MASHA LOVE AFUNGUNGA DIAMOND kumuoa ZUCHU/AMEMLOGA/HAWEZI KUZAA BILA NDOA/MAMA DANGOTE AMEMPITISHA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 ноя 2024

Комментарии • 35

  • @kimah9461
    @kimah9461 Год назад +4

    MashaAllah MashaAllah Masha❤️💜🧡🖤🥰😍🤩I love you vile tu unasemanga ukweli

  • @sultanaswaleh8892
    @sultanaswaleh8892 Год назад +4

    Mashaaaaaa!....Nakupenda for free....MBONA MY DAUGHTER ZUCHU...NI KIBOKOOOÒ?

  • @scoutsmaybe4708
    @scoutsmaybe4708 Год назад +1

    Sasa maisha iyo million ishirin si ungejenga japo nyumba yako

  • @muniraawadh2982
    @muniraawadh2982 Год назад +3

    Waowane tupumue tumechoka zuchu diamond..akkh

  • @nuuringoogle4104
    @nuuringoogle4104 Год назад

    Ohooo masha waongea ukweli🙏🏽🙏🏽🙏🏽👏👏♥️

  • @husnaali1610
    @husnaali1610 Год назад

    Masha unajichubua sana,punguza,mpaka,ngozi,imechunika hatariiyo,Allah hapendi,kama,WW moto wakiislam

  • @aishaz1
    @aishaz1 Год назад

    Baba amesha sema kaeni kwa kutulia.zuchuatawanyima usigizi nyie wazeee😂

  • @halima23862
    @halima23862 Год назад +3

    Mama yake Zaivhu ni kwingiiii sasa inakuwaje Zuchu anaitwa mkwe bill mahari

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 Год назад

      Haa haaa kila kitu kishatolewa..MAHARI...PIA.tulaleeeee tukiamka mambo yashakwisha... 😎 maana tunayafatiliya sanaaa mambo ya watu...mbona mambo wenu hamyasemi kwenye hiyo MITANDAO??? Baai ya Zuchu tuu...!!!!

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 Год назад +2

    Hili kweli dishi la Star time yaani kwenye kùmtangaza Mafufu kampa ujauzito kataja ana mimba ya miezi lao hii anasema hana mahusiano yapata miezi 9 au 10 sasa mimba hiyo ina mwaka 1 au mbona kichaa huyu na hana mimba wala nn muongo huyu

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 Год назад

    Kujificha kote amekuwa na mahusiane! Ikiwa mitandaoni ni kuharibiwa! Yote hayo kwao halali? Na ndoa itafata baadae 👀

  • @mwadawahussein2494
    @mwadawahussein2494 Год назад +2

    Masha anaongea kwa vituo😂😂😂

  • @mwanaidimussa
    @mwanaidimussa Год назад +1

    Mimbaaa ya mgongoni 😂😂na kwenye bavuuu

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 Год назад +1

    Uongo uongo uongo uongo uongo uongo uongo uongo uongo akiolewa nanya mavi kuanzia kenya mpaka tz...

  • @safiayussuf9308
    @safiayussuf9308 Год назад +1

    Inalilah wainailh rajiun

  • @joycepatofondo
    @joycepatofondo Год назад

    Mwanamke kuolewa sio lazima awe n shepu mjue jinsi ya kumridhisha mme kwa kitanda inaeza fanya penzi ile n nafasi kubwa sna mlijue hlo n kma kuna wenye kupenda wanawake kwa ajili y shepu mmepotea poleni

  • @pastorjully3657
    @pastorjully3657 Год назад +1

    Hata akiolewa ajiandae kusaikolojia kuachwa that is must believe me.why hapo hakuna mapenzi bali kuna mziki kibiashara

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 Год назад

    Amnakitu hapo nikutumie kimuziki ahaaaa

  • @husnaali1610
    @husnaali1610 Год назад +1

    Wazanzibar,tumejaliwa,kwamahaba,natunajua,kumgandisha mwanamme🤣🤣

    • @yasminoluoch169
      @yasminoluoch169 Год назад

      MBA mahaba ila kuolewa ni ngumu ndo shida🤣🤣🤣🤣

    • @abdalababu6157
      @abdalababu6157 Год назад

      Uwongo mond haoi zuchu alishafunga ndoa na eitel kuhusu zuchu hakuna kitu

  • @halima23862
    @halima23862 Год назад +2

    Mtoto wa kizanzibar lazima atolewe mahari ndio Aitweeee mke

  • @scollantandu6278
    @scollantandu6278 Год назад

    Mbonaa wewe kwa mafufu umeshindwa 😂

  • @halima23862
    @halima23862 Год назад +1

    Zari anakuja na watoto sasa itakuja na watoto

    • @Zahrazahra-ue7bp
      @Zahrazahra-ue7bp Год назад

      Kuzaa sio shida watu wamezaa na wanaenda kwawazazi wenzao na mwanaume kaoa mke mwengine tafuta shida kwanini wariachana kuna mapugufu

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 Год назад

      Zari akija na watoto akija na PAKA ujuwe tuu Diamond siye Mume wa Zari Diamond hana mke mpaka sasa hivi. Na ende atakaribishwa kwa marefu na mapana...Maana ZARI anayo yafanya haa haaa hamtaki Diamond....hata kidogo.....

  • @binthkhamis8042
    @binthkhamis8042 Год назад

    Duuuh

  • @francoisempenzikanena2814
    @francoisempenzikanena2814 Год назад

    Kuowana joo maicha buluma

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official Год назад +1

    Watangazaji hivi hamnaga maswali yakuuliza?upuuzi mtupu

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 Год назад +1

      Hawana ya kuuliza ya maana kwa sababu hao Wa tangazaji wenyewe siyo ma professional 😂😂😂😂 wamo tuu.

  • @lulually5209
    @lulually5209 Год назад +2

    Acha upuuzi boya ww unaongea nini peleka njaa zako mbele huko na nyinyi watangazaji muangaliege watu wa kuwahoji sio kila siku mnahoji machizi Wenda uchi fyuuuuuu 😏😏😏😏

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 Год назад