ASLAY AWARUDISHA YAMOTO BAND, MBOSSO AKIMBIA, TESSY SHANGWE ACHEZA BALAA, ...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии • 135

  • @johnMshenga-mj5br
    @johnMshenga-mj5br Год назад +16

    Alsay , Bekah na Enock 🤟🤟👏👏🙏🙏🙏 hii imetisha please kuwe pamoja m bro aki hii combination imetisha one 💓💓💓💓💓💓 from 254

  • @Dorah_Munyao
    @Dorah_Munyao Год назад +4

    We need you back,Yamoto Band..much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ludobudege1662
    @ludobudege1662 Год назад +18

    Aslay,bela & beka mmetisha sana mnatakiwa mjiunge Tena tumewamis nitakupwelepweta

  • @Bunnyboy_ke
    @Bunnyboy_ke Год назад +7

    Yamoto band we need you 🔙 you guys were amazing and you will always be please rudini tafadhali na pia achilia kitu kwa pamoja mbosso yeye nikama katekwa na wasafi

  • @RosebenRose-yd7js
    @RosebenRose-yd7js Год назад +2

    ❤❤🔥🔥🔥🔥🔥✌️✌️much love 😘 from 🇸🇦🇰🇪 napenda sana ya moto band

  • @MaryKemunto-k9w
    @MaryKemunto-k9w 11 месяцев назад +1

    Mnaeza fanya makubwa mkiwa pamoja I love your unity guys ,Mary from kenya😅

  • @edwardngala1628
    @edwardngala1628 Год назад +3

    Amazing boys we need you to stand up as a group again 👏👏

  • @LizhappyHappylizy
    @LizhappyHappylizy Год назад +5

    ❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 nimefurahi mnoooo💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃

  • @نجمةموبيبي
    @نجمةموبيبي Год назад +5

    Mmetisha sana 🔥🔥🔥leteni ngoma ya pamoja tena

  • @hamzarams3960
    @hamzarams3960 Год назад +8

    Mnaweza mabroo acheni tu kusikiza hisia za nyoyo znu mfanye mzki na wapenda sna wanangu mbna

  • @osiro_music3373
    @osiro_music3373 Год назад +2

    Rudinii Guy's Watching From Kenya

  • @emmanuelsumuni2398
    @emmanuelsumuni2398 Год назад +7

    Music wenu fanyeni kama masirahi yenu na mlete burudani kwenye mioyo ya watu kiukweli mnanogesha Sana munapo fanya kazi kama group nice mubarikiwe.

  • @fredericmbokobest
    @fredericmbokobest Год назад +3

    Hii sasa ndo maana ya tamasha, yaani akuna tofauti na zile zinazo fanywa Congo🇨🇩 ongereni sana vijana.

  • @Joyce-qf5px
    @Joyce-qf5px Год назад +8

    Nawapendaaa ❤❤❤❤yamoto bend

  • @mejumaamwaka1314
    @mejumaamwaka1314 Год назад +3

    Old is gold❣️🇰🇪🇹🇿🇮🇶

  • @AdnanMohammad-n5c
    @AdnanMohammad-n5c Год назад +4

    Sana tuu yamoto band ❤❤❤ from kenya

  • @mums-ch9li
    @mums-ch9li Год назад +4

    Hii ndo show tena show kweli hapa hakuna kina chapati wala chitaki 😂love you legends rudini ground tena

  • @MaryamJumwa-ez3xl
    @MaryamJumwa-ez3xl Год назад +2

    Nawapenda sana na c mrudishe ya moto jman... 🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @kizurikinaua2242
    @kizurikinaua2242 Год назад +6

    Mko vizuri sana 🎉bigup sana

  • @dominicdomii3200
    @dominicdomii3200 Год назад +2

    Mkirudiana mtabaki kuwa my fevorate

  • @armandoleonardo6966
    @armandoleonardo6966 Год назад +2

    Gostei muito de ver esses jovens juntos e nós como fãs de yamoto Band estamos muito felizes.🇲🇿🇹🇿🇷🇼🇰🇪 juntos unidos venceremos

  • @lydiahboyani1021
    @lydiahboyani1021 Год назад +1

    Love you guys....Enock Bella,Beka Flavour,Baba Moza#Mbosso ndo hayuko

  • @angelinaomare3055
    @angelinaomare3055 Год назад +6

    Enoch mwenye Base yake eweeee 🔥

  • @mejumaanyawa489
    @mejumaanyawa489 Год назад +4

    ❤❤❤❤❤❤😂😂😂hakuna kitu napenda nkame hivi endeleeni hivyo

  • @FareedaMuhammed-v2r
    @FareedaMuhammed-v2r Год назад +5

    Warudi tena kwa ground ya moto band nawakubali wngu WA nguvu❤

  • @Fatherjaybadmaan
    @Fatherjaybadmaan Год назад +13

    Kuliko kutengeneza maswiming kwenye show kina Vanny na mondi wangeweka nguvu kuandaa bendi tupate show kama hvi

  • @mosessilungwe1670
    @mosessilungwe1670 Год назад +7

    Bellaaaaa❤❤❤

  • @zuuMoha-s8u
    @zuuMoha-s8u Год назад +2

    Awwww dat was awesome 🎉😮😮

  • @RoseKesi-zj4yy
    @RoseKesi-zj4yy Год назад +4

    Hiii ndo shoo sasa❤❤❤

  • @AugustinMastaki-v6w
    @AugustinMastaki-v6w Год назад +4

    Mungu awabariki sana nimawazo mema sasa

  • @JoanAbdala
    @JoanAbdala Год назад +1

    Aslay nakukubali sana

  • @rebeccamokua375
    @rebeccamokua375 Год назад +5

    Enoch sauti yako iko dope sana

  • @fatmahmed5647
    @fatmahmed5647 Год назад +5

    Nawapenda san ❤❤❤❤

  • @MarthaNazi-g6k
    @MarthaNazi-g6k Год назад +6

    Nawapenda sana mboso ametekwa na wasafi😢

  • @lydi791
    @lydi791 Год назад +5

    😢😢😢Mungu awazidishiye Upendo

  • @veronika_loves7131
    @veronika_loves7131 9 месяцев назад

    Welcome back ❤❤❤

  • @scholahmwelange1406
    @scholahmwelange1406 Год назад +3

    Nimefurahi Tu sijui Kwa nn❤❤❤

  • @beatriceemmanuel7127
    @beatriceemmanuel7127 Год назад +2

    Nimeipendaiyooo ❤

  • @EvaDomi-m6i
    @EvaDomi-m6i Месяц назад

    Safi sana mboso rudisha yamoto yetu

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 Год назад +3

    Aisee tumewamisss❤❤❤❤

  • @Busymanytz
    @Busymanytz Год назад +2

    Nilimis saana aslay

  • @AsminKahimbanyaka
    @AsminKahimbanyaka Год назад +3

    Hataree love it

  • @bonifacejared5996
    @bonifacejared5996 Год назад +2

    Aki simrudi kimoja kama apo nyuma i really miss you guys

  • @altonkanjolonga2380
    @altonkanjolonga2380 Год назад +2

    mmetisha sana

  • @barakangaido1402
    @barakangaido1402 Год назад +3

    Wap mesen na yamoto🔥🔥🔥

  • @KEVINIMBOMA
    @KEVINIMBOMA 9 месяцев назад

    Pitia frm254💥💥

  • @tsongokambale7644
    @tsongokambale7644 Год назад +1

    ❤❤son vijana ni-ni iliwatenga? Basi ombeni masamaha, nyinyi kwa ninyi namukafanye mambo tena zaidi, namiss nyimbo zenu zote

  • @WinfridaZakayo-mj7co
    @WinfridaZakayo-mj7co Год назад +27

    Mwenye besi ananikoshaga ananogesha sana nyimbo

    • @obynaenyabz7358
      @obynaenyabz7358 Год назад +2

      @Enock bela

    • @goldenskid
      @goldenskid Год назад +3

      Anaitwa Enock de bazz hawavijana wgekuwepo kwenye bandi wasafi ingekoma nisiwe mnafiki mbosso Ako kw mkataba mzito hapo hawezi kuwepo japo anatamani kuwepo Hawa ndugu zke❤❤❤💥💯🔥🔥🔥🔥

    • @WinfridaZakayo-mj7co
      @WinfridaZakayo-mj7co Год назад

      @@obynaenyabz7358 yes huyohuyo

    • @WinfridaZakayo-mj7co
      @WinfridaZakayo-mj7co Год назад +1

      @@goldenskid yaan ukimusikiliza Hadi raha❤❤

    • @goldenskid
      @goldenskid Год назад

      Kbc wini girl 🥰🔥🔥💥

  • @MaimunatwalibuMaimunatwalibu
    @MaimunatwalibuMaimunatwalibu Год назад +5

    Bellaa❤❤❤❤

  • @WilliamTete-kj5nx
    @WilliamTete-kj5nx Год назад +5

    Saf sana majembe

  • @levinakiluga3023
    @levinakiluga3023 Год назад

    Mungu awalejeshe tena pamoja

  • @patoslegrand9604
    @patoslegrand9604 Год назад +2

    Where is Mbosso , in realy i love this 😊😊

  • @gabsonmash2155
    @gabsonmash2155 Год назад +6

    This is happiness 😊

  • @lodrickmwambene133
    @lodrickmwambene133 Год назад +1

    Mbosso mkataba wa wasafi unambana

  • @maisarahakizimana7074
    @maisarahakizimana7074 Год назад +2

    Yani ni 🔥

  • @SakinaJackson-um5ns
    @SakinaJackson-um5ns Год назад +3

    Sema mwemye bezi ananogesha balaa yaan

  • @zainababass2407
    @zainababass2407 Год назад +1

    Naam 🥰🥰🥰⚘⚘⚘⚘

  • @hamzaquotes3621
    @hamzaquotes3621 Год назад +4

    Forever legends

  • @desmondayieko2565
    @desmondayieko2565 11 месяцев назад

    Wasafi should do the needful cha kushangaza viongozi wa yamoto ndo baadhi wako uko for once allow mboso na wenzio wafanye performance o another hit Yafire bado muko juu

  • @KingPinlevy254
    @KingPinlevy254 Год назад +1

    Moto sana 3:17

  • @Secondborn_
    @Secondborn_ Год назад +6

    Aslay alisahau verse yake ya nitajuta beka kamuokoa hahahaha🤣

  • @khadidjaabdi-hd8py
    @khadidjaabdi-hd8py Год назад +2

    Mboss sio mwenznu tenaa yulee seleni wee anava vijolaaa😂😂😂

  • @Alijumaa-y4q
    @Alijumaa-y4q Год назад +2

    yamoto mwaweza bana rudisheni kundi mfanye kaz pamoja

  • @Ingarukatv
    @Ingarukatv Год назад +2

    Tunafulahi sana

  • @odgahyera4973
    @odgahyera4973 Год назад +2

    🥰🥰🥰🔥🔥🔥

  • @nassorkhalfani1467
    @nassorkhalfani1467 Год назад +1

    Beka kawa kibonge

  • @eunnickkakudji6955
    @eunnickkakudji6955 Год назад +1

    Only the strong survive

  • @kas6754
    @kas6754 Год назад +1

    Haki musaport Enoch pia amke twamumiss sana

  • @Ingarukatv
    @Ingarukatv Год назад +2

    Wajiunge tena

  • @fatimejamal1686
    @fatimejamal1686 11 месяцев назад

    Nyie watatu mnaweza pekee u achaneni na sele mani akavae madera mbelembele

  • @stamelistameli8461
    @stamelistameli8461 Год назад +2

    Safi sana

  • @FeliciaNdanu1-lz6vw
    @FeliciaNdanu1-lz6vw Год назад +3

    Wow

  • @paulouma7704
    @paulouma7704 Год назад +1

    much respect

  • @fatumamakwaia1126
    @fatumamakwaia1126 Год назад +3

    Nice

  • @reemaalwad3ani616
    @reemaalwad3ani616 Год назад +2

    ❤❤❤❤❤❤

  • @eppiemodest
    @eppiemodest Год назад +1

    Hongereni bora mjistiri hapo.😂😂😂😂😂

  • @ArafatYassin-zm5oq
    @ArafatYassin-zm5oq Год назад +1

    moyounaumasana kuona faraja yetu inapotea iirahisi ivi yamoto band da

  • @bontehdey3227
    @bontehdey3227 Год назад +1

    Am dead again❤❤❤

  • @ZuhuraNgindo
    @ZuhuraNgindo Год назад +2

    Mm hizo taa zimeniboa jaman zimekuwa nyingi mpaka naona kizunguzungu

    • @nasraniko-mr2lv
      @nasraniko-mr2lv Год назад

      Nd mana Costa tich alikufaajili ya hizo taaa

  • @GeorgeMkwera-sl8ee
    @GeorgeMkwera-sl8ee Год назад +3

    jamani iiiiiiiii ulikuwa atali sana ezi zao awa watuuu ila mi naomba mludi tena pamoja muendele kutupa buludani ishla hiiii kundi la yamoto pendi

  • @lydi791
    @lydi791 Год назад +2

    ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @magrethmbangama1199
    @magrethmbangama1199 Год назад +6

    Mboso aonekane anaimba hapo akapigwe faini na mwambino

  • @yusrairakoze3966
    @yusrairakoze3966 Год назад +5

    Yani mnajuwa kunipa maraha kabisa nyiye

  • @niyonzimaraissa5734
    @niyonzimaraissa5734 Год назад +3

    Waungan warudish yamoto band jamani

  • @BonifaceFilimoni
    @BonifaceFilimoni 7 месяцев назад

    Kwakweli nimefulai sana kuona iki shoo sasa mboso yuko wapi ap

  • @furahachuma9039
    @furahachuma9039 Год назад +7

    Machozi yamenitoka. Sipati picha moyoni mwa Aslay. Lakini pia Mboso anapoiona hii anajihisi nini, mmh.

    • @asmajamani2967
      @asmajamani2967 Год назад

      Kwani show ya mbeya ilifanyika lini vile?

    • @stellachalamila7455
      @stellachalamila7455 Год назад

      Mwacheni mboso machonganishi makubwa nyie

    • @furahachuma9039
      @furahachuma9039 Год назад

      @@stellachalamila7455 Tunataka kujua kama mashabiki zake, je anakumbuka enzi za utoto wake? Au ndio mmeishaanza kumbana dogo hadi anakosa uhuru wa kuamua? Mwambino roho mbaya.

    • @husnaarafat2725
      @husnaarafat2725 Год назад

      Mbosso ako wasafi festival

    • @stellachalamila7455
      @stellachalamila7455 Год назад

      Unawaza tu ujinga naniambanie

  • @petroishirini_ngwanashijat5712
    @petroishirini_ngwanashijat5712 Год назад +7

    😂nacheka mpaka nalia wasanii wangu walivyo tawanyika mungu arudishe kundi hili naapa litafika mbali maana ote ni mafundi wa mziki isiaka kaa na wenzako hata mkirecod ngoma nitachangia video natamani mrecod kwangu lakini wasanii wanaangalia majina

  • @Gmalen
    @Gmalen Год назад +1

    Wapiiiii mbossoooooo

  • @AhmadyYahya-zx6ut
    @AhmadyYahya-zx6ut Год назад +2

    👏🇧

  • @FrankMukabwa
    @FrankMukabwa Год назад +1

    Mbosso missing!!!

  • @nayranasri4583
    @nayranasri4583 Год назад +1

    Beka yupo wapi

  • @sawasuleimanmwambungo9706
    @sawasuleimanmwambungo9706 Год назад +1

    Beka saut yke iko poa sna alaf part zke hua ndfu

  • @amzish26576
    @amzish26576 Год назад +1

    Come back gays

  • @joramasikonde1236
    @joramasikonde1236 Год назад +2

    Nina furaha mpwitompwito kuwaona tena mkiwa pamoja

  • @AhmadRashady-x5y
    @AhmadRashady-x5y Год назад

    Kamleteni lmbosso aje hapa

  • @hassanmwachalika7525
    @hassanmwachalika7525 Год назад +1

    Kwan shingapi kwa mbosso kuvunja mkataba wasafi,ili arudi yamoto kudadeki😅😅😂

  • @veronika_loves7131
    @veronika_loves7131 9 месяцев назад

    Wewe njo Aslay muhogo ?

  • @malila4582
    @malila4582 Год назад +1

    Jamani kasoro mboso2 hapo jamani

  • @swalehesaad1143
    @swalehesaad1143 Год назад +1

    Mbossso angekuwepo hapo isingekuwa usnich wa aslay na hiyo media aliyoishirikisha ni wanafki mno

  • @SaidiBaraka-cj6jh
    @SaidiBaraka-cj6jh Год назад +1

    Show kali munamzid hata diamond ila muungane tu