Huu ndio upuuuzi wenyewe sasa unao changanya waumini kila siku, wenzetu tangu ramadhan ya mwaka Jana washajuwa ya mwaka huu itakuwa lini, sisi bado tupo kizamani zamani, taasisi kubwa kama hiyo inashindwa kudhibiti mambo ya mwezi.
Tangu mwaka Jana washajua ramadhani Ni lini sisi waislamu tunapata kujua nyakat zetu kwa mwandamo wa mwezi na huu ndio mfumo ambao mwenyezimungu katufunza katika kitabu chake,,,,
Mashaallaah mufti wetu kwa taarifa za kielimu na za hakika na shukran sana kaka yetu ust babdeo muandishi wa mufti kwa taarifa za hakika allaah awalipe nyote aamiyn
Tumeambiwa tufunge kwakuuwona mwezi na tufungue kwakuuwona mwezi sio mambo yakizamani kama unataka mwezi wa kalenda wenzako wapo subirieni siku zifike mjiunge kwenye ilo ila utaratibu tunatakiwa tufunge kwa kuuona mwezi na dini yetu hii Haina jambo lakizamani Naombo jipya
Masha Allah shukran
Saudia hawataki mufuate mwezi wao.wao washaruhusu ulevi na kuzuia kufuturu misikitini
Watu wa bakawata wahesabu kuanzia mufti alipo hudhuriwa arafa mwaka jana hadi juma tatu waone itakuwa kweli ni tarehe 29??? Au!!!
Bakwata ndo nn?
Nyie mnamwezi wenu mara ngapi watu wameuona mmekataa kutangaza? Aibu wallahi aibu
Shenzi kabisa kuwa na adabu
Bakwata kwanini uchaguzi ufanyike Dodoma kunanini hapo
😂
Muft yupo sahihi
Huu ndio upuuuzi wenyewe sasa unao changanya waumini kila siku, wenzetu tangu ramadhan ya mwaka Jana washajuwa ya mwaka huu itakuwa lini, sisi bado tupo kizamani zamani, taasisi kubwa kama hiyo inashindwa kudhibiti mambo ya mwezi.
Tangu mwaka Jana washajua ramadhani Ni lini sisi waislamu tunapata kujua nyakat zetu kwa mwandamo wa mwezi na huu ndio mfumo ambao mwenyezimungu katufunza katika kitabu chake,,,,
Mashaallaah mufti wetu kwa taarifa za kielimu na za hakika na shukran sana kaka yetu ust babdeo muandishi wa mufti kwa taarifa za hakika allaah awalipe nyote aamiyn
Tumeambiwa tufunge kwakuuwona mwezi na tufungue kwakuuwona mwezi sio mambo yakizamani kama unataka mwezi wa kalenda wenzako wapo subirieni siku zifike mjiunge kwenye ilo ila utaratibu tunatakiwa tufunge kwa kuuona mwezi na dini yetu hii Haina jambo lakizamani Naombo jipya
Kuangalia mwezi n upuuzi?
Huyu alisomea elimu yake wapi jamani?@@ramsorama9765
Subilini watu wa sunna waanze alafu mufuate...sio wa kuwafuat nyie mwawaza matumb yen wat wawaza akhera
Duuh muosha uoshwa na nyie mnaowahi kufungua munawaza nn matumbo au akhera
umenena ukweli mtupu hapo ni biashara tu hayuko tayari kustaafu anawaza noti tu za serikali