Hima hima lazima ifanyiwe . Idéology iko . Be prepared

    • @anny19988
      @anny19988 7 дней назад

      Empire fyoko fyoko. Waambie watuguse waone. Tanzania haitingishwiii

  • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
    @EmmanuelNyinyigwa-m1o 7 дней назад

    Ukweli ni kwamba vita yenu inamanufaa makubwa na tanzania. Hasa sisi watu wa kigoma tunapo skia mnapgana hua tunasherehekea

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 7 дней назад +1

      Unasherekea wewe tu. Umri wako mdogo. Kaangalie mapato ya Kigoma kabla ya vita miaka ya 1990s. Kabla hayo mataifa kuchafuka.

    • @mpjozzegalvanize4926
      @mpjozzegalvanize4926 7 дней назад +1

      Maneno gani unaongea, unawezaje kumuombea jirani yako matatizo? Tafakari kauli zako mkuu

    • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
      @EmmanuelNyinyigwa-m1o 7 дней назад

      @mpjozzegalvanize4926 ukweli NI mchungu. Amini usiamini. Vita ya Congo inamanufaa makubwa kwetu. Hawapaswi kupinga kwani wao hawajui kama NI vibaya.

    • @StephenDominic-o3k
      @StephenDominic-o3k 7 дней назад

      We muha acha mambo ya kijinga​@@EmmanuelNyinyigwa-m1o

  • @georgekabaka377
    @georgekabaka377 7 дней назад +1

    Kumbe wako fresh tuu na raia basi mororooo😢😢