MAADUI WATARUDISHA BARAKA ZETU KATIKA JINA LA YESU - (1 KINGS 20:1...)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 ноя 2024

Комментарии • 19

  • @sherrienduati7651
    @sherrienduati7651 Год назад +3

    AMINA. Wakristo leo maadui zetu watashindwa na wataanguka chini. Watatuwekea mitego lakini haitatutega. Watatuchimbia mashimo lakini hatutaingia, na ikiwa waituingiza Malaika Atatutoa. Mungu Atawalewesha na wakilewa tutawaangusha wote. Wameyatumania maisha yetu lakini hawajui Ni Mungu Ametutuma na Amesema hii vita Ni Yeye Ataongoza. Mungu Wetu Ni Mungu Wa Milimani, Mungu Wa Magoti na Mungu Wa Maombi na Atatupa ushindi. Maadui watainama na wakiinama chochote kilikuwa chetu tunarudishiwa na letu ni kupokea. Watakuja kumtafuta Mungu Wetu na watatutumania na kusema sisi ni wao. Watafanya mkataba nasi ya kwamba hawatachezea maisha yetu kutoka leo.

  • @sherrienduati7651
    @sherrienduati7651 Год назад +1

    AMINA. Wakristo leo Mungu Anatumana kwetu, maadui wako na silaha, watakimbizana na maisha yetu lakini hawatatushika. Wataandamana na maisha yetu lakini hawatatufikia. Watapigana na baraka zetu lakini hawatazifikia. Walikimbizana nasi raundi ya kwanza tukakubali, raundi ya pili tukakaa kama tumekubali lakini raundi ya tatu Nabii ametumwa kwetu. Mahali kuna Nabii lazima muujiza utendeke na mahali kuna unabii lazima matendo yaonekane. Leo maadui watatiwa mikononi mwetu nasi tutatambua kwamba ni Mwenyezi Mungu Ametenda. Maadui wanapeanwa mikononi mwetu, ni sisi tutapigana vita kwa Uwezo Wa Mungu. Hatutaki jeshi kwa maana tutapatiwa Kikosi cha Malaika Wa Mungu.

  • @sherrienduati7651
    @sherrienduati7651 Год назад +1

    AMINA. Wakristo maadui watarudisha baraka zetu katika Jina La Yesu. Kuna watu wamekuwa wakituvamia wanatwambia hakuna wakati tutabarikiwa, tutainuliwa na hakuna wakati mambo yetu yatakuwa mazuri. Wanang'ang'ana watwendee kwa mambo mabaya ya uganga na uchawi ndivyo wayamalize maisha yetu .Maadui watakimbizana nasi lakini hawatatufikia. Kuna watu walidai na wakachukua mali yetu kwa nguvu, hatuna nguvu wala uwezo lakini kuna Mungu Aliye Mbinguni. Hata wakishikana watumalize Mungu Atakubali washikane wote lakini Hatakubali watumalize. Raundi hii hata ikiwa ni wengi kutuliko tukatalie baraka zetu. Leo wajaribu, watajua hawajui. Hatupeani!

  • @mercyawory3694
    @mercyawory3694 Год назад +2

    MUNGU Leo ametembea Jesus winner...Haki maisha Yangu MUNGU ameighuza 🙏💪

  • @simonmugo9643
    @simonmugo9643 Год назад +2

    Thank you Jesus for instant blessing and mighty breakthrough that I have recieved

  • @erastusndumia
    @erastusndumia Год назад +1

    Nimekataa baraka yangu kutumaniwa na roho benhadadi

  • @AnitaKamene
    @AnitaKamene Год назад +1

    Amen 🙏 madui watarudisha baraka yangu na nyota yangu..

  • @florencenyambura4940
    @florencenyambura4940 Год назад +1

    Glory to God. Amen 🙏 🙏 🙏

  • @RachealWaweru-mn4ez
    @RachealWaweru-mn4ez Год назад

    Mungu nimwaminifu hakika amenitendea be blessed Apostle the word was a blessing

  • @simonmugo9643
    @simonmugo9643 Год назад +1

    Jesus you reigh now and forever.Sifa na utukufu zimrudie yesu

  • @tabbshephzibah
    @tabbshephzibah Год назад +1

    Amen Groly to God

  • @lucynjue6040
    @lucynjue6040 Год назад

    This round,maadui watajua hawajui.
    Mungu wangu ni Mungu wa milini
    Mungu atawakubali wanikibishe lakini hatawakubali wanishike

  • @webnejs5365
    @webnejs5365 Год назад +1

    Amen

  • @marywanakacha6023
    @marywanakacha6023 Год назад

    Haijalishi ni ugonjwa gani inanikiponsha, Mungu hataruhusu inifikie

  • @tabithamuthoni2052
    @tabithamuthoni2052 Год назад

    Haijalishi ni nani anakimbishana na Mimi mungu wangu hataruhusu wanifikie

  • @tabbshephzibah
    @tabbshephzibah Год назад

    Amen Amen hawatanishika

  • @gitongazoneman4100
    @gitongazoneman4100 Год назад

    Tafadhali keyboard iko juu sana

  • @tabithawanjiku3293
    @tabithawanjiku3293 Год назад

    Tembea nasi Jehovah

  • @marywanakacha6023
    @marywanakacha6023 Год назад

    Madui ya magonjwa wameshindwa kabisa.