KAULI YA MAASKOFU KUHUSU UTEKAJI NA MAUAJI YALIYOTOKEA HAPA NCHINI TANZANIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 ноя 2024

Комментарии • 7

  • @husseinally4932
    @husseinally4932 Месяц назад

    Kama munahisi kuzishirikisha jumuiya za kimataifa ndio njia ya kutafuta amani basi tusije kulaumiana pindi jumuiya za kimataifa zikifanya kazi yake na vizur tuna mifano mingi sana kutoka katika nchi mbili mbali waliwakaribisha jumuiya za kimataifa ila mwisho wake zimeishia katika umasikini na vita munatakiwa tutammbue kwamba tusipo jisuluhisha sisi wenye basi hakuna nchi yeyote itakayoweza kuleta suluhu Tanzania (Mungu ibariki Africa Mungu ibariki Tanzania)

  • @EmanuelNjovu-y1d
    @EmanuelNjovu-y1d Месяц назад

    MUNGU NA ATUBARIKI WATANZANIA YESU YUPO NASI DAIMA

  • @NuruJuma-zv3yz
    @NuruJuma-zv3yz Месяц назад

    Nyinyi ni wachochezi sana nchi hii ndio maana kikwete akawaletea magu, awonyoshe😅😅😅😅😅😅😅

    • @josafko2259
      @josafko2259 Месяц назад +3

      Huo ni mtazamo wako,kwani wewe haujapata taarifa au kusikia kuhusu kupotea/kutekwa kwa wananchi wenzetu?

    • @agathakisstv8745
      @agathakisstv8745 Месяц назад +3

      Hope umevutiwa ndiyo maana umefuatilia hotuba.
      Tuliaaa

    • @Amatha_K
      @Amatha_K Месяц назад

      😂😂😂😂😂you don't want peace, you want problems always

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward Месяц назад

      ​@@josafko2259Huyu ni wa kusamehe. Tz kuna watu maisha ni kama tayari wako mbinguni. Hawajali ya duniani. Kundi jingine ni ujinga tu. Tabia yao wako kama nyumbu.wana tabia ya kutotambua wema na ubaya