MAKONDA AMPIGIA SIMU BASHE KUMHOJI BEI YA SUKARI "TUMEWAKAMATA WATU WOTE AMBAO WANAUZA BEI JUU"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2024

Комментарии • 37

  • @iamsteven1578
    @iamsteven1578 4 месяца назад +1

    Namkubali sana Mheshimiwa Hussein Bashe, Yaani huyu Mwamba Kiukweli Mungu amuongoze na kumpigania.

  • @mabondolawrence1812
    @mabondolawrence1812 4 месяца назад +1

    Bashe uko vizuri japo unapigwa vita sana Mungu ni mtetezi wako. Kupanda bei kwa vitu si tatizo linalosababishwa na wewe kila kitu kiko juu ni afadhali hata wewe unayo maelezo. Cementi nauli kupanda na vitu vingi mbalimbali! Leo watu wanakodolea macho sukari tu.

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 4 месяца назад +1

    Pambana Mdogo Makonda, ccm hoyeeee, kaz iendelee

  • @user-hs2qq1yq5j
    @user-hs2qq1yq5j 4 месяца назад

    Safi sana makonda chapa kazi

  • @user-my4dr5oq6v
    @user-my4dr5oq6v 4 месяца назад +5

    Amna lolote analofanya ni kampeni tu uyu makonda hii awamu dhaifu xana

  • @user-kd9dc4li7f
    @user-kd9dc4li7f 4 месяца назад +1

    Hapo Rais Samia kumrudisha huyo Jamaa makonda Umefeli

  • @TwalibuKimaro-th5mv
    @TwalibuKimaro-th5mv 4 месяца назад +1

    Punguzeni Kodi tu hakuna njia nyingine serikali inachukua pesa nyingi kuliko wazalishaji

  • @salehothman6144
    @salehothman6144 4 месяца назад

    Bashe ni role model wangu kabisa ni kijana anayefikiri athari na nguvu ya maneno yake kabla ya kuzungumza,niliona dakika za mwisho jinsi mzee magufuli alivomkubali baada ya kupiga sana nondo bungeni.

  • @mohamedimbinga7422
    @mohamedimbinga7422 4 месяца назад

    comedian proceed😊

  • @ajmstationery6157
    @ajmstationery6157 4 месяца назад

    Tanzania

  • @neemamwasomola8663
    @neemamwasomola8663 4 месяца назад +2

    Mnatufanya hatuna akiri

  • @simeontwiyogohe2727
    @simeontwiyogohe2727 4 месяца назад

    Kaliua, bei ya rejareja leo inasoma 4,000

  • @BoniphaceCosta-kd2yw
    @BoniphaceCosta-kd2yw 4 месяца назад +2

    Mpiga kura anachotwa tu hapo hakuna lolote

  • @Fefetubes
    @Fefetubes 4 месяца назад +1

    😂😂😂 dah mshkaji huyu

  • @morandraymond3169
    @morandraymond3169 4 месяца назад

    Dar sukari 4000

  • @husseinallysuleiman4657
    @husseinallysuleiman4657 3 месяца назад

    Mwezi wa ramso?

  • @user-gm9sw6bo2p
    @user-gm9sw6bo2p 4 месяца назад

    Am fro AMERICAN I don't understand the language buy poul makonda anaupiga mwing 😂😂😂😂

  • @RobertChacha-hb9re
    @RobertChacha-hb9re 4 месяца назад

    Wewe Millard sasa huu ndo mkara?

  • @hamisally9255
    @hamisally9255 4 месяца назад

    Siyo serekali Samia Ni serekali ccm hayat mkapa alikataa hicho kiswaili ccm

  • @habibabarker1644
    @habibabarker1644 4 месяца назад

    Sugar sukari kilo 4500 hatariii hatariii jamanii

  • @singidaone5628
    @singidaone5628 4 месяца назад

    Acha uchaguzi upite uone kama makonda atazurula tena hizi zote ni kampeny

  • @peterchande957
    @peterchande957 4 месяца назад

    Siasa too much jamani nchi hii

  • @khamismohammed7500
    @khamismohammed7500 4 месяца назад

    Hapa dar 5000 kwa kilo

  • @NuruNyanja-kz1qr
    @NuruNyanja-kz1qr 4 месяца назад

    Mimi nimenunua jana duka la jumla kg 42000

    • @zainabhussein8142
      @zainabhussein8142 4 месяца назад

      Kilo ngapi? Mm nimetoka Tanzania kwa miaka 2 sijui

  • @issaramadhaniathuman
    @issaramadhaniathuman 4 месяца назад

    Bashe nayy mwenyewe kigeugeu emejisahau kama makonda ni boss wake labda haelewi nn maana ya mwenezi fara sana huyu bashe mbwa moja acye jutmbya anajibu safi tena baadae anakaa na kusema hakuna w kumuamulia zaidi y rais wazir makamu warais na naibu wazir mpuuzi huyu mbona hapa alijieleza safi nn kilimfanya akaropoke kule ck y pli

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 4 месяца назад

    Sukari Tanzania tunagiza njee wakati viwanda 7 hinatusheliza mpaka nchi jilini kupata makufuli ndio watankumbuka 😂😂

  • @andreap.assenga8480
    @andreap.assenga8480 4 месяца назад

    Tatizo mnashikilia viwanda vya ndani bila sbb za msingi ruhusuni sukar kutoka nje itauzwa tsh 2,000/=
    Tatizo mnashikilia viwanda vya ndani ambavyo havina huruma na nchi yetu.

    • @mayaally2512
      @mayaally2512 4 месяца назад

      Unaka kuua uchumi wa nchi yako ?

  • @RamadanLubuva
    @RamadanLubuva 4 месяца назад +1

    kwani makonda wewe hununuwagi mahtaji yanyumbani kwako ndoo usijuwe kupanda kwa sukali

    • @zawadimbwambo1091
      @zawadimbwambo1091 4 месяца назад

      Mpuuzi tu na anashangiliwa na wapuuzi wenzake.kwahio mna shuhulika na matatizo na Hanna akili ya kuzuia matatizo? Alafu mnataka raia wente akili wawaone mnachapa KAZI.?

  • @dicksonlucumay4551
    @dicksonlucumay4551 4 месяца назад

    😂😂 tunapigw tu apa nchi ina mambo meusi sana hii

  • @augustinotarimo6364
    @augustinotarimo6364 4 месяца назад

    BEI YA HUKU DAR NI ELFU NNE HAPO MNAKWAMA WAPI AU NI MANENO TUU

  • @Faustine_Charles
    @Faustine_Charles 4 месяца назад +1

    Kwa Bashe kawa na heshima kidogo kwakuwa anajua akijichanganya tu atakula za uso, Bashe hana mbambamba.

  • @batromayoshila5691
    @batromayoshila5691 4 месяца назад

    Kwa hiyo tufanyeje sasa? Huku kibaha tunanunua 4600. Sasa tuache kununua alafu watoto waende shule bila kunywa chai? Hali hii ichukuliwe hatua haraka. Kwenye mtaa wetu mzima ni duka Moja tu Lina sukari. Sasa tutaishije?

  • @Soud_planhouse
    @Soud_planhouse 3 месяца назад

    CCM huafanya watanzania wajinga sasa

  • @Fefetubes
    @Fefetubes 4 месяца назад

    😂😂😂 dah mshkaji huyu