Pastor could not believe his wife kílled his mum 3 days ago to get property and his bro in kisumu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 янв 2025

Комментарии • 698

  • @seniordave
    @seniordave  Месяц назад +17

    Watch part 2..ruclips.net/video/edubqnZAskc/видео.htmlsi=7aRJT76abhdf7-xH

  • @rachel0073
    @rachel0073 Месяц назад +47

    Pole sana Apostle Kwa kumpoteza your mom. May God comfort you MOG.

  • @annciakarimi8715
    @annciakarimi8715 Месяц назад +61

    Huyu mtoto si amejaribu,Sauti nayo kapewa mtoto Na mungu wapi like za Winfred

  • @paulgatua3888
    @paulgatua3888 Месяц назад +29

    Davii mngepatia huyo kijana ata za macho atleast 😊😊

  • @elizabethkiboro9060
    @elizabethkiboro9060 Месяц назад +13

    Dave Mungu alikutuma kisumu kwa huyu mutumishi wa Mungu ile ajue ukweli kabla mamake azikwe ndo afanyiwe post mortem ukweli udhibitike may God alway bless u an your team,you are indeed always a good servant to his pple.

  • @Princessamor97
    @Princessamor97 Месяц назад +31

    Dave God is really using you to save people I always pray for you to learn how to pray like seriously because you deal with strong issues your going far God be with you now and forever 🙏

  • @charlesongoro4811
    @charlesongoro4811 Месяц назад +32

    Senior dave make sure this lady and the brother in law must be behind bars😢😢😢

  • @gaylesimbe5611
    @gaylesimbe5611 Месяц назад +21

    Huyu madam nkama anajua dave and she smelt danger😂😂

  • @SimpleLady-k6m
    @SimpleLady-k6m Месяц назад +9

    Jamani huyo boy a.k.a Winfred hangeachwa bure,ni msanii wa high class💃💃💃

  • @cewaki799
    @cewaki799 Месяц назад +6

    Imagine God sent senior Dave to kisumu to reveal this mystery to pastor 💔💔💔💔💔

  • @JanewambuiWambui
    @JanewambuiWambui Месяц назад +67

    Aki ya mungu watu na pesa pesa pesa judas company 😂😂😂😂 the movie continues mutajua hamjui 😂😂😂 dave fanya kazi yako 😂😂

    • @rindkin1856
      @rindkin1856 Месяц назад +1

      Hiyo ndio maisha

    • @marlineisiji414
      @marlineisiji414 Месяц назад

      😂😂😂kabisaa

    • @CarolineSyombua-s2y
      @CarolineSyombua-s2y Месяц назад

      😂😂😂 watu na pesa kitawaramba

    • @LilianKitsao
      @LilianKitsao Месяц назад

      Huyu ata anaeza ua bwanake na alale na shemej😢

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 Месяц назад

      Ni ushetan umewajaa kenya nakutokuw na khofu ya mungu

  • @teresiamagu5879
    @teresiamagu5879 Месяц назад +33

    Huyu boy ako sawa , may God help him to go far🙏🙏🙏😊

  • @harrietkambua1399
    @harrietkambua1399 Месяц назад +117

    Watu 10 wanipitie niwapitie tugrow pamoja ❤️❤️

  • @ElizabethKamene-wm2uw
    @ElizabethKamene-wm2uw Месяц назад +24

    I really like approach ya dave lazima waingie box... ongopa Dave misitari hakosagi

    • @tabithanjeri9953
      @tabithanjeri9953 27 дней назад

      Ww umeskia Judas company 😂😂😂😂😊

    • @Mohabmts
      @Mohabmts 26 дней назад

      Ni sarcasm 😂😂😂😂

  • @margaretkunzler5374
    @margaretkunzler5374 Месяц назад +2

    Senior dave you are God sent to open people’s eyes
    i love your work. God you

  • @LornaBunde
    @LornaBunde Месяц назад +4

    Senior Dave you were born to save people's lives may God bless you

  • @esthernyaguthii4554
    @esthernyaguthii4554 Месяц назад +44

    Hii mali tu tutakufa tuache kwa hii dunia,,😢😢😢

  • @Rittywambui
    @Rittywambui Месяц назад +20

    That boy ako na talent foreal ,,, he made me smile

  • @davidmorangi9599
    @davidmorangi9599 Месяц назад +6

    😅😅😅😅😅 huyo dogo ako sawa . Upcoming talent.

  • @damariskimeu4930
    @damariskimeu4930 Месяц назад +18

    Senior dave this is a police case...let this mzee get justice na usipeleke uyo mwanamke kwa studio...direct to police

    • @doreenshii563
      @doreenshii563 Месяц назад

      Lazima ampeleke ndio tu content tukue twingi😂😂😂😂😂

  • @NellyAfune
    @NellyAfune Месяц назад +4

    Mimi nakuuliza Dave.😂huwa umepeta fununuu au roho mtakatifu anakuongoza😂😂😂

  • @marywanjiru4563
    @marywanjiru4563 Месяц назад +9

    Haki senior unapatana na mambo 😂😂

  • @Sharin-e5f
    @Sharin-e5f Месяц назад +6

    Yaani mtu aue mamangu !!!people are heartless.

  • @LUCYMUTHONI-d9e
    @LUCYMUTHONI-d9e Месяц назад +15

    I love how Dave makes jokes and funny moments before it gets down😂😂

  • @charlesongoro4811
    @charlesongoro4811 Месяц назад +12

    Red flag🚩. From the way she is behaving.. There must be a dangerous mission with this lady😢

    • @maryodongo-r4r
      @maryodongo-r4r Месяц назад +3

      From the start,kulikuwa red flag kwa huyu lady

    • @EvlyneWanjala
      @EvlyneWanjala Месяц назад +3

      Ni kama hufatilia Hawa ma RUclipsr😊ameniboo na nguo inakaa net zinawekwa milango za vinyozi

    • @LisahLisah-r3j
      @LisahLisah-r3j Месяц назад

      ​@@EvlyneWanjala😂😂😂😂😂😂 ati neti ya kinyozi wah

  • @everlineanjanja7193
    @everlineanjanja7193 Месяц назад +9

    Dunia ya sasa tamaa za mali utajiri kwa kweli family wanamaliza true it's last days,,, Our Heavenly Father protect yours people In Christ Jesus Might Name AMEN 🙏

  • @Sharin-e5f
    @Sharin-e5f Месяц назад +4

    "Sasa naezawapea 15k sababu mko wawili"😂😂

  • @carolinemwenze8831
    @carolinemwenze8831 Месяц назад +18

    C mngepea kijana hata ya samaki

  • @davidmorangi9599
    @davidmorangi9599 Месяц назад +1

    Senior Dave you went to Kisumu at the right moment. You are God sent. Pastor married saitan.

  • @terrytet8409
    @terrytet8409 Месяц назад +1

    Dave u are a prophet, Wah on this may God bless your works Senior

  • @FavouredPesh
    @FavouredPesh Месяц назад +4

    You always do a great job l think this a call from God 🎉🙏

  • @cherms5257
    @cherms5257 Месяц назад +7

    Support that boy,so much talent😅

  • @irineadisa7289
    @irineadisa7289 Месяц назад +2

    The boy needs to record the song,l wish he was mine🎉🎉🎉❤❤❤

  • @Semi539
    @Semi539 Месяц назад +12

    Na nilisema mtu akisanitize simu yangu enda kwa lengo lako kama n loyal ipaki kuwa loyal test kama kuna uchiwi ndani na tuko loyal tupee pesa zetu tukule tukiachana sasa😂😂😂

    • @ruthmwaura238
      @ruthmwaura238 Месяц назад

      😅😂😂

    • @ropmercy5980
      @ropmercy5980 Месяц назад

      🤣🤣🤣🤣uchawi si kucheat umesema upewe doh juu uko loyal 🤣🤣🤣🤣but mingi hua wanakulana na mganga na pastor ndo uchawi inajitokezea 😅😅😅

    • @BeatriceWangui-r9w
      @BeatriceWangui-r9w Месяц назад

      Wewe uko na mchezo😂😂😂😂utolewe wapi pesa kumbavu zako😅😅😅u have made my day😅

    • @MaryNyatichiMaryNyatichi
      @MaryNyatichiMaryNyatichi 16 дней назад

      😂😂😂😂

  • @charitymumbi6088
    @charitymumbi6088 Месяц назад +10

    Wenye husema kikuyu ladies ,sasa huyu ni mkikuyu 😢😢

    • @nelliek7116
      @nelliek7116 Месяц назад +1

      Pepo ziko kila mahali.

    • @shiroliz8627
      @shiroliz8627 Месяц назад +1

      Ndio nashindgwa

    • @shiroliz8627
      @shiroliz8627 Месяц назад

      ​@@nelliek7116true wachenge kushinda wakisema kikuyu

    • @suleimankipyego5143
      @suleimankipyego5143 Месяц назад

      😢😢😢😢😢😢just imagine mnaonea watu wa mirima ghai😅😅😅😅

    • @suleimankipyego5143
      @suleimankipyego5143 Месяц назад +1

      I need one kikuyu tu married ni watu wa bidii xaana 😊😊

  • @MourineMukah
    @MourineMukah Месяц назад +2

    Aki mungu naye 😂😂😂 akaleta huyu mtoto akachange moods za mama waah

  • @Wilky254
    @Wilky254 Месяц назад +9

    Huyu mama anajua kitu ama huwa she watches this shows..mbona anakataa mapema hivi... Kwa bidiii!!! 😮😮Let's wait.. Then we head to Dunga beach 🏖️ tukakule samaki..

  • @bettywangui2572
    @bettywangui2572 Месяц назад +1

    Kijana ako poa sana MUNGU amsaidie aendelee kijituma keep it up young man you gonna go far in the name of JESUS CHRIST'S name

  • @treyshawan2585
    @treyshawan2585 Месяц назад +3

    Dave. Dave how many times did I call you 😂😂😂😂😂, hiyo ndio kudance😂😂😂

  • @roseobegi
    @roseobegi Месяц назад +3

    Hiki kimwaanamke kimwsikia pesa kimecool down😢😢😢shetani Wewe...

  • @prof.normanking5722
    @prof.normanking5722 Месяц назад +2

    David, you are very clear. Ulipomuambia Dada huyo kwamba hutasoma message zake mbaya. Akaingia line. Hongera sanq

  • @Catemworia
    @Catemworia Месяц назад +1

    Uweeee,aky pesa itamaliza watu madam amesikia pesa akarudi bila kujua amerudi kwa kijinjio 😂😢

  • @jetitahkarimi
    @jetitahkarimi Месяц назад +1

    Huyu madam nikama anajua senior dave 😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤

  • @NagelleBoranamedia
    @NagelleBoranamedia Месяц назад +1

    Senior dave anataka kumnasa kenya mzima good job bro chapa kazi watu wajue kweli kabisa mungu akusaidie naona postor anaomba ndio siri ya bibi yake imeonekana

  • @DenooMarhes
    @DenooMarhes Месяц назад +2

    Aki saa zingine I lack words,,,, Senior umeona maneno🤣🤣🤣

    • @Mamas-06k
      @Mamas-06k Месяц назад

      Sasa ni nguo za mke wa pastor aki,,,tuikimbieni zinaaaa

  • @CONSOLATANECHESA
    @CONSOLATANECHESA Месяц назад +5

    Mwanamke amesikia pesa akani mbiao ajuwi anajiingez kichinjio😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @SusanMwai-nz7lg
      @SusanMwai-nz7lg Месяц назад

      Huyu mama ni jangiri doz atujoin hapa buru kanyoni kukunyua changaa

  • @henrymwangi6465
    @henrymwangi6465 Месяц назад +2

    senior dave our private detective job well done.

  • @JackyMuthoni
    @JackyMuthoni Месяц назад +1

    Waah 🤔 diyo maana alikuwa anakataa na simu ata wewe mwanaume ukicheza atakuua👀good job dave👍

  • @davidkariuki7951
    @davidkariuki7951 Месяц назад +6

    We are yet to see and hear worse news if our Lord Jesus Christ of Nazareth 🙏 delays to come 😮😮😮

  • @irinewachira6589
    @irinewachira6589 Месяц назад

    I love senior daves dressing code nowadays. Very smart and presentable

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333 Месяц назад +1

    Huyu mwanammke ni shetani mwengine eti kisa shamba uhuwe mamkwe wako alafu unakataa eti sio ww, ungemrusha kwa maji uko😢😢😢

  • @jacklinemaruti-nr5wj
    @jacklinemaruti-nr5wj Месяц назад +1

    Usiache hiyo talent ya mtoto mdogo huyo anajua ku rap sana and he is going far in Jesus might name.

  • @MarthaStinner
    @MarthaStinner Месяц назад +3

    Senior Dave arrest that woman a murderer 😢

  • @PaulneNjoroge
    @PaulneNjoroge Месяц назад

    Mtoto ameiva 🎤🎶🎵 purooooo👏🏿👏🏿👏🏿🎉🥳 chukuwa usito 🤜🤛

  • @LilianCute-
    @LilianCute- Месяц назад +1

    Dunia inaelekea wapi😢😢
    Team kupitiana tupitiane tukisonga pamoja please 🙏🙏🙏🙏

  • @jacklinenuthu606
    @jacklinenuthu606 Месяц назад +5

    Hiyo wimbo unaimbaga dave na huijui wooii siuache tuu 😂😂

    • @rachaelosiche121
      @rachaelosiche121 Месяц назад

      Dave anaimba nyimbo ya kizungu inatoka na accent ya Kikuyu 😂😂😂😂😂

    • @JacintaMwikali-k4v
      @JacintaMwikali-k4v Месяц назад

      @@rachaelosiche121😂😂😂😂😂😂😂

    • @JessicaMusyoka
      @JessicaMusyoka Месяц назад

      ​@@rachaelosiche121Wacha aimbe imtoke

  • @LucyWangari-rs3kx
    @LucyWangari-rs3kx Месяц назад +17

    Hapo kwa judas company 😂😂😂😂😂nipitieni watu wetu

  • @geoffreymasiege
    @geoffreymasiege Месяц назад +1

    God is absolutely faithful, see how he reveals this wicked wife of pastor, a dangerous murderer indeed. The blood of that innocent old woman is crying out . This is a high criminal offense, call DCI Fred now and don't give her that phone it has all the evidence.( Watching from Uganda).

  • @nicetamwaniki6172
    @nicetamwaniki6172 Месяц назад

    Uyu mutoto ako sawa sana sauti nayo waaaa God bless this boy saod❤❤❤❤

  • @JIMMIE9KTV
    @JIMMIE9KTV Месяц назад +39

    Watu siku hizi ni wanyama hawamwogopi Mungu.....

    • @zenjibar64
      @zenjibar64 Месяц назад +2

      Jimmie@ Mimi ni muislmu vile. Quran imesema kuna masuala 5 ukifa lazima uyajibu na kuhusu mali limo “ MALI YAKO ULIICHUMAJE ? “ Basi naogopa kupata mali kwa njia isiyo halali .

    • @LydiahNjoroge-j7h
      @LydiahNjoroge-j7h Месяц назад +1

      Imagine,what is going on

    • @harrietajiambo229
      @harrietajiambo229 Месяц назад +2

      Nakwambia hizi ni siku za mwisho

    • @JIMMIE9KTV
      @JIMMIE9KTV Месяц назад +1

      @harrietajiambo229 Aki Yesu ako karibu kurudi

    • @TabithaWaiharo-f9g
      @TabithaWaiharo-f9g Месяц назад

      Aki people has turned to animals

  • @AgnessNyaboke
    @AgnessNyaboke Месяц назад +2

    Mnajifanya hamjaona Dave na style za majuu😂😂😂😂😂Huyo boy ataenda mbali sana

  • @ChuiMacharia-iy6og
    @ChuiMacharia-iy6og Месяц назад +2

    Nauliza aje Kisumu tena si Nairobi more follower up bro

  • @treasureforashes3497
    @treasureforashes3497 Месяц назад +1

    She was dancing soo hard while mom in law is in the morgue 😮haikumuuma

  • @Hilda-ey9rr
    @Hilda-ey9rr 27 дней назад

    May God bless this young musician... creativity at work.
    Meantime, hopefully, this killer gets her punishment served hot in prison. Pastor, may God protect you and give you peace❤. Bro you should also have quickly forwarded those messages to pastors phone for evidence. Pastor samaki yako pia ilikuwa na poison..

  • @mercymwangi8839
    @mercymwangi8839 Месяц назад

    Aki hatulali, tukitaka kuskia Snr amepatikana. We shall give thanks to God

  • @mercyshany6400
    @mercyshany6400 Месяц назад +3

    So painful 😭😭😭 pple are very wicked in this world tamaa tu ya mali ndio inafanya muue mtu surely

  • @viviancherotich5435
    @viviancherotich5435 29 дней назад +2

    Doughter f jezebel.....kesho yake atamwua huyo mzee wwke

  • @johnkasyoki6950
    @johnkasyoki6950 Месяц назад

    Dave you have a devine approach,
    Acha Mungu akuzidishie masiku yako Juu ya nchi na neema yake itoshe

  • @jerrycaroline7330
    @jerrycaroline7330 Месяц назад +1

    We don't need pce we want problem always 😂😂😂 pole pasi😊

  • @lilianjerugut6510
    @lilianjerugut6510 25 дней назад

    Bravo your man😂😂😂yoyo Dave unanipamba sanaa....

  • @OndiekiMellen
    @OndiekiMellen Месяц назад +1

    Please Arrest that woman immediately, l in USA 🇺🇸

  • @ppatop
    @ppatop Месяц назад +1

    Even the wicked calm down whenever money is involved.Imagine vile huyu mama alikua na haraka but 40 days ikifika there's no escape.

  • @fredrickmikera5998
    @fredrickmikera5998 Месяц назад +2

    Huyu jamaa Amelia kutoka moyoni na pia Mungu amesikia kilio chake

  • @SoziSozi2020
    @SoziSozi2020 Месяц назад +1

    ukiua kwa panga utauliwa kwa panga ukona watoto wataoa tu usijali hutagoja sana☝️☝️☝️

  • @doreenshii563
    @doreenshii563 Месяц назад +2

    Mumama amesikia pesa akarudi kusikiza😂😂😂😂😂no wonder Ali murder mama mkwe

  • @JaneJane-vq6pt
    @JaneJane-vq6pt Месяц назад +4

    She has not wearing like wife, He loved the Man because of money 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @JaneRose-v2b
    @JaneRose-v2b Месяц назад +1

    Uuu😢😢ii tamaa ya pesa ni mbaya ,kama mwanamke kukuwa mchawi anaweza maliza watu ha kwa familia.Hawakuangi na second thought.

  • @MaryNyatichiMaryNyatichi
    @MaryNyatichiMaryNyatichi 16 дней назад +2

    Me nikiona SD mguu iniponye ak 😂😂😂

  • @miriamkusele
    @miriamkusele Месяц назад +1

    The red flag from the first time 😢😢😢😢😢😢😢

  • @salehemsumi615
    @salehemsumi615 Месяц назад +1

    Cherry oh!cherry oh baby!!ukiona hivyo tayari kengere ya hatari!!

  • @dianahogolah4269
    @dianahogolah4269 Месяц назад +1

    Lake sio mto, mto ni river. Ulisoma wapi? 😂

  • @terrytet8409
    @terrytet8409 Месяц назад

    Woiye pastor I'm crying with u pole Sana pastor...

  • @mercylinnah4284
    @mercylinnah4284 Месяц назад +1

    What a pain?! Atakama jameni it's too much, may heavenly comfort be with you sir

  • @ElizabethKamene-wm2uw
    @ElizabethKamene-wm2uw Месяц назад +7

    You guys remember jay in your daily prayers ak channels zake ziweze kurudishwa tutatoaga ubea wapi ak also kitoo is going the same situation

  • @TabithaGitau-h8f
    @TabithaGitau-h8f Месяц назад +1

    Haka katoto senior kapromotiwe😂😂😂😂

  • @Pemuga-x3y
    @Pemuga-x3y Месяц назад +1

    They are going to Police station, but next you will find them in the studio‼️🤔😪😤😢😢

  • @MaseaKerry
    @MaseaKerry 28 дней назад

    Mungu wangu sikujua itamalizia huku I really feel this pastor 😢😢😢😢😢 honestly watu ni wanyama .... senior Dave will be following you this is my first clip but weeee

  • @liliankwamboka2278
    @liliankwamboka2278 Месяц назад +1

    Mapezi shika Moho single for level

  • @aplusdesigns-g7r
    @aplusdesigns-g7r Месяц назад +1

    That boy has a talent mbaya sanaaa

  • @BettyKiriungi
    @BettyKiriungi 24 дня назад

    May God protect you always you're blessings to many 🎉🎉🎉

  • @gaylesimbe5611
    @gaylesimbe5611 Месяц назад

    I can feel this pastors cry💔..may God give him peace strength forgiving heart but aozee jelaa

  • @SHARONCHEPTOLO-n1s
    @SHARONCHEPTOLO-n1s Месяц назад +5

    Huyu kijana awache shule tu 😂😂😂😂😂😂😂😂 ama hii n mambo n CBC😅😅😅😅

  • @divinahmachuka1859
    @divinahmachuka1859 Месяц назад

    Senior tafuta uyo mtoto mlete studio I'm so happy with him 🙏🙏🙏🙏

  • @elizabethwanjiru3022
    @elizabethwanjiru3022 Месяц назад

    The boy 🎉🎉🎉🎉🎉ako mxwaahh nimekapenda but amejua nguo niya 5k za school fees😅😅😅

  • @gracegigi2773
    @gracegigi2773 Месяц назад +22

    Malizeni story ya kafue tumechoka na manusu nusu

    • @GladysMuendo-r6s
      @GladysMuendo-r6s Месяц назад +1

      Cema hio itoke

    • @Semi539
      @Semi539 Месяц назад +1

      Waambie wanaishi wakituacha in a dilemma way na hatutaki hivo

    • @rachaelosiche121
      @rachaelosiche121 Месяц назад +2

      Hyo ya Kafue the host anaongea mingi by the time mambo inachemka kipindi inakatika😂😂😂😂😂😊

    • @Mamas-06k
      @Mamas-06k Месяц назад

      Wambooo Ako uko Kwa kafui

    • @Mamas-06k
      @Mamas-06k Месяц назад

      Huku ni Kisumu wadau

  • @MaryOchoki
    @MaryOchoki Месяц назад +2

    Aki SD wewe umetumwa na mungu kabisa, mwanamke amesikia pesa ametulia kidogo,

  • @perismwangi5824
    @perismwangi5824 Месяц назад +1

    Aki wewe dave unawezangavku handle mambo zingine aki . ..na mrembo alikataa na simu na finally amekubal😂😂😂😂

  • @CheronoSharin
    @CheronoSharin День назад

    Wow the boy ako na sauti poa sana may God blessed him

  • @faykeire6493
    @faykeire6493 Месяц назад +1

    Bibi naye wah apo kwa kurap😂😂

  • @ANNASTACIAMWENDE-bo7dw
    @ANNASTACIAMWENDE-bo7dw Месяц назад

    Pole sana kwa kupoteza mamako,SD,your realy clearing the street,