PUTIN atishia kuilipua Kiev (Ukraine) ikiwa Marekani na washirika wake wakifanya hili

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии • 83

  • @mlelwatv5831
    @mlelwatv5831 23 часа назад +16

    Urusi Ina jeshi la hatari imegine unapigana na taifa linalosaidiwa na ulaya nzima 🔥🙌🙌🙌

    • @MathaMsumi-l1b
      @MathaMsumi-l1b 22 часа назад +1

      Asa ulaya nzima mbn bd awaiwez urus

    • @nellymans-f1v
      @nellymans-f1v 19 часов назад +2

      Sio ulaya tu mpaka marekani na k kusini wanapamban ila bado hawajatoboa ukuta

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 19 часов назад +2

      Acha uongo ulaya yote kivipi ? Poland wako na urusi 😂😂😂😂 na Kuna nchi pale haziko hata kwenye huo umoja

    • @faridmichael1307
      @faridmichael1307 17 часов назад

      ​@@emmadora7848huna unachojua

    • @yusafbayu7016
      @yusafbayu7016 16 часов назад

      ​@@MathaMsumi-l1bulaaya wana juwa we naona hujuwi

  • @ramadhaniOsujacki
    @ramadhaniOsujacki 12 часов назад

    Tunakupata vizuri sana ndugu wa habari saut kwa kuenndelea kutujuza habari za ulimwengu mungu akubariki sanna

  • @albertyustasi9103
    @albertyustasi9103 5 часов назад +2

    Mtu mkimya ni mtu mbaya sana Putin Hana haraka kwenye mashambulizi Nina Imani atashinda😊

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 День назад +4

    Israel imeshambuliana na houthi, hasubuhi na mchana

  • @IsaaSaid-w5j
    @IsaaSaid-w5j День назад +3

    Putin mbona moga

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 23 часа назад +2

    Vp Urusi, mbn sikusomi.

  • @johpixel4108
    @johpixel4108 4 часа назад

    Wale ni ndugu zao,hawezi tu kuwaangamiza Kwa haraka namna hiyo

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 21 час назад +1

    Putin baba lao ❤🌹❤
    🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🔥💪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 День назад +5

    Nilisema pale kwenye Post kuhusu vifo vya wanajeshi wa korea huko Kiev...kwamba puttin alicho bakisha ni nucreal..ila nikashambuliwa....Masada wataendelea kutoa.. We kama unatumia kiazi tumia tu mzee ila helewa.. Hata trump akishinda...msimamo wa magharibi uko pale pale..ukiachana na marekani kuna madolar makubwa yaliyo hapa kusimama na Ukraine mpaka majogoo kama UK

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 23 часа назад +1

      UK hata sio Jogoo... Ukitoa Marekani kwenye NATO hamna kitu.... Yaani ni kama Israel tu ukitoa Marekani hamna kitu

    • @immaomarwa5122
      @immaomarwa5122 23 часа назад

      Hiyo sio akili yako

    • @SelemaniMsuya-q8n
      @SelemaniMsuya-q8n 22 часа назад

      Hujielewe Hata kidogo umeandka pumba sana

    • @FedrikiAdam
      @FedrikiAdam 22 часа назад

      Nampenda Putin ila naanza chukia anavoongeaongea bila kifanya maamuzi butua wote

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 21 час назад

      @saleemsuleiman2220 tangu enzi za unazi na u Soviet, uk ilikua ni tishio vbaya ukiacha japan.. haswa kwa jeshi la wana maji

  • @africanQueeny-u7o
    @africanQueeny-u7o 23 часа назад +11

    Maneno meng ila akuna kitu 😅 mwanzo ulisema yyote atakae isaidia atapigwa now amebaki kubweka tu 😅 ndio maana namkubali Netanyahu maneno kdg ila matendo ni baraha 😅😅

  • @ezekiambise2595
    @ezekiambise2595 День назад +4

    God bless russia 🇷🇺

  • @Brunoh90Tv
    @Brunoh90Tv 15 часов назад +2

    Mbona ni kama vile maneno yamekuwa mengi kuliko vitendo au mwamba kuna namna kazidiwa au bado anakula timing😅

    • @hassansaul7098
      @hassansaul7098 14 часов назад

      Vita sio kuingia kichwa kichwa ni mahesabu baba😂, kumbuka anapigana na ulaya nzima + marekani, kumbuk Hitral alipigwa sbb walimpiga kwa kujumuika pamoja

  • @yahyasuleiman9539
    @yahyasuleiman9539 16 часов назад +1

    Russia hana histori ya kupigana vita Siku tatu ndio kanuni yke
    Naona sas raia wanya kahawa viji eni sasa wnaakili kuliko urissi mm nilijua nimeona kila kitu kumbe bado
    Mtu ajifany anakili kuliko urussi kw ni uyo raisi ana washauri wke
    Ama kwli ukitumia nguvu utaendelea kua mjinga
    Purtin uko sw pigana hata miaka mia ili mradi na wao wanguke kiuchumi
    Muna akili sna huraaaaaa

  • @NoelChambo
    @NoelChambo 5 часов назад

    Tulitegemea Putin wiki 1 tu ataiangusha Ukraine 🇺🇦

  • @mahadmatebe9775
    @mahadmatebe9775 День назад +4

    Piga ao

  • @NimrodiBenjamin
    @NimrodiBenjamin 5 часов назад

    Mimi jamaaa namukubali sana ila tatzo vitisho vingi vitendo amuna wakati mwezake anafanya kweli

  • @OnesmoEphrata
    @OnesmoEphrata 17 часов назад +1

    Angalia usije uka uwawa wewe

  • @logwardlogwardsamweli6121
    @logwardlogwardsamweli6121 20 часов назад +1

    Kuongea tu umejaliwa km domo lako lilivyo

  • @nelsonmrutu371
    @nelsonmrutu371 16 часов назад +2

    Putin ni kamdomo tu😂

  • @OtienoOwuor-d5r
    @OtienoOwuor-d5r 20 часов назад +1

    Mzee anazeeka vibaya kila cku tarabu njingi usikute uyu ndy adija kopa wa Russia

  • @mzeezidane4060
    @mzeezidane4060 День назад +1

    Putin maneno yamekua mengi sasa na yeye .... Anaongea sana asitishiee watu uwoga akuna kitu anaweza

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 20 часов назад +2

    Uchumi wa Urusi ni imara.Siyo uongo .Vita ni mbaya.Warusi pia wanakufa tena sana japo media haisemi..Ukrai n e i n ajulikana kwa kupoteza watu pia.
    Hiyo vita itaisha lini😮😮

    • @AustineMhagama
      @AustineMhagama 14 часов назад +1

      Mesia zipi unazijua ambazo hazisemi ...ukisema kitu support it with evidence..yaan kielelezo

  • @YamuremyeYarodi
    @YamuremyeYarodi 23 часа назад +1

    Uy bwan anaakili za hali juuu san uzowefu kwa kila jambo njo maana inchi 32 namaswaiba wawo wagonga mwamba namadhara kwao hasa uchumi wa inchii zao

  • @WilliamKivugo
    @WilliamKivugo 8 часов назад

    Ukraine imeshindwa vita inatumia mbinu za kigaidi ili kuzitawala headlines za kimataifa

  • @goodluckmsoka3660
    @goodluckmsoka3660 22 часа назад +1

    Aache mikwara afanye tu kelee ziishe

  • @aulerianomhaluka9029
    @aulerianomhaluka9029 19 часов назад

    mwamba putn

  • @FrediBatoni
    @FrediBatoni 23 часа назад +1

    Hekima nyingi na mwenye kujua hak ya binadam hawez kuuwa watu wasio natia kwasumu never ila ikibidi atahuwa busara zipo anazd kusongambele NATO YOTE ipo ila anasonga tu

  • @emmanuelsunday8325
    @emmanuelsunday8325 20 часов назад +3

    Huyu putini kumbe nimpiga domo tu ,Ona mwanaume netanyau amechukua tairi ndani ya siku 3 tu

    • @MasterVoltron-i7o
      @MasterVoltron-i7o 20 часов назад

      😂😂😂😂 sio mpiga Domo we ngoja uone😂😂
      Yan hawa kadiri wanavyoshalia Urusi ndiyo wanavyo mtia hasila putin Sasa hivi ni mwendo wa makombo no majishi

    • @abdallahsepa9511
      @abdallahsepa9511 17 часов назад

      Huyo Israel Lebanon alikimbia hakukimbia? Fikiri kabla ya kuropoka. Kule Syria nchi ilikua haina mlinzi sawa na kupiga penalty bila kipa .je,huoni hata bibi kizee anashinda tu? Je, utampa sifa ya ushindi hapo?

    • @GeraldElias-s7j
      @GeraldElias-s7j 17 часов назад

      ​@@abdallahsepa9511Sasa unajua ni wakina nan walioiwezesha HTS kumuondoa asaad madarakan 😂😂😂😂

    • @YohanaMasebo
      @YohanaMasebo 16 часов назад

      Elimu inakomboa kwakweli umebaki na ujinga 😅😅

    • @salimalmughairi1634
      @salimalmughairi1634 13 часов назад

      yemen wanmtwanga kilasiku pumbavu tu huyo

  • @OtienoOwuor-d5r
    @OtienoOwuor-d5r 20 часов назад +3

    Mzee wa majigambo Kila siku sisi tuna kile sisi tuna hiki ana tapatapa tu Kila siku wanaume wamekaa kimya wanamuangalia mtumbuizaji

    • @nellymans-f1v
      @nellymans-f1v 19 часов назад

      Angalia uchumi wake ulivyo panda,tazama fursa zilizo patikana,tazama ushawishi wake ulivyo ongezeka,hay na ona siraha zake zinavyo hitajika kwa mataifa mengine???na hap ndio ujue sio manen bali ni vitendo tu sema ww ndio unachelewa kujua bas

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 4 часа назад

    Nae huyu mwoga tu kumbe,anawaacha mashoga israel watambe kote yeye anafyata mkia!!

  • @aminumlekeni1397
    @aminumlekeni1397 22 часа назад

    Anaongea sana

  • @TnzaniThepatriot
    @TnzaniThepatriot 17 часов назад

    Uyu jamaa anatabasamu uku akikuua kwaiyo mawaonea huruma wa ukraine kwasababu watu wake wanaangamia pasipo sababu

  • @florianambross5426
    @florianambross5426 21 час назад

    mzee wa maneno mengi kichwa cha General kimeliwa hapo hapo miscow, yeye mara nyuklia mara Oreshnik watu wapo ndani kabisa kursk na watamfikia

  • @NathanDamian-r3y
    @NathanDamian-r3y 22 часа назад

    Putin hayipo tayar kwa nyuklia anajuwa waz nyuklia haina mbabe, ukipiha na wao wanapiga itakuwaje haewz kujaribu

  • @saidharbinie-dl4dd
    @saidharbinie-dl4dd 22 часа назад +1

    Putin anapoteza uwezo w Russia xx Russia inaonekana kama nchi y kawaida tu kiuwezo w kijeshi wanapigana mda mrefu kwa faida ndogo na wao wanapata hasara kubwa ya wanajeshi Mzee Putin kaishiwa mbinu kakosa maamuzi kabisa japo atashinda lakini faida atakayoipata n ndogo mnoo yaani anauza ngamia kwa kesi ya punda....narudia tna Prigozhin kuuawa na huyu mzee kutaigharimu Russia sna..end of my prediction

    • @nellymans-f1v
      @nellymans-f1v 19 часов назад

      Angalia rusia ya michael gobachevu na ya putin hap utaona kitu yan urusi ya putini ni chuma saw na ile ya staling

  • @FredWabwire-w3q
    @FredWabwire-w3q 20 часов назад

    Ni mudomotu, nani alimdanganya , amerika ni injiya kutishiya? Na amefukuzwa syria.

  • @SalumMusafiri
    @SalumMusafiri 23 часа назад

    Mwamba huyu ni mzima

  • @aminaali792
    @aminaali792 23 часа назад

    SNS MUNATUCHELEWESHEA HABARI🤦🏽‍♀️😭😫

  • @kiningashukran5177
    @kiningashukran5177 День назад +1

    Putin hana lolote lakuwafanya hata aniweje, kisha sema sema kinacho itajita kwake kwa sasa nikumuuwa kama yule genero wale. Putin amikwara jamani

  • @Joshuajereman
    @Joshuajereman День назад

    God bless Russia🇷🇺

  • @suratibrahim6417
    @suratibrahim6417 19 часов назад

    Russia military special forces 💯✍️💯🇷🇺💯🤨 Daima🎉🎉🎉🪖✨🙏