WEMA: KANUMBA ameniachia laana nilitoa MIMBA zake 2, Nilimsapoti KIBA kumkomoa DIAMOND, Najuta

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 397

  • @marylema5462
    @marylema5462 4 года назад +4

    Wema kaa kimya binadamu hawawezi kukusaidia, mwambie mungu tu,utazaaa tu

  • @neyjoseph813
    @neyjoseph813 4 года назад +63

    Tubu dhambi zako tena kwa Imani hakika utasemehewa na kabla ya kuomba mtoto muombe kwanza Mwenyenzi Mungu akupe mume sahihi🙏

  • @khamissalum4061
    @khamissalum4061 4 года назад +51

    Wema ushauriwangu upatemume kwanza kisha ndoutafute mtoto.mungu atakusaidia inshaallah.

  • @zaudatmakula3454
    @zaudatmakula3454 4 года назад +125

    Wema si kila kitu wafaa kusema mengine unaongea na MUNGU yatosha japo kuongea inaupunguzia moyo mzigo Lakin ushasema yatosha utapata tu hakuna jambo gumu kwake Allah wapo washatoa na wamezaa usikate tamaa zidisha tu dua

    • @jokhamohdsaid2052
      @jokhamohdsaid2052 4 года назад +12

      Mm. Nahisi. Ungeolewa. Ili Mungu. Akufungulie. Kuliko kutafuta. Mtoto. Huna. Mume. Na. Wewe. Ni. Mtoto. Wa. Kislam Mm. Naamini. Tubu. Olewa Mwenyezi. Mungu. Atakufungulia. Ammen

    • @halimanasihu1200
      @halimanasihu1200 4 года назад +4

      Inshallah allah atamfanyia wepesi my sepengaa

    • @zaudatmakula3454
      @zaudatmakula3454 4 года назад +2

      @@halimanasihu1200 ameeen

    • @cuteme4870
      @cuteme4870 4 года назад +4

      Nakwambia atapata tabu sana

    • @hjhj6230
      @hjhj6230 4 года назад +2

      Naam kwanza hutakiwi kusema kwa watu dhambi zako kikubwa kuamka ucku na kumlilia Allah na kutubu hilo ndio linalotakiwa..lakini cc waja tunaacha kumlilia Allah na kuomba maghufira tunatangaza kwa watu ..mtihani kwa kweli

  • @rhodamkungu4237
    @rhodamkungu4237 4 года назад +3

    Pole sana Wema. Wote tunafanya makosa tena makubwa kuliko hayo yako, cha msingi, kwa Mungu kuna msamaha. Piga goti omba toba na rehema kwa ajili ya dhambi zako na futa kila maneno uliyonenewa, simamisha neno la Mungu , maana neno la Mungu ni upanga unaokata kuwili. Isaya 7:7 simamisha huu mstari na maneno yote uliyonenewa. Unahitaji pia Mtumishi wa Mungu aliyepakwa mafuta akuombee. Utafunguliwa kabisa. Kwa sababu maneno ya kutamka, kujitamkia na kutamkiwa huwa yanaweza kusimama km barrier kwenye maisha yako. Kwa sababu maneno yana nguvu na yana uungu ndani yake. Sijui kwenye imani yako iko vipi, lakini niko tayari kukupa maelekezo ambayo yatakusaidia na utafunguliwa na hivyo vifungu vilivyokufunga kwa njia ya maneno. Pole lkn yuko Mungu anayeweza Luka 1:37

  • @sharifakhamis2461
    @sharifakhamis2461 4 года назад +25

    Muombe mungu msamaha kwa makosa na umuombe Allah akupe ndoa Allah atakufungulia kila kitu kwa uwezo wake

  • @angelmutua9575
    @angelmutua9575 4 года назад +13

    Kwa mungu hakuna jambo lisilo wezekana na ila hakuna dhambi kubwa kwake hasiweze kusamehe Amini na hutapata mtoto dada

  • @ashaally2473
    @ashaally2473 4 года назад +9

    Halafu ww wema tubu tu 😊 mana kuna wengi wetu wanatoa mimba ukimuliza umewahi kuuwa anasema hapana akat kauwa watoto wake sasa bas kwa maon yangu bora angeomba mungu tu mume mwema pia mana wale watoto ipo siku watakuuliza mama kwa nini ulitutoa kwa nn ulitukatisha uhai ww ombe mungu akuoe mume na watot

  • @witnesscharles5300
    @witnesscharles5300 4 года назад +13

    I believe utapata mtoto mwamini mungu na fuata ushauri wa daktari mpenz mungu hujibu mammy usikate tamaa, mimi nimehangaika kwa miaka mingi lakini mungu kasikia kilio changu nakuombea kwa mungu akusamehe na akupe watoto nakuombea Wema Sepetu mungu akusaidie😍

  • @nikristee
    @nikristee 4 года назад +2

    Muombe Mungu msamaha kwa kuavya mimba Naye atakupa mwana

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 4 года назад +54

    Somo kwa wadada wanaotoa mimba pole Sana wema.

    • @josephmashamba6091
      @josephmashamba6091 4 года назад +2

      Km ni mdogo asinge ingia kwenye mahusiano huyo ni bwege sana,ni muuaji km wauaji wengine! Akae hivyo hivyo

    • @hellenashely2167
      @hellenashely2167 4 года назад

      Na ww Joseph umneneayo mwenzio nawe yatakurudia usipo yaripa ww hata kizaz chako kitakuwepo unaweza pata watoto wote wakusingiziw kumbuka Una Dada zako una wtoto wnduguzo 😏 Barikiw Sana

    • @mukeragabilodiana9391
      @mukeragabilodiana9391 4 года назад

      Joseph Mashamba amecoma 😂😂😂😂😂😂😂

    • @ab3ab313
      @ab3ab313 4 года назад

      wema.nakupend.bure

  • @cycynageragezekwambaraneza1987
    @cycynageragezekwambaraneza1987 11 месяцев назад

    mungu atakupa wema inshaallah

  • @witnesscharles5300
    @witnesscharles5300 4 года назад +19

    Usihukumu usije kuhukumiwa mwenyewe ☺ hakuna mkamilifu chini ya jua cha zaidi maombi tumuombee apate kusamehewa na apate mtoto

  • @nagmadaniel6148
    @nagmadaniel6148 4 года назад +16

    Ee mwenyezi mungu msamehe mja wako kwakuw hakuna mkamilif chin ya jua mpe mume Bora halaf umpatie hitaji la moyo wake kwakuw hakuna mwenye maamuz zaid yako na ww unasamehe haujawah acha kumsamehe hat mmja bc msamehe na huyu

  • @tausilifestyle795
    @tausilifestyle795 4 года назад +9

    Yaaani ameuwa watoto 2 doooh ni dhambi kubwa kwa mwenyezi Mungu,aisee fanya tooba wema nautubie dhambi zako.

  • @jeskapeter6553
    @jeskapeter6553 4 года назад +11

    Duh wema kiukweli ulifanya makosa sana ujana ulikuteka lakini tunaamini kuwa ukimrudia mungu kweli kweli tubu kweli mungu huwa anasamehe na atakuoa tena mtoto dada na usimrudie mungu kwasababu unataka kitu fulani mrudie mungu ili umtumainie yeye na kumtumikia yeye siku zote za maisha yako na pia mtoto anapatika kwenye ndoa naili umtumikie mungu kikamilifu usizini olewa nakwambia utapata mtoto

  • @eneolatukio8493
    @eneolatukio8493 4 года назад +25

    Ume summarize vizuri sana mtangazaji👏👏👏big up🍹🥂

  • @aminaabdallah3644
    @aminaabdallah3644 4 года назад +3

    DaWema Mungu atakupe mtoto kwa time yake inshallah 🙏usikate tama kabisa Allah mwenye msamaha kwa waja wake😘

  • @kurusumun9645
    @kurusumun9645 4 года назад +1

    Pole dada yangu madhaifu yako Allah amekustiri dhabi ulizo zifanya wala usiongeleyi lahana yayoyote bali Allah amekupa funzo wewe tu zidi kumuomba Allah utazaa na imani kwa hilo tumbia tu kila jambo litakuwa rahisi dada yangu

  • @rachellebahati7512
    @rachellebahati7512 4 года назад +14

    my Wema, usijali Mungu atakupa mtoto

  • @user-nr1bf7iu8z
    @user-nr1bf7iu8z 4 года назад

    Wema dadangu usisubutu kueka mambo uliyo yafanya naukijua wazi ulimkosea mungu haifai.jutia sana uloyafanya.mulilie Allahu azawajallah ukusamehe uliyomkosea nakuajalie mtoto inshaAllah mwenyezi mungu atakuajalia mtoto kwarahma zake amiin amiin amiin

  • @ivanfaustin9717
    @ivanfaustin9717 4 года назад +1

    Mungu n mwema dada ipo cku atakufuta machozi yako mana hakuna km Mungu na huruma yake haina mfano👏

  • @richardmnkande1130
    @richardmnkande1130 4 года назад +9

    Amekuwa wazi sana na ameeleza kwa undani Mapito aliyopitia, Hili ni funzo kwa Vijana wengi wanaochipukia, Wajue Umaarufu bila kuwa na mipaka ni uharibifu wa maisha yako mwenyewe.

  • @zeanaseif4142
    @zeanaseif4142 11 месяцев назад

    Jamani wema,funga ndoa y’a halali ,utazaa kwa uwezo wa Allah

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 4 года назад +1

    Mungu wetu ni mwingi wa huruma na wala si mwingi wa hasira muombe atakusamehe dhambi zako zote ulizozifanya hata kama ni nyekundu kama bendera na atazisafisha na kuwa nyeupe kama theluji.

  • @zaituniathumani3375
    @zaituniathumani3375 4 года назад +2

    Jamani iyoo cyo rahan ya kanumba sema ..mtoto wa kwanza na wapili ukitoa ni mbay San . uwez jua unawatt wangapi tumbon pole sana.

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 4 года назад +2

    Asimkere Allah akubali aolewe atapata mtoto wa halali mwenye kheri

  • @ollgfgv9872
    @ollgfgv9872 4 года назад +10

    pole sana mungu anasamehe 7 ×70 rud kwa mola wako na mola anatupenda waja wake ivyo atakusamehe na unaweza kuzaa mpenzi

  • @stay_onit360
    @stay_onit360 4 года назад +2

    Pole sana da Wema usikata tamaa jmn mungu yupo najuwa alisha kusamehe wangapi walitowa mimba ao wanatowa mimba ila bado ila waliolewa nawakazaa so huwezi juwa mungu anamupango gani na wewe usijagetu ukamukufuru maana yeye nimwenye upendo na huruma I’m so sad 😭😭😭😭😭😭😭

  • @hellenashely2167
    @hellenashely2167 4 года назад +1

    Ple sana kipenzi cha wengi me naamini kwa kukiri kwako mungu atakupa tena wengu kadri yautakavyo taka wewe atakupa wakike nawakiume maana hapo nisawa umeomba toba mbele za mungu tunao kuomnea tuko wengi sana na shetani ameaibika tayari kwakua umetubu uko huru zaidi mpenz

  • @sirevra3404
    @sirevra3404 4 года назад +4

    Yani wema Fara Sana ungezaa na kanumba angetuachia hazina

  • @margaretostwald6975
    @margaretostwald6975 4 года назад +2

    My darling wema mamny yooote yaachie Mungu! Yeye ndiye muubaji wa viote, kuna wengi wameshatoa mimba, na Mungu akawabariki na watoto, juu yeye anahuruma nyingi, pia wewe Mungu ata kupa mtoto siku moja! In the Name of Jesus! Nakupenda sana Sepenga wetu.

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 4 года назад +5

    Cry to God my darling wema.God is able sweetheart 🙏😘

  • @victoriadavid6041
    @victoriadavid6041 4 года назад

    Mungu ni mwema usikate tamaa Mungu ni mwingi wa huruma ukimuamini na kumtegemea atatenda atakusamehee .

  • @angelamarlow4834
    @angelamarlow4834 Год назад

    Pole dada wema Mungu amesikia kilio chako ipo siku utapata mtoto

  • @ashuraussein7582
    @ashuraussein7582 4 года назад +26

    Nilana kweli pole sana Wema watoa mimba wote wa jifunze

  • @marymosedmosses7258
    @marymosedmosses7258 4 года назад +5

    Jamani akuna laana mbele ya MUNGU aombe toba na atanguwe nakubatilisha ayo maneno ya kanumba kwa damu ya yesu atapata mtoto kwa MUNGU akuna linaloshindikana🙏

  • @mariajohn8450
    @mariajohn8450 4 года назад

    Wema nakuombea kwa mwenyezi mungu akubariki hata ww niombee na me nalia nalilia mtoto hata mumoja2 nitashukuku sana

  • @alimahemed8622
    @alimahemed8622 4 года назад

    Omba toba kwamungu funga suna amka usiku kusali mungu atakusame atakupa kitumaini kingine inshaAllah mungu mukubwa

  • @chainbre275
    @chainbre275 4 года назад

    Waaah kheri ungezaa hata kama kamoja tu doh ila yote niya Mungu

  • @Matfa-Alsaad
    @Matfa-Alsaad 4 года назад +6

    There’s nothing above God, all iliyobaki it to seek for forgiveness to Allah cry 😭 as much for regret. Pray 2 Rakkah Swalatul Istikhar

    • @briarimmanuel3156
      @briarimmanuel3156 2 года назад

      i guess it is kinda randomly asking but do anyone know of a good website to stream newly released series online ?

    • @leenico5382
      @leenico5382 2 года назад

      @Briar Immanuel Flixportal xD

    • @briarimmanuel3156
      @briarimmanuel3156 2 года назад

      @Lee Nico Thank you, I signed up and it seems like a nice service :) Appreciate it !

    • @leenico5382
      @leenico5382 2 года назад

      @Briar Immanuel Glad I could help =)

  • @jamilaathumani7950
    @jamilaathumani7950 4 года назад +1

    Ndomana nasema maisha yanapita daimond nae asijisahau mungu yupo naakiamua kukushusha anakushusha fasta,,daimond asijisahau asiipende sana dunia apende kesho yake

    • @boubenabou3077
      @boubenabou3077 4 года назад

      Sorry akuje kwangu nimbupe mto aje atafurai

  • @shuweikhaabdallah586
    @shuweikhaabdallah586 4 года назад

    Wema ww kipenzi cha watu ww n muislamu hebu achana na izo habari za wasanii na tafuta mume sahihi ili uingie kwenye ndoa halafu umuombe mungu inshaallah kwa uwezo wa Allah utapata

  • @user-xi1pi4zr3b
    @user-xi1pi4zr3b 4 года назад

    Wadada kumbe mnakuaga na siri ivyo dah! Stori ya wema itakua funzo kwa wengine wenye tabia hiyo kiukwel mungu apendi kbs Kuuwa kiumbe kisicho na hatia..Majuto ni mjukuu fanya ibada Sali sana na kumuomba allah Utubu kwel atakubariki na utaishi kwa furaha km wengine da Wema..Amiin

  • @youngmoney4498
    @youngmoney4498 4 года назад +6

    Hakuna dhambi isiyo samehewa omba msamaha kwa mola wako, nae atakuwezesha kupata mtt Inshaallaah.

  • @itsangycuisine1162
    @itsangycuisine1162 4 года назад

    Wema tubu,ombewa na watumishi wa mungu.everything is possible.trust me utapata mtoto.nothing is impossible to God.mungu ni Mungu wa rehema 🥰

  • @pastorjully3657
    @pastorjully3657 4 года назад +12

    Mimi kama mtumishi wa Mungu nimeguswa na maelezo yako Dhambi yako imesamehewa Kuanzia sasa jiandae kunyonyeshA mtoto Laana yako imefutwa kuanzia leo Pokea mtoto kwa jina la Yesu

    • @anitamerry7134
      @anitamerry7134 4 года назад +2

      Yesu ndo nani

    • @anitamerry7134
      @anitamerry7134 4 года назад +3

      Makubwa au kwaajili ya Mungu yesu sio Mungu nyie someni tena vitabu ili mjuw kilakitu

    • @sabinajohn6531
      @sabinajohn6531 4 года назад +1

      @@anitamerry7134 dear dunian kuna dini nying tofauti kwa tz tunatambua dini mbil lkn katika hili kwamba tusipende kuona chetu kizuri zaid ya mwingine kikubwa unatakiwa kuwa na iman na dini yako na kuheshimu ya mwingine maana hakuna kila kitu ni bora kwa upande wake

    • @annastaziavenance1735
      @annastaziavenance1735 4 года назад +3

      @@anitamerry7134 we mpuuz kwel Mtu ameandika kilicho moyon mwake why huulize hiki n chakula au mawe??ikiwa jibu unalo kua ni chakula kwa mwenzako ila kwako n mawee,,,,ucwe hvyo badilika mpuuz wewe

    • @justinakafwenda683
      @justinakafwenda683 4 года назад

      @@anitamerry7134 hivyo vitabu tumesoma vinatufundisha pia tusijibizane na wapumbavu wasio jua maandiko Mungu akuhurumie kutoka ktk roho ya kuchukia usichokijua nenda kasome tena dini even viongoz wako wa dini yako wanamjua huyu YESU wetu

  • @boniphacekatigizu4267
    @boniphacekatigizu4267 4 года назад +23

    Pole dada wema amini mungu yupo na naamini sana toka moyoni mwangu utakuja kuzaa mungu yupo pamoja nawe

    • @fikirimabula8429
      @fikirimabula8429 4 года назад

      Kweli mungu yupo ila mambo mengine ni kujitakia

    • @boniphacekatigizu4267
      @boniphacekatigizu4267 4 года назад

      @@fikirimabula8429 kila jambo linalo tendeka lina makusudi yak yatupasa kumwombea kwa mungu apate htaji lake na yeye

    • @davidcurtis8556
      @davidcurtis8556 4 года назад

      @@fikirimabula8429 je wewe ni malaika? Je hujawahi kukosea? Je hujawahi kudhini? Je hujawahi kukasirika? Je unasali sala tano bila hila? Ikiwa unafanya hivyo kweli basi huwezi kuhukumu na ikiwa kinyume chake basi ni haki yako kuhukumu

  • @saudaclaris7095
    @saudaclaris7095 4 года назад +2

    Kwani wema una umri gani🤔 just believe in God utapata mtoto dada

  • @sandrinekidasharira9713
    @sandrinekidasharira9713 4 года назад +8

    Wema darling, go to Belgium! Please, someone tells her! That country is amazing in such issues 👌🙌

  • @rehemacharles4982
    @rehemacharles4982 4 года назад

    Pole sana dadayangu mungu atakujalia

  • @abcdefgger
    @abcdefgger 4 года назад +3

    Asante SS👌👍

  • @godsfavouriteprincess190
    @godsfavouriteprincess190 4 года назад +7

    Wema usijali Mungu huwa hahesabu makosa yetu na hakuna kosa haezi kusamehe. Unachotakiwa kufanya ni kumuomba msamaha ukiwa umemaanisha kutoka moyoni mwako na atakusamehe na akupee watoto. Mimi sio fan wako lakini hii imeniguza

  • @matendoa.online803
    @matendoa.online803 4 года назад +3

    Asi kate tamaa, Asi believe kwa negativity Mungu niwa huruma , ni mwenye rehema na neema.

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 4 года назад +2

    Daaah nmeumia sana jamani 😰😰😰pole san #WEMA

  • @nsengiyumvabienvenu8491
    @nsengiyumvabienvenu8491 4 года назад +1

    Yote yanawezekana Omba mungu utapata Mtoto ndungu umurejeye mungu 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @sirlankagirl6256
    @sirlankagirl6256 4 года назад +3

    Wema amini mungu utapata mtoto nina dada yangu alkuwa namyaka 5 bila mtoto mwisho alizala pole dada👏

  • @ellysilwani9287
    @ellysilwani9287 4 года назад +2

    Pole,kule kuongea tu ni kwamba umetua mzigo mkubwa ulokuwa unashindwa au umekuelemea kuubeba,ilobaku sasa ,tubu kwa Mungu wako wewe binafsi,kwa kufunga kula na kunywa,jipe muda Wa kuongea na Mungu katika imani ya kweli,maana Mungu husikia!!Nina imani Wema utapata majibu.Pole. mamii ndo mitihani ya dunia,pole sana.

  • @milkaawinja357
    @milkaawinja357 4 года назад

    Pole sana dada nenda ukaombe msamaha kwa kaburi la kanumba

  • @amanistarz1234
    @amanistarz1234 4 года назад +3

    Duu.pole sana

  • @irenekatumwa5963
    @irenekatumwa5963 4 года назад +2

    Usilie wema mungu ndo mpangaji wa yote. Sio wewe wa kwanza kutoa mimba wala kutenda dhambi mungu ni mwema atakujalia

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 4 года назад

    Pole sana mpenzi WEMA, Dah inasikitisha sana milion 70 subhannallah, uyu cmuachi salama.

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 4 года назад

    Mie nimeangaika ata sijajua

  • @lorrenlaurianakitalylorezo4141
    @lorrenlaurianakitalylorezo4141 4 года назад

    hakuna aliye mkamilifu pole sana Dada ongea na Mungu muombe na mlilie Yeye ni mwaminifu my dear atakupa kama kuna wazee wanapata kwa nn ww mrudie Mungu na mlilie sana atakujibu plz usikatetamaa

  • @ashrafsharif2059
    @ashrafsharif2059 4 года назад +4

    Wema sasa anabowa kila siku analiliya jambo moja tuuu la mtoto, wakati unashindwa kumrudiya mungu wako na utubiye unakaliya unatupigiya kelele mitandaoni.

  • @candybenardy3110
    @candybenardy3110 4 года назад +22

    Siwezi lipia ujinga huo Mm 😂😂😂😂😂 Sns inatosha kusikiliza kweli huko hakuna jipya

  • @aminalibondo7507
    @aminalibondo7507 4 года назад +3

    Amini mola wema.amua kuolewa den omba Allah akuajalie mtoto

  • @gloriamichael3698
    @gloriamichael3698 4 года назад +1

    Hakuna kukili maneno yake ya kuwa na watoto kataa KBS .omba Mungu akupe watoto tena watatu Kwa wakati mmoja Kwa Mungu hakuna lisilo wezekana Amen

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 4 года назад

    Jomon wema wangu yan ww na kanumba mlimatch sana.lulu na kanumba hawakupendezana hata kiduchu.lulu mfupi mwezio majizo mfup mwezie.kwann hukumzalia kanumba?sasa wajuta, yawezekana ujana wako uliula vibaya,mimba sio za kanumba tu,ni nyingi ulizotoa.yan ingekua mtu mwingne, wakat huu ni wakutubu,muombe mungu akupe mume mwenye kher nawe afu ndo uombe mtoto.naamin utapata insh,usiombe mtoto wa zinaa,tena kwa kutakangaza ni jinc gan unamchukiza mungu, wala hautopata....ujana na usuperstaa umekuvaa mama...unajihadaa hii ni dunia tu tunapita...ukishkwa na shida unasoma dua inatosha,mrudie mungu sali muombe utapata ndoa na watoto tena mapacha3 insh....

  • @emmanueljoseph2576
    @emmanueljoseph2576 4 года назад

    Ee mwenyezi mungu mwaka huu usipite bila kutenda miujiza kwa huyu binti yako najua ni mengi kakukosea lakini sisi ni binadamu kukosea tumeumbiwa msamehe makosa yake mpe hitaji la moyo wake ndoa na mtoto naumfundishe kuyatenda yanayokupendeza wewe nakuachana na mambo yakidunia naaifate dini tunaomwombea wema wote tuseme amen

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 4 года назад +1

    Duuuuhhhh pole wema mungu ndio kimbilio letu inshallah Allah

  • @nnnnn6941
    @nnnnn6941 4 года назад

    Omba mungu atakusaidia upate mtoii siz

  • @ulfkusserow6534
    @ulfkusserow6534 4 года назад

    Wema,Mungu Ni wa rehema,futa maneno yote uliyonenewa utapata uckate tamaaa.

  • @lailmeeea4908
    @lailmeeea4908 4 года назад

    Pole sana wema wng

  • @ashajaphary7807
    @ashajaphary7807 4 года назад

    Mungu atusamehe wadada sis....wema utapta mrudie mola my diah💋💋💋💋

  • @tumaininalaila2865
    @tumaininalaila2865 4 года назад +1

    Dah Mungu atusamehe waja wake.

  • @tumainichanya3268
    @tumainichanya3268 10 месяцев назад

    Madam umetambia kama kuna Mungu aliyekuumba basi ingia kwenye imani dhabiti mwamini na kumanisha tubu piga magoti humo humo ndani ya nyumba yako fungua moyo wako ukiamini toba yako Mungu anaisikia na badirisha sura ya maisha yako mwelekee Mungu naamini huyu Mungu yupo kwa ajili ya sisi tunaokosea ili tukitambua makosa yetu twende kwake na kumwambia Baba nimekosa naomba nisamehe mimi ni mwana mpotevu narudi kwako naomba nipokee na ubadirike kweli.

  • @nsrnsr5838
    @nsrnsr5838 4 года назад +1

    Love you wema

  • @eneolatukio8493
    @eneolatukio8493 4 года назад +13

    Kutoa watoto wawili akati hauna hata mtoto mmoja ni mbaya sana, yaezekana walivotoa walinyofoa kizazi chote🤔

  • @vanillamziray2303
    @vanillamziray2303 4 года назад

    Muombe mungu hakusamehe

  • @omarkitwana5244
    @omarkitwana5244 4 года назад +4

    Wakati bado inshallah mwenyez mungu atamjaalia atapata tu kila kitu ni mungu. Ila kuolewa ni kwanza ndipo atafute mtoto

  • @julyakinyi8115
    @julyakinyi8115 4 года назад +4

    Take heart, everything is possible in God's hand sweetheart

  • @farishakisha2563
    @farishakisha2563 4 года назад

    Pole Sanaa Wema Muombe Mungu atakusaidia tu 😔

  • @zaynabsheby8139
    @zaynabsheby8139 4 года назад

    Duh mungu akusamehe

  • @BabyRas5927
    @BabyRas5927 4 года назад

    Kutoa mimba n hataree kwa wanawake .acheni kbsaaa .wema alikosea mungu atubu sana .kwa msamaha wa mungu anaeza kupata mtoto ..Maybe 🤔

  • @reginamzanje8815
    @reginamzanje8815 4 года назад

    Usijali mungu yupo

  • @mwansaflorence6862
    @mwansaflorence6862 4 года назад +14

    Mmmmm si Dhani kama ni kweli au kaamua kumsingizia jamaa sabab hayupo utatoa je mimba mfululizo hivo.

    • @rhodamkungu4237
      @rhodamkungu4237 4 года назад

      Inawezekana kabisa kupata mimba mfululizo. Nina mifano halisi. Ht ukizaa pia, usipojiabgalia unapata mimba haraka maana kizazi kinakua wazi. Ni kweli kabisa.

    • @daynesakulu3169
      @daynesakulu3169 4 года назад +1

      Mbele alikuwa nasema mimba 1 ,hivi ina kuwa 2,ahache uongo,sababu kanumba hayupo,ina kuwa kila leo kanumba kaniachia laana,ni wangapi Wana yatoa ila Wana zaa,mwenzako Anty Ezekiel mbona hata idadi ya mimba alizo zitoa hakumbukagi tena,lakini ali pata mtoto,wewe sema ahuku jaliwa kuzaa,wapo wengi kama wewe.

    • @princesseskennedy6027
      @princesseskennedy6027 4 года назад

      Hapana mbona alishahojiwa kabla kanumba hajafa na akasema ivi ivi angalia Take one ya zamaradi kipindi yupo clouds utaona

    • @princesseskennedy6027
      @princesseskennedy6027 4 года назад

      @@daynesakulu3169 inategemea na aliyemtoa mimba pengine waliharibu kizazi best

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 4 года назад

    Mmmh 🤔🤔🤔Bora ungenyamaza tu ukatubia kwa mungu wako ulichokifanya mungu alikupa watoto ukawanyofoa

  • @nanaleetz
    @nanaleetz 4 года назад +1

    Ulichoadisia kinatosha sina haja ya kudwnlf app

  • @luisawanjiku6347
    @luisawanjiku6347 4 года назад

    May God hear your cry dia ...mungu atakulipa

  • @jasmineshechambo3401
    @jasmineshechambo3401 4 года назад +1

    Du wema pole ila pole mwaya maana nishida ungemuadisia mungu tu ila ushatoa sili kwa walimwengu pole sana

  • @ShazeenBaby
    @ShazeenBaby 4 года назад

    Pole Sana da wema jamani

  • @jacobmasyaga1293
    @jacobmasyaga1293 4 года назад +1

    Exclusive release indeed!

  • @mussaagrey5679
    @mussaagrey5679 4 года назад +1

    Duuh! noma kweli

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 4 года назад

    Kusema kweli km Mimi ningekuwa Wema nisingesema hyo yote make yalishapita, ningeendelea kumulilia Mungu na kutubu kimya kimya. Make anapoyatowa hazalani anaendelea kujidhalilisha mpaka hata hyo new bae naweza kukuogopa na kukuacha.

  • @noleenkorir7616
    @noleenkorir7616 4 года назад +25

    May God bless your womb sweetheart

  • @naimasaid7763
    @naimasaid7763 4 года назад +1

    Muombe mungu kwa kila jambo

  • @katarinawilliam9960
    @katarinawilliam9960 4 года назад +8

    Sasa hapa kuna haja fani ya kwenda wema app?

  • @Itshaganda
    @Itshaganda 4 года назад +38

    Why do you have to spill the beans here wacheni watu wakaone hiyo interview kwa app ya wema mnamuharibia sns🙄🙄

    • @fetygao2232
      @fetygao2232 4 года назад +1

      Kweli kabisa

    • @wacundirangu1661
      @wacundirangu1661 4 года назад

      I agree on this one!
      SnS ninini aki? Si hii ni kiki tu??

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns 4 года назад +1

      Haya sasa na tulivyo wavivu ndo ishatosha hata hatuendi tena ukizingatia kuna kutoa pesa ndo Imeisha hiyoooo

  • @sudymalema2313
    @sudymalema2313 4 года назад +6

    Iyo nifundisho kwa wadada wa sasa ivi inapashwa wajifunze maana usta duuuu mwingi