OMBI LA KURUHUSIWA NIQAAB KWA MAMLAKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 янв 2025

Комментарии • 31

  • @saadasoud3805
    @saadasoud3805 11 дней назад

    Allah akufanyie wepesi jambo hili

  • @Ummunurrayna
    @Ummunurrayna 6 дней назад +1

    Ajabu sana eti sokoni hakuruhusiwi Niqab,forodhani pia huruhusiwi inabidi tuondoke tu hivyo hatuna sehemu ya kuwapeleka hata watt wetu kutembea kisa eti hawataki niqab subhana Allaah.

  • @zubeyrissa_17
    @zubeyrissa_17 16 дней назад +2

    Allah akajaalie wepesi katika kheri hii...
    Uhifadhike sana Sheikh wangu Abuu Faidaan Suleyman Abubakar

  • @AbuuImraan-alghafr-azinjibar
    @AbuuImraan-alghafr-azinjibar 15 дней назад

    Mashaallah sheikh wetu allah awalainishe nyoyo zao viongozi wetu

  • @aisharashid-dn2cv
    @aisharashid-dn2cv 14 дней назад +2

    Kweli tunadhalilika asaaa kila pahala tunavuliwa niqabu.....mie juz nimeenda skuli ya lumumba tumevuliwa asaa niqabu na kwaju tumenyooshewa

  • @AbouAbdillah-c7l
    @AbouAbdillah-c7l 15 дней назад +3

    Tuna muomb ALLAH mwing wa rehma alitie nguvu suala hili lifanikiwe pia NA TUPATE HOSPITAL YA KIISLAM
    WANAWAKE WAUMINI WANADHALILIKA SANA
    Mana inafikka hatua wale walo wadhaifu wa iman wansem bora kuzalishwa na dokta wa kiume kuliko wa kike

    • @abuuhafswa
      @abuuhafswa 12 дней назад +1

      ماشاءاللہ ALLAH akulipe kwa fikra zako . hapo ndio tunaona kunahaja kuwaandaa waislam wakike katika fani kama hizi ili iondoke hii dharura ya mwanamke kuhudumiwa na mwanamme

    • @AbouAbdillah-c7l
      @AbouAbdillah-c7l 12 дней назад

      @abuuhafswa ni kwel akhy hili jmbo lina tuumiz wengi hili jmb viongoz wetu wa kidini walifnyie utaratibu
      Bila ya hivi bas uzalilishaj huu hautaisha

  • @mawaidha20244
    @mawaidha20244 16 дней назад

    masha Allah
    Allah afanye sahali alainishe nyoyo za wale wanaoombwa katika hili.

  • @HassanJamali-tn3ih
    @HassanJamali-tn3ih 14 дней назад

    ALLAAH akulipe

  • @Ummunurrayna
    @Ummunurrayna 6 дней назад +1

    Sheikh ulilolisema ni kweli kabisaa,me juzi bank nilitaka kulia security anakuambia vua niqab yote na ukamate mkononi,yaani wanatudhalilisha sanaa. Maana anaevaa kwa imani anajuonenakanwa na anaevaa kuficha uso au uhalifu anaonekanwa,na mtu akitaka kufanya uhalifu atafanya hata kama hajavaa niqab,lakini kwa upande wetu tunaovaa hijab shar’iiya tunadhalilika.

  • @MaryamRidhiwan
    @MaryamRidhiwan 16 дней назад

    In shaa'Allah iwe khery

  • @thabitsaidi1507
    @thabitsaidi1507 15 дней назад

    Ni jambo zur
    Ongeleeni kuhusu ndevu pia maana watu wanahangaishwa sana makazini kuliko hata wanawake wanaovaa niqabu

  • @ibnbaaz3072
    @ibnbaaz3072 6 дней назад +1

    Juz mim wizaran nilienda niligombaba nao sana. Wanasema wengine wez kwn siwez kuiba nikiwa ivyo ivyo lkn je niqabu n vaz la mwiz tunaitwa wanga wazee wez wajinga atuna akil yaan kila majina tumepewa bac tupandishe t unaambiwa vua hasa znz ndy kabisaaaa afadhl bara unaweza pita umepandisha so kuvua yote zamn nilijua znz ndy pazr kwa din na iman na wanadin lkn weeeee yan mie nachoka sana kuambiwa ivyo nia yao wanapenda kuona sura zetu 2 bas akuna jipya Allah afanye wepec

  • @BilaliIloko
    @BilaliIloko 15 дней назад

    Inshaallah

  • @OthmanIja
    @OthmanIja 16 дней назад

    Insha Allah itakuwa sawa

  • @MustaphaAlly-d4g
    @MustaphaAlly-d4g 15 дней назад +1

    Sheikh usisahau kuwaomba na hukmullah

  • @aminabdalla7824
    @aminabdalla7824 11 дней назад

    Tuko kwenye serekali ya makafiri

  • @MustaphaAlly-d4g
    @MustaphaAlly-d4g 15 дней назад

    Tuwaombe na hukmullah

    • @yazidurashidi8443
      @yazidurashidi8443 15 дней назад

      Mbona kama ni maneno ya haki yalokusudiwa baatwil

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 16 дней назад

    Ni nyinyi mulokuwa munawaita mahizbi wanaopigania hijabu mashuleni na kasimu mafuta akawakebehi kuwa wanapigia hijabu mashuleni wakati wake zao hawavai.

    • @mashaurimvungi2232
      @mashaurimvungi2232 15 дней назад

      Wee Wacha husuda na sheikh Qassim huyo ndio sheikh wenu mupende musipende

    • @aboubakarmakha4194
      @aboubakarmakha4194 15 дней назад

      Eeh imekuwa lazima?
      Pole Yako na sheikh lako

    • @AbuuImraan-alghafr-azinjibar
      @AbuuImraan-alghafr-azinjibar 15 дней назад

      Ifahamu nukta sisi tunaomba ruhusa Sio Kabala ya ruhusa ukawashajihisha watu wavae nikabu shuleni bila ya mamlaka kutoa ridhaa huwezi kujifanyia tu kwaiyo abul fadhwili alicho kikataza ndio hocho

    • @mashaurimvungi2232
      @mashaurimvungi2232 14 дней назад

      @AbuuImraan-alghafr-azinjibar sijakuelewa nyoonya maneno nyie mnafanya Nini Abdul fadhil alifanya Nini yaani tofauti ya mnachokifanya na alichokifanya Nini maana mumejawa na chuki mpaka hamuoni haki

  • @MustaphaAlly-d4g
    @MustaphaAlly-d4g 15 дней назад

    Tuwaombe na hukmullah