Aunty Rose,huu wimbo uliniimbia mimi ?manake mimi mariam ni muhanga wa kuwatendea wema binaadam, mhh yamenikuta mwenzenu, nililea ndugu zangu ,nikasomesha hadi nikasomesha na watoto wao, mwisho nimeambulia matusi ,wakaniibia ,tena wakaungana kunitukana kuwa naringa ,na nilipofulia wakanicheka na mafumbo kwa wingi.mhh kweli tenda wema uende zako. 18.05.24.
Hii nyimbo Mara ya kwanza kuiona nilikuwa bado cjaokoka ilikuwa ninaipenda hivyohivyo wakati huo nikiwa muislam daaahhh!!!! Lakin nyimbo zako hazichuji Barikiwa zaid
This song reminds me the year I was admitted in the hospital 2016 while in form 2,,.. spiritual attack from our close neighbor,.that brought the sickness,,,GOD NEVER FAILS,,2023,June 10th,3:30am. still powerful song from a Woman of God,(legend).
Listening from Harare, Zimbabwe. Very good song. Its usually played on our local Radio Zimbabwe by DJ Rutendo Makuti-Mubweza. What a song, what a message!
It's really a true say that, "Tenda wema nenda zako." This song keeps me going on well and relieving stress. I welcomed a person to offer accommodation all inclusive were food and the basic needs but still talks to me rudely, disrespectful and calling me you are a cow and whenever I asked anything, the person talks harshly. Thanks Rose Muhando for such inspiration.
Bado nipo na Rose muhando ,kweli nitalipwa na Mungu, mhhh jamani we acha tuu tenda wema uende zako, hiyo ni kweli kabisa. Aunty Rose barikiwa sana kwa wimbo huu umenifanya nifarijike sana baada ya maumivu niliopewa na ndugu zangu niliowalea mwenyewe kwa shida .mwishowe nimeambulia kuumizwa na kulia kila siku .asante sana aunt Rose .05.10.24.
Am from Malawi I can't hear or speak Swahili but this song I can understand what everything happening through video... since 2009 ntil now 2024 still shade my tears
matusi utayasikia,kashfa utazipata,waliokula chakula chako watasahau wema wako.watakaa vibarazani wakucheke,mwenzenu wimbo huu ni mimi kabisaaaa yamenikuta mwana kunikuta ,kusa wema wangu kusaidia tena ndugu,malipo ni kukuliza hiyo ndio shukrani yao,kweli malipo kwa mungu.wimbo umenigusa saaana.naitwa Mariam Fritsi,nipo uswis kwa sasa.04.03.17.
do it! do it! do it! it doesn't matter how many will support you, it doesn't matter how people will comment your songs, it doen't matter how many will say 'thank you' for what you are doing...... i've fail to understand why some people hate yah songs..... but just never mind them even Jesus himself was being hate by people bcoz of his teachings. no sooner had they realize that he was the right path than they prove that the stitch in time saves nine. Just don't care n continue inspiring thru' songs. i love the message in all your songs Rose Muhando n may God bless you n your team. much love from Kenya
Kweli kabisa, tenda wema ,nenda zako. Rose this is exactly what is happening in your life right now. Never mind about those talking bad and laughing at you. Tenda wema, nenda zako God will bless you. Watching all the way from Mozambique.
strong,energetic,and full of courage,a very powerful woman that is rose muhando,i love you mum rose keep the fire burning up to the sky,am hope G FROM KENYA
Nachokiamini mimi.kila kilichosimama kimeinuliwa.rose muhando kainuliwa na mungu.sasa wewe kakobe na midharau yako nakujiona mungu mtu jichunguze nawewe.tiazama na hata jamii inakuchkuliaje ktk huduma yako.hata unayoyafanya ktk ibada sako ni maigizo. Yesu aliwaambia ole wao watafutao kuamini kwa miujiza. Wewe nani unaetangaza muda wa mazingaombwe ktk kazi ya mungu.acheni ushetani watumish wamungu.mtumikieni mungu!!!!!
Dada rose mungu akupe uzima milele napenda sana kazi yako usikate tamaa mungu yupo hata kama uliwasaidia usiwawazie mungu tu ndiye atakulipa by Beauty Sileke from Mbeya
da rose,hongera sana kwa ujumbe mzuri,kweli tenda wema nenda zako,hiyo ni kweli,kabisa matusi dharau,tena mpaka watoto wao wote wanakudharau,wanasahau kwamba umewalea,mpaka wakakua,leo wanakudharau,wamesahau kila kitu,ama kweli da rose ujumbe mzuri sana,hongera sana,wimbo ni kama umeniimbia mimi.yote nimempa mungu ndie atakae nilipa.naitwa mariam fritsi nipo uswis.15.12.15.
miriam fritsi mimi na wewe dada miriam hatuna tofauti Kwa maelezo yako mm Kwa Sasa na pressure juu nimeambulia matusi dharau na kejeli Kwa watt na baba yao pia,niligeuzwa tambara la deki wakanikanyaga watakavyo,now namshukuru mungu maisha yanaenda tena nina furaha na aman
Tenda wema nenda zako utalipwa na mungu hata mimi nimetenda wema naenda zangu nitalipwa na mungu ubarikiwe sana dada rosi huu wimbo nausikiza nikiwa lebanon
Rose kazana Dada angu siamini yaliyokukuta kudhulumiwa #Jawabu studios pamoja najua mtafika mbali sana na Mama yetu Rose #Basil pamoja sana ukiwa huko Kenya Machakos town
2024 who is here😫♥️♥️
I'm here
I'm here
I’m here ❤
I'm here with you 🎉🎉🎉
🖐
Tenda wema nenda zako.....💫
Still powerful in 2020...anyone listening?
Inspired
Am here 2024 still listening to this good song,my best ever
Aunty Rose,huu wimbo uliniimbia mimi ?manake mimi mariam ni muhanga wa kuwatendea wema binaadam, mhh yamenikuta mwenzenu, nililea ndugu zangu ,nikasomesha hadi nikasomesha na watoto wao, mwisho nimeambulia matusi ,wakaniibia ,tena wakaungana kunitukana kuwa naringa ,na nilipofulia wakanicheka na mafumbo kwa wingi.mhh kweli tenda wema uende zako. 18.05.24.
Mungu akuinue tenazaidi yamwanzo
@@isaya9613 Amina 🙏🙏.
Pole, Mungu atakurudishia kila ulichopoteza kuwatunza nduguso
@bonifaceontiri1186 Amen 🙏🙏 kweli tenda wema uende zako tena usiangalie nyuma. asante kaka yangu kwa kunipa nguvu. Ubarikiwe pia
Tuko pamoja dada Rose,2019,Mungu ni mwaminifu,Kenya twakuombea sana yote ni majaribu
1*8*2019👍🎵🎶💞💒Rose Muhando 💞 Jesus Cristo e love,🇧🇷😇🤗 Brazil acima de tudo Deus acima de todos 🛡️⚔️🤗😇🇧🇷
Amen
Nzulii
Hii nyimbo Mara ya kwanza kuiona nilikuwa bado cjaokoka ilikuwa ninaipenda hivyohivyo wakati huo nikiwa muislam daaahhh!!!! Lakin nyimbo zako hazichuji Barikiwa zaid
Yeah 2024 bado tunatenda wema na tunaenda zetu. Kiukweli madam rose uliona mbali. Uzidi kubarikiwa🎉🎉🎉🎉🎉 from Mwenge dsm❤
Who is listening to this on 2020
Every time I listen to this song huwa inanikumbusha mbali😭😭😭😭 lakini Ni sawa tenda wema nenda zako utalipwa na Mungu🖐️🖐️🖐️
Kiukweli naupenda huu wimbo unanifariji
GOD is faithfully 😭🙏🧎♀️
Wimbo umenigusa sanaaa....nishafanya wema mara nyingi lakini naonekana kama panya mwitu .. nakufanyiwa ubaya juu 😭😭😭😭😭😭
Who else still listnening..254 Mrs Muhando oyaa...
Still listening her best songs
Ukweli wanadamu hawabebeki from Kenya nakupenda dada
Generation after generation will come to listen to this song❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
I live in America where there is more more music than u can imagine! But since I found rose I'm hooked!!
Hongera Dada Rose, Napenda saana nyimbo zako zinamawaidha mazuri saana, God Bless You, one day Iwill come home
Nakumbuka pia mungu wangu akubariki kwa wimbo huu mzuri
Very true. " Tenda wema nenda zako" mungu Hali wala hasizii, In due time he will reward you abundantly
Thank you so much for putting Uganda language
This song reminds me the year I was admitted in the hospital 2016 while in form 2,,.. spiritual attack from our close neighbor,.that brought the sickness,,,GOD NEVER FAILS,,2023,June 10th,3:30am. still powerful song from a Woman of God,(legend).
Usingoje kusifiwa.. .Tenda wema nenda zako, utalipwa na mungu Amen 🙏
2024 this song ni baraka na neema kuyaendea mema kwa nia
Listening from Harare, Zimbabwe. Very good song. Its usually played on our local Radio Zimbabwe by DJ Rutendo Makuti-Mubweza. What a song, what a message!
Thiz song really encourages me to always do good en liv my LION OF JUDAH pay me.
Asante sana dadangu na Mungu azidi kukutia nguvu
It's really a true say that, "Tenda wema nenda zako." This song keeps me going on well and relieving stress. I welcomed a person to offer accommodation all inclusive were food and the basic needs but still talks to me rudely, disrespectful and calling me you are a cow and whenever I asked anything, the person talks harshly. Thanks Rose Muhando for such inspiration.
Don't worry bro, I also get the same treatment from people I offer shelter to, we are in the same boat, worry not.
Achana naye only time will tell dear never expect much from human
Kwa hii dunia usisubiri fadhila kama ulitenda wema mwachie Mungu atakufariji
@@wilsonmwalungo9478kabisa kakangu
Still listening this song in 2021 who is with me .tends wema nenda zako ukweli mtupu
There we go!
Me too
ATA Mungu akiwa mbinguni anajua Kweli Wewe ni mtumishi wake
Annastaciah Muchina Exactly
@nyimbo hii nzuri Zuhair
sana
True
I'm totally impressed by the way how Rose hits the wanga. We should not FEAR them. Just hit them with prayers.
Kila mwanandamu lazma apitie kwa jaribu..rose twakombea mungu
Nimekupenda Sana dada rose kazi nzuri ubarikiwe sana,tenda wema nenda zako ujumbe mzuri 😘😘😘.
Bado nipo na Rose muhando ,kweli nitalipwa na Mungu, mhhh jamani we acha tuu tenda wema uende zako, hiyo ni kweli kabisa. Aunty Rose barikiwa sana kwa wimbo huu umenifanya nifarijike sana baada ya maumivu niliopewa na ndugu zangu niliowalea mwenyewe kwa shida .mwishowe nimeambulia kuumizwa na kulia kila siku .asante sana aunt Rose .05.10.24.
wimbo umenigusa sana nilitenda wema Leo lmekuwa fitina jamani tumwogopeni mungu
Hatari sana wanadamu
ni mungu ndo kakupangia upitie ilo yan me mpaka nimeukumbuka huu wimbo ila mungu amelipa nimexhuhudia walah,thankx jeu
In all rose muhando songs, this is my favourite. LOVE THIS SONG!
Asanta sana dada rose wimbo nzuri kabisa Mungu akubariki.
Wape chakula wale washibe wakutukane 😢 wanadamu
Amen dada Rose.
Ubarikiwe sana sana.
It's December 2022 and I can testify the message never gets old. Still rocking like the time I heard it first.
2023 bado niko huku
i love you Rose Muhando from Kenya
Am from Malawi I can't hear or speak Swahili but this song I can understand what everything happening through video... since 2009 ntil now 2024 still shade my tears
matusi utayasikia,kashfa utazipata,waliokula chakula chako watasahau wema wako.watakaa vibarazani wakucheke,mwenzenu wimbo huu ni mimi kabisaaaa yamenikuta mwana kunikuta ,kusa wema wangu kusaidia tena ndugu,malipo ni kukuliza hiyo ndio shukrani yao,kweli malipo kwa mungu.wimbo umenigusa saaana.naitwa Mariam Fritsi,nipo uswis kwa sasa.04.03.17.
Hata Mimi yamenikuta Niko Tanzania mwisho wa mwaka 2020 leo tr 25/12/2020
Pole
Pole na mie ni muhanga wako wa hayo yaliyokukuta wewe
Dada Rose uliimba wimbo huu na sababu kenya twakuombea sana umeshinda vita.
Asante dada unasema kweli kaa n'a subra subra ni kitu kutwa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤
Kweli hayo yote ni mapito na majaribu, tenda wema nenda zako utalipwa na Mungu. Ugua pole dada. Wimbo wa baraka kweli.
Dada Rose ;Amen hakika ukitenda wema usingojee shukurani .
aliyejuu anaona maliza na uwende zako .Hakika mafundisho mazuri
😭😭😭😭nakukumbuka my love joy umenitendea haya tenda wema
I always listen to this song whenever I get hurted, so inspiring
You are right my dearest
Merci maman nyimbo zako n'a bariki sana moto wangu
@@annemarie468you are
Dada Rose kabisa, Tenda wema nenda zako na ufumbe na macho, Also maskio uwe kiziwi. Muachie Mungu
Imenitokea ndiyo maana Niko hapa 2021 hakika mungu yupo BINADAMU hawakumbuki
Having heard the song in a matatu to work ,,my first thing at office was to look for this song ❤❤kweli binadamu hawana asanti tenda wema nenda zako🙏
As from to day niukweli wanadam habebi madam rose barikiwa sana ata mm nilikua namachirani huko mount eligon lakn maneno
do it! do it! do it! it doesn't matter how many will support you, it doesn't matter how people will comment your songs, it doen't matter how many will say 'thank you' for what you are doing...... i've fail to understand why some people hate yah songs..... but just never mind them even Jesus himself was being hate by people bcoz of his teachings. no sooner had they realize that he was the right path than they prove that the stitch in time saves nine. Just don't care n continue inspiring thru' songs. i love the message in all your songs Rose Muhando n may God bless you n your team. much love from Kenya
Rose napenda sana nyimbo zako huwa nafarijika kwa ujumbe na miondoko yako mungu akubariki malikia wa nyimbo za injili
U are blessed rose muhando continue with the good work of our Lord Jesus Christ
Hello, wakubwa Shikamooni,na wadogo Hamjambo tenda wema naenda zako.....❤❤usisubiri kusifiwa! shukrani 🙏
Kweli kabisa, tenda wema ,nenda zako. Rose this is exactly what is happening in your life right now. Never mind about those talking bad and laughing at you. Tenda wema, nenda zako God will bless you. Watching all the way from Mozambique.
Mungu akubariki dada rose kwa ujumbe mzuri unanikumbusha mbali sana .
Ni kweli tenda wema nenda zako ni wazito hawabebeki kamwe God bless u Rose go go ahead
Lucy Daniel U
Tenda wema nenda zako utalibwa na mungu🙏🙏
Be blessed with such song 2024❤
Bwana Yesu asifiwe wapendwa tusichoke kutenda mema siku zote Mungu aendelee kutupatia nguvu yakutenda mema
Kama uko apa 2023 October piga like
Wanadamu si wema tenda wema nenda zako utalipwa n mungu love u Roz muhando
Kweli watakuitakimbelembele ubarikiwe sana
wanadamu hawabebeki kweli kabisa.love ur song
Your songs will never fade my dear
Nasubr nilipwe na mungu km wema nimetend, ni kwel binadamu hawabebeki Dada Rose
I don't understand why people see the negative side after you help them...am tired of being caring anymore God 💔
Keep it up Rose your gospel music is spreading Gods message all over the world
We love you and Jesus love you sister, He will fight for you, Devil is a lier, 2019 will be the year of happiness for u, In Jesus name amen
Amen
Amen
It's 2023 still it's a hit song 🔥🔥🔥
strong,energetic,and full of courage,a very powerful woman that is rose muhando,i love you mum rose keep the fire burning up to the sky,am hope G FROM KENYA
Great song full of revelation....God bless and keep Rose Muhando
Great song
Mungu azidi kuwa nawe da Rose ili nawe uzidi kubariki mataifa.kongole!!.nelson-kenya
The song is so amazing. it really touches my heart. May God bless you work in spreading the gospel
ooooh my God.what ancy song.oh my inapenya dani ya moyo.tamu sana this song.Dawa kwangu huu wimbo rose
Rose aki wewe ni mteule wa mungu ,wafunze wanadamu wajuwe mungu yuko kwa kutumia iyo talanta uliyopewa na mungu .
alafu uanguke tukose kukuinua....tuko nawe muahando hadi tamati....love from Kenya!
Wah you preached this it happened to me but I thank God He intervened when all left me alone
Tenda wema nenda zako usisubiri asante
Am blessed amen tenda wema nenda zako very true watching from Beirut Lebanon 2019
Kweli tenda wema nenda zako
Oh.. Hey Kerubo, hope you are safe
Wish i could understand every single word uttered...God bless you Rose.
I really feel comforted by this just as simple as that " tende wema enda zako Mungu atakulipa. Stay blessed.
wow! nice song..imenipa nguvu leo nilikua nahisi nimefika mwisho Amen be blessed too sister
Na Mungu akuongeze Maisha marefu na akuinue Zaidi. Kipaji chako cha kuiba ni Baraka kwangu kila wakati ninapo kuskiza.
Bwana nipe maarifa tenda wema ya rose ipo moto
Nachokiamini mimi.kila kilichosimama kimeinuliwa.rose muhando kainuliwa na mungu.sasa wewe kakobe na midharau yako nakujiona mungu mtu jichunguze nawewe.tiazama na hata jamii inakuchkuliaje ktk huduma yako.hata unayoyafanya ktk ibada sako ni maigizo.
Yesu aliwaambia ole wao watafutao kuamini kwa miujiza.
Wewe nani unaetangaza muda wa mazingaombwe ktk kazi ya mungu.acheni ushetani watumish wamungu.mtumikieni mungu!!!!!
Joel Justin Mhavile hahaha 😂 hahaha
A very special song that has really touched me
Dada rose mungu akupe uzima milele napenda sana kazi yako usikate tamaa mungu yupo hata kama uliwasaidia usiwawazie mungu tu ndiye atakulipa by Beauty Sileke from Mbeya
Tenda wema nenda zako usisupiri asant mungu tu atakuriba!asante sana dada amen
september
5"15
da rose,hongera sana kwa ujumbe mzuri,kweli tenda wema nenda zako,hiyo ni kweli,kabisa matusi dharau,tena mpaka watoto wao wote wanakudharau,wanasahau kwamba umewalea,mpaka wakakua,leo wanakudharau,wamesahau kila kitu,ama kweli da rose ujumbe mzuri sana,hongera sana,wimbo ni kama umeniimbia mimi.yote nimempa mungu ndie atakae nilipa.naitwa mariam fritsi nipo uswis.15.12.15.
mungu akubariki
Nice song
God bless you Dada
tupo wengi mariam
miriam fritsi mimi na wewe dada miriam hatuna tofauti Kwa maelezo yako mm Kwa Sasa na pressure juu nimeambulia matusi dharau na kejeli Kwa watt na baba yao pia,niligeuzwa tambara la deki wakanikanyaga watakavyo,now namshukuru mungu maisha yanaenda tena nina furaha na aman
Lilly Thomas Mungu atutie nguvu
Tenda Wema nenda zako, such a great song. God bless you Mum, listening from Saudi Arabia
Nani anadikliza na mimi 2018...tenda wema nenda zako
Sara Wanja tends wema nenda zako usingoje shokrani
Nice song. Utalipwa na Mungu
Niko 2019 na bado nausikiza. Ujumbe mzuri sana
Amen
@@fridaabedi3196 pamoja nawe, halelya
Tenda wema nenda zako utalipwa na mungu hata mimi nimetenda wema naenda zangu nitalipwa na mungu ubarikiwe sana dada rosi huu wimbo nausikiza nikiwa lebanon
Rose kazana Dada angu siamini yaliyokukuta kudhulumiwa #Jawabu studios pamoja najua mtafika mbali sana na Mama yetu Rose #Basil pamoja sana ukiwa huko Kenya Machakos town
how I love your ministry my God bless you more
Ameni Dada rose balikiwa from dar
eunice mutheu kweli ,nime yaona
Bwana yesu endelea kumuinua rose muhand zaid nazaid pend wew mnoooo
Nakupenda saaana rose
This song comforts me whenever i feel like giving up 🙏🙏🙏
Napenda hii wimbo sana na kwangu ni tuzo kubwa kwa kweli mungu ndo ulipa binadamu haki.....
Ahsante Rose kwa huu wimbo umenifunza mengi nikawa na amani rohoni baada ya kusalitiwa
2012 song..11 years down the line na bado inanijaaz
Kweli wimbo huu umenigusa yaliyonipata mimi Mungu ndiye atakayenilipia. Asante sana Rose mhando
💃💃 ten da💃💃 wema ,t enda 💃💃💃💃💃k wag ala ☝💃💃💃muk w ano
Tutende vema twende zetu wapendwa tusingoje shukrani wanadamu hawa bebeki asante sana Dada rozy ubarikiwe sana
Huyu Dada ana hatari jamani hqna mfano, ubarikiwe sana Rose