Chunya Dc Online
Chunya Dc Online
  • Видео 102
  • Просмотров 33 298
TIMU YA WATUMISHI CHUNYA YAENDELEA KUJIMARISHA TAYARI KUSHIRIKI SHIMISEMITA 2024
Timu ya mpira wa miguu ya Halmashauri ya wilaya ya Chunya imeshika nafasi ya pili kwenye bonanza la michezo lilofanyika uwanja wa Sokoine ambapo katika michezo mitatu iliyochezwa Chunya imeshinda mchezo mmoja, imedroo mchezo mmoja na imefungwa mchezo mmoja hivyo kuwa na jumla ya pointi nne n imeshika nafasi ya pili ikitanguliwa na RAS yenye pointi saba
Bonanza hili limeshirikisha timu nne ambazo ni RAS, Mbeya DC, Chunya DC na Timu kutoka shule za ST Marry’s. Jambo la Kufurahisha ni kwamba Chunya ilitoa suluhu ya Moja kwa moja na timu iliyoongoza yaani RAS.
Kiongozi wa timu ya watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Chunya Ridhiwan Mshigati amesema bado michezo hii ni maandalizi tu hivyo watae...
Просмотров: 85

Видео

BILIONI 2.2 BAJETI YA TARURA WILAYA YA CHUNYA, SERIKALI TUNASHUKURU
Просмотров 330День назад
Kuna ongezeko kubwa la Bajeti wilaya ya Chunya Kutoka Milioni mia saba mpaka bilioni mbili na milioni mia mbili, Wananchi wa Chunya tunaishukuru Serikali ya awamu ya sita kwa kuendelea kututendea haki wananchi wa wilaya ya Chunya kwenye Miundombinu ya Barabara Imani yetu kwa Serikali ni kwamba Serikali Chini ya Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan itaendelea kuitazama Chunya kwa upekee sana
TANGAZO MUHIMU KWA WANACHUNYA
Просмотров 98День назад
Mwezi wa saba ni mwanzo mwa mwaka wa Serikali, Hivyo mambo mengi huwa yanakuwa na Mabadiriko. Mwananchi wa wilaya ya Chunya Tangazo hili ni muhimu ukaliona wewe na ukamjulisha na mwingine ili tuijenge Chunya pamoja Ukipata Changamoto yoyote kuhusu kulielewa Tangazo hili tafadhari wasilianan na ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji au fika ofisini upate ufafanuzi
DED CHUNYA; "HATUPOI HATUBOI KAZI INAENDELEA KWENYE WILAYA YA CHUNYA".
Просмотров 177День назад
DED CHUNYA; "HATUPOI HATUBOI KAZI INAENDELEA KWENYE WILAYA YA CHUNYA".
HATUTAPITISHA MALIPO YENU MPAKA MLIPE MADENI YENU KWA RUWASA
Просмотров 211День назад
Katubu tawala wilaya ya Chunya kwaniaba ya Mkuu wa wilaya ya Chunya amezitaka Taasisi zote zinazodaiwa na RUWASA Kulipa madeni yao yote na amesema Hakuna maliyo yatafanyika kwa taasisi zinazodaiwa mpaka pale madeni yote yatakapokuwa yamelipwa
FURSA KAMA HIZI BADO TUNAZIHITAJI CHUNYA
Просмотров 23314 дней назад
Zaidi ya Watu 450 wenye ugonjwa wa macho (Mtoto wa Jicho) wefanyiwa upasuaji Chunya. Huduma zimetolewa kwa hisani ya Hellen Keller Internation na Himalayan Cataract Project (HCP) Huduma za uchunguzi na upasuaji zimefanyika bure kabisaa bila gharama yoyote
MATIBABU YA UGONJWA WA MTOTO WA JICHO YANAENDELEA KUTOLEWA BURE HOSPITALI YA WILAYA CHUNYA
Просмотров 13914 дней назад
Zoezi la Matibabu ya Ugonjwa wa mtoto wa Jicho linaendelea Hospitali ya wilaya ya Chunya, Uchunguzi na Matatibabu ni bure kabisa, Zoezi hilo limeanza tarehe 19/06/2024 litahitimishwa tarehe 24/06/2024 Kumbuka Zoezi hilo ni bureee kabisa
MTOTO APATE HAKI ZAKE AMBAZO ANASTAHILI KUPATA, DC BATENGA/ MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA!!
Просмотров 8914 дней назад
MTOTO APATE HAKI ZAKE AMBAZO ANASTAHILI KUPATA, DC BATENGA/ MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA!!
DC BATENGA "WAZAZI LAZIMA TUHAKIKISHE WATOTO WANAPEWA CHAKULA SHULENI". SIKU YA AFYA NA LISHE IFUMBO
Просмотров 15914 дней назад
DC BATENGA "WAZAZI LAZIMA TUHAKIKISHE WATOTO WANAPEWA CHAKULA SHULENI". SIKU YA AFYA NA LISHE IFUMBO
ASANTE CRS KUENDELEA KUSAIDIA UPATIKANAJI WA MAJI CHUNYA
Просмотров 167Месяц назад
Catholic Relief Servises (CRS) Imesaidia ujenzi wa miradi ya Maji Kata ya Sangambi (Vijiji vya Sangambi na Igundu) Miradi inafanya vizuri sana kuwapatia maji wananchi Kwasasa inajenga mradi wa Maji kata Ya Kasanga kwenye kijiji cha Soweto huku taasisi za Serikali kama Shule na Serikali zitanufaika moja kwa moja
KIKAO KAZI CHA WALIMU NA MKURUGENZI MSAIDIZI ELIMU OR TAMISEMI
Просмотров 232Месяц назад
KIKAO KAZI CHA WALIMU NA MKURUGENZI MSAIDIZI ELIMU OR TAMISEMI
MAKALA MAALUMU YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA ITEWE
Просмотров 386Месяц назад
MAKALA MAALUMU YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA ITEWE
Homera "Mkikamata Mtu anatorosha Tumbaku, Taifisheni hiyo Tumbaku".
Просмотров 94Месяц назад
Homera "Mkikamata Mtu anatorosha Tumbaku, Taifisheni hiyo Tumbaku".
RC HOMERA; TUNATAKA HELA ZA KUTOSHA KWA WANANCHI/ UFUNGUZI WA MSIMU WA MASOKO YA TUMBAKU.
Просмотров 218Месяц назад
RC HOMERA; TUNATAKA HELA ZA KUTOSHA KWA WANANCHI/ UFUNGUZI WA MSIMU WA MASOKO YA TUMBAKU.
CHUNYA NI YA TATU KATIKA MATUMIZI YA MITANDAO YA KIBENKI NA SIMU KATIKA MATUMIZI YA FEDHA ZA TASAF.
Просмотров 223Месяц назад
CHUNYA NI YA TATU KATIKA MATUMIZI YA MITANDAO YA KIBENKI NA SIMU KATIKA MATUMIZI YA FEDHA ZA TASAF.
MOTISHA CHACHU YA MAFANIKIO WILAYANI CHUNYA!
Просмотров 3862 месяца назад
MOTISHA CHACHU YA MAFANIKIO WILAYANI CHUNYA!
"WATENDEENI HAKI WAKULIMA ILI WAPATE HAKI YAO" DC BATENGA
Просмотров 1812 месяца назад
"WATENDEENI HAKI WAKULIMA ILI WAPATE HAKI YAO" DC BATENGA
ZAO LA TUMBAKU LA IPIKU DHAHABU UCHANGIAJI WA PATO LA HALMASHAURI.
Просмотров 6112 месяца назад
ZAO LA TUMBAKU LA IPIKU DHAHABU UCHANGIAJI WA PATO LA HALMASHAURI.
USHIRIKI WA VIJANA KATIKA SEKTA YA KILIMO CHUNYA UNAIMARIKA
Просмотров 4983 месяца назад
USHIRIKI WA VIJANA KATIKA SEKTA YA KILIMO CHUNYA UNAIMARIKA
#MITATUYASAMIA; CHUNYA TUPO SALAMA, UZALISHAJI UMEONGEZEKA KATIKA KILIMO.
Просмотров 3423 месяца назад
#MITATUYASAMIA; CHUNYA TUPO SALAMA, UZALISHAJI UMEONGEZEKA KATIKA KILIMO.
HALI YA MAZAO YA CHAKULA CHUNYA INARIDHISHA
Просмотров 2843 месяца назад
HALI YA MAZAO YA CHAKULA CHUNYA INARIDHISHA
Ushiriki wa Wanawake katika Kilimo cha Tumbaku
Просмотров 5223 месяца назад
Ushiriki wa Wanawake katika Kilimo cha Tumbaku
KATA YA NKUNG'UNGU/ USHIRIKI WA WANANCHI KATIKA UJENZI WA MIRADI YA MAENDELEO.
Просмотров 4054 месяца назад
KATA YA NKUNG'UNGU/ USHIRIKI WA WANANCHI KATIKA UJENZI WA MIRADI YA MAENDELEO.
HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA KUKUSANYA BILIONI 8.7 MWAKA WA FEDHA 2024/2025
Просмотров 834 месяца назад
HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA KUKUSANYA BILIONI 8.7 MWAKA WA FEDHA 2024/2025
DC BATENGA, KILA MMOJA LAZIMA AHESHIMUNI MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI
Просмотров 1215 месяцев назад
DC BATENGA, KILA MMOJA LAZIMA AHESHIMUNI MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI
DC BATENGA, "TOENI USHIRIKIANO PALE UNAPIHITAJIKA ILI KESI IENDE HARAKA NA HAKI IWEZE KUTENDEKA"
Просмотров 475 месяцев назад
DC BATENGA, "TOENI USHIRIKIANO PALE UNAPIHITAJIKA ILI KESI IENDE HARAKA NA HAKI IWEZE KUTENDEKA"
TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO H/SHAURI YA WILAYA YA CHUNYA KWA KIPINDI CHA MIAKA 3
Просмотров 2355 месяцев назад
TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO H/SHAURI YA WILAYA YA CHUNYA KWA KIPINDI CHA MIAKA 3
Ziara ya Mkuu wa Wilaya Kata ya Sangambi, Wananchi Jengeni Nyumba Bora
Просмотров 1615 месяцев назад
Ziara ya Mkuu wa Wilaya Kata ya Sangambi, Wananchi Jengeni Nyumba Bora
HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI WA MAPATO
Просмотров 1855 месяцев назад
HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA YAVUKA LENGO UKUSANYAJI WA MAPATO
DC Batenga, Azindua Kampeni ya Upandaji Miti Wilaya ya Chunya Kijiji cha Majengo
Просмотров 1415 месяцев назад
DC Batenga, Azindua Kampeni ya Upandaji Miti Wilaya ya Chunya Kijiji cha Majengo