KOTI JEUSI : SIMULIZI YA SAUTI BY FELIX MWENDA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 67

  • @MerryamMukash
    @MerryamMukash 6 дней назад

    Kwanza mi huweka hio sauti ya felix mwenda kwa TV alf naenjoy mwenzenu sipati kuwasimulia
    asante sana felix ❤❤❤❤❤

  • @timesaleh6756
    @timesaleh6756 2 месяца назад +9

    Asante kk felix mwenda yaani km umeniroga nikisikiliza sauti km sio wewe hua siinjoi kabisa

    • @miriamchirwa7659
      @miriamchirwa7659 2 месяца назад

      Tuko wengi yaan napenda sana cmlizi za. Felix. Tangu nikiwa kidato Cha 2

  • @constantinnicoiconoppa587
    @constantinnicoiconoppa587 2 месяца назад +7

    Sina neno la kuzidisha story hii ina ujuuzi mkubwa , hadithi nzuri sana mtunzi apewe maua , Mtunzi Mungu amuongezee uwezo zaidi na zaidi ❤❤

  • @NusulaNamae
    @NusulaNamae 2 месяца назад +4

    Asnte sana kaka Felix na mutunzi thanks simulizi mix 🎉❤

    • @tenaaaten8470
      @tenaaaten8470 2 месяца назад

      🎉🎉🎉❤ waa simuliz nzuri kbisa 😊

  • @MarthaMartin-q4h
    @MarthaMartin-q4h Месяц назад

    lnatufundisha tuwe makini sana katik😢amaisha❤

  • @jamilajamal1584
    @jamilajamal1584 2 месяца назад +2

    Oyooooo kitu kipyaaaa❤❤❤❤❤❤❤

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 2 месяца назад +15

    ❤❤haya wa nne koti jeus kitu kpyaaa like mbil naomba 🪑🎧🏃

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu 2 месяца назад

    Shukran Felx hucoki tunaendeleya kuinjoi muwandishi 🎉🎉🎉🎉 Felx💪🏽💪🏽💐👊🎤nasitwafulahiatu lakini septemb11 ikowapi tumaliziye 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🎧🪑

  • @RizikiChamosi-u4x
    @RizikiChamosi-u4x 2 месяца назад

    Nimependa sasa simulizi kazi safi kwa kakaetu filiex

  • @hadiaali5517
    @hadiaali5517 2 месяца назад +4

    Kk felix upo🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @PelesianaBukuru
    @PelesianaBukuru 2 месяца назад +1

    Jaman felix bila ww kusimulia sisikilizi simulizi siku hzi nmekua addicted na sauti yako

  • @mohamedsolomonkuma
    @mohamedsolomonkuma 12 дней назад

    Ai. hii nayo tamu hivi imetokea wapi? Good job Felix? Moto sana twaisikiza hapa Makueni Kenya.

  • @RhodaStephano
    @RhodaStephano 23 дня назад

    Simulizi nzuri sijawahi kusikia jama i

  • @ponsianomwakisunga899
    @ponsianomwakisunga899 2 месяца назад +2

    Kaz nzuri sanaaaaa mkuu

  • @Cyper255
    @Cyper255 2 месяца назад

    nakukubali sana kaka. mwisho wa mwezi naomba nikumbushwe nikutumie elfu 10

  • @apopochidy289
    @apopochidy289 2 месяца назад +5

    Tamu

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 2 месяца назад +18

    Wakwanza jamani likes zenu 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 2 месяца назад +2

      Ciao Zena unapenda story😂😂

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 2 месяца назад

      @Pedeshee01 ciao pede come stai? ndio nazipenda sana storia huku Italy nikuongea kitaliano tu 🤣🤣🤣🍕🍝

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 2 месяца назад

      @@Pedeshee01 mbona hii simulizi ilishapita siku nyingi we ulikua wapi?🤣🤣🤣🤣

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 2 месяца назад +1

      @zenaathumani8144 😀😀😀wakati leo nipo RUclips nikaiona tu

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 2 месяца назад +1

      @zenaathumani8144 halafu nimekufuata nchini kwako Italy😀😀,nipo kwa siku kadhaa ila nimefikia Romagna.sijui wanaita Emilia Romagna nimeshukia Bologna

  • @RukaiyahMahmoud-q3h
    @RukaiyahMahmoud-q3h 2 месяца назад +1

    Kaz nzur

  • @GordenJackson-r7u
    @GordenJackson-r7u 2 месяца назад +1

    Nzury sana iiih❤❤❤

  • @cleophaxgeremy2148
    @cleophaxgeremy2148 2 месяца назад +7

    🇰🇪🇰🇪wa kwanza tuende nalo

  • @msafirimwenetombwe8819
    @msafirimwenetombwe8819 2 месяца назад

    Nzuri Naipenda Iyo

  • @JAMESBahati-k3v
    @JAMESBahati-k3v 2 месяца назад +2

    Asante Sana Kwa Msimulizi wetu

  • @Sss-b9w6f
    @Sss-b9w6f 2 месяца назад +2

    Waoo36❤❤🎉🎉🎉🎉😢😂

  • @aminamhina9129
    @aminamhina9129 2 месяца назад +3

    Nice

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc 2 месяца назад +6

    Hamjamalizia kiroba cheusi mmeshaleta koti jeusi

  • @SallyJemutai-w5r
    @SallyJemutai-w5r 2 месяца назад

    Santii sana felex simulizi tamu sana but kisasi tuache hakuna faida

  • @lucaswanyonyi4037
    @lucaswanyonyi4037 2 месяца назад

    Hii.ni movie kali.ikiigiswa

  • @irenecherotich4975
    @irenecherotich4975 2 месяца назад

    Interesting 😊

  • @maggemonalisa4331
    @maggemonalisa4331 2 месяца назад +4

    Like bc jamn ata 5 tu

  • @HadijaKindaukile
    @HadijaKindaukile 2 месяца назад +2

    Nimechelewa jamani ila like zenu wadau

  • @AnastasiaKilonzi-d3y
    @AnastasiaKilonzi-d3y 2 месяца назад

    Asante kaka Felix ❤❤

  • @SheilaApondi-dn5lh
    @SheilaApondi-dn5lh 2 месяца назад

    Simulizi tamu kweli

  • @ataamansi8941
    @ataamansi8941 2 месяца назад

    Daa hii sauti ya kipekee sana, inafurahisha kusikiliza, ntasikitika ikiwa story ni mbovu halafu watumie sauti ya gharama SANA ya Felix Mwenda, yaani baadhi ya waandishi sijui kwanini wanampa dada au ni mmama asimulie jamani yaani hana kipaji kabisa huenda labda story anazopewa ni nzuri lakini nashindwa kusikiliza sauti yake inachosha inaharibu simulizi kabisaaaaa, naomba zirudiwe na huyu mwamba wa sauti Felix Mwenda tuweze kufurahia

    • @Dokson5817
      @Dokson5817 Месяц назад

      Uko sahihi na pia unaweza usiwe sahihi
      Mi nakuelewa ila sasa dugu yangu usipo penda sauti y’a mtu achana na hiyo story , jua kuna wengine wanafurahishwa na sauti yake . Mapenzi yetu binafsi yasifanye tukatishe tamaa wapambanaji. Im sorry kama nitakua nimekukwaza #shabikiwasmix

  • @latifaIdassi
    @latifaIdassi 2 месяца назад

    🔥🔥😊

  • @aftapat5365
    @aftapat5365 2 месяца назад

    bonge la simlizi

  • @mawlodafarida
    @mawlodafarida 2 месяца назад +3

    Sofya muuwaj

  • @WinniePretty-t1v
    @WinniePretty-t1v 17 дней назад

    Naona muaji ni Sofia ndio maana alikua anazuia mtoto wake kuhojiwa muaji yupo Kwa familia

  • @AnastasiaKilonzi-d3y
    @AnastasiaKilonzi-d3y 2 месяца назад

    Masikini Adela

  • @khurlainashly5686
    @khurlainashly5686 2 месяца назад

    📌

  • @ashaswaleh7587
    @ashaswaleh7587 2 месяца назад

    ❤❤❤

  • @upendoyonna6472
    @upendoyonna6472 2 месяца назад

    P
    Ll
    😊😊

  • @AnastasiaKilonzi-d3y
    @AnastasiaKilonzi-d3y 2 месяца назад

    Masikini Kuna watu naviatu

  • @AnastasiaKilonzi-d3y
    @AnastasiaKilonzi-d3y 2 месяца назад

    Asante kaka Felix ❤❤