Naomba niulize sasa nawezaje kufika apo moja kwa moja na wakati nitapita kwenye nchi zingine jalibu kutuelewesha apo maana njia ipoje nawezaje kufika apo moja kwa moja
Dah we jamaa bwege sana anaboa wakat bint yupo ulaya we upo shimom anaelezea watu for free unajua maana ya mda acha ufala wewe then unamkosoa dada tafkir we unajua chochote wanaune hatupo hvyo tafta pesa wewe @domymerinyo8165
❤
❤❤❤
nina swali
Mambo naomba whapp
Naomba unijibu kipenzi
your no 1 fan from MOROTOWN Huna baya dada ukifaa hauozi mi na subiri dola mia nichukue leseni hapa😂🎉
Asante sana
VIP Ghali dada nipe namba zako za WhatsApp Niko ufaransa kwasasa nahitaji nije huko Nami nitumikiye hy@@MaishaYaUlaya
@@MaishaYaUlayanahitaji kazi huko najuwa kuongea kifaransa vizuri nakingereza Pia
Keep pushing big sister
Habari dada Asante sana kwa video nzuri na maelekezo mazuri...❤🎉
Asante
Asnte dada kwa kueleza kwa kina❤❤❤
Vigoma kumbe vipo😅
shukrani
sister uko vizur sana ❤
Asante❤❤❤❤
Nakupenda mimi nipo taali nauli ninayo
Kulkarni wazeee
Maria unajua unataka kuja kwa njia hipi?
Dada Mimi Niko Kambini yani Niko refugee naweza ombaje sasa
Asante dada, unafanya kazi nzuri sana. Nitakapo faulu kufika huko nitakutafta.
@@usahomeservices2664 Yaani napenda kusaidia watu na mtu hata mmoja akifika ntafurai sana
@@MaishaYaUlayaone❤
Hellos sister
Nilitaka kujua wewe ulienda Luxembourg kwa njia hipi labda kimasomo au kikazi au matembezi tu
Naomba namba niongee nawe dada@@MaishaYaUlaya
Sister kazi nzuri mimi nataka kuja kwa njia ya kusoma nafanyaje
@@kevinmushi8209 ntatoa video maelezo ni marefu- Asante kwa swali
@@MaishaYaUlaya nashukuru ata kunijibu Mungu akutunze nita kuja tu lakini pia una gharama zako nipo tayari
Nchi imepoa sana adi raha watu niwachache mji apo
Je, Luxembourg Kuna uwezekano wa kubadili Schengen visa to work visa?
Ndio inawezekanaz
Asante my sist kwa tarifa nakupataje please naomba namba yaako
@@SailuIssa Mambo niambie swali lako nikusaidiaje?
Kupanga chumba kimoja na kuhusu vyakula Bei Kwa mwezi inaweza cost shingapi
Chumba 1000$ , chakula 200 $ -
Mimi nakupongeza kwa jitihada unayoifanya lkn sasa mimi nina wazo na pendekezo
Naomba niulize sasa nawezaje kufika apo moja kwa moja na wakati nitapita kwenye nchi zingine jalibu kutuelewesha apo maana njia ipoje nawezaje kufika apo moja kwa moja
Hongera kwakazi nzuri dada naomba namba kwa maongezi binafsi dada plz
Jamn me nashidwaga kwenye kuapply usipopewa link inakuaje dear nisaidie
Pole nini umeshindwa
Dada ulizia hapo kazi za kilimo pls mi nmesoma kilimo SUA
Wanataka contacts zako, mbona hujatoa!
@@yahya6180 Kaka ulayalive@gmail.com
Ahsante dada Kwa maelekezo mazuri VP kuhusu kuombea uraia huko??
Dada mbon hujanip majib so please
Pia niambie bei y nauli nikifik huko nani Atanipokea visa naipataj?? Please naomba unielekez
@@MbonayoAnne Nauli inategemea na ndege ila Kama 500 dollars- visa unaliza ubalozini -
Embassy yake ipo wapi kwa Tz
Hamna ubalozi wa Luxembourg TZ, ubalozi wa Ubelgiji ndo unashughulikia visa za Luxembourg
Dad's naomba namba yako ya Whatsap
@@SalumMbarak Naomba uulize swali hapa kaka
Tunaomb scholarship dada
Kama ukija Luxembourg na visiting vissa unaweza kubadilisha status yako kwenda work visa
Ndio inawezekana- ila ni vizuri ukianza process ya work visa ukiwa huko- ukifika hapa isichukue mda kuaanza kazi
Samahani Dada,tunaomba contact yako,ili tuongee maelekezo zaidi
Tanzania upo ubalozi wa Luxembourg?
@@rashidmohd7203 Unaenda ubalozi wa belgium kuomba visa wanashirikiana
@@MaishaYaUlayakama mm na chukua visa ya italy lakini ukimbizi nakuja kuomba luxembourg inakubalika.madam
@@mohamedisimai nchi hnayofikia ya kwanza ndio unatkiwa uombe nayo visa
@@MaishaYaUlaya mm natoka Tz madam nashuka italy kisha nakwenda zangu luxembourg kuomba ukimbizi inakubalika
Hi dear how do I contact you for guidance on applying to Luxembourg
How can I help you?
Uko wasp hizo namba zako
Kutoka Tanzania Hadi huko nikiasi gani na jee ukifika unaanzia wapi
Ndege dollar 400 _ inategemea unakuja kwa lengo gani, kama mwanafunzi, mfanya kazi au kuoa,mkimbizi
Madam tunaomba bac utufahimishe jinc ya kufika uko na taratibu zake
Nimeelezea sana katika video zangu procedure tofauti
Kama bado upo Luxembourg tuonane ili unielekeze ayo unayo yasema maana nipo apa muda mrefu sana ila sijayaona
Nimepatq visa sister last two week but host ni changamoto can we do something?
Hello! Naomba unielekeze process nzima ya ubalozini ili niweze kupata visa
Lazima nijue kifaransa au kijeruman kupata kaz kama najua kingereza naweza kupata kazi Luxembourg
Kazi za kiingereza zipo ila pia sio lazima kifaransa au kijerumani
Ok asante naweza kukupata kwa jina gani instagram?
Ulaya ni nchi maskini .nchi taxirit duniani ziponasia.kama China na singapoor
Ulaya waliiliiba mali kama.thahabu na almasi nyakatin za ukoloni.wameziweka.machimboni katika.mabenk.yao.
Na nchi za ulaya zote.zimechoka
Zinapumilia.katika oxygen.
@@AbuJunaidi kijana nitaftie nchi zenye mishahara mikubwa maisha nafuuu health care system kwenye izo nchi ulotaja angalia HID
Dada nakuomba namba yako
Samahani Dada.
Naomba mawasiliano yako. E.mail yako pamoja na number ya whatsap.
Nataka nianze taratibu za kusafiri mwezi huu.
Naomba nisaidie.
Vipi wewe umeomba ukimbizi
Ukileta habari usirudie kitu ambacho umeshakiongelea nyuma unaboa sana. Elezea hi hifadhi au ukimbizi tu.
@@domymerinyo8165 Asante kwa feedback, nilikua nawapa watu ambao hawaijui nchi hii background kifupi
Dah we jamaa bwege sana anaboa wakat bint yupo ulaya we upo shimom anaelezea watu for free unajua maana ya mda acha ufala wewe then unamkosoa dada tafkir we unajua chochote wanaune hatupo hvyo tafta pesa wewe @domymerinyo8165
@@MaishaYaUlayabibie vumilia utakutana na wapuuz kama hao no matter wat homgal just fyt for yo ♥ n give to us who we ready to receive
Wewe rudia tu tuna penda@@MaishaYaUlaya
Unaakili timamu wew?
Naomba ujibu text kwenye email yako sister😢
Naomba email yako mmm itakutext
❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤