Padre Dkt Kamugisha: Katika Maisa ya ndoa msimchukulie Mungu Poa/ Ndoa ni Liturjia/ Beba ndoa yako
HTML-код
- Опубликовано: 8 фев 2025
- Paroko wa Parokia ya Minziro Jimbo Katoliki la Bukoba Padre Dkt Faustine Kamugisha katika mafundisho yake ya kila juma katika kanisa kuu la Bukoba Jimboni Bukoba juu ya mada ya Matatizo sio Tatizo.
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiFaraja
Father mungu anakuona,magundisho yako yamenitoa stress🙏🙏🙏mme wangu kanikimbia nimezaa nae watot wawili,nilikuwa na mawazo Sana ata nilifikilia kujiua!! Ubarikiwe Sana usichoke unaburudisha na kuokoa nafsi,
Father mungu awe upande wako Siku zote nakufata kutoka 🇧🇮🇧🇮burundi
Amen mtumishi
Fr.You are GOD given to US.May the Almighty God strengthen you and give you good health and Long life,to continue with your good work of spiritual teaching and healing. You are a blessing to many of us. GOD BLESS YOU.
Amen
Amen fr. 🙏🙏
OGod strengthen faith of Padre kamugisha to countiue in is mission
Wooh wonderful
Fr. Kamugisha ubarikiwe kwa mafunzo jaman
AMINA nabarikiwa Sana 🙏🙏🙏