FIZI-MBOKO/Shuudiya Mwenyewe Maajabu ya Mlima BULUMBA unaopatika Kwenye Ziwa Tanganyika Mboko

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии • 77

  • @marlomerci5027
    @marlomerci5027 3 года назад +1

    Fresh sana wahanshi wetu kwa kazi hiyo

  • @malakoasani1763
    @malakoasani1763 2 года назад +1

    Namuona dereva Asani🔥

  • @aminaathumani6832
    @aminaathumani6832 3 года назад +5

    Kusorozaaa 😀😀😀💃💃💃umutekeee wahaaa wenzanguuu mupoooo💃❤️❤️❤️😂😂😂😂😂kigomaaa weyeeee

    • @championtv255
      @championtv255 3 года назад

      Wamanyema tupooooooo.tuasoroza ndenga nagiza kibirizi oyeeeeeeee

  • @championtv255
    @championtv255 3 года назад +2

    Unabonga Sana jombi.sioishu utaaribu acha tujionee kipindi chako nikizuri ila unapiga Sana makelel mzee baba

  • @johnjulius3092
    @johnjulius3092 3 года назад +6

    Ila sasa mbona hamjakinginga life jacket jmn lolote laweza tokea japo hatuombi hvyo

  • @ashahassan2120
    @ashahassan2120 3 года назад +3

    Mmtu nachake mbona ww unaleta majungu na ww kaonshe wakwenu tuone sisi tuna jivunia na chakwetu 🙏🙏🙏

  • @rahmahersi6584
    @rahmahersi6584 3 года назад +1

    Lakini unaogopesha bwana
    Uko katikati ya.maji. panatisha kwangu
    Kidogo ni kama Saa
    Nane Island Mwanza..
    Loooo...unapenda maki kaka
    Yangu. Hongera sana.

  • @christianmwasakogo5579
    @christianmwasakogo5579 3 года назад +1

    Ooh safi sana lakin hao wavuvi uwashauri wawe na maboya endapo ajari ikitokea watanusurika

  • @mohamedkazema6381
    @mohamedkazema6381 3 года назад +7

    Kusoroza !!!, aisee umenikumbusha kwetu Kigoma.🤣🤣 big up AC Tv🙏🏻🙏🏻

  • @rahmahersi6584
    @rahmahersi6584 3 года назад +1

    Hongera sana....mali
    Asili safi.

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 3 года назад +1

    Asante kutuonyesha Mlima Bulumba ulioko katika Lake Tanganyika natamani kuona live thanks

    • @abdoulydjuma1154
      @abdoulydjuma1154 3 года назад +1

      Asante kuifuatilia Ac company tv endelea kuifuatilia kila siku kwa mengi zaidi support shukrani

  • @karengeraElias
    @karengeraElias 9 месяцев назад

    kipidikizuri cyamazigira 🙏

  • @alexkabazo5388
    @alexkabazo5388 3 года назад +2

    I stay in america

  • @ismailrajabu2161
    @ismailrajabu2161 3 года назад

    Mbona unachezea nyeti zako broo umejisahau

  • @alexkabazo5388
    @alexkabazo5388 3 года назад +2

    Ilove that place God bless bomba Sana congo congolese people love our owner county in alex from congo moba in america thank you .

    • @abdoulydjuma1154
      @abdoulydjuma1154 3 года назад

      @alex kabazo Thank you so much endelea kuifuatilia Ac company tv kila siku support

  • @jeffsikabwe6005
    @jeffsikabwe6005 2 года назад

    Hapo ndiyo nyumbani.

  • @ramazanimajaliwa6195
    @ramazanimajaliwa6195 3 года назад

    Only the best place,my village city mboko

  • @alexkabazo5388
    @alexkabazo5388 3 года назад +2

    Bomba safi.

  • @kamumtokambali8698
    @kamumtokambali8698 3 года назад +4

    Safi sana kabisa AC Company LTD Fizi Uvira. Kazi nzuri

    • @savehamsi6855
      @savehamsi6855 3 года назад

      Petit Kamu, nyumbani hapo. Mungu umeibariki DR Congo kwa kila kitu, tunaomba AMANI yako sasa mu nchi yetu ili twende kufaidi baraka toka kwako.

  • @jkass757
    @jkass757 3 года назад +2

    Mtangazaji anajitahd sana kujichangamsha na Kiswahili chake kibovu bovu kabisa

  • @lilianekitoko1531
    @lilianekitoko1531 3 года назад +3

    Rdc eloko ya makasi

  • @ayoubmakori8680
    @ayoubmakori8680 3 года назад +1

    Mi sifiki apo wajua viumbe gan wanaishi apo weeeeeeee sifiki mm

  • @lilianekitoko1531
    @lilianekitoko1531 3 года назад +2

    Ac Compagnie Tv lobaka pe na Lingala ou bien na Français, Rdc iko Munene

  • @SimbaBsk-p2n
    @SimbaBsk-p2n 8 дней назад

    ❤❤❤❤

  • @assumanirosha
    @assumanirosha 3 года назад +1

    Yoooooh longtime nimekumbuka mbali sana

  • @burundishallsmile1day109
    @burundishallsmile1day109 3 года назад +2

    👍🏾🎩

  • @congoleseyouthnetworkc.y.n1803
    @congoleseyouthnetworkc.y.n1803 3 года назад +1

    Beautiful

  • @anicetpetromajaliwa3817
    @anicetpetromajaliwa3817 3 года назад +1

    Kazi nzuri ya exploit

  • @kabuletepierre7506
    @kabuletepierre7506 2 года назад

    Ni powa kabisa. Lakini ingekuwa powa sana kama ingejengwa kibanda cha mapumziko hapo. Mimi pia ni mkongo kutoka kwa kabila ya Bashi. Kwenye ziwa Kivu pia kuna milima midogo mbali na Idjwi hata hivyo nazo ni pori. Congo tunalo tatizo la kutega uchumi.

  • @bilombeleyusufu9615
    @bilombeleyusufu9615 3 года назад +3

    Mwakole wabula AC Company TV ú mmolwa wasúhakéca úbanda na 'yétú Ésé.

    • @regineoredi3826
      @regineoredi3826 3 года назад

      Akuna viboko na mamba kweli?

    • @kahindodjotas8926
      @kahindodjotas8926 3 года назад

      Nafurahi sana njomara ya kwanza kuuona nausikiyaka tu

    • @abdoulydjuma1154
      @abdoulydjuma1154 3 года назад

      @@kahindodjotas8926 Asante endelea kuifuatilia Ac company tv kila siku support

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 3 года назад +3

    Tumuacha Allah ayitwe Allah 😳😳😳

  • @fediruben5009
    @fediruben5009 3 года назад +1

    Mbona hujashuka kuingia mlimani au kuna wanyama wakali ungepanda kabisa mlimani hapo umeenda kuzunguka mlima

  • @captioncapition2574
    @captioncapition2574 3 года назад +2

    Mbona mingi tuu ipo upande wa Tz hiyo milima ya katikati yaziwa

    • @chelseafcinafrica4313
      @chelseafcinafrica4313 3 года назад

      Huo unatembeyaga na unaonekana kwa nyakati tofauti tofauti nasehemu tofauti tofauti useme huyo mtangazaji nikiazi ajui kujieleza nakueleza

  • @mashaurikimbulungu4427
    @mashaurikimbulungu4427 3 года назад +3

    Nimefurahi kuuona mlima bulumba ila mtangazaji umesahau kutueleza kuhusu Wanyama wakali ambao wanaweza kumla mtu kama mamba kiboko nyoka kali

  • @mariagorety284
    @mariagorety284 3 года назад +3

    Sasa mbona hamtoki ndani ya boti jamani

  • @jean-paul.ntalagana7846
    @jean-paul.ntalagana7846 3 года назад +2

    Fasi nzuri .aksanti wandugu.

  • @rahmahersi6584
    @rahmahersi6584 3 года назад +1

    Je!..watu hupanda mlima?au ni kuzunguka tu.

  • @mwanamutemi
    @mwanamutemi 3 года назад +2

    wonderful !! lakini mtangazaji una uzoefu odd, huo mkono wako wa left wakuponza!!

    • @abdoulydjuma1154
      @abdoulydjuma1154 3 года назад

      Asante kuifuatilia ac company tv pia Asante kwa maoni yako yatafanyiwa kazi shukrani zidi kuifuatilia Ac company tv siku zote kwa mengi zaidi

    • @JourneyBook
      @JourneyBook 3 года назад

      🤣🤣🤣🤣

    • @JourneyBook
      @JourneyBook 3 года назад

      Kwel Kbs

  • @malekanimalekesa9015
    @malekanimalekesa9015 3 года назад +2

    Una nikubusha sana dungu na mimi nilisha pafika apo BULUMBA nikakaa kwenye jiwe

    • @abdoulydjuma1154
      @abdoulydjuma1154 3 года назад

      Pamoja and everyday fuatilia Ac company kwa Mambo mazuri na habari za uhakika @malekanimalekesa

  • @duniasongolo1951
    @duniasongolo1951 3 года назад +3

    Nisawa kwakua unatapa kwe lkn hakuna hajabu yoyote hapo ukifika ziwa Victoria kumbe utastajabu maana kule visitation kama hivyo uwezi kuviesambu nivingi mno 🤣

  • @ibrahimmlenda8933
    @ibrahimmlenda8933 2 года назад

    Nikweli ,nakumbuka mengi kuona mlima uho.
    Nyumbani ni nyumbani.

  • @zuberkasim7150
    @zuberkasim7150 2 года назад

    Nimefurahi kuona mlimabulumba kwaukaribu lakini siwezikuusogelea kwaukaribu naogopa Sana kutokana nahistoriayake watu walikua wanapotezwa kwawiki kadha wakiwa chiniyamaji baadae wanarudiswa wakiwahai wengine walikuwa wanakwenda mazima marakuku weupe Mara shuka cilikuwa vikionekana hapo story yaapo inatosha ukipata wazee wahadithie utashangaa.

  • @danieltoroka7281
    @danieltoroka7281 3 года назад

    Naelewa Sana Kaka unacho sema Yani kunMazingira ukiangalia unakumbuka mbali dah

    • @abdoulydjuma1154
      @abdoulydjuma1154 3 года назад

      Asante kwakuifuatilia Ac company tv tuwe pamoja siku zoote

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 3 года назад +1

    Mi sijuw ni nn sipend kuona maji live km vile Bahr ama ziwa Usiku silali nimehaharib ticket Mara Tatu ya kwend Zanzibar

  • @XdanTD
    @XdanTD Год назад

    Ni nzuri ila mnge shuka kwanza mka kaa hata kwenye jiwe

  • @anicetpetromajaliwa3817
    @anicetpetromajaliwa3817 3 года назад +1

    Bichingini n'Simba.

  • @amanimanase8799
    @amanimanase8799 3 года назад +1

    Nyoka naye atakuacha salama kweli?hayo ndiyo maskani yake

  • @anzuetonganoulehabo1225
    @anzuetonganoulehabo1225 3 года назад +3

    Mtu na kwao kama kwenu akuna msituletee abari za eti seemu zigine eti upo uo ni wivu tu

  • @zainakuzenza759
    @zainakuzenza759 3 года назад

    Hiyo ndio kazi
    ya uumbaji kila mahali pana mambo yake hayafanani

  • @captioncapition2574
    @captioncapition2574 3 года назад +1

    Nenda mkowa wa Rukwa ipo utaikuta sio mpaka uende Congo labda kama ulikua na safari yako tuu

    • @bengallettv6568
      @bengallettv6568 3 года назад

      huyo ni mkongo cyo mtanzania ndo maana japo anaongea kiswahili

  • @pendael02
    @pendael02 3 года назад +2

    Kiswahili fasaha

  • @sautiyangutv8663
    @sautiyangutv8663 3 года назад +2

    Nime furahiya sana Kazi yenu. Mume fanya vizuri sana kutukumbusha. Ila Nime kwazika na ombi lako laku leta wazungu waje kutalihi hapo. Hizo ni sehemu za siri za inchi yetu ya Ubembe. Tafazali sio kila sehemu ndo tuna hitajika kuleta wazungu.
    Tutoke kwenye minyororo ya utumwa wa fikra.
    Hendeleheni na Kazi hiyo. Ila juweni kama sio kila sehemu yaku leta wageni. Ni Sawa na mu amerika aku hambiye eti njoo ku Area 51. Hakuna siku wata kuhita sehemu mtaha 51 USA.
    #Sauti Yangu
    “Ukombozi wa Fikra na Uchumi”

    • @abdoulydjuma1154
      @abdoulydjuma1154 3 года назад

      @sautiyangu tv Asante kuifuatilia ac company tv shukrani saaana na maoni yako mazuri pia
      Asante kwako

  • @milomohamed7201
    @milomohamed7201 3 года назад +1

    Mimi sioni maajabu hapo ni kawaida tu hivyo ni visiwa vidogo katika bahari yoyote na huku pwani mbona vipo vingi mno. Kweli tembea ujionee

    • @tamausikanye9604
      @tamausikanye9604 3 года назад

      milo iyi yote ni richesse ya congo wewe ume iona kama kawaida ujuwe kwa leo kama siyo kawaida sud kivu pourquoi ni place touristique nyinyi kila kitu muna zarau

  • @jkass757
    @jkass757 3 года назад +2

    Mtangazaji anajitahd sana kujichangamsha na Kiswahili chake kibovu bovu kabisa

    • @nyembomajidi3027
      @nyembomajidi3027 3 года назад

      aaaah dugu sio matusi hata wewe pia unakosea wakati unaongea swahili