Majina yangu ni mtumishi wa MUNGU kutoka KENYA kipindi na kifuata mia kwa mia na inapendeza Sana kwa vipanji ni nazo ziona zikiona na wanafunzi Kama patronize MUNGU akubariki sana baba joan.
Kabisa,hasa kwa season hii ameonesha mabadiliko makubwa,kapiga hatua kubwa ,tangu nianze kumfuatilia kwenye MREMBO NYOKA ,naona kabisa kuna Improvement kubwa
Hakika ni mmejua kuelimisha jamii especially kwa upande wa walimu hili limekuwa funzo kubwa sana ni jinsi gani ya kuwa na misimamo na jinsi ya kuishi maeneo yetu ya kazi
From USA ,I love it this happen to me in 2013 in kakuma refugee camp In kenya but in good like mwalimu MGENI atashida hii case kama nilivyo ishinda ukweli upita kwenye moto mungu niwamajabu mwalimu MGENI anipigiye in box Niko nazawadi yake na
Mimi nimekua nafatilia kutoka USA 🇺🇸 Washington dc. Nampenda sana patronize na mwalimu mgeni hasa moyo wake safi sana. Naomba hii series iendelee kwa miaka kadhaa tafadhali.
This story touched me bro I had sach a problem in my career 😢. And by bad lack i was teaching in UGANDA and my country is KENYA it was not easy only God. ❤❤❤
Yaaani ndo picha LINAANZA........🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥ukweli upi karibu kudhihirika,,,,,,,,Magesa ako karibu kuomba msamaha,makingi naye ajipange kufungwa... I appreciate everything... salute to team BABAJOAN.....NAFATILIA KUTOKA KENYA💯💯💯📌📌
Huyu patronize ni version ya mbosso kabisa yani,anaimba vizuri sana dogo...
Majina yangu ni mtumishi wa MUNGU kutoka KENYA kipindi na kifuata mia kwa mia na inapendeza Sana kwa vipanji ni nazo ziona zikiona na wanafunzi Kama patronize MUNGU akubariki sana baba joan.
Mwanzo wa ubaya ni aibu oneni sasa moja badaa ya moja wakuu wapi maua ya shujaa wetu mwalimu mgeni🎉🎉🎉❤❤❤
Baba Joan kwakwel ume-Improve kwa kiwango kikubwa sana, Hii season iko vizuri,Hongeren sana
Baba Joan anaweza sana
Kabisa,hasa kwa season hii ameonesha mabadiliko makubwa,kapiga hatua kubwa ,tangu nianze kumfuatilia kwenye MREMBO NYOKA ,naona kabisa kuna Improvement kubwa
Kibokoo yaooo ni baba joan
Amechinja sanaa
Huyu patronise mungu amwinuwe namufatilia nikiwa saudi arabia ❤❤
🎉
Tunaomwombea dua mwalim mgen asipate shida tujuane hapa tunakikao Cha dharura❤❤❤❤🎉🎉🎉
Asipo pat shd na move itakuwa imeisha
Sema mungu atamvusha
Hahahahha
Vip uyu dogo anaishi wapi
Mungu amsaidie🙏🙏🙏
Mwalim mgeni you are very intelligent to serve you problem
MashaAllah TabarakAllah. Kumbe hii move wenye wako serious nakuifatilia n wa kenya..much love my country ❤
C❤
ruclips.net/video/YzptPl9g7QI/видео.html
Majungu kazini
That's why Tanzania should always respect Kenyans in terms of promoting others
Majungu yapo tu kila sector
Still following this episode1 1-12 tukiwa pamoja from Kenya nawapenda sana
Salute kwako patronize kila sik ww ndio unaefanya me niwe nafatilia hii tamthilia yenu ❤❤
Mkitumia Maarifa makubwa kwenye uandishi wa script mtapata pesa sanaaaaa hii movie wengi wanaifuatilia hongereni sanaa
Napenda jinsi Patronize anavyoimba Mwenyezi Mungu amzidishie nina imani atafika mbali🙏Nawafwatilia kutoka kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
❤
a.
❤,penda sana
Patronize ataenda mbali
Unaitwa na Anti
Kutoka Kenya mi ni msanii nipewe like zangu
Jamani nimekuwa wa mwisho leo lakini naomba like zangu from 🇴🇲
How are you
Big up patronize,,bila kusahau baba joan❤❤much love from kenya
Naipenda sana kazi yenu.❤❤❤❤ Utamu wa hii filamu umezidi. Nafatilia nikiwa nchini Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mamb
😇 halo
Baba Joan nakufuatilia sana. Much love from Kenya. Unajua vizuri. Naona mwanafunzi kabudaa hapo🥱🥱😊
ruclips.net/video/YzptPl9g7QI/видео.html
Kwakweli hii story muandaaji katumia ubunifu mkubwa sana iko vizuri na inafundisha sana
Mwalimu mgeni wewe nimwenyehekima Sana unanifulaisha moyoniangu ❤️ ninakupenda Sana ninakuamini tena Sana 🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮
ruclips.net/video/YzptPl9g7QI/видео.html
Much love from Angola Luanda ❤❤❤❤❤❤
Napeda mwalimu mugeni sana saudia Arabia tune from kenya
The first tuwatch from Kenya in Qatar mnipe likes zangu😂😂
Nimekupa
Nimekupa like
@@oliviansondieki7473 nakuona
Just loving the script big up, following from Kenya
ruclips.net/video/YzptPl9g7QI/видео.html
THIS IS ABSOLUTELY PERFECT AND TOUCHING..THERE IS MORE TO LEARN IN THIS MOVIE.GOD BLESS TANZANIA ......🇿🇲from Zambia on the map
Mwalimu Mgeni fanya Makeke huyo Patronize aende Studio🎉🎉🎉🎉
Napenda iyi filamu kutoka Congo kabisa ongera🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Wakwanza mimi upande wa muheza- Tanga🎉🎉🎉❤
Sehem gan jamn waooo
😅😅 Me Niko Tanga mjini
Poa
Hakika ni mmejua kuelimisha jamii especially kwa upande wa walimu hili limekuwa funzo kubwa sana ni jinsi gani ya kuwa na misimamo na jinsi ya kuishi maeneo yetu ya kazi
Xafi xan
Good JOB.........MMETUSAIDIA SISI WALIMU KUWA MAKINI
Mitego migumu sana mara unazama😂😂
😢
Much love from Nakuru Kenya, I relate it
From USA ,I love it this happen to me in 2013 in kakuma refugee camp In kenya but in good like mwalimu MGENI atashida hii case kama nilivyo ishinda ukweli upita kwenye moto mungu niwamajabu mwalimu MGENI anipigiye in box Niko nazawadi yake na
Kiukweli Mungu awabariki Sana Kwa Sanaa watanzania miye kutoka kenya
Asante twakupenda pia❤❤❤
8:52 Simplest comedian ever😂😂
Kazi nzuri sana team mwalimu mgeni tujuane
Huyu patronize ni fund hasaaa! Mungu amfikishe mbali🎉
waiting for episode 13, sijui itakuaje much creativity from kenya❤❤❤💛🧡
🎉
🎉
Ubarikiwe mwalimu mugeni nilikufata mwanzo wa episode 1 mupaka 12 nikonapatamafundisho mengi saanakutokakwako ukonamusimamo wakweli
Namkubali sana mwalim mgeni
Daaaah movies kali sana,patronize kipaji tz🇹🇿🇹🇿
Nawapenda sana ,ktk kenya
Much love from kenya ❤❤❤❤❤❤❤❤
Wow much love from Kenya ❤❤❤
Patronize the upcoming singer and super star 🌟
tufe wote baba john❤️🔥🔥💯💯🔥💯🔥💯
@babajoan nakupata vyema sana nikiwa hapa mpanda Katavi town
Much love from 🇰🇪🇰🇪🇸🇦
Love ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ from Denis-King Angley Official Malawi 🇲🇼🇲🇼🇲🇼🇲🇼
Patronize congratulation I would like to be your dancer as you sing💖💞
Mimi nimekua nafatilia kutoka USA 🇺🇸 Washington dc. Nampenda sana patronize na mwalimu mgeni hasa moyo wake safi sana. Naomba hii series iendelee kwa miaka kadhaa tafadhali.
ruclips.net/video/YzptPl9g7QI/видео.html
Pale kwa kucheka nilidhani itakuwa ni upuuuzi,,,likini mwenzenu hapa nimecheka haki vitunguu vikaungua😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Na mimi umenichekesha😂
Nawakubali kusema ukweli nawafuwatia Sana jitahidini zaidi mambo mazuri muposawa sana nipo Zanzibar 🥀🌹✨
Mwarimu mgeni kwahilo jina nzmpenda ni la kiha.burundi.*Mr NTUSUBIRE*
Hahahaha 🤣🤣🤣 mwalimu mwenyewe amecheka😂😂😂mm sicheke kisa😅😅😅😅😅😅
This story touched me bro
I had sach a problem in my career 😢. And by bad lack i was teaching in UGANDA and my country is KENYA it was not easy only God. ❤❤❤
Pole sana
Sorry everything is gonna be okay 😢
Pole sana na kama alivyo sema mwalim mgen kwamba dawa ya Nuqs ni ALLAH pekee
Nakuombea Mungu Akuondolee mtihan in sha ALLAH ❤❤❤
@@msambi1251😅😊🎉🎉😊😢
ruclips.net/video/YzptPl9g7QI/видео.html
Jamani hii filamu iko sawa zaidi naipenda sana. Mwalimu mgeni ukopowa sana
Yaaani ndo picha LINAANZA........🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥ukweli upi karibu kudhihirika,,,,,,,,Magesa ako karibu kuomba msamaha,makingi naye ajipange kufungwa... I appreciate everything... salute to team BABAJOAN.....NAFATILIA KUTOKA KENYA💯💯💯📌📌
Episode ifuatayo mjitahidi kuwahisha mwendelezo jamani 🎉❤❤❤ ni nzuri sana
Naipenda Sana kazi yenu Mungu azidi kuwainua naifatilia saba
Ule bnti aseme kweli,Mwalimu mugeni bamoteshe ko ile mugogoro.Mimi nawafwatilia kuktoka Rwanda
Patronize namupenda sana na mwalimu mugeni da hasa hasa hasa patronaize toka Congo
Much love from Mombasa Kenya ❤❤❤❤❤
Bungoma kenya
Following from the 1st episode until know very inspiring ❤❤❤ Kenyan love to Tz
ruclips.net/video/YzptPl9g7QI/видео.html
Nimejifunza kuwa hekima inafaida nmependa sana busara za mwalimu mgeni ❤❤❤
Baba Joan my best Kenya
😂😂😂😂😂 yaani nimecheka 😂😂😂😂 jaman 😂😂😂😂😂
Much 💕 she made me to lough
Nan kamuona kibonge mayele🤣🤣🤣😂😂😂
wenye tumecheka tupowangap tujuane kwa Comet mwalim mgeni ongera😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
Salute Kwa Mwalimu Mgeni🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Huo mwalim mgeni bbhana anaenda polepole hadi misho
Napenda wote wa nasogeleya mwalimu mugeni na wapenda ila mwelimu mugeni ana kipaja ana juwa fundisha sana.
Mwalim ntusibile Kandi bileke bigende ibindi biloza muha kweli 😂😂😂😂😂 ila twasubili 13 kwa kishindo Cha kisuli suli more love
Namba8❤ 🎉 mi ndo mtazamaji mgeni
Mko sawa ❤mary mwendia from Nairobi Kenya
Safi tena sana oya mzee b john huwimbo itoeni
🎉mwalimu mgeni twakuombea uishi maisha marefu ❤❤❤
Jamani wa kwanza hapa kutoka mbeya. Hii simulizi tamu sana isiishe tu
Much ❤️ from west pokot county🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nimetoka Kenya nitua huku napendeswa na mwalimu ❤❤huyu
I have liked it from part one up to twelve
Nyie watoto adi me nimecheka mamaae 🔥🔥🔥
Much love from burundi ❤❤❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Patronize love you. Uko vizuli unasaut ya kuimba brother mungu akupe nguvu❤️❤️
Wakwanza kutoka Kenya nipeni mauwa yangu likes zikuje
Like zangu
Move nzuri sna naifatilia nikiwa Kenya ❤❤
I really like the show watching from Kenya
Mungu abariki kipaji chako baba joan utafika mbalii
Unajua sanaa hongera sanaa
Mbona munachelewa jamani tamueeeee❤❤❤❤❤
Niko wa kwanza kutoka DRCongo. Nataka ❤ zenu🎉
Hahaha uliweka WAP hzo like rafik Ang😅😅😅😅😅
Hadithi nzuri ...yatufunza mengi haswa walimu...ongeza episodi nying8❤
Kutoka kenya but nko Qatar. Big up.
Wanangu wa Kenya mnatisha xna kutoka mwnza mwanza Tanzania ❤❤
Very touching, God bless you
Unakawia sana kuto mwendelezo jaribu kwenda hi araka kesho tupate sehemu nyingine kisa hiki kinaumaufundi mwingi
Wivu kusingizia maneno za uongo ni mbaya sana mungu atupe hekima na marifa.. mafunzo mema twashukulu..
In Shaa Allah aimiin .
Maneno ya uongo
Love from GOGO LOVE OFFICIAL to BURUNDI
❤ Ongera pia ongeza bidii brother unaweza San 🙏🙏
😂😂😂😂mimi nimesheka kabla bado uyo mwanafuzi ajaanza atakushekesha😅😅😅
Lyk ua show from Embu Kenya
Kumbe nikisingiziwa mimba ndo nasolve simple hvo😁nimejifunza kitu from baba Joan thanks