Shangwe la Aslay & Nandy

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 июн 2018
  • Subalkheri Mpenzi yanogesha #30BillionConcert Dar edition #NextDoorArena
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 180

  • @joycedaudi8765
    @joycedaudi8765 6 лет назад +3

    Uimbaji sauti zipo tofauti una weza kuimba nyembamba au nene, au kati izo ni stair za uimbaji. Mpk kufika hapo wamelizika wazima mimi. Love you wote aslay and nandy

  • @zennahwangare3952
    @zennahwangare3952 6 лет назад +2

    😂😂😂😂uwa napendaa mukifanya show pamoja aslay anajua mahaba😀😜💋😀💋💋💋

  • @AmCool_
    @AmCool_ 6 лет назад +1

    Yaan Asley sauti haichuji ... my fav artist 😎😎😎

  • @user-fv5se6iu9r
    @user-fv5se6iu9r 8 месяцев назад

    Ongeren sana

  • @jeniferjackson6119
    @jeniferjackson6119 5 лет назад

    mkiambiwa nyie mnaweza nandy unajua xana my achana hao awana lolote

  • @adamsifa3079
    @adamsifa3079 5 лет назад +1

    Masha Allah NYC

  • @ToyTz
    @ToyTz 6 лет назад +7

    NANDY, Nyimbo zako nzuri ila kuimba live hujui, unayumba sasa inatakiwa ukamilike bhna, ur a world wide artist, piga tizz

  • @alexkagema6420
    @alexkagema6420 10 месяцев назад

    aslay fundi vocals

  • @markosamuel6490
    @markosamuel6490 6 лет назад

    Wanaokubali kuwa nandy sauti wasipo iediti inakuwa mbaya na hawezi kumfikia ruby gonga like kubwa hapa

  • @chidnandule2321
    @chidnandule2321 6 лет назад +1

    basi mololo ujenifanya kipolo big up nandy and asley

  • @zairidj5271
    @zairidj5271 5 лет назад

    Machallah ce magnifique oh lala ce beau j'aiiiiiiiiiime

  • @victorfrank7695
    @victorfrank7695 5 лет назад

    asly ww ni mutu mubaya sna kimbezaa chalii anguu

  • @rachelchalz5863
    @rachelchalz5863 6 лет назад +2

    HV kna Vanessa,,namba lul,hamuwaoniii,,,,nandyy umevaa vzuriii nakupendaa buree keep it up

  • @lizybabyjohn2430
    @lizybabyjohn2430 6 лет назад +1

    Nandiiiio hiyooo sautiii yako amaaaaaa kuimba live kazi jamani

  • @rehemadndomahelege9834
    @rehemadndomahelege9834 6 лет назад

    Nyiieeee mnapendana

  • @adammlila6879
    @adammlila6879 6 лет назад +10

    Nand hyo saut mmmh!dah umezingua asee

  • @doleenufurahi3288
    @doleenufurahi3288 5 лет назад

    Mmeendana sana so nice

  • @teddymeela2791
    @teddymeela2791 6 лет назад +2

    Big up aslay ila dada ang hpo saut imezingua

  • @mariumkassim8262
    @mariumkassim8262 6 лет назад

    Wow lovely

  • @zuenasalim7136
    @zuenasalim7136 6 лет назад +1

    Hahahaha ati na bilmass vp hahaha mambo ni fire

  • @wakitaaramse7243
    @wakitaaramse7243 6 лет назад

    Noma sana bonge la show

  • @martalositotiktok6590
    @martalositotiktok6590 3 года назад

    Jamani Nandy umetoka mbali

  • @aimerancemulisa254
    @aimerancemulisa254 6 лет назад

    Kweli Hulu kijana njo simba wa Bongo ,hata mashairi zake nizakuelimisha na sio za ujinga. Aslay Mungu awabariki na mukewako nandy Mungu azidikuwa bariki.

  • @asmabintikiwashatz9321
    @asmabintikiwashatz9321 6 лет назад

    vifaa sio vrz hongea aslay na nandy love

  • @mwasitiiddy7425
    @mwasitiiddy7425 6 лет назад

    Aslay anakubebag nand live amna kituuu

  • @stephenmalilo9833
    @stephenmalilo9833 6 лет назад +1

    Mwanamuziki anayeimba LIVE ndo waukweli. Huyu Nandy pumzi imekata, live ni shida sana kwa wasanii wengi sana hii TZ......

  • @yvetteniyibigira3833
    @yvetteniyibigira3833 5 лет назад

    Kwanini uyo demu anapenda vaa uci sana

  • @daprince7545
    @daprince7545 6 лет назад +8

    Nivile hujui nandy lakini nakupenda mpaka naumwa 😢😢😢😢

  • @harounmpate3037
    @harounmpate3037 6 лет назад +1

    aslay umejitahd kwa live band

  • @neemaramadhani3783
    @neemaramadhani3783 6 лет назад +4

    mmependeza sana nawapenda

  • @missmalindikenya6204
    @missmalindikenya6204 6 лет назад

    Mashallah

  • @melaniemun3898
    @melaniemun3898 4 года назад

    Nandy live ni tafauti na rekodi

  • @ramadhanially8249
    @ramadhanially8249 6 лет назад

    from saud Arabia I don't understand Swahili but hii show ni ya kipumbavu

  • @danterey
    @danterey 6 лет назад +13

    Kumbe sauti ya Nandy huwa yatengezwa na computer.
    Live band si mambo yako Nandy.Mwachie Ruby.

  • @shaphyvuai6805
    @shaphyvuai6805 6 лет назад +1

    Hahahahaaaaaaa hiyo sauti ya Nandy duuuuuh borra hiyo ya aslay

  • @sheillahchisika8414
    @sheillahchisika8414 6 лет назад +1

    Nandy we noma kwa Aslay ulifanya dem wa Aslay akaenda

  • @mansnare375
    @mansnare375 6 лет назад +7

    Daah huyu nandy hafiki kwenye key kabsa..aslay anambeba lkn wapi..

  • @alisleiman1601
    @alisleiman1601 6 лет назад

    Ravan get asiy

  • @mimidevoted
    @mimidevoted 5 лет назад +2

    nandy your voice is beautiful but if only you stay natural to your own voice

  • @jamesfaustine4417
    @jamesfaustine4417 6 лет назад +13

    Walio xema watu hawataingia wako wap? Mambo ni fire

    • @larickmtui2852
      @larickmtui2852 6 лет назад

      James Faustine hiyo sio ya clouds ndio maana tuliingia maana simba alituambia sio tamasha la clouds

  • @ibrahmmakio856
    @ibrahmmakio856 6 лет назад +1

    Nandy ukiendelea na hyo sauti live utapata tabu sana mbelen

  • @lizwairimu6244
    @lizwairimu6244 6 лет назад

    Inapendeza

  • @nyekingobwire4798
    @nyekingobwire4798 6 лет назад

    Nawapenda mje kigoma

  • @stevimshanga7200
    @stevimshanga7200 6 лет назад

    nandy umetisha

  • @eliaelia6748
    @eliaelia6748 5 лет назад

    duuuh !! watapata tabu sana

  • @mtokambalsamweli9178
    @mtokambalsamweli9178 3 года назад

    Asiry yuko hai s

  • @teahalim3834
    @teahalim3834 6 лет назад +1

    maskini nandy😓 chezea ruby wewe 😂😂😂

  • @dodoshavu488
    @dodoshavu488 6 лет назад +7

    loh bado sana nand. ....ruby ruby ujamfikia

    • @gretagonga2966
      @gretagonga2966 6 лет назад

      Dodo Shavu Ruby ni nomaaaa apate mtu wakumwandikia nyimbo tu....yaan live anaziweza na ana pumzi

    • @RamazaniMulongeca
      @RamazaniMulongeca 6 лет назад

      Dodo Shavu
      Duh hivi #Nay kawaminisha eti "Pengo la #Ruby ni #Nandy"... WaTZ

  • @leonardsasita4634
    @leonardsasita4634 6 лет назад +9

    Nandy bd Sana kiukweli, msimbebe, kaharibu show.

  • @bilalbinali1227
    @bilalbinali1227 6 лет назад

    Aslay na Nandy mnaendana adi raha............

  • @saliminihella8813
    @saliminihella8813 5 лет назад +2

    penda San aslay

  • @kulwaboniphace4278
    @kulwaboniphace4278 6 лет назад

    👏👏👏👏👏

  • @hassanaisha8228
    @hassanaisha8228 6 лет назад

    Nimeipend hiyo nguo

  • @maryammmakunduchmahammed9786
    @maryammmakunduchmahammed9786 6 лет назад

    Ovyo

  • @dorcasbambo8543
    @dorcasbambo8543 6 лет назад

    good

  • @simonkinyunyu1610
    @simonkinyunyu1610 6 лет назад

    nand ckuzote hajui kuimbia vyombo vya mzk

  • @iddatysupergirl6581
    @iddatysupergirl6581 6 лет назад +1

    Nandy saut veep😮

  • @neemashaban3022
    @neemashaban3022 6 лет назад

    nandy mamy mbona leo umeniboa sauti sio rafiki kabisa nakukubal sana

  • @annabellemartin5559
    @annabellemartin5559 6 лет назад +4

    aslay ndo kanogesha

  • @maryammmakunduchmahammed9786
    @maryammmakunduchmahammed9786 6 лет назад

    Kaz kukaa uchi tu kwan ukivaa vizur hiy nyimb haiimbik

  • @monastajeremia1772
    @monastajeremia1772 5 лет назад

    ninogeshe

  • @jeniferchristopher5111
    @jeniferchristopher5111 6 лет назад

    Hahaaaaaaaa sauti ya nandy mbn mbaya

  • @koldsweatmanstuler3648
    @koldsweatmanstuler3648 6 лет назад +1

    Nandy beib..sivyo nnavyokufagilia toto beuty...sauti ipo xawa mbona..sema speaker zikawa za kichina😅😅

  • @halifasaid8343
    @halifasaid8343 6 лет назад

    Uyo nandi sauti kapeleka wap leo au tungi

  • @carolshiru4374
    @carolshiru4374 6 лет назад

    Inaeza kuwa couple poa sana

  • @shukuruanatori9203
    @shukuruanatori9203 5 лет назад

    Bh

  • @wilsonwizzo2483
    @wilsonwizzo2483 6 лет назад +2

    mbona show haiyeleweki

  • @zarahqutty2409
    @zarahqutty2409 6 лет назад

    Nakupnd nandy pambn Dada angu usiskilize manen ya watu

  • @gastonanoldmacha4470
    @gastonanoldmacha4470 6 лет назад

    Simba Noma kawafunika wenye show

  • @agnessmakwale6419
    @agnessmakwale6419 6 лет назад

    Lulu

  • @ashrafrajabu6464
    @ashrafrajabu6464 6 лет назад

    Hamna ki2

  • @sukhailatausisaidi6964
    @sukhailatausisaidi6964 6 лет назад +3

    kwel rubby ana saut kuliko nandy 😂😂

  • @emmanuelnyalusi6450
    @emmanuelnyalusi6450 6 лет назад +12

    nyee mnaoponda mngeenda nyinyi Nazi kukosoa kuhud za wengine ,kama mbaya kaa kimya

    • @witnestemba7366
      @witnestemba7366 5 лет назад

      EMMANUEL NYALUSI nipo pamoja Na wewe hivi hawa wanajua kuimba rahisi sana mbele ya watu weng hivyo

    • @fatmarashid2384
      @fatmarashid2384 5 лет назад

      Siku nyingine mtu una amka hauko vizuri nashow ishapangwa inabidi uende tuu

    • @said306nyatu9
      @said306nyatu9 4 года назад

      Mumependezana si muoane

    • @melaniemun3898
      @melaniemun3898 4 года назад

      Ila ipo tafauti Sana na rekodi autotune nyingi au alikua anawa🤷😅

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 6 лет назад +1

    Nandy kuimba live ni shida 😅kam sio yeye duh

  • @andersonroxben7755
    @andersonroxben7755 6 лет назад +4

    nandy VP sauti mbona kama ya enock Bella nikajua yamoto inaimba

  • @jaymoo8813
    @jaymoo8813 6 лет назад

    Tutoleen upumbavu kabla atujawalipoti youtube

  • @ledasjosseph5558
    @ledasjosseph5558 6 лет назад

    ဪဩဘဗ

  • @teahalim3834
    @teahalim3834 6 лет назад

    nandy wew mueshim 2 ruby no hata robo kwa ruby bado xana

  • @daprince7545
    @daprince7545 6 лет назад +2

    Nivile hujui naddy lakini nakupenda sana

  • @hamid_cruz2722
    @hamid_cruz2722 6 лет назад +2

    Angalau

  • @jaydon3361
    @jaydon3361 6 лет назад +2

    Bonyeza picha hii kushoto kwako yenye alama W kisha bonyeza neno subscribe uone balaa la Diamond huko Alena jana

  • @dayanamichael9427
    @dayanamichael9427 6 лет назад

    Mashauzi yote yale rubby kakuacha mbali dogo kuwa na heshima wew mxiiiuu

  • @agnessimon9091
    @agnessimon9091 6 лет назад +1

    Mnaosema sauti mbaya mngeenda nyiny mwenzen ndo kwanz anaingiza ela maan at a mbuyu ulianza kama mchicha hata

  • @gracerosi6179
    @gracerosi6179 6 лет назад

    Nandy tatzo ujuagi kucheza

  • @aminaally93
    @aminaally93 6 лет назад +23

    Nandy mbna saut leo imekuwa mbaya

    • @gretagonga2966
      @gretagonga2966 6 лет назад +2

      Amina Ally yaan ukitoka msikiliza Ruby ukaja sikiliza huyu uwii unazima data kabisa....Ruby kafanya wengine waonyeshe hawajui

    • @aminaally93
      @aminaally93 6 лет назад

      greta gonga hahahaaa

    • @rimoztv1102
      @rimoztv1102 6 лет назад +1

      Amina Ally hana jeuri ruby c yupo basi anamtetemeshaaa😂😂

    • @aminaally93
      @aminaally93 6 лет назад

      Rimoz TV hahahaaaa anamuogopa kiboko yake😆😆😆

    • @fatmaalawy134
      @fatmaalawy134 6 лет назад

      Rubby yupo ju nandy saut yake anaedit akiimbaga live ndio anakuwaga hivo

  • @theresiamushi3259
    @theresiamushi3259 6 лет назад

    Nakupenda nandy ila nguo haipa poa

  • @jacksonigido6214
    @jacksonigido6214 6 лет назад

    Ahahhahah ET la bilnas vipi

  • @mayelias4207
    @mayelias4207 6 лет назад +1

    Amna kitu hapo mavi matupu Nandy saut kama kameza jichupi limemkaa kooni sasa...mnabebwa na vyombo tu

  • @asmabintikiwashatz9321
    @asmabintikiwashatz9321 6 лет назад +1

    nandy sku nyingine kinywa maji mengi na maya sauti umezingu

  • @nelsonkigodi5033
    @nelsonkigodi5033 6 лет назад

    Nandy hamna kitu hapo

  • @latifanasibu2694
    @latifanasibu2694 6 лет назад

    saut ya nandy nimbay

  • @elisawangare3296
    @elisawangare3296 6 лет назад

    Hahaha ety billnass vipi

  • @jeniphermponguliana9392
    @jeniphermponguliana9392 6 лет назад

    Umepeleka wapi sauti nandy

  • @sabrinaissa5221
    @sabrinaissa5221 6 лет назад +8

    , nandy Ssauti mbona mbayaaaah😁😁aslay kafukua makaburi et bilnas VP😂😂😂😂

    • @didaamohsin6440
      @didaamohsin6440 6 лет назад

      Sabrina Issa haahaaa

    • @sabrinaissa5221
      @sabrinaissa5221 6 лет назад

      😂😂😂kasema watu washafukua gu chupi😀😀baaada ya show lazma nandy amuulize aslay😌😌😌

    • @tatut3889
      @tatut3889 6 лет назад

      Sabrina Issa 😂😂😂😂😂

    • @hawaramadhan4185
      @hawaramadhan4185 6 лет назад

      Sabrina Issa 😅😅

    • @sabrinaissa5221
      @sabrinaissa5221 6 лет назад

      😂😂😂

  • @fatmaalawy134
    @fatmaalawy134 6 лет назад

    Yaan kam kalazimishwaa halafu asly anaona aibu kuimbaa na yy yaan kama anataka afiche makosa ya nandy nandy amejiamin kuwa anaweza ila hakuna kitu

  • @amirsab1158
    @amirsab1158 6 лет назад

    Sauti iko tafauti na nyimbo ila naona vyombo ndio mbaya

  • @iddishaban6546
    @iddishaban6546 6 лет назад +7

    ety billnas vp hahaaaaaaa mbavu zangu mm

    • @Blackiesmith
      @Blackiesmith 6 лет назад

      Iddi Shaban ata mimi 😂😂😂😂😂

  • @suedybau3592
    @suedybau3592 6 лет назад

    uyu atakua pacha WA nandy cyo nandy of

  • @moseskarisa8959
    @moseskarisa8959 6 лет назад

    a big fan but sauti Leo

  • @halimawaziri7677
    @halimawaziri7677 6 лет назад +1

    Aslay chukua jiko hilo