Sh Muhammad Bin Abubakar Alburhan Suratu Yusuf Part 4

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 ноя 2024

Комментарии • 18

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 4 года назад +2

    Masha Allah shekhe wetu Allah akurehem akusamehe maovu yako na akupunguzie adhabu ya kabur amina yarab allamina
    Tanga wanazuon wameshatangulia mno yaan ardhi imemeza vizur tu

  • @sophiamaaher5777
    @sophiamaaher5777 4 года назад +1

    Shekh wetu Allah akupe kauli njema huko uliko bado tuna kukumbuka sana darsa zako

  • @abduliddy9620
    @abduliddy9620 5 лет назад +1

    tanga wetu mashallh.aridh imelala wanazuon wakubwa sana.allh Akbar.

  • @salmaomary2100
    @salmaomary2100 4 года назад +1

    Allah akuhifadh sheikh wetu insha'allah amin.

  • @rashidabuu9406
    @rashidabuu9406 3 года назад

    mashaallah wallah unaona raha inatukumbusha mbali ama kweli zama hazirudi

  • @maalimrajabu1634
    @maalimrajabu1634 4 года назад +1

    اللهم انفعنا ببراكاته وعلومه وأسراره وأنواره ونفحاته ومدده في الدين والدنيا والآخرة

  • @shuaibuhassani5052
    @shuaibuhassani5052 3 года назад

    Rabbanan faanaa bibarakaatihim

  • @tztanzania2262
    @tztanzania2262 5 лет назад +1

    Sheikh wangu allah amrehem

  • @salmaomary2100
    @salmaomary2100 4 года назад +1

    Masha'allah hadi raha kusema la haki KBS na Qur'an ni tamu sn

  • @jumaaibrahim8305
    @jumaaibrahim8305 6 лет назад +4

    Jaman huu ulimwengu ulikuwa na watu wazito

  • @neymarsuleyman8602
    @neymarsuleyman8602 5 лет назад +1

    Surat Ar-raad, nasio yusuf

  • @shabaniiddi5801
    @shabaniiddi5801 5 лет назад

    Allah amrahamu

    • @h.mchome291
      @h.mchome291 4 года назад

      Ee, mola wetu mghufirie na umehem

  • @jumaakhalfan485
    @jumaakhalfan485 5 лет назад +2

    Ardhi imemeza watu

  • @abeidmdimu4407
    @abeidmdimu4407 6 лет назад

    naaam

    • @issamuhidin5376
      @issamuhidin5376 5 лет назад

      اللهم اغفر له وارحمه وأسكنه في الجنة

    • @maalimndago4663
      @maalimndago4663 5 лет назад

      Haki tanga ni tanga khasa zama za sheikh muhamad bakari mola amraham alikuwa burhan burhan hakika kalithibitisha hilo beidh mamburui kenya mola atupe barka zao