Kwa navyofikiria mimi huyu mtu ana deni la watu na pesa hiyo inaonekana imeshakata,njia ya yeye kuwa salama na deni hilo na kufanya wanaomdai watulie ni kupotea kusikojulikana akatafute maisha huko akijipata atarudi kurudisha deni la watu mimi naamini hivyo ndio maana kasema msinitafute.
@@israelkisaila8401anaeleweka kwa watu wanaoelewa kuwa binadamu tuko tofauti. Ila kwa mtz anayehisi binadamu wanafanana basi hawezi kuelewa.kuna mtu hatoi hata machozi na ana hasira hadi anakuua huku anacheka.
💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO 🔥🔥 chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Uuuuuuui mungu muongoze popote alipo awe mzima
Amepatikana tayari na nimzima ashukuriwe Mungu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Apia😢😢😢
@@StellaPendaeli ni kwel amepatikana?
Amen
Mungushi na Bingati Sanya juu kwa mamake
Watu washakuwa na mienendo ya kutaka kuichafulia Serikali.
Kwa navyofikiria mimi huyu mtu ana deni la watu na pesa hiyo inaonekana imeshakata,njia ya yeye kuwa salama na deni hilo na kufanya wanaomdai watulie ni kupotea kusikojulikana akatafute maisha huko akijipata atarudi kurudisha deni la watu mimi naamini hivyo ndio maana kasema msinitafute.
Pole dada atapatikana
Mke umeanza vizuri mwishoni umeunguza picha🫣🫣🫣🫣
jaman baba T😢.....pole sana mama Triza😢😢 hii habar imenishtua sana.... huuu amekutwa na nini baba t jaman😢
Kwa kweli mi huyu Dada sijamwelewa
Kajiteka Mwenyewe....kachukulia Gep yakujiteka..
Smart wife!
Mbona simuelewi huyu mke kweli umepotelewa na mume alafu unacheka cheka🙄
Dada mkavu san hyo hana hata mawaz no mume wake mchongo kautoa yeye hyo
Huyu mwanamke ahojiwe vzur
Mmmh sasa apo kinachochekesha ni nini! Kama mwehu🤔🤔🤔
Katekwa uyo na iyo barua hakuandika yy uo ndo uelewa wangu
Kama anaongea na ndugu zake si Polisi watrak hiyo simu ni rahisi kumpata
Huyo dada anajua kila kitu ila hiyo ni sinema ya kihindi
Mungushi tumefikwa. Kwetu kabisa
Hayo nimaisha tu alishaaga nakusema msimtafute
Dah bongo sasahivi watu tushaanza kuogopana
Waandishi wote nyoko
Huyo dada aulizwe vizuri
Aulizwe vizuri Nini??kwani Ni mlinzi wake.they are just Roomates😏
Mke hana uchungu kabisa na hilo mbona kama amefurahia
Huyo kapigwa huko alipotoka akapata upenyo akarudi nyumbani kachukuwa alichochukuwa nakuandika hiyo barua yake nakutembea
Mbona huyu dada ana viashiria vya wasiwasi??????!
Yani haowaliemteka wamemuacha andike barua alafu ndiowaondokenae film ya kihindi nini
Wengine wanatengeneza matukio wanajiteka amna ishu apo
Ndo maana ,Mama wakati mwingine anatuchana live,HALAFU MAMBO HAYA MENGI NI YA WACHAGA,WANYAKUSYA, SIJUWI KWA NINI?!😢 WAJITAFAKARI
Rohoyangu inasita huyu Dada anajuwa analolifanya
Kwa majibu ya kamanda wa polisi nina imani siala hili litapatiwa ufumbuzi, wahusika wavute subira!
yaaani hilo lidada halieleweki kabisaaa ni kama halikuwa tayari kuongea na huyu mwandishi.midada kama hii pia ni ngumu kutongozeka sana
Huyo jama katekwa na anae mdai
Mauzauza hapa ni mengi sana
Kwani huyo ni mke wake mtafuteni atapatikana
TANZANIA NI NCHI PEKEE AMBAYO RAIA WAKE WANAJITEKA WENYEWE
Huyu mwanamke atakuwaanajua Kila kitu
Hyu mke mbona kma sjamuelewa,?
Ni huzuni sana,MTU YEYOTE mwenye Akili hawezi kumwelewa kabisa,wachaga ni shida,HAPO Mali tu 😢
Kachangamka
Kama hujamwelewa hauko sawa upstairs
Sisi binadamu tumeumbwa tofauti kila mtu na hali yake ya msemo,tusimhumkumu huyu mama ndivyo alivyo
@@israelkisaila8401anaeleweka kwa watu wanaoelewa kuwa binadamu tuko tofauti. Ila kwa mtz anayehisi binadamu wanafanana basi hawezi kuelewa.kuna mtu hatoi hata machozi na ana hasira hadi anakuua huku anacheka.
Duh!!😭😠😭
Tanzania United Republic inasikitisha sana
Je ungekuwa wewe serikali ungefanyaje kwa hili labda uwe ni roho mtakatifu unauwezo wa kumwingia kila mtu
Ndo kuna muda police hawana hatia kabisa ukitaka kujua sikiliza make wake eti kama wanakudai waseme tuu hamnaga hiyo
Atakua kajiteka uyo apo ataukisikiliza mke akiongea anajua kinacho endelea
Unahisi aliongozana na mume wako? Mbona kama unajua
Alaf serikal wanasem hakuna utekaj
Hatuna serikal kwa sax