HOTUBA YA MHE. DOTO BITEKO NAIBU WAZIRI MKUU MBELE YA MAKARDINALI NA MAASKOFU - JIMBO KUU TABORA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 сен 2024

Комментарии • 14

  • @Fatumakikuyu-iq4jk
    @Fatumakikuyu-iq4jk 10 месяцев назад +3

    Mhs Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Ni kijana mwenye utu hekima na busar ,upendo kujishusha Mungu amlinde na kumtunza daima milele kweli Mhs Rais Wetu ni kichwa alojua kumteuwa kijana mwema na uwezo wa uongozi anaheshimu kila mtu Mungu wa Mbinguni tulindie huyu mtoto wetu umwondolee hasad na chuki za wanadamu wenye wivu Ammin

  • @lucasmwanangoni8484
    @lucasmwanangoni8484 10 месяцев назад +1

    Tunakuamini sana naibu waziri mkuu. You are so bright.

  • @user-iq8jc3os6r
    @user-iq8jc3os6r 10 месяцев назад

    Hongera Kijana Roho Mtakatifu Aendelee kukupa Nguvu na HEKIMA Tele, Barikiwa sana

  • @prosperidinya5864
    @prosperidinya5864 10 месяцев назад +1

    Unaakili sana Mh.Naibu waziri mkuu!.

  • @boymtitu3138
    @boymtitu3138 10 месяцев назад

    Amina Barikiwa

  • @sylvestrengwelu2012
    @sylvestrengwelu2012 10 месяцев назад +1

    Songa Mbele Mungu Yuko na wewe.

  • @amadeusmdetele6206
    @amadeusmdetele6206 10 месяцев назад

    Hongera naibu waziri Mkuu hakika mama hakukosea

  • @josephmasenga3517
    @josephmasenga3517 10 месяцев назад

    Uko vizuri

  • @DeodigardRwechy
    @DeodigardRwechy 10 месяцев назад

    Vipaji vipooooo.....mtu wa kazi mzalendo na pengo kunbe linazibikaa.....Mungu akurpe ulinz na barakai wa utume kijana wetu Biteko.......chapa kazi tutakumbukaaa

  • @omanziomtuga3857
    @omanziomtuga3857 10 месяцев назад

    Tyk

  • @allanaugustine303
    @allanaugustine303 10 месяцев назад

    Naibu waziri Mkuu Umemsahau Mhashamu Askofu Bernadin Mfunbusa...alikuwa Deputy Vice Chancellor of Academic Affairs pia.

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 10 месяцев назад

    Wasizalisha wana maneno mengi

  • @LucasKaik-vl3yk
    @LucasKaik-vl3yk 9 месяцев назад

    Et uhuru wa kuabudu wakati tunashuhudia mchungaji kafugwa jera, na kanisa lake wamezuiliwa kuabudu sasa hapo uhuru upo wapi, ifikie mahara saswala ya mungu tuwe serious. Serikali mnaongea hivi alafu mnaishi kingine sis tutawaaminije sasa