TUMEANZA KUFUGA KUKU 500 WA MAYAI ,TUTAMSAIDIA MAMA ILI TULE NA KUUZA MAYAI
HTML-код
- Опубликовано: 27 дек 2024
- TANZANIA KILIMO DIGITAL LIMITED
Tunatengeneza keji/cages Bora kwaajili ya Ufugaji wa kuku.
Sifa ya KEJI hizi
Ni KEJI zinazochukua eneo dogo ila zinabeba kuku wengi kulinganiasha na zile za kichina
Ni imara Sana kwani zinadumu Kwa muda mrefu
Bei yake NI nafuu kulinganiasha na zile za kichina
Zinatengenezewa ndani ya Banda hivyo kupunguza gharama
Mikoa yote tupo na tunafanya survey ama kufanya vipimo vya Banda pasipo kufika mkoa ulipo hii nikuepuka gharama zisizo za lazima
Wasiliana nasi tukupe maelekezo zaidi
0714569056