LIVE: RAIS SAMIA AKIZINDUA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023 - DODOMA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • ‪@millardayoTZA‬

Комментарии • 6

  • @ShukuraniJohn-c7v
    @ShukuraniJohn-c7v 6 дней назад +1

    Binafsi kwa mtazamo wangu serikali mpo vizuri sana.endeleeni kudumisha umoja,kama jamii tunafarijika kuona maendeleo.nahuyu adui mkubwa (umasikini) tunamshinda kwa ushilikiano.mhe.mama Samia nina kupongeza sana mama Mungu azidi kukurinda rais wetu.amina

  • @CharlesMasese-r9l
    @CharlesMasese-r9l 6 дней назад +2

    Kazi iendelee

  • @fatimataidrissa-bangura202
    @fatimataidrissa-bangura202 День назад

    Mama Samia akipigwa vita ili wengine wachukue nafasi yake, tuelewe wazi kua hao Madeni atakayowaacha hayatolipwa kama ipasavyo.
    Tunamuombe Mungu amzidishie Moyo wwa Ujasiri. Ampe Umri Mrefu na Kumuongezea Afya Njema.
    Badala ya kulipa Madeni ambayo yameiwezesha nchi kufikia hapo ilipofikia. Sasa hivi Tanzania watu wote Wanasema kua Tanzania sasa hivi hiwezi kuamini kua uko Tanzania kutokana na maendeleo. yaliyofanyika
    ❤❤❤❤❤❤

  • @halimahamad9430
    @halimahamad9430 5 дней назад

    MASHAALLAH HASBIYA'ALLAH , MITANO TENA KWA MAMA SAMIA

  • @fatimataidrissa-bangura202
    @fatimataidrissa-bangura202 День назад

    MAMA SAMIA MIMI NI MWANAO WA UBANI
    AS FAR AS GLOBAL EDUCATION IS CONCERND SHOULD YOU SHOUL EITHER ASK MYSELF OR MR. BARAK OBAMA, MICHELLE & ANGALAU MACLE (German 'X' Chancellor) THEY ARE THE ONLY PEOPLE WHOM YOU CAN RELLY either uniulize mimi mwenyewe au hao niliowataja hapo juu.
    Tuombeane kheri na salama na tubakie kila siku kusameheyana.