Tulipotoka Zamani
Tulipotoka Zamani
  • Видео 33
  • Просмотров 194 790

Видео

Kijana mdogo Masudi Omari akiimba wimbo Goron ki na kalon ki mwaka 1988
Просмотров 1636 месяцев назад
Huyu mtoto aliitwa Masudi Omari. Alikuwa akizunguka mitaani na kuimba nyimbo za kihindi na kupata hela kidogo. Bendi ya Watanzania wenye asili ya kiasia ya Varda Arts walimuona wakamchukua ili kumuendeleza zaidi kimuziki. Masudi alikuwa na kipaji kikubwa sana cha kuimba na wapenzi wa muziki walimpenda sana. Hili onesho lilifanyika mwaka 1988 katika ukumbi wa Vijana Social Hall maeneo ya Kinondo...
Huyu mtoto anaitwa Nipa Nag na ndiye aliyeimba wimbo maarufu nchini Tanzania wa watoto.
Просмотров 1286 месяцев назад
Nipa Nag alichukuliwa na Bendi ya watanzania wenye asili ya kiasia iitwayo Varda Arts iliyokuwa na makazi yake maeneo ya Msasani jijini Dar Es salaam ili kuendelezwa kwenye fani ya muziki. Wimbo huu ulirekodiwa Redio Tanzania (RTD) mwishoni mwa mwaka 1987. Hili onesho lilifanyika mwaka 1988 katika ukumbi wa Vijana Social Hall maeneo ya Kinondoni. Wimbo huu ulikuja baadae kupata umaarufu sana kw...
Msanii wa ngoma za asili MZEE MWINAMILA akionesha ujuzi wake kwenye kuimba na kucheza.
Просмотров 3377 месяцев назад
Hii ilikuwa kwenye kilele cha siku ya wafanyakazi Mei Mosi mwaka 1982 maadhimisho yaliyofanyika uwanja wa taifa jijini Dar Es salaam na kuhudhuriwa na Rais Nyerere akiwa na aliyekuwa Rais wa Msumbiji Samora Machel.
Mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Msumbiji Samora Machel tarehe 28 Oktoba 1986.
Просмотров 6188 месяцев назад
Usiku wa Tarehe 19 Oktoba mwaka 1986 Ndege iliyotengenezwa Urusi aina ya Tupolev TU 134A iliyombeba aliyekuwa Rais wa Msumbiji Samora Machel ilipokuwa ikitokea Zambia kurudi Msumbiji ilipoteza uelekeo na kwenda kudondoka katika vilima vya Lebombo karibu na mji mdogo wa Mbuzini nchini Afrika ya Kusini. Ajali hiyo ilisababisha kifo cha Rais huyo wa Msumbiji na watu wengine 34 waliokuwa ndani ya n...
Bendi ya Juwata Jazz Band wakiwa ndani ya Club Raha Leo Show ya RTD mwaka 1988.
Просмотров 1,5 тыс.8 месяцев назад
Mtangazaji mashuhuri wakati huo Julius Nyaisanga maarufu kama Uncle J akiwatambulisha wanamuziki wa Bendi ya Juwata Jazz Band wakiwa na mtindo wao wa Msondo Ngoma kwenye kipindi cha Club Raha Leo Show mwaka 1988 ndani ya Redio Tanzania Dar Es salaam. Baada ya utambulisho huo wakaupiga Live wimbo wao mpya wakati huo ulioitwa Queen Kase.
Brigadia Mwita Marwa (Kamanda Kambale) wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania.
Просмотров 7 тыс.8 месяцев назад
Hapa alikuwa kashapandishwa cheo na kuwa Meja Jenerali na kupewa jukumu la kuongoza Brigedi namba 207 na 208 kwa pamoja. Huku mdomoni akiwa anavuta Kiko na kushangiliwa na wananchi walipoingia katika mji wa Jinja nchini Uganda baada ya vikosi alivyoviongoza kuuteka mji huo. Aliongea kwa muda mfupi na waandishi wa habari wa kimataifa na kuwajulisha kuwa wana taarifa kuwa Idi Amin na vikosi vyake...
Mzee Mwinamila na kundi lake la Hiari ya moyo wakiimba wimbo wao 'Mzushi na muongo'
Просмотров 2,9 тыс.8 месяцев назад
Aliyekuwa msanii maarufu sana wa ngoma za asili Mzee Mwinamila akiwa na kikundi chake cha Hiari ya Moyo wakiimba wimbo uitwao Mzushi na Muongo. Mzee alisema Mzushi na Muongo bora muongo. Wakati huo kulikuwa na uzushi kuwa akifa mtu mwenye mwanya na kipara ni mali maana vichwa vyao viliuzwa Marekani. Mzee alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuimba na sauti yake ilikuwa ya kipekee.
Bendi ya muziki wa Dansi ya MWENGE JAZZ BAND inayomilikiwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
Просмотров 1,2 тыс.9 месяцев назад
Bendi ya MWENGE JAZZ wana Peselepa ambayo ni ya Jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) ikiongozwa na Kapteni Mabruki Mohammed ilikuwepo Kampala kutumbuiza wanajeshi na wananchi mara baada ya mji huo wa Kampala kutekwa na JWTZ tarehe 11 April 1979.
Aliyekuwa Kiongozi wa kijeshi wa Liberia Masta Sajenti Samuel Doe akiwasili nchini Tanzania
Просмотров 1,9 тыс.9 месяцев назад
Hii ilikuwa ni tarehe 29 August 1980 kwenye Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dar Es salaam (DIA) nchini Tanzania. Aliyekuwa Rais wa Liberia kwa wakati huo Masta Sajenti (Master Sergeant) Samuel Doe akiwasili nchini Tanzania kwa ziara ya kiserikali. Alipokewa uwanjani hapo na aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Alhaji Abood Jumbe na viongozi wengine wa Chama na Serikali. M...
Aliyekuwa Kiongozi wa Cuba Hayati Fidel Castro ziarani nchini Tanzania
Просмотров 5 тыс.9 месяцев назад
Aliyekuwa Kiongozi wa Cuba Fidel Castro akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar Es salaam kwa ajili ya kuanza Ziara rasmi ya kuitembelea Tanzania na kupokewa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere. Hii ilikuwa ni tarehe 19 Machi 1977.
Hayati Edward Moringe Sokoine
Просмотров 11 тыс.9 месяцев назад
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine akifungua Maonesho ya Pili ya Kimataifa ya Biashara kwenye Viwanja vya SABASABA jijini Dar Es salaam mwezi Julai mwaka 1978
Mahafali ya 6 ya Chuo Kikuu cha Dar Es salaam, Mlimani mwaka 1976.
Просмотров 44510 месяцев назад
Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dar Es salaam Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akitunuku Shahada kwa wahitimu wapya katika Mahafali ya 6 ya Chuo Kikuu Cha Dar Es salaam mwaka 1976.
Kwaya ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) iliyoongozwa na Kapteni John Komba.
Просмотров 8 тыс.Год назад
Hii ilikuwa ni Kwaya ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ikiongozwa na Kapteni John Komba wakiimba wimbo wa uzalendo uitwao TANZANIA NCHI YANGU. Wimbo huu ulirekodiwa katika studio za Redio Tanzania mwaka 1982.
Zaita Musica na kisa cha kesi ya kanga
Просмотров 39 тыс.2 года назад
Zaita Musica na kisa cha kesi ya kanga
HARUSI YA IDI AMIN
Просмотров 5872 года назад
HARUSI YA IDI AMIN
ENUGU RANGERS vs YANGA
Просмотров 1502 года назад
ENUGU RANGERS vs YANGA
Dr. Eduardo Mondlane
Просмотров 1262 года назад
Dr. Eduardo Mondlane
ORCHESTRA SAFARI SOUND (DUKUDUKU) - MPENZI UMMY
Просмотров 3,2 тыс.2 года назад
ORCHESTRA SAFARI SOUND (DUKUDUKU) - MPENZI UMMY
SALIM AHMED SALIM
Просмотров 8062 года назад
SALIM AHMED SALIM
MISITU NI UHAI
Просмотров 6 тыс.2 года назад
MISITU NI UHAI
Mbaraka Mwinshehe - Benki Yako
Просмотров 7 тыс.2 года назад
Mbaraka Mwinshehe - Benki Yako
Orchestra Maquis du Zaire (Kamanyola) Part 2
Просмотров 14 тыс.3 года назад
Orchestra Maquis du Zaire (Kamanyola) Part 2
Orchestra Maquis du Zaire (Kamanyola) Part 1
Просмотров 19 тыс.3 года назад
Orchestra Maquis du Zaire (Kamanyola) Part 1
Orchestra Safari Sound (Masantula)
Просмотров 11 тыс.3 года назад
Orchestra Safari Sound (Masantula)
Orchestra Safari Sound (Masantula)
Просмотров 7 тыс.5 лет назад
Orchestra Safari Sound (Masantula)
President Nyerere announced the death of former Prime Minister on April 12, 1984.
Просмотров 2,8 тыс.6 лет назад
President Nyerere announced the death of former Prime Minister on April 12, 1984.
MBUYA MAKONGA AKIWA NA MAQUIZ DU ZAIRE
Просмотров 5 тыс.7 лет назад
MBUYA MAKONGA AKIWA NA MAQUIZ DU ZAIRE
SUPREME MAESTRO FRED NDALA KASHEBA - YALAITI
Просмотров 4,5 тыс.7 лет назад
SUPREME MAESTRO FRED NDALA KASHEBA - YALAITI
King Kikii na OSS Masantula 1980
Просмотров 13 тыс.7 лет назад
King Kikii na OSS Masantula 1980

Комментарии

  • @marlonjr294
    @marlonjr294 10 дней назад

    Zikipita siku hazirudi Tena ❤

  • @hadijaomary5583
    @hadijaomary5583 20 дней назад

    Enzi hizo saa tatu. Benki yako. RTD wote mmekaa sebleni. ZAMANI RAHA SANAAAAA

  • @JordanMugirage-fz4xg
    @JordanMugirage-fz4xg Месяц назад

    Mungu alitujalia mwanzo mwema sana sijui tunakatikia wapi.Tunawashukuru viongozi wetu

  • @bwikizobilly5220
    @bwikizobilly5220 Месяц назад

    RIP uncle J

  • @KlausKilamla
    @KlausKilamla Месяц назад

    Yes alikuwa mahiri sana unclej

  • @JumaAyoub-y8l
    @JumaAyoub-y8l Месяц назад

    Tunahitaji video nyengine zaidi za Hayatt waziri Mkuu Sokoine. Haswaa ili apokua akisema kua. Linalo wezekana Leo lifanywe Leo katu lisingoje kesho.

  • @yamikomlekano469
    @yamikomlekano469 2 месяца назад

    1980 mwishon kulikuwa na kipind cha Benk yako(NBC) RTD,saa 3 usku.Huu wimbo ndoulikuwa kionjo

  • @nicholasmurithi868
    @nicholasmurithi868 2 месяца назад

    Gwiji huyu.

  • @williamhaji1692
    @williamhaji1692 2 месяца назад

    Good times

  • @geofreyygmakondo7706
    @geofreyygmakondo7706 2 месяца назад

    One of the talented Son from our soil

  • @fadhililihinda6491
    @fadhililihinda6491 2 месяца назад

    Eddy si nilisikia alifariki?

  • @leoninga-y8i
    @leoninga-y8i 3 месяца назад

    Tuleteeni wimbo wa Monica ameshakamatwa sijaupata nautafuta

  • @leoninga-y8i
    @leoninga-y8i 3 месяца назад

    Hao walikua magwiji wa mziki

  • @leoninga-y8i
    @leoninga-y8i 3 месяца назад

    Zaita muzika ilikua nawakati nzuri kipindi hicho

  • @jumakisailo8496
    @jumakisailo8496 3 месяца назад

    R I P Edi Shegy hutasahaulika kamwe. Watu njatanjata ilitikisa sana.

  • @leoninga-y8i
    @leoninga-y8i 4 месяца назад

    Zamahizo zaita ilikua Moto chini chini ya ndala kasheba

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 4 месяца назад

    Mtu huyu si alipwe fedha nyingi wapewe familiya yake

  • @ayubuyondu8835
    @ayubuyondu8835 5 месяцев назад

    😂so far so good RIP

  • @msombaemmanuel8462
    @msombaemmanuel8462 5 месяцев назад

    The young king kiki...mzee wa kitambaa cheupe

  • @oiniletiaollesaitabau6048
    @oiniletiaollesaitabau6048 5 месяцев назад

    Pumzka kwa amani Edward moringe

  • @leoninga-y8i
    @leoninga-y8i 5 месяцев назад

    Mungu nimwema atamweka peponi na maisha yaendelee

  • @leoninga-y8i
    @leoninga-y8i 5 месяцев назад

    Maremu kasheba alikua nguli Kati ya wanamuziki

  • @kaparajumanne7281
    @kaparajumanne7281 5 месяцев назад

    Ni wimbo mzuri

  • @leoninga-y8i
    @leoninga-y8i 5 месяцев назад

    Sawa kabisa hakuna ubishi

  • @leoninga-y8i
    @leoninga-y8i 5 месяцев назад

    Marem kasheba alikua nguli mungu amuweke pema peponi

  • @Ambeniwatano
    @Ambeniwatano 6 месяцев назад

    Mchawi anaua Kisha Analia mbaya huyo mchawi mbaya

  • @cathyrwiza
    @cathyrwiza 6 месяцев назад

    Kikii jamani

  • @vincentmushi1247
    @vincentmushi1247 6 месяцев назад

    Mghoshi wa kaya....shakaza pelee Alikuwa Mtunzi na muimbaji hodari sana,bendi zote alizopigia zilichangamka sana kwa nyimbo nzuri....akiwa na ndugu zake msafiri suba na Christian sheggy.. Niliifaidii sana sauti yake alipokua vijana jazz pamba moto na Washirika watunjata njata.....wakati huo band zilikuwa moto kweli... lkn sasa hivi muziki wa band duuuh kama hazipo....RIP ntende zeze weyangu

  • @cathyrwiza
    @cathyrwiza 7 месяцев назад

    Jaman jamani tungepata kujua aliko muumba was mbinguna Dunia tungeeda kumuomba arudishe Dunia nyuma Ili Fred ndala kasheba arudi na wakongoman wenzake

  • @YoungKing-info
    @YoungKing-info 7 месяцев назад

    Vitu hvyo ❤❤❤

  • @danielrmapunda8893
    @danielrmapunda8893 7 месяцев назад

    Kama jana tu

  • @NickG.Makoli
    @NickG.Makoli 8 месяцев назад

    Marehemu Cloddy Kasongo, Audaxy wakiwa na uchapa kazi wao hasa Cloddy ni yeye aliyenionyesha ni nini kuwa na kuiheshimu kazi yako badala michezo. Mupumzike usingizi mahali pema akhera.

  • @abdially1751
    @abdially1751 8 месяцев назад

    Kiki namuona yungali kijana bravo 😅

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 8 месяцев назад

    Anko J nyaisanga super tall. Duh dunia jamani

  • @frednahson1759
    @frednahson1759 8 месяцев назад

    Sio mwita waitara huyo ni John warden black mamba

    • @tulipotokazamani
      @tulipotokazamani 8 месяцев назад

      Mwita waitara ndio nani?

    • @novalastoshimiyu3309
      @novalastoshimiyu3309 8 месяцев назад

      Marehemu Warden ni Chotara

    • @neronapoleon6054
      @neronapoleon6054 8 месяцев назад

      Mshamba ww, warden ni chotara wa Kizungu huyo ni mwita marwa

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 8 месяцев назад

      @@neronapoleon6054 hawajui kasikia story.2000s

    • @Aziz-p6s
      @Aziz-p6s 8 месяцев назад

      Amekuaje?

  • @mnikosimon
    @mnikosimon 8 месяцев назад

    Thanks for sharing

  • @zonko0488
    @zonko0488 8 месяцев назад

    Mzee Mwinamila mmoja kati ya wasanii waliofanya kazi nzuri sana nchini. Mungu amlaze Pema Peponi

  • @MrSokwe
    @MrSokwe 8 месяцев назад

    Kamanyola muziki bila jasho 🔥

  • @ndimarategambwage5102
    @ndimarategambwage5102 9 месяцев назад

    Kumbux2 nzuri

  • @webstersinje7712
    @webstersinje7712 9 месяцев назад

    Hawa wakongwe walifanya shughuli pevu ,muziki wa rahamustarehe huu muziki utadumu hadi mwisho wa dahari....Kunta...Kinte.

  • @shillachiumbo4241
    @shillachiumbo4241 9 месяцев назад

    Wimbo huu uliitwaje? What was the song name?

    • @tulipotokazamani
      @tulipotokazamani 9 месяцев назад

      Unazungumzia wimbo gani? Maana hili ni onesho walicheza nyimbo nyingi. Kama unazungumzia huo wimbo wa kwanza unaitwa MEDI SAUDA. Kwenye video anaonekana Supreme akipiga solo lakini aliyerekodi wimbo huu studio za RTD kwenye solo alikuwa ni Kongwe Hembi (Florie)

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 9 месяцев назад

    👏

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 9 месяцев назад

    Cuba walikuwa kama ndg zetu walitusaidia saana kwa ulinzi sasa hv hata sielewi utasikia waarabu

  • @PeterShija-b9h
    @PeterShija-b9h 9 месяцев назад

    Natamani dunia mwenyezi mungu arudishe nyuma

  • @PeterShija-b9h
    @PeterShija-b9h 9 месяцев назад

    Hizi ndo enzi zetu

  • @tgeofrey
    @tgeofrey 9 месяцев назад

    Mwamba

  • @flyhigher5393
    @flyhigher5393 9 месяцев назад

    Kumbe yanga ilikuwepo kitambo ona rangi ya mashati ya wapiga ngoma.

  • @iddiabdallah7352
    @iddiabdallah7352 9 месяцев назад

    Wakubwa wa kazi wa philosophy ya ujamaa wamekutana

  • @davidmalisa8043
    @davidmalisa8043 9 месяцев назад

    2 days au

  • @officialgakankara
    @officialgakankara 9 месяцев назад

    Nzur but ungeandika na mwaka ungetisha zaid

    • @tulipotokazamani
      @tulipotokazamani 9 месяцев назад

      Aliyekuwa Kiongozi wa Cuba Fidel Castro akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar Es salaam kwa ajili ya kuanza Ziara rasmi ya kuitembelea Tanzania na kupokewa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere. Hii ilikuwa ni tarehe 19 Machi 1977