DNA YAMALIZA UTATA wa MTOTO ALIYEKUWA AKIGOMBEWA na KINA MAMA 2 ARUSHA, ni YULE ALIYEDAIWA KUPOTEA..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 ноя 2024

Комментарии • 183

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Год назад

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 Год назад +93

    Huyu mwandishi angepewa tuzo la mwandishi bora wa 2022 ❤ kweli ni mtu mahiri sana na anaifanya haki kazi yake Hongera sana na mungu azidi kukuongoza kijana wetu Inshaallah

    • @maryumamapunda7199
      @maryumamapunda7199 Год назад +1

      Sana tena anatangaza vizuri sana uchoki kumsikiliza

    • @estermziray7737
      @estermziray7737 Год назад +3

      kweli asee yani anaongea vitu vinaeleweka safi sana kolumba

    • @josephraphael425
      @josephraphael425 Год назад +3

      Naanafatilia habari mwanzo mwisho hatuachi kwenye mataa stori ikianza mpaka ikamilike👏

    • @waukweelinikkon6555
      @waukweelinikkon6555 Год назад +2

      Na anatangazaga vizuri sana,wala hana mbambamba za haraka wakati wa kuongea,maelezo yake huwaga yanaeleweka

    • @joycenicodemus.2232
      @joycenicodemus.2232 Год назад

      Kwakweli apewe tuzo

  • @souvenirweber7169
    @souvenirweber7169 Год назад +13

    Kutoka Switzerland nakufatilia sana kwa kazi yako unayotendea haki katika jamii .Mungu akutunze

  • @josephmgeni3997
    @josephmgeni3997 Год назад +11

    Hii ni nzuri,waandishi wengine waige uandishi huu,waandike au watangaze habari kwa ukamilifu wake

    • @jameskileo955
      @jameskileo955 Год назад

      Mkuu Hongeraa habari imekamilika Unafanya kazi kwa bidii kubwa mno

  • @magdalenakilapilo6791
    @magdalenakilapilo6791 Год назад +1

    MUNGU akuinue mtangazaji uko vizuri sana

  • @aisharamadhani1948
    @aisharamadhani1948 Год назад +20

    Huyu mtangazaji mungu amuweke salama anatupa story zilizokamilika hd raha

  • @felistersmejumaa
    @felistersmejumaa Год назад +9

    Upo vizuri ndo maana waitwa mwaandishi msomi 😘😘😘 nakupenda bure nkiwa Kenya

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 Год назад +3

    Kumbuka mtoto alisema alikuwa anaishi na Rukia na Amina

  • @rehemamaduhu5642
    @rehemamaduhu5642 Год назад +19

    Nilisema DNA ndio mambo yote sio kutumia nadharia kama waganga wa kienyeji

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 Год назад +7

    Mungu akuzidishie moyo wa upendo mwandishi Msomi kazi iendelee

  • @رقيهالخصيبي
    @رقيهالخصيبي Год назад +7

    MashaAllah Mwenyeez Mungu akusimamie Korumba nakukubali sana unafanya kazi kwa uweredi

  • @hanifamasudi9732
    @hanifamasudi9732 Год назад +3

    Huyo kaka apewe tunzo ❤❤❤ kwakujitaidi nakazi yake

  • @abigailbateyunga8187
    @abigailbateyunga8187 Год назад +1

    Asante sana 👏🇹🇿

  • @abdulkareemchacha2625
    @abdulkareemchacha2625 Год назад

    Kwanza kabisa pongezi nyingi sana ziende kwa mwandishi msomi na anayeuelewa vema wajibu wake kwa wananchi,hakika amefanya kazi nzuri sana ambayo hatimaye imefanikisha haki kutendeka, na baada ya vipimo vya D.N.A kutoa matokeo ya kuridhisha, mtoto ameenda kwa Mama halisi wa mtoto ....hali ambayo hata Mama aliyebakia ameridhika nayo bila kinyongo . M/Mungu akubariki na akuongoze ili uendelee kutenda haki katika majukumu yako.

  • @njuka3515
    @njuka3515 Год назад +2

    nawafuatilia kutokea dubai
    hongera sana gloobal kazi nzuri big up

  • @mamiimakundi4374
    @mamiimakundi4374 Год назад +2

    Mungu akuweke sn huwa nakufuatilia sn, Mungu akutunze

  • @isayayohana6341
    @isayayohana6341 Год назад +1

    Pole kwa kazi nzuri sana ndugu yangu MUNGU mkuu azidi kukupa hatua zaidi

  • @naomisamsoni1040
    @naomisamsoni1040 Год назад +10

    Nakuombea Judith Mungu akukutanishe Tena na mwanao akiwa mzima wa afya.

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 Год назад +6

    Mwandishi msomi👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼

  • @josephinecharles8615
    @josephinecharles8615 Год назад +3

    Kazi nzuri bro, ila huyu mama mtoto kwanza anajibu jeuri as if hamkumsaidia,na mtoto kampata juzi tayari kambwaga kwa bibi Moshi? The first time nae alimwacha kwa bibi mzaa baba, anyway bora salama

  • @mkibandulo1231
    @mkibandulo1231 Год назад +1

    Mama mungu akubariki kwa Imani yako ya kuku Ali kumpa mtoto nakuamini sio wako mungu atakulipa Zaid ya huyo

  • @annehaysanday9214
    @annehaysanday9214 Год назад +4

    Hongera mwandishi kwa kazi nzuri

  • @khadijasayeed3381
    @khadijasayeed3381 Год назад +5

    Nakumbuka kuna watu walikoment walisema mbna mtot pic ya utotoni na hapa mkubwa haziendani kumbe kwel maskin Mungu amsaidie Judith apate mtot wake

  • @eddyrich.3312
    @eddyrich.3312 Год назад +1

    Tunapenda habari kama hizi zenye kusisimua na zenye uhalisia ndani yake sio habari za kutungatunga zilizojaa uongo. Hongera mwandishi umeitendea haki fani yako.

  • @niwemugenimediatrice5640
    @niwemugenimediatrice5640 Год назад +1

    Jaman Mungu amsaidie na mwengine ampate mwanae akiwa hai

  • @furahaiddy5069
    @furahaiddy5069 Год назад +2

    Kiukweli hata mm nilijua huyu mtoto ni waamina kulingana na maongezi ila mwandishi Mungu akutunze

  • @aishaabdul9287
    @aishaabdul9287 Год назад +2

    Mwenyezi mungu akusimamie kwenye kazi Yako

  • @musaandrea9727
    @musaandrea9727 Год назад +5

    Hongereni sana Global Tv. Na wewe mwandishi Mungu akubariki na uishi miaka mingi yenye baraka kwa sababu unafanya kazi yako vizuri sana.

  • @mishikikoti2948
    @mishikikoti2948 Год назад +2

    Uyo amina ni jeuri kwa sm tu anajib shot

  • @Prof.VerdianaGraceMasanja
    @Prof.VerdianaGraceMasanja Год назад

    Pole sana inahuzunisha mno kupotelewa mtoto, kudhani umempata kumbe si wako. Jambo jema ni pale mtu akijitokeza kuwa mzazi ipimwe DNA kabla ya kumkabidhi.

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 Год назад +2

    Columba nakukubali sana katika kazi yako uko vizuri

  • @rehemaothman2475
    @rehemaothman2475 Год назад +2

    Nilikua naisubiria sana hii...pongezi mtangazaji

  • @salehhassan87
    @salehhassan87 Год назад

    Nimependa hongera sana, ww kweli muandishi msomi nimekubali show , mungu azidi kukusimamia uzidi kufanya vzr zaidi

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 Год назад +3

    Inatia uruma Sana jaman aliyemchukua mtt wa juddy

  • @johnkalubea8555
    @johnkalubea8555 Год назад

    Libabaz uko vizuri sana kwenye kufuatilia habari piga kazi mwandishi msomi

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 9 месяцев назад

    Mwandishi msomi mungu akibariki

  • @ziadaskitchen5060
    @ziadaskitchen5060 Год назад

    Mungu awabariki

  • @saidiamiri7898
    @saidiamiri7898 Год назад +7

    Hamisa naye akubali kufanya hii DNA ili kuondoa sitofahamua kwa jamii lakini pia kumwandalia mtoto mazingira salama kwakuwa anakua ssa.

    • @zehrahaji1566
      @zehrahaji1566 Год назад +1

      Akifanya tayari lkn wanasema hospital ile awaiamini daimond anataka hospital ya Nje ya nchi wskafanye Tena ndo apo hamisa anaona mtoto bado Mdogo kumpeleka huku na huku majibu ya kwanza Ni WA Simba mtoto

    • @nahyialetomia9284
      @nahyialetomia9284 Год назад

      DNA sio lazima mtoto asafiri; wanaweza kupeleka 🪥 au nywele za mtoto

    • @Ummu-Nauthar98
      @Ummu-Nauthar98 Год назад +1

      @@nahyialetomia9284 hee hii yako Kali DNA hadi damu mswaki je ukichukuliwa wa mtoto mwengne wijaiskia hii

    • @rehemaothman2475
      @rehemaothman2475 Год назад

      @@fatmahashimu1487 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @gloryminja4909
      @gloryminja4909 Год назад

      @@rehemaothman2475 😂😂😂😂😂😂

  • @zainab8251
    @zainab8251 Год назад +2

    Asante sana mwadishi kwa kazi nzuri

  • @grolyjepha5771
    @grolyjepha5771 Год назад

    Upo vzr Mwandixh mtto wa uyouyo bhana DNA ixhaxema💯

  • @djmacho5395
    @djmacho5395 Год назад

    Hata sura inaonyesha, mtoto ni wa Huyo mweusi aliejieleza Mara ya kwanza

  • @enjojohn7526
    @enjojohn7526 Год назад

    hongereni sana kwa ya maliza

  • @leoniaolomi6779
    @leoniaolomi6779 Год назад +1

    Dah hongera mwandisha jaman maana nlikuwa nsubria hii stori kweli

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 Год назад +1

    Kwa waafrica kuna watoto wengi wakizaliwa nje ya ndoa wanakabidhiwa baba ambao sio watoto wao, wanawake wamezaa na wanaume wa nje ya ndoa.

  • @neemaloy889
    @neemaloy889 Год назад +1

    Kolumba hongera ndugu yangu

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 Год назад +2

    Hongera Sana mwandixhi wa habari kwa umaili wako unatuletea habari za kuaminika

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 Год назад +1

    Iseee hii kitu ni hatari sana

  • @albusaidi5132
    @albusaidi5132 Год назад +1

    Ongela sana mtangazaj

  • @gracemalatwe6064
    @gracemalatwe6064 Год назад +5

    Wewe ndo mwandishi sasa. MUNGU akutunze

  • @nashnene6326
    @nashnene6326 Год назад +3

    Japokuwa mtoto ni wa Amina lkn I wish angepewa Judy maana Amina ulezi ulimshinda na babamtu hana habaree 😵‍💫bora mama Judi angempa mapenzi na malezi mema

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 Год назад

    Umefanya jambo la busara sana MUNGU akuinue zaidi

  • @ashangonyani7989
    @ashangonyani7989 Год назад +2

    Hongera sana mwandishi wa habari. Upo vizuri sana.

    • @naimakhamis8748
      @naimakhamis8748 Год назад

      Jamani mbona mimi sijui ile story yetu ya Bayo mtoto wa mwanajeshi iliishia wapi????

  • @angellammbaga7847
    @angellammbaga7847 Год назад

    Honger Sana mwamdish, Kazi yako ni nzuri

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Год назад +1

    Ila mtoto tulijua ni waamina zamani ukimuangalia tu pole dada ulopotelewa na mtoto maskini inaumaaa wanaoiba watoto mungu anawaona sana mujuwe na mutapata laana ambayo mutaijutia siku ya mwisho

  • @sophiaalexandersophia8610
    @sophiaalexandersophia8610 Год назад +12

    Duuhh afadhali ila nawe Dada usipende kumuachia mtoto ndg Wa mwanaume Lea mwenyewe au mpelekee mama yako

    • @myunaniniahmad6463
      @myunaniniahmad6463 Год назад +1

      Na nikwanini ampelekee mama, yeye mwenyewe bado kijana, amlee mtt.

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 Год назад

      @@myunaniniahmad6463 hilo nalo neno

    • @رقيهالخصيبي
      @رقيهالخصيبي Год назад

      Unajuwa kuna baadhi ya mijanaume majangiri kipindi wanafanya mapenzi kuna mambo mawili maradh na mimba sasa mtoto ameshasogea unashundwa kuhudumia mtoto mnampoteza makusudi watoto wa hivyo Mwenyeez Mungu huwa anawaruzuku kipato na maisha mazuri baadae linajitokeza mtoto wangu bibi hana makosa baba ndie kamtupa kusudi kuhofia mkewe mijanaume mingi inakuja kujuta baadae

  • @simonzakaria4770
    @simonzakaria4770 Год назад

    Nawapa pongezi global tv.huo ndiyo uandishi wa maana

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 9 месяцев назад

    Hiv aliekutwa sie mamaake na alikua analazimisha ni mamaake anajisikiaje😂😂😂😂aibuuuuuu hujazaa unalazimisha mtoto wa mwenzio kwann usiombe Mungu akujaalie

  • @olivajoseph1697
    @olivajoseph1697 Год назад

    My God kwahiyo yulemama hakuwa mwanae maskini. Sijui mwanae alishauawa my God

    • @neemasawe7016
      @neemasawe7016 Год назад

      Me mwenyewe nimemuonea Imani Ila kufariki sidhani😔

  • @sokholisiima3014
    @sokholisiima3014 Год назад

    Hongera sanaaà

  • @masalakulwa7601
    @masalakulwa7601 Год назад +7

    Ila mbona kafanana na judith usoni

  • @godfreyobadiah7892
    @godfreyobadiah7892 Год назад

    Hawa ni watoto wetu sisi sote tuliopo sayari ya wkt huu, waache wtt wajivinjari kivyovyote, huyu angeishi tu hata wasingepatikana walengwa, cha muhimu jengeni udugu familia mulioshiriki sakata hili bila shaka ni yule chalie mwingine atapatikana.

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Год назад

    Amina hata picha za mtoto hukuwa nazo ndani

  • @danielmarunda153
    @danielmarunda153 Год назад +1

    Story ya Cloud Bayyo mbona hujamalizia

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 Год назад

    Hongera kwa usuluishi mzuri

  • @gracemonest6898
    @gracemonest6898 Год назад

    Hongera mwandishi uko vizuri

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 Год назад +1

    Ndioo mwanamme alimkataa kumbe limama lijeuri

  • @OmanOman-vb4uj
    @OmanOman-vb4uj Год назад

    Daaah nakupenda bureh jmni upo Vizur

  • @saidizuberiissa7286
    @saidizuberiissa7286 Год назад +2

    Mh! nivituu vya hovyo hakika dunia ina vingi vihoja! navingi vya kustaajabisha

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 Год назад +6

    Mungu akubariki muandishi msomi❤🙏

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si Год назад

    Hongereni sana global
    Hongera mwandishi good job

  • @lucyheigre3125
    @lucyheigre3125 Год назад

    Hongereni jamaani global TV. Muendelezo wa kizaaza cha lile kaburi la dkt kyela vp?

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 Год назад

    Mungu akujalie umpate mwanao

  • @kiri5807
    @kiri5807 Год назад

    Sasa kipindi chote hicho huyo mtoto alikuwa wapi ?

  • @mossyfimbo3577
    @mossyfimbo3577 Год назад

    Mbona huyo mtoto anafanana na huyu mwenye kilemba ambae anaambiwa sip wake hizi DNA za kwetu mimi zisielewi nisamehewe kama nitakuwa nimekosea ni mtazamo wangu maana huyo mtoto na yule Dada mwenye kanga kajitanda vitu viwili tofauti

  • @HadiaAme-x5f
    @HadiaAme-x5f 5 месяцев назад

    Hivi na ww mama unaambiwa na baba ya kua mtoto atafichwa au atafanywa kijakazi nawe unampeleka khaaa nisimgewahi peleka mtoto wangu hata siku moja sasa anaweza kupotea tena subiria tu

  • @fedelinamahenge6649
    @fedelinamahenge6649 Год назад +6

    Ila huyu dada mwenye mtoto mbona anajibu hivo hali kwamba mwandishi amemsaidia sana

    • @majaliwawilson9372
      @majaliwawilson9372 Год назад

      Hiyo nipaniki lakin inakuwaje mtu unakuwa humjuwi mtoto wako paka mnaleta Mambo yaajabu mtandaoni mtoto ana sehem muhim ambazo anapo zaliwa lazima uzitizame sula masikio miguu kichwa puwa mdomo kitu amabacho huwa hakibadilik ni masikio mikono miguu inakuwaje unaaza kusema mtoto niwako ilihal alama zote hizo hazipo ama mumeo alichepuka nahuyo mdada ndiomana akafanana nawanao

    • @fedelinamahenge6649
      @fedelinamahenge6649 Год назад +1

      @@majaliwawilson9372 yaani yule dada wa kwanza kweli siye mwenye mtoto ila bila huyu mwandishi mtoto alishapotelea kwa dada wa kwanza mimi nacho umia huyu mwenye mtoto anajibu kama hajui mwandishi alichofanya kuhangaikia hii ishi yaani binadam du mwandishi taji lako kwamungu binadamu mmm

    • @mishikikoti2948
      @mishikikoti2948 Год назад

      @@majaliwawilson9372 sasa we nae unaongea na nani

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 Год назад

    Natafuta mwandishi kama huyu nataka kufungua online tv itakayo husika zaidi na maisha ya jamii.mfano kazi,ndoa,watoto,kutembelea vijijini huko kuzibua matatizo mimi vifaa si shida

  • @ludovickbenjamin6104
    @ludovickbenjamin6104 Год назад

    sasa jamani si mfanye namna ya kupata mwingine

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 Год назад +1

    Wewe kweli ni mwandishi msomi nakupa hii kofia na sitaki mtu anibishe

  • @elishangwale8575
    @elishangwale8575 Год назад

    Wew bro mi naomba uniunganishe na yule dada Catherine sanga dereva yule Nina shida nae sana nakuomba saizi anaendesha wizara ya Elimu nisaidia

  • @winnieminyalla9430
    @winnieminyalla9430 Год назад +2

    Jamani 😥

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 Год назад +3

    Wanaume jaman nyie wanaume hebu ona sasa unaenda tupa damu yako hivi hivi tena barabarani unamwacha eti kisa humpendi mamake😭😭😭😭😟

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 Год назад

      Ni wengi ilitokea hata Laela Kituo cha Afya baba alimtelekeza Mke wake hakutaka mtoto wa kike

    • @ZuhuraAcholla-w7b
      @ZuhuraAcholla-w7b 10 месяцев назад

      Wakina mama nasisi tunafel wp? Kwani tunashindwa kukaa na watoto wetu mpaka tumpeleke kwa mabibi

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 Год назад

    Hamisa yuko wapi akampime Dylan wacheni kumtesa mtto anakosa mapenzi ya baba is not fair

  • @rehemaathhmani357
    @rehemaathhmani357 Год назад

    Hongereni global Tv kwa kazi zenu nzuri ❤

  • @SaidHasheem
    @SaidHasheem 2 месяца назад

    Inapotokeaivyo tatizolipokwamama leamttwakonwenyewe kwani rikinabarakaitapaatikana kupitiamtoto sioumhangaishe huendaikawa nisiri anaijua baba jekamakaamua amuuziahhuyo mama

  • @neemamkemae2580
    @neemamkemae2580 Год назад +2

    Hatali

  • @AmirAmir-gj5zr
    @AmirAmir-gj5zr Год назад

    Tunakukubali mwandishi msomi@kolumba

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 Год назад +1

    Mamaa wa mtoto anajibu kwa mkato sanaa jaamaanii kama hajui alivyosaidiwa jaamaani tabiiaaa mbayaaa looooh

  • @maxmiliankoga2711
    @maxmiliankoga2711 2 месяца назад

    Kyoto kafanana na Judith saana

  • @beatricepallangyo2821
    @beatricepallangyo2821 Год назад +1

    Asante sana Mwandishi Msomi!!!!

  • @ameenaameena1224
    @ameenaameena1224 Год назад +3

    Huyu dada sipati jibu nikiasi Gani nafus yake imeumia kule kuambiwa Tena sio wako pole mzazi mwenzangu najua maumivu unayopitia

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 Год назад

    Hongera sana

  • @esterabonga7947
    @esterabonga7947 Год назад +2

    Mmmh DNA za afrika izo wanaweza wakapewa rushwa na mtoto akapewa mtu mwingine 🤣🤣🤣maana huyo Amina mwenyewe afananihii kama aliwai kupatwa na uchungu wa leba 🤣🤣🤣🤣

    • @carolineemmanuel743
      @carolineemmanuel743 Год назад

      Umeonae yani Amina afanani hata kwa kuangalia Judy ndo kidogo hata sura inakuja

  • @lailaoman3856
    @lailaoman3856 Год назад +3

    Jamani,aneye juwa,bei ya D A..N,naomba anisaidie kuitaja

  • @mwanahamisijaheka8078
    @mwanahamisijaheka8078 Год назад

    Kazi nzuri jmn

  • @neema_mollel
    @neema_mollel Год назад

    Mwandishi msomi hongera

  • @oswaldtemu2779
    @oswaldtemu2779 Год назад

    Utaratibu wa dna hujauelezea

  • @valentinemtei3588
    @valentinemtei3588 Год назад

    Ila huyo mtoto anafanana na Doroth

  • @fadhilmatunganya4609
    @fadhilmatunganya4609 Год назад +1

    This is CHEMISTRY

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 Год назад

    Daaa, nimaumivu sana