Baba katika jina la Yesu christo, nimeweka Fred kwa mikono yako takatifu, mufunikie na damu ya mwanao Ysu christo ma adui wote na nguvu za ngiza zikose nguvu kabisa. Nimeongea damu ya takatifu juu ya huyo Fred Baba mulinde.
Kufanya kazi na wanawake ni shida ona Sasawalivyo haribu Kila kitu. Badala wangojee ..ambiwe mission ni gani kwanza wanatokea kaa wanjinga Fulani ..ambapo hata deal ijakuwa. Sawa. Wameniboo wanafanya kazi kuwa ngumu sasa
@@jacintamumbi-c6v shetani anao uwezo japo hamshindi yesu. Hukuona fred akitolewa baharini sikuingine? Hawa nguvu za mungu ndani yao ni kidogo ndio maana kilawakati wanaita mapastor
Kila la kheri kazi njema Dci fred MWENYEZI MUNGU akudangulie akulinde akutunze akutawale Akuongose akufunike akusingire kwa Damu ya BWANA wetu YESU KRISTO akupikanie akushindie akuweseshe vyema kwa kila Jambo katika Jina la YESU KRISTO barikiwa Sana nyote shalom
I love this man with all my heart I am prayingg God give him alot of knowledge and protect him with blood of jesusChrist.guys I can't stop watching his vidios
Bellah call pastor and Riaga wakuje na holy water na annoiting oil kwenye studio wamalize hizo nguvu za shetani pls God protect our DCI wth the precious blood of Jesus holy ghost fire🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
May the lord continue protect you fred imagine hua unajitolea sana mungu akuzingile na damu yako takatifu 🙏 bella si ungeambia fred muende hadi na pastor juuu vitu zingine zinastahili maombi zitoke at least mungeenda na pastor Joshua waaah mungu awafunike na damu Yako takatifu 🙏🙏🙏
Bella tafta pastor amalize haya mapepo , alaf naona ako na chain kwa shingo pia atolewe na pastor pliz kisha mtawin all battles in jesus name 🙏🙏🙏🙏 🔥🔥🔥🔥🔥
Mnaandika headline xa kipuzi sana nyinyi ,,,DCI mahali umejiingixa ni mungu too,,,i don't wan't to see you suffering vile DCI OLVER alikua analia na akuna mtu alikua anampea ata support,,😢
Weee ni kweli dci olver mpaka the last minute na hukusadika na ni hyo fake governor ndio alisababisha juu ya ķufwatilia kesi zake za mauji ya sacrifices 😢😢😢😢😢😢😢
kila la kheri kazi njema Dci fred MWENYEZI MUNGU awe nawe akulinde akunze akufunike akusingire kwa Damu ya BWANA WETU YESU KRISTO akupikanie akushindie akuweseshe vyema kwa kila Jambo katika Jina la YESU KRISTO barikiwa Sana nyote shalom
Mwathani Jesu Gitìra DCI Frederick tu ndamùkunìka na itu rìa thakame yaku Jesu Kristo na Ndaria Zakaria 2:5 ukuta wa Roho mtakatifu in Jesus Mighty Name
Lakini hyu DCI n mjanja sana napenda vile anatumia akili, congratulations to him🎉👏
@@KyaloSusan sure our Dci is very smart❤️❤️
I remember even when he told wambui to lie baba kafue and within some minutes mzee was there.he is smart indeed
And that is where Dave anakosa
We need pastor Joshua mama Derrick ameomba ya kutosha
@@graceg.g5199 True
Ulinzi wa FRED uko mikononi mwa Jehovah.🙏🙏🙏🙏
Muombeeni Fred akuwe mshindi,mambo ya giza haiwezi shinda ya mwangaza,then maybe Mungu anatumia DCI FRED YOU NEVER KNOW.
Amen,God atateda .
Amen There is power in the blood of Jesus Christ tutashinda
That's true
Mtume olum said he entered into Fred to rescue Dave so even this one will do
Bora tu Fred aite pastors, it will be well
Baba katika jina la Yesu christo, nimeweka Fred kwa mikono yako takatifu, mufunikie na damu ya mwanao Ysu christo ma adui wote na nguvu za ngiza zikose nguvu kabisa. Nimeongea damu ya takatifu juu ya huyo Fred Baba mulinde.
Amina
🙏🙏
That is so🙏🙏
Amen
Amenn
YESU amfunike DCI Fred kwa damu yake
Wambui uko na kiherehere Sana.. leave DCI to work his job peacefully aishhhh
God protect Fredrick junior shindwe katika jina la yesu
Some people mistakenly use my name anyhowly,i hate this 😢😢
Aki Fred mungu 🙏akusaidie juu junior ashaa ingia illuminati
God above all Kama pastor Jemes alitolewa illuminati na senior Dave pia huyu atatoka tu
Sio aty ashaaingia allikua hata akiwa kwa jay ni vile ameupgrade na akajiexpose...mungu saidia dci
MUNGU wangu usikumbali shetani ajisifu tunakutengemea MUNGU 🙏
HAPO MUMEKOSEA FRED SANA YAANI ATA HAMJAMPEA MUDA AONGEE NA JUNIOR,MUMEANGUKA MTIHANI KABISA.WAMBUI KIHEREHERE UTAACHA
Kufanya kazi na wanawake ni shida ona Sasawalivyo haribu Kila kitu. Badala wangojee ..ambiwe mission ni gani kwanza wanatokea kaa wanjinga Fulani ..ambapo hata deal ijakuwa. Sawa. Wameniboo wanafanya kazi kuwa ngumu sasa
Wambo kihelele kila wakati si anyamanze ambiwe jnye anafanya
D c i keep off hii story wee realy love you
Shinda ni, Bella hawakumwambia junior ni Illuminati. Hapa kuna hatari
@@margerykigotho6351walimwambia
@@mariamuchlka9552 akna kitu ukijua hixo vitu hazikuagi n nguvu alfu wainue Imani zao ushindi upo Tena mkubwa
Sasa tikiogopa illuminati Mbiguni ni Noooo
Walimwambia anajua @@margerykigotho6351
Sijui bona watu wanaogopa shetani. Shetani hana uwezo ata kidogo.
@@jacintamumbi-c6v True
True
Ukweli
Amen
@@jacintamumbi-c6v shetani anao uwezo japo hamshindi yesu. Hukuona fred akitolewa baharini sikuingine? Hawa nguvu za mungu ndani yao ni kidogo ndio maana kilawakati wanaita mapastor
Watu 10 wanipitie niwapitie tugrow pamoja ❤❤❤
❤❤dane mama pitia pia
@@Morgan-k8qdone nipitie pia please
Done pitia
@maureenswifty3615 dane pitia pls
Done nipitie back please
Mungu atangulie mbele mungu na shetani awawesi sikana ata kidogo fred mungu ako mbele yako
Bella kwanini humwambii Fred watu wenye ana deal nao wanataka pastor juu ya maombi aki mungu zingira Fred na damu yako twakuomba🙏
Risasi pap story iishe
Amen Amen
si alimwambia
I wish some one can reach Fred and inform him, even if its through lkne yabWambui😢
He know bella alimwambia before
Kila la kheri kazi njema Dci fred MWENYEZI MUNGU akudangulie akulinde akutunze akutawale Akuongose akufunike akusingire kwa Damu ya BWANA wetu YESU KRISTO akupikanie akushindie akuweseshe vyema kwa kila Jambo katika Jina la YESU KRISTO barikiwa Sana nyote shalom
Fred mungu akufunike na damu ya yesu Kristo
Blood of jesus blood of jesus blood of jesus blood of jesus blood of jesus blood of jesus blood cover fred in jesus name
Aki ata nilisahau,,, merry Christmas Dci Freddy
Shetani hauna mamlaka.. Shindwe katika jina la yesu
Aky DCI mungu Yuko Dani yako tunakuonbea mungu Tu umefanya kazi nzuri sana❤❤
May the Pure Pressure Blood of our LORD JESUS CHRIST PROTECT You DCI Fred
Fred weka huyu msitu upige risasi mara moja😂😂😂
Haki.. Kama zile gaidi za Kinangop
😂😂
Apige yeye mara moja 😢😢anajukua wtu wa mungu
Akufee 😂😂😂 atawaua wengi huyu gaidi
Hapa bella angeita pastor Nancy waende wote Kwa pomoja
Sasa I prefer now pastor Joshua
@graceg.g5199 pastor Joshua Ndo dawa ya Hawa mashetani
Bella ,wambo should be busy praying 😮😮😮😮😮😮😮😮
Mungu azidi walinda mana iyo kazi sirahisi.
May God fight for you 🙌🙏sio rahisi but with God everything is possible in jesus mighty name🙌🙏🙏
dci mungu na akuongoze sio rahisi kupigana na mapepo
I love this man with all my heart
I am prayingg God give him alot of knowledge and protect him with blood of jesusChrist.guys I can't stop watching his vidios
Always way Frederick ata shinda INSHALLAH ❤
@@BariisSamatar Amen 🙏🙏
Aki tuseme amen kwa dci wetu kuwa mungu wetu hajawai shidwa
ata sisi tukiomba frd anashinda wachen kua waoga mm nimeombee frd wetu MUNGU akupe ulinzi wakutosha uwe mshindi kwakila jambo
Prayers
Mungu awalinde wote DCI,Bella and wamboi kwa KAZI yenye mnafanya❤❤ neema ya mungu iwe juu yenyu na nyinyi NI washindi🙏🙏🙏
No weapon formed against you dci Freddie will prosper in jesus name 🙏
Amen
Bellah call pastor and Riaga wakuje na holy water na annoiting oil kwenye studio wamalize hizo nguvu za shetani pls God protect our DCI wth the precious blood of Jesus holy ghost fire🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
May the lord continue protect you fred imagine hua unajitolea sana mungu akuzingile na damu yako takatifu 🙏 bella si ungeambia fred muende hadi na pastor juuu vitu zingine zinastahili maombi zitoke at least mungeenda na pastor Joshua waaah mungu awafunike na damu Yako takatifu 🙏🙏🙏
Bella tafta pastor amalize haya mapepo , alaf naona ako na chain kwa shingo pia atolewe na pastor pliz kisha mtawin all battles in jesus name 🙏🙏🙏🙏 🔥🔥🔥🔥🔥
May thy Lord protect Dci Fred
Fire fire fire en more fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 in Jesus Christ Lord Ameeen shetani ana nguvu katika jina la Yesu Kristo Ameeen
May the Almighty God give wisdom to fred n the team n may they be covered by the blood of Jesus christ.
Mwenyezi mungu akulinde DCI in the mighty name of Jesus
hutaingiza mtu yoyote katika ufalme wenu in Jesus holy name amen 🙏🙏 setani hanauwezo mungu ndie ako na uwezo
Dci fred uko na ujuzi bt Mungu akurinde katika jina la Yesu 🙏🙏
Na unasikia mtu. Akisema ati huyu si askari,,hii ujuzi wote alisomea wapi?
Wambo si nache mucene haki.
@@esthernjonjo6858 aki🥺🥺
@@esthernjonjo6858 weh ako na mingi xna
Thankyou Wambo umesema Shindwe katika njina kuu la Yesu
Aki mungu saidia fredy amepigana sana juyawatuwako
Mnaandika headline xa kipuzi sana nyinyi ,,,DCI mahali umejiingixa ni mungu too,,,i don't wan't to see you suffering vile DCI OLVER alikua analia na akuna mtu alikua anampea ata support,,😢
Weee ni kweli dci olver mpaka the last minute na hukusadika na ni hyo fake governor ndio alisababisha juu ya ķufwatilia kesi zake za mauji ya sacrifices 😢😢😢😢😢😢😢
Sisi sio wale wa kuuziwa uoga.
@@tashaceri5606 kwani uko wapi hapo unarushiwa uoga🤔🤔
@@tashaceri5606 nani ame kuuxia woga😎😎
Illuminati power less ushidwe katika jina la yesu Amen 🙏🙏🙏
DCI Fred may God protect you 🙏🙏
Nay our gracious Lord cover our Dci with His wings in Jesus name 🙏🏿
Mungu funika fred
Ohh lord protect Dci fred in his work 🙏🙏🙏
God protect Jay, senior Dave and their teams ?
Wewe bella nyamazaaa😮
Aky woooye Dci, bt never give up Mungu ako na nyinyi
So our DCI God is with you always together with your comrades as you are in mission to rescue True K.
Our dci we cover you with the blood of Jesus Christ, you are safe and secure in Jesus mighty name 🙏
Bella ni kumbelembele sana..
kila la kheri kazi njema Dci fred MWENYEZI MUNGU awe nawe akulinde akunze akufunike akusingire kwa Damu ya BWANA WETU YESU KRISTO akupikanie akushindie akuweseshe vyema kwa kila Jambo katika Jina la YESU KRISTO barikiwa Sana nyote shalom
God protect you all
Dci Fred may God continue protecting you.Wonderfull!
Bella please tell our Dci the TRUTH before geting involved in this🙏🙏
Imagine Bella anajua vizuri but awezi sema ambia Fred ukweri
Anajua ukweli ganibhiyo
Ukweli gani hiyo?
Iteni bibi ya gavana haki
Sasa ni bwana ya Bella mnataka Bella asisaidiwe, kweli nyinyi. Si muobee Bella. DCI anajua ni illuminate na ameona mpaka governor
Lazima MUNGU akushinanie our DCI 💪💪
God of heaven bless DCI fred aki
Wooiyee mungu atuna uwezo ila ni wewe tengemeo letu,...
Nani mwingine anatetemeka ka mimi
Wacha tu tuombe
Mimi hapa mpaka ninasweat, MUNGU Linda Fred na umpiganie
DCI you're the top i love your job may blood of Jesus cover you and your team
Wambo wacha rushing y do you lick information,,,gojea dci.
Ako na kiherehere juu Fred ako hapo
Wamboo sema Yesu Yesu Yesu.. in Jesus Mighty name of our God.
Haki let's appreciate Mr Fred's work because amarisk his life to demon to safe hata ppls lives
Trust in the living God Jehova and the 😈 will shy,that devil worshipper😊
God be with our Fred 🙏
Mungu kama uishivyo na haujawai shidwa,pigania Fred ,Bella na team Dave
May God reward you Dci fred for good work you're doing. Only him can be able to pay you.❤❤
May the blood of Jesus Christ shade on the Cross cover our good DCI Freddy 🙏
Mungu onekana shetani ashidwe Kwa jina lako jesu 😊 🙏🙏🙏
Natamka damu ya yesu kwa Fred katika jina yesu
Mungu alimushindania dci Mombasa baharini atamupigania 🙏🙏
Wp pastor Nancy please 🙏🏻 😢 funs tueke Fred kwa maombi🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Mwathani Jesu Gitìra DCI Frederick tu ndamùkunìka na itu rìa thakame yaku Jesu Kristo na Ndaria Zakaria 2:5 ukuta wa Roho mtakatifu in Jesus Mighty Name
We have the power and authority in Jesus Christ name. Jehova protect Fred. Jehova we are morethan conquerers
God protect your servant ad I cover them with the blood of Jesus Christ
Nuru na giza havifanani may Jah protect,defene guide you Fred just know that the work you are doing isn't yours but it is God who is fighting
Blood of Jesus Damu ya yesu, 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Dci fred now call pastors quickly quickly quickly hurry hurry hurry before things are bad
Fred Mungu akulinde 🙏🙏
Lets pray for them 🙏
O God this battle belongs to you, fight for us a nd give us the victory we ask in Jesus mighty Amen 🙏🙏
Mungu watangulie na damu yako
Good job our DCI and Dante❤❤
Mngemtoa hizo viatu za red na hiyo chain ndizo ziko na nguvu zake....na ashindwe katika jina la Yesu
Kutoa hizo chain inahitaji pastor Sio mtu wakawaida.
Fred Wewe ni mwanaume kweli❤❤
Mungu siku zotee
Fred our DCI,,,may the blood of Jesus cover you
Take his phone immediately and sanitize it, you will know where director J is
Our one and only dci fred God will never leave you in each every situation 🙏 🙌 ✨️
Pastor Joshua i hope unaona ukumbuke fred na maombi,ama pastor Nancy
DCI FRED YOUR A WINNER COX THE ONE IN YOU IS FIGHTING FOR YOU THIE BATTLE IS NOT YOURS .
Mungu tangulia kwa hii jambo
Holy ghost fire 🔥🔥🔥🔥.
Yule DCI wa true k ni governor ndio aliorganize akapata job so ndio ilikua rahisi kusema afutwe
Haki mungu akulinde fred
plz guyz prayer backup is good...Call joshua
🙏🙏
Mungu awalinde Inshallah
Blood of Jesus blood of Jesus upon dco fred and the team