Mambo Makubwa Yatokea Sekondari ya Kilutheri Mwanza. Wanafunzi na Waalimu waenda Ujerumani.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 3

  • @anthonymlila2741
    @anthonymlila2741 3 месяца назад +1

    Hongera sana Mchungaji kwa kufanya coverage Hii, Hii ni fursa kubwa sana kwa taasisi na vijana Kuweza kujifunza tamaduni za vijana wengine. Ni jambo jema sana kuboresha kazi hii na kuitangaza kwa mapana. Ubarikiwe sana.

  • @stellastella2795
    @stellastella2795 3 месяца назад

    Kias ngani ada kwa mwaka