Ottu Jazz Band - Mwanamkiwa (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 янв 2025

Комментарии • 134

  • @EvansMrema
    @EvansMrema Месяц назад

    Dancers wote pamoja na huyu jamaa mfupi mngoni.
    Wengine wote chali.

  • @divasonmoke8009
    @divasonmoke8009 5 лет назад +17

    Kama kuna mtu amemuona kingwendu agonge like

  • @AnnAble-b6f
    @AnnAble-b6f 10 месяцев назад

    Nwapenda cana msondo mpumzike Kwa amani mlio tangulia mbele za haki

  • @AdrianoStephen
    @AdrianoStephen 2 месяца назад

    Naskiliza Kila siku nikiiingia RUclips iiiiiiiii nyamaza ehhhhhhhhhh dah nyimbo nzuli sanaaaaaaa😢😢😢😢

  • @muhammadmpahi338
    @muhammadmpahi338 2 месяца назад +1

    Nani yupo 2024 hapa

  • @YusufuOmari-i2n
    @YusufuOmari-i2n Месяц назад

    kumbe kingwendu nimzee,wakale kweli.alikuwepo enzihizi.nimefurahi kumuona kabisa.

  • @ibrahimzabron4619
    @ibrahimzabron4619 Год назад

    Magenious wa music Hawa walikuwa hatarii Leo 29.12.2023

  • @GodfreyMbuya
    @GodfreyMbuya 2 месяца назад

    Kumbe kingwendu ni muhenga kabisa nimefurahi sana kumwona Kona ile

  • @florahkimbage9571
    @florahkimbage9571 5 лет назад +23

    Mpumzike kwa amani jaman nyimbo yenu bado tunaisikiliza 2020😭😭

  • @mohamedkutwambi
    @mohamedkutwambi Месяц назад

    Iiii nyamaza eee, nyamaza kuliaa daah

  • @saidmwaim5825
    @saidmwaim5825 3 года назад +3

    Puzikeni kwa amani mashujaa wa muziki wa Tanzania bado tunasikiliza mwaka2021

  • @sylvestermgale6699
    @sylvestermgale6699 4 года назад +1

    Tx moshi,Joseph maina ,suleman mbwembwe,othumani momba ,na muhidin maalimu gurumo,huku gitaa la solo likicharazwa na dokta saed mabera
    Tunawakumbuka sana hakika pumzikeni kwa amani

  • @tommyjames7297
    @tommyjames7297 3 года назад +1

    Ndani ya Cape town nawatafusilia wanangu

  • @danymsengi4958
    @danymsengi4958 4 года назад +5

    Nataman siku moja nkutane na mzee said mabela

  • @marikapera1568
    @marikapera1568 4 года назад +2

    Watunzi wetu walikua wanatunga vizuri sana Mungu awapunguzie adhabu ya kaburi

  • @joshualemey7846
    @joshualemey7846 3 месяца назад

    Haya maisha ni mafupi jamni mungu aongeze ifike kuishi ni milele hapo waliobaki ni wangapi eeh mungu

  • @VitalisMbaruku
    @VitalisMbaruku 3 месяца назад

    Punziken kwa amani...kazi zenu bado zinatufunza.

  • @haidaliglyn7829
    @haidaliglyn7829 5 лет назад +5

    Sijawahi kuchoshwa na nyimbo za msondo ngoma

  • @rashidmaulid7312
    @rashidmaulid7312 День назад

    Tunataka discipline

  • @mbenautobwe3184
    @mbenautobwe3184 4 года назад +5

    Baba yangu alikua anazipenda sana ngoma za msondo umenifanya nimkumbuke sana mungu ampunguzie adhabu ya kaburi 2020

  • @leticiashaban4437
    @leticiashaban4437 4 года назад +7

    Nmekukumbka baba yangu , mungu akulaze mahal pema peponi,
    Ulipenda sana hiz nyimbo, mpk leo naziskliza kwa swabab yako baba yangu

    • @mariamabdallah5977
      @mariamabdallah5977 3 года назад

      Wewe ndio Kama mm baba angu alizipenda sanaa mungu awalaze wazazi wangu mahalo pema peponi na marehemu wote awaondolee azabu yakaburi

  • @RioIpo
    @RioIpo 4 года назад +4

    Kingwendu ayo macho unamfariji mtu au ulitaka kuwachekesha tu

  • @msozithedon1730
    @msozithedon1730 3 года назад

    Mupumzike kwa amani wazee wetu jamani mumetuachia ujumbe mzito sana kwa vijana wenu wa sasa 🙏

  • @fatmachambotanzania9379
    @fatmachambotanzania9379 5 лет назад +6

    Daaah hii nyimbo inanikumbusha kitambo sana R.I.P kwa wote mliotangulia Tx Mosh William &Muhidin gurumo &Maina Suleiman Mbwembwe &Momba yaan msondo mlikua the best hawatotokea kama nyie

  • @ayoubbenta4955
    @ayoubbenta4955 5 лет назад +4

    Du,jamani msondo ngoma ni noma,sana.sina uhakika kama watatokea wanamuziki kama hawa Tx ngurumo wrote kwa ujumla timu nzimaa rip.nyote na mungu awarehemu.huu ndio mziki na burudani pekee.

  • @selemanivanmkungu4637
    @selemanivanmkungu4637 4 года назад +2

    Leo 06-08-2020 SIKU YA AL HAMISI NAANGALIA TENA KWA KURUDIA MARA NNE. MUNGU AWAPE PEPO DARAJA LA JUU WALE WOTE WALIOTUTANGULIA KWENYE HII DUNIA....

  • @mussasadiki1975
    @mussasadiki1975 4 года назад +1

    Tanzania raha sana jaman mungu atuepushe na corona

  • @emanuelmurumbi6946
    @emanuelmurumbi6946 4 года назад +3

    I will miss you guys..... Suleiman Mbwewe, Tx Moshi W, Boss Said Mabera....

  • @rebeccajacobo6676
    @rebeccajacobo6676 3 года назад

    Mwanamkiwa bado tunawapenda sana pumzikeni kwaamani

  • @samsonbinkulwa7794
    @samsonbinkulwa7794 3 года назад

    Bado Nasikiliza Oktoba 26 2021 Nawaelewa Sana Kazi Zenu!! MUNGU Awapumzishe Pema Ambao Tayari Mmekwisha Tangulia Mbele Za Haki😭

  • @mbungembunge9865
    @mbungembunge9865 4 года назад

    Jaman mnaokumbuka tusaidien wapiga vyombo nan na naniiii

  • @abdallahgaillah1093
    @abdallahgaillah1093 3 года назад

    Mmh! Ila Hawa wazee acha tu walikua hatari sana🔥

  • @machakoreyson8280
    @machakoreyson8280 5 лет назад +4

    iiiiii nyamaza eee iiiiiii nyamaza eeee! Wazee wetu msondo ngoma kazi yenu imebaki imesimama vile vile. Nyimbo za ujumbe!penda sana mm.

    • @felixmagulu6142
      @felixmagulu6142 5 лет назад

      Hii ilikuwa full squad ya msondo Ngoma.

    • @felixmagulu6142
      @felixmagulu6142 5 лет назад

      R.l.P Anko Gurumo, Tx Moshi William, Suleiman mbwembwe na Jose Maina.

  • @akhamedimaster6400
    @akhamedimaster6400 3 года назад

    10 /10 2021 Tanzania 🇹🇿 est Africa to Vancouver Canada 🇨🇦 listen this song nimekumbuka nyumban 🇹🇿🇹🇿

  • @narcissusmakenge4710
    @narcissusmakenge4710 3 года назад

    Nyimbo za Hekima na mafunzo R.I.P waliotangulia.

  • @deboraezekiel8503
    @deboraezekiel8503 4 года назад +3

    2020 pinga kelelel

  • @diorsmith2585
    @diorsmith2585 4 года назад +3

    Mliyosema wazazi Wangu -Momba

  • @katibatanzania3089
    @katibatanzania3089 4 года назад

    Tujifunze kupitiya apa kwa kuwajali wazazi ivi wangapi mama au baba anapo dayi uduma ya matuminzi huwa wanaliya kama hawana

  • @ashrafkijuba331
    @ashrafkijuba331 3 года назад

    Tutawakumbuka sana ndgu zetu pumziken kwa aman mungu awarehem inshaallah

  • @sulaymanmasatu4392
    @sulaymanmasatu4392 3 года назад

    Nishida hii Miziki haichuji

  • @dicksonchihumpu5204
    @dicksonchihumpu5204 4 года назад +1

    Mungu awajalie huko mlipo

  • @juliuskawonga450
    @juliuskawonga450 4 года назад

    Duh nimekumbuka songea 2005 kama sikosei walikuja. Wangoni wezangu nikumbusheni kama nimekosea

  • @janegeogre3234
    @janegeogre3234 5 лет назад +4

    jaman Tx Moshi daaa!.. RIP wote na mzee Muhidin Ngurumo!

  • @mohamedbusanduka8956
    @mohamedbusanduka8956 6 лет назад +8

    Yan kama vle kundi bado lipo LA tx mosh William

    • @fransiscamatemu987
      @fransiscamatemu987 5 лет назад

      Mohamed Busanduka dah hiv nan amebak apo zaid ya uyo kifupi jaman

  • @SingiloPamba-fi8wi
    @SingiloPamba-fi8wi Год назад

    Wimbo wenye madri

  • @chamjingamohamednassor8532
    @chamjingamohamednassor8532 4 года назад +1

    Nimekumbuka mbali saaaaana@

  • @evasaimon2101
    @evasaimon2101 4 года назад +1

    Vipaji viko chini ya ardhi

  • @shaabannyuge6857
    @shaabannyuge6857 6 лет назад +6

    Dah hawa jamaa hawawez kusahaulika

  • @salmaramadhani3707
    @salmaramadhani3707 4 года назад +7

    Mwana Mkiwa We Mungu Warehemu Waja Wako Wote Waliotutangulia

  • @agripinamgema3656
    @agripinamgema3656 4 года назад +1

    2021 miziki ya kale, dhahabu. R.I.P WOTE MLIOTUTANGULIA MBELE ZA HAKI. mbele yenu nyuma yetu.

  • @tommyjames7297
    @tommyjames7297 3 года назад

    Bado kama mpya masikioni

  • @jumamaganga2021
    @jumamaganga2021 5 лет назад +1

    Wazee nyie hizi tungo zenu sio mchezo zitaishi kizazi na kizazi

  • @sengolupeja9658
    @sengolupeja9658 5 лет назад +1

    Tunajivunia kuwa watanzania

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 5 лет назад +4

    Msondo ngoma baba lao

  • @AminiKanda-vc1pn
    @AminiKanda-vc1pn 6 месяцев назад

    Nakumbuka nipo dogo sana

  • @daudijilala9513
    @daudijilala9513 3 года назад

    Ujumbe mzito sana

  • @salehemohamedmohamed3457
    @salehemohamedmohamed3457 3 года назад

    Tuwakumbuka sana awakumbuke

  • @jumakapungu4102
    @jumakapungu4102 4 года назад +1

    Wazee wenzangu tuna kutana huku

  • @alyissasamula5247
    @alyissasamula5247 4 года назад

    Uhondo wa enzi zetu jamani raha

  • @rshidyrajabu255
    @rshidyrajabu255 8 месяцев назад

    Very good old songs

  • @mussansese
    @mussansese Год назад

    Ujumbe muhimu

  • @ivanminja7954
    @ivanminja7954 4 года назад +3

    RIP wazee wetu

  • @omarmajanga6788
    @omarmajanga6788 4 года назад

    Wakubwa. Dawa always wazee wabunifu kinoma

  • @mathiasshabani4679
    @mathiasshabani4679 6 лет назад +2

    Hapo bas aa

  • @babusadala5732
    @babusadala5732 5 лет назад +1

    Daaaa...miss sana momba r.ip amin

  • @patikindo73
    @patikindo73 6 лет назад +6

    hapo sasa

  • @sangomamourice8680
    @sangomamourice8680 4 года назад

    Msondo ni bendi iliyodamuni mwangu

  • @hadijakheri9029
    @hadijakheri9029 6 лет назад +6

    hii ngoma ni kitambo nipo darasa LA sita

  • @thomasngungulu773
    @thomasngungulu773 5 лет назад

    Hiziii ndizo tungo tunazo zihitaji kwenye jamiii

  • @benjaminmgoli5547
    @benjaminmgoli5547 5 лет назад +2

    Yote yana Mungu

  • @iddymbiguni3735
    @iddymbiguni3735 2 года назад

    Kigwendu mchovu hana kitu

  • @fatmazullu4933
    @fatmazullu4933 4 года назад

    Wimbo wa simanzi mno, namkumbuka my cousin sister Zena mama ake Safina alikuwa akiumba kwa hisia kipindi mie dogo sana! Basi kila nikiusikia namkumbuka rip Dada! Waimbaji nao rip nawapenda kazi itadumu milele!

  • @sammykimondo3634
    @sammykimondo3634 4 года назад

    Jamani nimekumbuka mbali sana

  • @juliussenzia8717
    @juliussenzia8717 4 года назад

    Nyimbo ipo juuu

  • @patikindo73
    @patikindo73 6 лет назад +5

    cantando esta canción a un ser querido .... oh mi oh mi

  • @mantz3763
    @mantz3763 5 лет назад +3

    WALA WALA Hii 23. 25. .16. 4. 2019

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 6 месяцев назад

    Lakin viuno vya hawa watoto wa kike vinatetema vizuri dah

  • @allyramadhani6477
    @allyramadhani6477 3 года назад

    Gonga like km unaiskiliza 2021

  • @obillaezra6205
    @obillaezra6205 5 лет назад +12

    Hii nyimbo haichuji, ijapo hii ni remix lakini iliimbwa na hawahawa hapo Awali""" Pumzikeni kwa Amani Watanzania wanasikiliza Sauti zenu kila siku tangu mliopoachana nao Hadi leo

  • @abdalahasssni4759
    @abdalahasssni4759 5 лет назад +6

    Asante 😍😍😍2019

  • @fadhilmtitu7806
    @fadhilmtitu7806 4 года назад

    Nazikubali sana

  • @jjtheactorir.4447
    @jjtheactorir.4447 5 лет назад

    Kingwendu Hilo shirt jamani noma

  • @petersonnymmary9058
    @petersonnymmary9058 5 лет назад +1

    Nyie wakali

  • @sirrosirro263
    @sirrosirro263 3 года назад +1

    Hii nyimbo imfikie mhikaji wangu wa damu mohamedy s.mtawa nyakati ya tabata matumbi d'salaam by Abdallah Jumbe 16/02/2021

  • @muniwangu1692
    @muniwangu1692 3 года назад

    November 2021

  • @batiishirima2051
    @batiishirima2051 5 лет назад +1

    Ya kale dhahabu

  • @mabadhajjih601
    @mabadhajjih601 5 лет назад +1

    Tamu kweli

  • @evansnzowa5710
    @evansnzowa5710 3 года назад

    Msondo ngoma

  • @mussasadiki1975
    @mussasadiki1975 4 года назад

    Hizi ndo nyimbo za busara

  • @sadahlaiser76
    @sadahlaiser76 5 лет назад +1

    Rest in paradise all the time

  • @barikinyingi5771
    @barikinyingi5771 3 года назад

    day🙏🙏🙏🙏

  • @mudamgwilanga9951
    @mudamgwilanga9951 4 года назад

    Duu iko pouwa sana

  • @arafasaleh7655
    @arafasaleh7655 4 года назад

    Hawa wote ni marehemu

  • @andasonkilovele8755
    @andasonkilovele8755 5 лет назад

    Jaman Jaman

  • @yussufdjroo1446
    @yussufdjroo1446 5 лет назад +1

    To be 2020

  • @evansnzowa5710
    @evansnzowa5710 3 года назад

    Joseph Maina

  • @aliissa6632
    @aliissa6632 5 лет назад

    Safi sana dj

    • @hajirajab4869
      @hajirajab4869 5 лет назад

      kila la kheri kwao

    • @fatumamatimbwa856
      @fatumamatimbwa856 5 лет назад

      ali issa daamsondo himekufa jamaani hilikua hinatuliwaza sana A .R.P .ndunguzetu mbele yenu nyuma yutu

  • @mselemnassib4451
    @mselemnassib4451 4 года назад +1

    Heart felt song

  • @muddymtumbi9425
    @muddymtumbi9425 2 года назад

    16/03/2022

  • @DottoWaziri
    @DottoWaziri Год назад

    2023 😭😭😭