BILLIONEA BAKHRESA AONYESHA UFAHARI WA NYUMBA ANAYOKAA YA MABILLIONI.ANAISHI KAMA YUPO PEPONI
HTML-код
- Опубликовано: 24 фев 2023
- BILLIONEA BAKHRESA AONYESHA UFAHARI WA NYUMBA ANAYOKAA YA MABILLIONI.ANAISHI KAMA YUPO PEPONI
#emailmarketing #insurance #harmonize - Развлечения
Mash Allah
Allah amzidishie zaidi na zaidi na ampe nguvu ya kukumbuka waliokuwa hawana uwezo
Nyumba kama hospitali....kama chumba cha operation .Hujaona nyumba duniani
Mashaallah
Mshukuru Mungu KWA YOTE si KWA ujanja wako tukumbuke safari ya mwisho Mungu akuzidishie
Mashallah mwenyezimungu humzidishia amtakae
Soma sura Ash shuraa Aya ya 12 na pia Aya ya 19 utajuwa Allah ni Malikul mulk..Allah Akbar
Allah yarzuk man yashaau bihair hisabu
Mungu humps amtakae na kwa wakati autakaona humnyima amtakae kwa wakati autakaona
Wee usidhalilishe Pepo haifananishwi na chchte tubu
MashaAllah
Maneno umeyamaliza baba
Pazuri sana ❤️❤️
😂😂 mbona hata chungu hujenga zikabomoka 😂😂
Kwaiyo tufanyeje sasa
Ni bandia za dunia tupu!🤔
Naomba kazi 4:47 4:50
UZURI WAKE NI ANAJUA PIA KUTOA KUSAIDIA NA KUWAJIBIKA.ALLAH KARIM.NI MTU MWEMA NA MTANZANIA .
Wow
Kwa hiyo ndugu mwandishi peponi ndo ipo hivi?
Onyesha ya kwako bhana ya Bahresa yanakuhusu nini.
Stupid hujaongea Cha maana rudi chuoni ukasome stupid umeongea ujinga unama😅liza bando zetu bure.
Mali ya dunia
Unataka aishi wapi?
Haven in earth 🌏
7j 3:58 3:59 6
We ni muongo mbona hatumuoni tutaaminije sasa
Hivo vyote ni dunia tuu
Kauli za kimaskini hizo😂😂
Nice
Huu ni kutangaza uahamba.Mbona zipo nyumba nyingi za hivyo duniani.
Wakati mwingine jifunze kunyamaza pita kimya kimya kwani utakuwa umepungukiwa nn???????!!!!!!!
Acha wivu ww,haujaambiwa hakuna iyo ni ya omar baharesa,
Washazoea za diamond uwa awasemi waona roise roise mbili hapo tena zile bei mbaya naajitangazi dogo
Msisifietafuteni vyenu
Nimekuelewa
Anaishi ulaya au
Acha ushamba
kwer uko Kama pepon
Ndio unajua leo, pepo ipo hapa hapa aridhini ndio maana viongozi wa dini wanaishi vizuri kwa michango y misikitini na makanisani embu nambie mfalume gani maskini duniani
Mali ya dunia