Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Kama ninamuona mtu kama Badibanga Wa Tshilumba Kai Kai aliyewahi kuimbia Le Mangelepa huyo muimbaji mweusi anayecheza sana.
Huu wimbo umenikumbusha mbali aisee!Dah.Enzi hizo miaka ya 1991....😭
R.I.P Supreme Fredie Ndala Kasheba; R.I.P Baziano Bweti. I pray for the health recovery of King Kikii a.k.a Bwana Mukubwa. Those were good old days of enjoying to the real music at Msasani Bay Villa (kwa mzee Chando, R.I.P).
Ya kale dhahabu.
Marem kasheba alikua nguli mungu amuweke pema peponi
Mungu nimwema atamweka peponi na maisha yaendelee
Zaita muzika ilikua nawakati nzuri kipindi hicho
Natamani dunia mwenyezi mungu arudishe nyuma
Natamani sana kuusikia ule wimbo wa hawa hawa watu ' 'Mama Safar'.
Gitaa la nyuzi Kumi na mbili (dozen)
Vitu hvyo ❤❤❤
Sawa kabisa hakuna ubishi
Nyimbo bora sana wakati huo.
Naupenda
Tuleteeni wimbo wa Monica ameshakamatwa sijaupata nautafuta
Tamu sana
Jaman jamani tungepata kujua aliko muumba was mbinguna Dunia tungeeda kumuomba arudishe Dunia nyuma Ili Fred ndala kasheba arudi na wakongoman wenzake
Kikii jamani
Najisikia Raha sanaa Huu wimboo
Hizi ndo enzi zetu
Zamahizo zaita ilikua Moto chini chini ya ndala kasheba
😂so far so good RIP
❤
Hao walikua magwiji wa mziki
Maremu kasheba alikua nguli Kati ya wanamuziki
Nyumban ni nyumbani
Kama ninamuona mtu kama Badibanga Wa Tshilumba Kai Kai aliyewahi kuimbia Le Mangelepa huyo muimbaji mweusi anayecheza sana.
Huu wimbo umenikumbusha mbali aisee!
Dah.
Enzi hizo miaka ya 1991....😭