KANUMBA ALIVYO MCHUKIA MREMBO HUYU HADI KIFO CHAKE, WHITE MARIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 май 2024

Комментарии • 97

  • @Nahjojo2016
    @Nahjojo2016 17 дней назад +42

    Ndugu zangu nawakumbusha tuu Mcheni MUNGU na kumtukuza kwa maana saa ya hukumu yake imefika. Msujudieni yeye aliyeziumba mbingu na nchi, mito na chemchem za maji.

    • @zuweinaalhabsya8773
      @zuweinaalhabsya8773 17 дней назад

      Allah atupe husn alkhatima yarab

    • @user-xh7xf2ki3r
      @user-xh7xf2ki3r 14 дней назад

      Shukraan sana

    • @user-xh7xf2ki3r
      @user-xh7xf2ki3r 14 дней назад

      Aamiyn ya'Rabby

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 13 дней назад +1

      Jambo muhimu sana kuwakumbusha wenzio hizi ni nyakati za mwisho ishara mingi zishaa onekana mitume walio yasema yametimia kabla kuje zile ishara kubwa jameni tumrudie mungu😢 Asante

    • @user-xh7xf2ki3r
      @user-xh7xf2ki3r 13 дней назад +1

      @@zahraabdul9652 hakika yaan sisi ni maiti watarajiwa haki namuomba Allah atujaalie mwisho mwema Aamiyn ya'Rabby

  • @MathiasKiza
    @MathiasKiza 13 дней назад +5

    Acheni uhongo Kanumba kafarika 2012 Sasa iyo 2014 ulihigiza namzimu wa kanumba

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 14 дней назад +7

    Uyu dad khaaa KANUMBA KAFARIKI linibasi 🤦‍♀️🤦‍♀️ 2014 Ulishutunaye sasa kafarikilini😓😓😓??

  • @Goldenbutterfly-hk1hp
    @Goldenbutterfly-hk1hp 12 дней назад +4

    Weee dada ulijua kunifanya niwe kikojozi na kuota ndoto mbaya usiku mbwa ww😂😂😂😂

  • @kingdeniscrocodile
    @kingdeniscrocodile 12 дней назад +3

    Weweeeee 2014, kanumba kafa 2012, matumbo ya siafuu

  • @victoriaferdinand885
    @victoriaferdinand885 13 дней назад +5

    Wema nae kazid umalaya 😂😂😂kumtaman kaka wa mwenzie vp

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 17 дней назад +8

    Mtangazaji uko vizuri sana❤❤

  • @Jumamussa.-gm1eo
    @Jumamussa.-gm1eo 13 дней назад +2

    Movie ya white maria niliitazama ktk banda la sinema mida ya usiku, wakati wa kurudi nyumbani sikulala kwa amani na niliota ndoto za kutisha kuhusu huyu white maria... 🤣🤣

  • @user-xi8ll6ub4j
    @user-xi8ll6ub4j 12 дней назад +3

    Jmn kukosea lazim ulimi aun mfup jmn

  • @kamilijoseph7581
    @kamilijoseph7581 13 дней назад +2

    Jamani izi interviews zamchongo mchongo eti 2014 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Whoisthismantalking
    @Whoisthismantalking 17 дней назад +3

    Huyu mwandishi anapenda kuleta taarifa za uchonganishi sana. Kaanza kwa madebe, kaaribu reputation yaka now kaja kwa kanumba, hapo sijataja taarifa zake nyingine alizopost za kichonganishi, stori zako zinaboa watu wameanza kuipuuzia mbengo tv

  • @dianamuhumba
    @dianamuhumba 11 часов назад

    Ndo maana ulifeli shule🤣🤣🤣

  • @Bellathebeee
    @Bellathebeee 17 дней назад +6

    I don’t care ever time I remember that movie it gives me jump scared🤣🤣🤣🤣

  • @wittykibonde6489
    @wittykibonde6489 17 дней назад +31

    Uyo nae muongo muongo tu et 2014 ndo alienda kushoot na kanumba wakati kanumba alifariki 2012 Uwiii 😂

    • @user-re2em2zd2u
      @user-re2em2zd2u 17 дней назад +2

      Tena muongo mkubwa

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 17 дней назад

      ​@@user-re2em2zd2ukachanganya alikua anaongelea 2004

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 17 дней назад

      ​@@user-re2em2zd2ukachanganya alikua anaongelea 2004

    • @user-tj6pl1lz5b
      @user-tj6pl1lz5b 17 дней назад

      Amekorogeka walaah 🤣🤣

    • @SalamaNauthar
      @SalamaNauthar 17 дней назад +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ametupiga na kitu kizito

  • @dianamuhumba
    @dianamuhumba 11 часов назад

    White maria alikuwa anataka kuwa nani kabla ya kuwa white maria🤷‍♀️🤣na amekwambia anaitwa shajumbe 🤣we shajumbe uwe unasikiliza maswali vizuri

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z 17 дней назад +5

    na io ndo legacy tunayosemeaga,,ani kuna m2 ukimuona 2,,inakujia picha m2 fulani...kanumba was the best

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 17 дней назад +7

    Huyu white maria anataka kujifanya anajua kiingereza anajikuta anashindwa kuendelea😂😂😂

  • @user-qd7ey5cp5s
    @user-qd7ey5cp5s 17 дней назад +5

    Watanzania na kizungu nayo hapana😂😂😂

    • @santa055
      @santa055 17 дней назад

      😂😂😂

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 14 дней назад +1

    WEMA ALIKUWA NAUSHEZIMUNOOO SAS LOOK NOW 😢😢😢

  • @user-rf7ni6tr2o
    @user-rf7ni6tr2o 17 дней назад +3

    Naisiiii wemaaa ndioo kidemm kinaongozaaa kwaaa umarayaaa

  • @kingdeniscrocodile
    @kingdeniscrocodile 12 дней назад

    Nakukubali mtangazaji

  • @elizabethgeorge2197
    @elizabethgeorge2197 6 дней назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂uwiiiiiiii

  • @fasterwalker1464
    @fasterwalker1464 17 дней назад +7

    Kumbe Wema Umalaya kaanza kitambo eeeh 😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @dottoaron3661
      @dottoaron3661 16 дней назад +1

      😂😂😂😂

    • @_Wayiva_mukuta_jean
      @_Wayiva_mukuta_jean 12 дней назад +1

      Nime cheka mpaka kufa 😂😂😂😂🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 17 дней назад +4

    😂😂😂😂😂😂naikumbuka hiyo lazima uchungulie alafu nduki 😂😂😂😂ndo umesha toka kuangalia TV kwa jiran 😅😅

  • @NeemaDavid-uj8sr
    @NeemaDavid-uj8sr 9 дней назад

    Duh kaz ipo😄😄😆 0:50

  • @WardSaid-ct7nr
    @WardSaid-ct7nr 14 дней назад +3

    Kafanana na neema ndepanya,au fontana🙂🙃

  • @maryjoseph3936
    @maryjoseph3936 13 дней назад

    Yasiiii

  • @MomadeMudimoz70-cs2ud
    @MomadeMudimoz70-cs2ud 17 дней назад +1

    ❤❤❤❤❤❤

  • @user-iu1ki5ts2e
    @user-iu1ki5ts2e 13 дней назад

    Umeamini ukivaa hivii mtangazajii wapendeza mashaallah ❤❤❤❤

  • @user-xh7xf2ki3r
    @user-xh7xf2ki3r 14 дней назад

    Isiwe tuu interview ya uongo maana 😅😅😅😢

  • @Maymuna-wc8lz
    @Maymuna-wc8lz 17 дней назад +1

    Mtangazaji Umevaa Vzr,,, Usikutuvalia ile Kofia yko

  • @Bravegirl.427
    @Bravegirl.427 15 дней назад +1

    Ila pengo tv waongo contents zao yan wanaandika vingine na interview inasema vingine

    • @LauNego
      @LauNego 10 дней назад

      😅😅😅 Lazima wafanye hvyo ndo apate views 😅 anyways nikirecomend #feelingyou song by NegoLetMeDo hutojutia

  • @user-mo9nm2vv8l
    @user-mo9nm2vv8l 9 дней назад

    She forgot when Kanumba Dead was 2012 so how about 2014 😂

  • @Maria-dg6ik
    @Maria-dg6ik 15 дней назад +1

    ❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂❤❤

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 14 дней назад

    ILOBEGINALO BASILISHUSHENI HAPO😂😂😂😂😂

  • @MuharamiNgasinda
    @MuharamiNgasinda 9 дней назад

    It's one mistake forgive her please

  • @mineflower_01
    @mineflower_01 10 дней назад

    Sasa mnachchamaa muongo mnacho shindwa kujuwa ulimi hauna mfupa nini katekeza katamka 2014 badala 2012 lakini sikwenye kazi alicheza kwaiyo anaelewa ila kakosea kama unavyo kosea kuandika

    • @jescarmbena9094
      @jescarmbena9094 5 дней назад

      Afadhari umewaambia yaan wanavokazania muongo utafikiri hakuigiza iyo movie

    • @mineflower_01
      @mineflower_01 5 дней назад

      @@jescarmbena9094 niwale watu ambao hata movie hawakuiona kwaiyo alivyo kosea na wao wakapata Cha kukoment bila kuwaza kukosea katika maongezi kupost naawez danganya wakati movie kaicheza