- Видео 185
- Просмотров 140 776
Tanzania Kilimo digital Tv
Добавлен 4 май 2023
TANZANIA KILIMO DIGITAL LIMITED
ni kampuni iliyosajiliwa na makao yake makuu Dar es salaam, tunajihusisha na shughuli za masoko ya bidhaa za kilimo pamoja na ufugaji, ikiwemo Biashara ya mazao pamoja na nyama ndani ya Tanzania pamoja na nje ya Tanzania
MOTTO : KILIMO BIASHARA NI FURSA
DIRA : kutatua changamoto zote zinazowakumba wakulima hasa masoko ya mazao Yao ili waweze kuzalisha katika ubora na Kwa wingi kupitia njia za kisasa
MALENGO
Baadhi ya Malengo yetu ni kama yafuatavyo
1:Kuleta suluhu dhidi ya changamoto zinazowakumba wakulima
2:kuuza vifaa vya kisasa na pembejeo vyenye tija katika uzalishaji wa kisasa
3.Kutoa elimu Kwa njia ya semina Kwa kutumia maafisa Ugani juu ya kilimo cha kisasa
4.Tunafanya Exportation na importation ya mazao na Mazao ya wanyama
5.Tunafanya Farm security ili kuhakikisha uzalishaji wenye faida
6.Tunafanya huduma zote za mifumo ya umwagiliaji

UFUGAJI WA SAMAKI NI UTAJIRI #samaki #tilapia
TANZANIA KILIMO DIGITAL LIMITED
Tunatoa elimu ya samaki aina zote,
Tunasimamia miradi ya ufugaji wa samaki
Tunachimba na kujenga mabwawa ya samaki
Tunatoa ushauri wa kitaalamu
Tunauza chakula Bora Cha samaki
Tunauza vifaranga vya samaki aina zote
Fish pond construction
Tilapia fingering
African catfish
Wasiliana nasi Kwa namba
0714569056
Karibu ofice kwetu ilala Machinga complex
#ufugaji #samaki #tilapia

Просмотров: 265
Видео
USIFANYE KOSA KWENYE KUCHAGUA VIFARANGA BORA VYA KUKU WA MAYAI #kuku_tv #kuku #chicken
Просмотров 12714 дней назад
TANZANIA KILIMO DIGITAL LIMITED (TKDL) Tunatengeneza keji za kuku aina zote Kuku wa mayai Kuku wa nyama Kuku chotara Kuku wa kienyeji Tunazo aina mbili za keji yaani Keji za chuma pamoja na keji za mbao Poultry cages in tanzani
KULEA VIFARANGA VYA KUKU BILA VIFO, MUHIMU KUZINGATIA HAYA #ufugaji #kilimoufugaji #kuku_tv #kuku
Просмотров 15214 дней назад
KULEA VIFARANGA VYA KUKU BILA VIFO, MUHIMU KUZINGATIA HAYA #ufugaji #kilimoufugaji #kuku_tv #kuku
UKIFUGA KWA KEJI NI RAHISI SANA KUFANYA USAFI WA BANDA LAKO #ufugaji #chicken #kuku_tv #kuku
Просмотров 18814 дней назад
KARIBU TANZANIA KILIMO DIGITAL LIMITED (TKDL) Umekuwa ukisumbuliwa na magonjwa ya kuku? Pamoja na vifo vya KUKU? Sababu kubwa huenda ikawa ni namna ambayo unawafuga kuku wako. Njia rahisi katika ufugaji wa kuku ambao unatatua changamoto za magonjwa na vifo ni njia ya ufugaji Kwa kutumia cages/local cage. TKDL tunatengeneza cage Kwa Bei rahisi kabisa ambazo zinaubora wa Hali ya juu pia imara. Mi...
VIFO VYA KUKU NA MAGONJWA NIKWASABABU HAUFUGI KAMA HIVI, #ufugaji #kilimoufugaji #kuku_tv #kuku
Просмотров 31514 дней назад
VIFO VYA KUKU NA MAGONJWA NIKWASABABU HAUFUGI KAMA HIVI, #ufugaji #kilimoufugaji #kuku_tv #kuku
UNAJUA KWANINI VIFARANGA WAKO WANAKUFA MARA KWA MARA? HUZINGATII MAMBO MUHIMU
Просмотров 13421 день назад
UNAJUA KWANINI VIFARANGA WAKO WANAKUFA MARA KWA MARA? HUZINGATII MAMBO MUHIMU
UNAJUA KWANINI KUKU WAKO WANAKUFA SANA? SASA EPUKA VIFO VYA KUKU FUGA HIVI #kuku #ufugaji #kuku_tv
Просмотров 37521 день назад
UNAJUA KWANINI KUKU WAKO WANAKUFA SANA? SASA EPUKA VIFO VYA KUKU FUGA HIVI #kuku #ufugaji #kuku_tv
USIFUGE KUKU HIVYO, FUGA KISASA KAMA HIVI NA UTAPATA FAIDA KUBWA #kilimoufugaji #ufugaji #kuku_tv
Просмотров 64221 день назад
USIFUGE KUKU HIVYO, FUGA KISASA KAMA HIVI NA UTAPATA FAIDA KUBWA #kilimoufugaji #ufugaji #kuku_tv
TUMEANZA KUFUGA KUKU 500 WA MAYAI ,TUTAMSAIDIA MAMA ILI TULE NA KUUZA MAYAI #ufugaji #kuku_tv
Просмотров 7621 день назад
TUMEANZA KUFUGA KUKU 500 WA MAYAI ,TUTAMSAIDIA MAMA ILI TULE NA KUUZA MAYAI #ufugaji #kuku_tv
TUNAFUGA KUKU WA NYAMA KARIBUNI BEI YETU NI NZURI SANAA
Просмотров 140Месяц назад
TUNAFUGA KUKU WA NYAMA KARIBUNI BEI YETU NI NZURI SANAA
KWA SEHEMU NDOGO KAMA HII UNAFUGA KUKU 600 UKITUMIA CAGE ZETU
Просмотров 559Месяц назад
KWA SEHEMU NDOGO KAMA HII UNAFUGA KUKU 600 UKITUMIA CAGE ZETU
SASA NITAFUGA KUKU 1200 KWA KEJI HIZI ZA BEI NAFUU
Просмотров 461Месяц назад
SASA NITAFUGA KUKU 1200 KWA KEJI HIZI ZA BEI NAFUU
USHAURI KABLA HUJAANZA KUFUGA KUKU ZINGATIA MAMBO HAYA #kilimoufugaji
Просмотров 4 тыс.Месяц назад
USHAURI KABLA HUJAANZA KUFUGA KUKU ZINGATIA MAMBO HAYA #kilimoufugaji
SASA NAWEZA KUFUGA KUKU WENGI ZAIDI KWA KUTUMIA KEJI HIZI BORA#kilimoufugaji #ufugaji #kuku_tv #kuku
Просмотров 439Месяц назад
SASA NAWEZA KUFUGA KUKU WENGI ZAIDI KWA KUTUMIA KEJI HIZI BORA#kilimoufugaji #ufugaji #kuku_tv #kuku
TUNAUZA VIFARANGA BORA VYA SATO NA KAMBALE #fishing
Просмотров 462 месяца назад
TUNAUZA VIFARANGA BORA VYA SATO NA KAMBALE #fishing
FUGA KUKU KWA KUTUMIA CAGES/KEJI ZA MBAO NA UTAJIRIKE
Просмотров 1462 месяца назад
FUGA KUKU KWA KUTUMIA CAGES/KEJI ZA MBAO NA UTAJIRIKE
JINSI YA KUPANDIKIZA SAMAKI KWENYE BWAWA, NJIA SAHIHI YA KUINGIZA SAMAKI KWENYE BWAWA JIPYA
Просмотров 1212 месяца назад
JINSI YA KUPANDIKIZA SAMAKI KWENYE BWAWA, NJIA SAHIHI YA KUINGIZA SAMAKI KWENYE BWAWA JIPYA
JINSI YA KUSAFIRISHA VIFARANGA VYA SAMAKI KUTOKA MKOA MMOJA MPAKA MKOA MWINGINE
Просмотров 452 месяца назад
JINSI YA KUSAFIRISHA VIFARANGA VYA SAMAKI KUTOKA MKOA MMOJA MPAKA MKOA MWINGINE
JINSI YA KUTENGENEZA CHAKULA BORA CHA SAMAKI
Просмотров 3362 месяца назад
JINSI YA KUTENGENEZA CHAKULA BORA CHA SAMAKI
PANDA MBEGU SHAMBANI BILA GHARAMA KUBWA, TUMIA PLANTER MASHINE BORA YA KUPANDA MBEGU AINA ZOTE
Просмотров 1,4 тыс.2 месяца назад
PANDA MBEGU SHAMBANI BILA GHARAMA KUBWA, TUMIA PLANTER MASHINE BORA YA KUPANDA MBEGU AINA ZOTE
MAFUNZO UFUGAJI WA SAMAKI KWA NJIA YA VIZIMBA/UFUGAJI WA SAMAKI KWA KUTUMIA CAGE
Просмотров 1202 месяца назад
MAFUNZO UFUGAJI WA SAMAKI KWA NJIA YA VIZIMBA/UFUGAJI WA SAMAKI KWA KUTUMIA CAGE
FUGA KUKU KWA KEJI ZA MABAO,KEJI ZA BEI RAHISI UBORA NI ULEULE
Просмотров 3443 месяца назад
FUGA KUKU KWA KEJI ZA MABAO,KEJI ZA BEI RAHISI UBORA NI ULEULE
OFFER YA NANE NANE KEJI ZA KUKU, MASHINE ZA JUICE YA MIWA
Просмотров 1273 месяца назад
OFFER YA NANE NANE KEJI ZA KUKU, MASHINE ZA JUICE YA MIWA
KILIMO CHA ZAO LA MIWA , NA MASOKO KUTOKA TANZANIA KILIMO DIGITAL
Просмотров 1284 месяца назад
KILIMO CHA ZAO LA MIWA , NA MASOKO KUTOKA TANZANIA KILIMO DIGITAL
MASHINE ZA KUTOTOLESHA MAYAI, INCUBATOR MACHINE
Просмотров 1944 месяца назад
MASHINE ZA KUTOTOLESHA MAYAI, INCUBATOR MACHINE
TUMEPUNGUZA GHARAMA ZA MATENGENEZO YA KEJI /KEJI BORA ZA KUFUGIA KUKU AINA ZOTE
Просмотров 1895 месяцев назад
TUMEPUNGUZA GHARAMA ZA MATENGENEZO YA KEJI /KEJI BORA ZA KUFUGIA KUKU AINA ZOTE
MASHINE YA KUPANDA MBEGU ZA MAHINDI,KARANGA,NJUGU,MTAMA,MBAAZI,DENGU, NAMAZAO MENGINE KAMA MPUNGA
Просмотров 5965 месяцев назад
MASHINE YA KUPANDA MBEGU ZA MAHINDI,KARANGA,NJUGU,MTAMA,MBAAZI,DENGU, NAMAZAO MENGINE KAMA MPUNGA
CAGE ZA MBAO NA UBORA WAKE,KEJI ZA MBAO NI CAGE ZA BEI NAFUU
Просмотров 4966 месяцев назад
CAGE ZA MBAO NA UBORA WAKE,KEJI ZA MBAO NI CAGE ZA BEI NAFUU
FUGA KUKU KISASA, UPATE FAIDA NYINGI ZAIDI
Просмотров 5086 месяцев назад
FUGA KUKU KISASA, UPATE FAIDA NYINGI ZAIDI
Gharama ipoje
@@michaelmwamalumbili9013 tuwasiliane kwa maelekezo zaidi 0714569056 Karibu sana
Bei gan
Safi
Mbona hukunijibu kamambegu zipo?
Sema bei
Jitahidi uweke bei moja kwa moja inaepusha kila mtu kuja inbox
Sakuku 1000 nipesa ngapi
Bei gn hii
Namna gani mtu anaweza kuanza kama ni mtunmwenye kipato kidogo sana.mtaji hadi kuvuna
Wasiliana nasi Kwa 0714569056 ili tujadiliane vizuri na wataalamu wetu
Namna gani mtu anaweza kuanza kama ni mtunmwenye kipato kidogo sana
Mnapatikana wapi
Mnapima kwa kiasi gani?
Mnatengeneza keji kwa kiasi gani kwa kuku 600
@@aarondawsonndelemani2169 wewe unapatikana wapi? Maana Bei ya baadhi ya material hutegemea na mkoa ulipo
shingap
Sh ngapi na mnapatikana wapk kamani
@@AliceChilongani Dsm ilala jengo Machinga complex tuwasiliane 0714569056
Napenda job yako
@@RoseWabiwa karibu nawewe ujifunze kupitia kwetu
Kiji moja bei gani kwa kuku 1200
kuku moja ni ngapi?
Wahitaji vifaranga vya KUKU wa mayai
habari ya asubuhi kaka yangu
Salama karibu
kazi nzuri sana ila wenzako tunajaribu lakinu changamoto ni kubwa
Changamoto ni kuzingatia joto liko la kutosha Chakula Kwa wakati Maji pia Na huduma zote Kwa ujumla
Shingapi mm naitaji bos
@@GridiusCrospery tuwasiliane Kwa 0714569056
Hongera sana, Uimara wa hizo cages ukoje? Znaweza kudumu kwa muda gani?
Hizi cage ni imara kuliko zakichina pia nivyuma halisi hivyo vinauwezo wa kukaa Kwa muda mrefu
My passion 😊😊❤....congratulations bro
Thanks
Hii bei gan
Mnapatikana wapi
Nakuja Inshallah mwezi wa Feb Ilala napajua naitaka sana ila bei sasa🙄asante Swabra
Mashallah ipo very safe. Zipo bado na bei gani?
UMENITAMANISHA KUFUGA HAO WALIYOKUJENGEA MABANDA UNAWAPAZA WAPI? MSAADA TAFADHALI
Tupo ukitaka mabanda ya kuku.thats my work.
Cage ya kuku 200 ni bei gani
Cage ya kuku 100 sh ngap
Shida watangazaji washamba hawajui KUTUMIA social media Kila alouliza hapo hawajajibu WAKAT ndi wateja wenyewe wanaowatafuta
Shida ni naiona ni nzuri but taarifa ni incomplete,.....mnapatikana wapi,Bei ni kiasi Gani? Inasafirishwaje au inawezekana kunitengenezea kwangu?
@@mmaryben844 karibu Boss, hatutaji Bei Kwasababu inategemea gharama za material mteja alipo pia ,cage Kuna kuanzia kuku 100 mpaka 1000 hivyo ni vyema ukapiga simu ili upate maelekezo mazuri zaidi, karibu sana
saaaff
Mashine ya poppcorn 0:36
🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻kazi nzuri
Bei gai 2:07
❤❤❤
Hongera sana
Pamoja
Bei gani hiyo mashine
hongeren nakaz nilikua natakakujua garamayake
Bei
Congratulations
Hizo cage za kuku unazosema zinafuga kifaranga toka akiwa mdogo zinauzwaje na zinachukua kuku wangapi
Ndio inakwenda sh ngap
Swbra umeolewa
Shiling ngapi
@@ContentKelpie-ow7jh 350,000
Ina bei Gani
Shingapi inauzwa
Nibeigani naombakujua.. kamanaweza nunua...niambie bei